😂😂usiwalaumu language bareer na mzungu ndio ngori😂😂 i was giving a lecturer and boom this tanzanian lady asks a computer quiz in swahili😂😂 who does that
Support ya kutukana wa tz taften content zenu nyie watoto wa kiume acheni uboya kwenu kuna changa moto kibao mgeanzia hapo kwenye nyumba za mabati na maandamano yasio kikomo tz atutaki shobo
@@MariamAbuubakar-e5o but the evidence in video is clear. Watanzania wameulizwa maoni yao kuhusu Kenya Waka sema Nini? Wakenya wameulizwa vile vile and they have nothing but love and praise for Tanzanians. Muwache hii chuki ya ndugu zenu wakenya isiyo na msingi.
Watanzania jamani punguzeni heshima muhimu tangulini kenya tukawa discriminate mtanzania mimi mtu wa mombasa tuko na watanzania wengi wamekuja fanya kazi huku tunaishi nao vizuri wengine hata wamekuja kinyume cha sheria wametumia vichochoro lakini tuko nao kama ndugu zetu lakini siku jua kua mna tu dhania hivyo
Kufahamu kiingereza kuna faida sana, manaake unaeza ukafanya kazi mahali popote dunia mzima. Hii stupid swahili wanashidanga wakitulazimisha inaeza kufaidi na nini?
Keep resting well Magufuli but Tanzanians never understood what you ever meant ,hao wanachuki na wamejaa hapo kikombe kama nyuki and Kenyans never attack them,wako ungrateful sana
Sio kuwa tunajiproud kw kizungu,ila kiukwel hizo lugha mbili kizungu ndio iko na nguvu zaidi kushinda kiswahili imagine,tunajikuta tu tokea tuko wdgo hadi tumekua tunaongea only the two language's ya ynye inatumika xna ni English hatuna makosa ni nyinyi wa tz mrudi shuleni acheni wivu😂😂😂
@مستورهالعنزي-ي6ه kzungu Ni language Kama lugha zngine u can you learn,as long u speak,clazma uende class,jtoe kwenye cheni Za ukoloni,maendeleo hayaji Kwa kzungu,,
I think that the person who owns this you tube account is wrong in perspective. Among those interviewed, not a single one said that they don't like Kenyans or that they don't like Kenya. This is your peopaganda, you want us to see how much we hate each other. They have expressed their thoughts and understanding of how they were treated when they were in Kenya or what they witnessed when they were in Kenya or when they mingled with Kenyans in the street. Not every Kenyan was treated the same when he was in Tanzania or a Tanzanian was treated badly when he was in Kenya. if you were lucky enough to be caught by something bad then, know this is a part of life for both and it might be possible that there is a mistake committed somewhere and you should fix it intelligently But there is no problem living in Tanzania and living in Kenya. WELCOME TO TANZANIA GOD BLESS YOU ALL
Wivu gani sasa Tanzania tuwaonee wakenya nyie mmesema ukweli na sisi tumesema ukweli mnataka kusifiwa tuuu.lazima mna roho mbaya Kenya. Alafu hiyo magufuli kasema nn sijui hiyo ni politics
Mitandao ya kijamii haiwezi kuwa kipimo sahihi cha mtazamo wa Watazania dhidi ya Wakenya, watu wa mataifa haya wana mahusiano mema kabla ya uhuru wa nchi hizi hivyo haitoshi kuwatafsiri watanzania wana chuki na wakenya kwa kipimo cha mitandao (karibu Tanzania ujionee ukarimu na wema wa watu wake) isipo kuwa ukiwachokoza watakufurahisha.(sisi ni ndugu tupendane.
Huyo mtzd wa kwanza amegonga kiingereza duh😂😂😂😂😂 You can't compare gold and zinc we're far away from your zone. From education, economy ,military state and even in sports. Tukigusia music hapo msipime we are on the map world wide mnatuzidi na UCHAWI NA USHOGA PEKEAKE.
Ukitaka kujua inchi gani inalisha ingine enda kwa border, Tanzania wanaleta chakula mingi sana ,malori ya kenya yanahesabika yanayoingia tanzania ,ya Tanzania yanayoingia keny hayahesabiki,
Nimeishi Tanzania na najua sababu kubwa ilioko kati ya raia wa hizi nchi mbili,kwanza,Tanzania ni communist country ilhali Kenya ni capitalist,the structure of these two systems are different,when your neighbor sees you with a good thing that they cannot easily get for free,they tend to invoke the usual natural response and that is jealousy
Skia mjinga hapa anafikiria hizo lori zinaingia bure Kenya, bro tukiacha kununua chakula huko uchumi wenu unarudi chini. Kenya ni ya matajiri hatupendi kulima. Nyinyi tuliwaachia kazi za mashamba.
Hakuna vita kati ya Kenya na Tanzania! Hii Ni mitazamo binafsi ya mtu mmoja mmoja! Kutofautiana mitazamo sio vita. Tafuteni hoja chanya za kujadili! Sio upuuzi kama huu. Sio jambo la kujisifu! Kua wakenye wanazungumza Kwa ufasaha lugha ya kikoloni kuliko watanzania. The future of Africa is in Kiswahili. Lugha pekee yenye uwezo wa kuwaunganisha wa afrika Kua kitu kimoja ni kiswahili.Kama ilivyo fanikisha umoja wa makabila 120 ya watanzania. Leo hii watanzania ni watanzania pasipo kujalisha tofauti za makabila yao. Jaribuni kutengeneza videos zenye kujenga umoja kati yetu na sio zenye kututenganisha Na kujenga uadui katiyetu ambao haupo.
Hafadhali umesema vitu vya maana hawa hawagopi kuharibu amani wanadhani ni kitu rahisi kujenga amani.Mwana wa nani huyu mi naona anachezza na moto huyu ulimi uliponza kichwa
Kaka kuongeza kizungu sio ufahari au ndio una ajili sana but huo ni utumwa ongea lugha Yako kama mototo wa Africa, tunacho waambia badilikeni mnajifanya mko serious but chamaana hamna sisi tuko palee tuna waangalia 😂😂😂
Kenya we love Tanzania but Tanzania the don't seat tanzen is the best country and we love them and they don't see it actually I'm proud to be a Kenyan❤❤❤🎉 if they want to know how to speak English let them come to Kenya and learn English from Mars we love you Tanzania
Na vile Watanzania apa Ferry wapo wengi kuombaomba wakidaisha n vipofu na viwete afu mnaringa nn na mmetelekeza hadi wazazi wenu kwa kuwafanya mataira????? Mikundutheeeee😅😅😅😅
Sasa kingereza ndio nini unaweza ukajuwa kingereza usifanikiwe kimaisha mpo wengi mnaojuwa kingereza lakini wamejazana nchi za Kiarabu wanafua chupi za waarabu mtu na elim yako mwingine kwenda zako
Mie ni Mtanzania Lakini najiuliza why Kenyans are always talking about Tanzania what's wrong with u guys we can't be the same we are in SADEC 😅😅 90% Of Tanzanians don't even care about East African countries 😅😅
@@moshireacts Yaani kiukweli watanzania wamefocus na nchi za kusini sio izo nchi za kijinga kila kukicha tunasikia upuuzi tu kiukweli watanzania hatuna muda na huu upuuzi kenya ni nchi masikinj sana Tanzania can't be inspired by kenya at all
Kitu ndugu zetu watanzania wanatushindia ni mgorogo,kingine hakuna wakenya tunashinda tanzania mbali sana,waache chuki waje tuwafunze jinzi ya kutafuta pesa
Great research bro! Hapa ume dig deep. Love the hilarious content too, "roumd off their english to the nearest english" 😂 Keep it blazin bro 🔥 🔥
😂 Thanks bro I'll keep it blazin 🔥🔥
We Love Tanzania....Spread Love!
From your 🇰🇪brothers and sisters!
I'm from TANZANIA but I love Kenyan girls
Hey brother can we just exchange girls coz I myself love Tanzanian girls😂
But the funniest thing ni we don't love your maringo girls😢
@@kingkong-akutawezana na hawa kweli wavivu sana kikazi😅😅😅
Tuko wangwan hongera bro❤❤❤❤
Thanks
Kwani akuna vitu vingine vya kuwapa content wakenya kila cku tz tz bila tz amtoboi embu tuacheni bhana
Kuniá ulale
😂😂😂😂😂
Wewe wakenya sisi tunatomba tu hatuna time na wazungu weusi😂😂
We n mbwa tuh mjane😂😂😂
wawawa hapo sasa tumefocus na kazi zetu bana kenya oooyee
Haaaa nimecheka Mimi?
😅😅😅😅😅😅😅hiyo maombi apana tambua
Watz hawajielewi😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Mwenye amemalizia na maombi 🤣🤣🤣 weee hii imeenda 😂😂😂
Ukweli ni kuwa wakenya hawana shida au chuki na waTZ, Lakini watanzania ni wanafiki, wanachuki na hasira na Kenya bila sababu.
umegonga ndipo
Umejuaje??❤
@@naturelle1097 Maskio yako kwani yamejaa matope? Umeskiza hizo interview ama utafsiriwe kwa lugha ya mama?
@@jeffchurum1431 ni komee na ushindwe na ulegee
@jeffchurum😂😂😂😂😂1431
😂😂😂hio maombi imeweza
😅😅😅😅hii maombi ni kali
😂😂usiwalaumu language bareer na mzungu ndio ngori😂😂 i was giving a lecturer and boom this tanzanian lady asks a computer quiz in swahili😂😂 who does that
😂😂😂😂
Sisi wakenya huwa tunawapenda ndugu zetu waTZ but wao hudhani kila kitu mbaya ni ya wakenya...
Matako ya kununua,,,,😂😂sura ya surgery ndo unaringa nayo😅😅😅
waa huyo mwombaji ni pastor
Weeeeee kizazaaa hapa duuh😂😂😂😂😂😂
Let's support this kijana
I'd appreciate it very much thank you 🙏
Support ya kutukana wa tz taften content zenu nyie watoto wa kiume acheni uboya kwenu kuna changa moto kibao mgeanzia hapo kwenye nyumba za mabati na maandamano yasio kikomo tz atutaki shobo
@@Maryam-qu8bv😂😂 what's ur point dude 😜
😂😂😂😂 smarter than him na kizungu ni ya kukopa ni kama ako na rickets kwa 👅
Ee tumieni translator sielewi kabisa ati Tz Ni Mafi l love kenya
Kwani tz kuna waarabu huyo mbaba wakwanza 😂😂😂😂 huyu mwenye dready apelekwe ngubaro
Kizaza jamani kazi ipo hapo 😂😂😂😂😂😂😂
The problem with Jirani thinks that if we address them in English we are insulting them😅
Aty mpango wa kando🤣🤣🤣🤣
Ama tutume dersert hoppers huko bongo mtajua hamjui🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unga na mkate sheda Kenya
Tanzania hawana form wanataka ku.trend through Kenya😂😂😂😂😂😂
Jaman acheni kuongeani vibsya sote ni ndng
Ati acheni kuongeani vibaya??...sio wakenya ndio wanaoongea vibaya kuhusu watanzania ni watanzania ndio wanaotuchukia bure tu!!
Hamna wa tanzania ni watu waupondo xna hatuwezi uwaongelea vibaya
@@MariamAbuubakar-e5o but the evidence in video is clear. Watanzania wameulizwa maoni yao kuhusu Kenya Waka sema Nini? Wakenya wameulizwa vile vile and they have nothing but love and praise for Tanzanians. Muwache hii chuki ya ndugu zenu wakenya isiyo na msingi.
Za ndaaani shekhee😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😫😫😫😫😫😂😂😂😂😂😂😫 Ety tanzania n sidechick wetu
😂😂😂😂😂
😂😂😂
Kenya 🇰🇪 is like Germany 🇩🇪
Tanzania 🇹🇿 is like Austria 🇦🇹
*One people but different*
Kuma ww ni Shoga una Tumia Snapchat ww shoga
😂😂😂 sawa bro
Big up bro
Big up
Maombi ndio yamenimaliza 😂😂😂😂😂😂😂😂 kenya is my country sihami ng'ooo😂😂😂😂
Aaaaai!For sure tupelekane na watu wa TZ wapi? Mkwende na uko hadi nyinyi,uzuri na Wakenya ni kuwa hatuwalambi😅😆😆😆
maskini akipata matako hulia mbwata. after kuwasaidia wameturuka.wajifunze english ndo tubishane
Well said
Ww unaejua kiingereza kimekusaidia nn wew binafsi
Mbona nipo Tanzania na napenda wakenya na nna rafiki zangu Kenya ?sio wote wanachukia Kenya Wacha uongo
Those who hate each ni wenye akili pumbafu,,sasa wanachukia watu hawajuani
Am proud kukua mkenya tunajiambiani bwana
Waaaaaaaah kizungu enyewe God forbid
kwa iyo mwijaku tu ndio mnayemfahamu? 😂
Watanzania jamani punguzeni heshima muhimu tangulini kenya tukawa discriminate mtanzania mimi mtu wa mombasa tuko na watanzania wengi wamekuja fanya kazi huku tunaishi nao vizuri wengine hata wamekuja kinyume cha sheria wametumia vichochoro lakini tuko nao kama ndugu zetu lakini siku jua kua mna tu dhania hivyo
Kenya been discriminating somalia 🇸🇴
We are not discriminators de only thing we do is joke .tumewakubali Sana Wasee jamani@@Mina.15
Tanzanians should speak facts😅😅😅wut they know about 🇰🇪
Kujua kingereza haimaanishi kuwa ww ni msomi hiyo ni lugha kama lugha zingine
make them understand
Sio hoja bora najua itanifikisha mbali kuliko ile kiswahili na jua
Kufahamu kiingereza kuna faida sana, manaake unaeza ukafanya kazi mahali popote dunia mzima. Hii stupid swahili wanashidanga wakitulazimisha inaeza kufaidi na nini?
Kinatupelekea kuwalisha na makampuni yetu..burukenge wwe
Shukurn maqu🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I love Tanzania not only just loving but some of things we share in common
Yaani Kenya mie nifuate mademu tu😂
ety samsing watazania wachie wakenya kizungu
Tanzanians give us your girls thats what we will love you for...
Keep resting well Magufuli but Tanzanians never understood what you ever meant ,hao wanachuki na wamejaa hapo kikombe kama nyuki and Kenyans never attack them,wako ungrateful sana
😂😂😂zanzibar in Kenya what is he saying 😮
Maombi inaniuwa 😂😂😂😂😂😂😂
Kenya iko juu kimaendeleo sio kiingereza pekee
Maendeleo Ya wapi wakati Kenya ni ya wasomali na Wagunya + washwahili Mmewaachia Magorofa nyie mmehamia kibera na Rabai kaloleni huko..
@@stevenlugojeremia2323 Ukabila utakumaliza
Kama kenya tunajifanya basi watazania wrote wako Kenya waludi kwao na wakenya wako Tanzania waludi Kenya
😂😂😂😂
Mm kama mkenya naweza sema hawatuwzi upande wa rapping 😅
Watazania wanakuaga na wivusana. Uwa waoneya wakenya kijicho sana😢
Fro what,?
We have Mt neru in tanzania and that
Tatzo waknya mnajproud kwa kzungu hadi ushoga,, mrume anamrumewe iko beach,,
Watanzania Ni mafala masenge Ni Masimba wa kike
Sio kuwa tunajiproud kw kizungu,ila kiukwel hizo lugha mbili kizungu ndio iko na nguvu zaidi kushinda kiswahili imagine,tunajikuta tu tokea tuko wdgo hadi tumekua tunaongea only the two language's ya ynye inatumika xna ni English hatuna makosa ni nyinyi wa tz mrudi shuleni acheni wivu😂😂😂
@مستورهالعنزي-ي6ه kzungu Ni language Kama lugha zngine u can you learn,as long u speak,clazma uende class,jtoe kwenye cheni Za ukoloni,maendeleo hayaji Kwa kzungu,,
I think that the person who owns this you tube account is wrong in perspective. Among those interviewed, not a single one said that they don't like Kenyans or that they don't like Kenya. This is your peopaganda, you want us to see how much we hate each other. They have expressed their thoughts and understanding of how they were treated when they were in Kenya or what they witnessed when they were in Kenya or when they mingled with Kenyans in the street.
Not every Kenyan was treated the same when he was in Tanzania or a Tanzanian was treated badly when he was in Kenya.
if you were lucky enough to be caught by something bad then, know this is a part of life for both and it might be possible that there is a mistake committed somewhere and you should fix it intelligently
But there is no problem living in Tanzania and living in Kenya.
WELCOME TO TANZANIA
GOD BLESS YOU ALL
Mimi ni mzanzibar watanganyika sio watu wa zur wametutawala hatutak mungano sio wa haki
Seriously! 😂l know so many Tanzanians who do business in kenya! What is he talking about? Has he been even in kenya?
😢😢😢 may God respond to what you're speaking about. Pray for yourself
Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Kiingereza hawajui mfumo wa Elimu ni wa kipuuzi,kiswahili mingi.
Kiingereza si mali yako mbwa wee. Huo ni utumwa kujivunia cha wenzio.
Wivu gani sasa Tanzania tuwaonee wakenya nyie mmesema ukweli na sisi tumesema ukweli mnataka kusifiwa tuuu.lazima mna roho mbaya Kenya. Alafu hiyo magufuli kasema nn sijui hiyo ni politics
Mitandao ya kijamii haiwezi kuwa kipimo sahihi cha mtazamo wa Watazania dhidi ya Wakenya, watu wa mataifa haya wana mahusiano mema kabla ya uhuru wa nchi hizi hivyo haitoshi kuwatafsiri watanzania wana chuki na wakenya kwa kipimo cha mitandao (karibu Tanzania ujionee ukarimu na wema wa watu wake) isipo kuwa ukiwachokoza watakufurahisha.(sisi ni ndugu tupendane.
I ❤ this one...
Madem watanzania wako wakiachwa wanadai taraka 😂😂😂😂
Huyo mtzd wa kwanza amegonga kiingereza duh😂😂😂😂😂
You can't compare gold and zinc we're far away from your zone. From education, economy ,military state and even in sports. Tukigusia music hapo msipime we are on the map world wide mnatuzidi na UCHAWI NA USHOGA PEKEAKE.
😂😂😂
Watazania wana asati ata mathalau tu wako nayo sana
We love Tanzanian but hao hutuchukia kwa kushindana na sisi
Kenya Wana Roho mbaya kama sura zao.Weusi teeeee.Sisi tuna maisha yetu hatuishi maisha ya Watu
Abdul ntakupiga vibaya
Umeanza kuturingia na mkorogo na hizo bleach zenu za mchina
Diamond handsome 😅😂
Ata mkiwa nayo kubwa ukifa watangalia tu uso si matako
Wee makubwa hayo
Mimi napenda East African yote nko America lakini nilisikia mtanzania akiongea kiswahili nafurahi sana
😂😂😂😂😂noma😂😂😂😂😂
Ukitaka kujua inchi gani inalisha ingine enda kwa border, Tanzania wanaleta chakula mingi sana ,malori ya kenya yanahesabika yanayoingia tanzania ,ya Tanzania yanayoingia keny hayahesabiki,
Tukona pesa mkona chakula simple economics bro hizi ni jokes bro in reality we depend on each other to survive
Nimeishi Tanzania na najua sababu kubwa ilioko kati ya raia wa hizi nchi mbili,kwanza,Tanzania ni communist country ilhali Kenya ni capitalist,the structure of these two systems are different,when your neighbor sees you with a good thing that they cannot easily get for free,they tend to invoke the usual natural response and that is jealousy
Skia mjinga hapa anafikiria hizo lori zinaingia bure Kenya, bro tukiacha kununua chakula huko uchumi wenu unarudi chini. Kenya ni ya matajiri hatupendi kulima. Nyinyi tuliwaachia kazi za mashamba.
Samsing 😅😅😅
😂😂😂 noma
Hakuna vita kati ya Kenya na Tanzania! Hii Ni mitazamo binafsi ya mtu mmoja mmoja! Kutofautiana mitazamo sio vita. Tafuteni hoja chanya za kujadili! Sio upuuzi kama huu.
Sio jambo la kujisifu! Kua wakenye wanazungumza Kwa ufasaha lugha ya kikoloni kuliko watanzania.
The future of Africa is in Kiswahili.
Lugha pekee yenye uwezo wa kuwaunganisha wa afrika Kua kitu kimoja ni kiswahili.Kama ilivyo fanikisha umoja wa makabila 120 ya watanzania. Leo hii watanzania ni watanzania pasipo kujalisha tofauti za makabila yao.
Jaribuni kutengeneza videos zenye kujenga umoja kati yetu na sio zenye kututenganisha Na kujenga uadui katiyetu ambao haupo.
Hafadhali umesema vitu vya maana hawa hawagopi kuharibu amani wanadhani ni kitu rahisi kujenga amani.Mwana wa nani huyu mi naona anachezza na moto huyu ulimi uliponza kichwa
tz mbachwe
Hii ndio content sasa 😂😂😂
Shukran🙏
Tanzania acheni chuki sisi wakenya tunawapenda
Apo bradhe
Wale Kenyans wako tz ni nini mnatafuta kule? Tz ni nchi kavu.
It’s called insecurity😅
Kaka kuongeza kizungu sio ufahari au ndio una ajili sana but huo ni utumwa ongea lugha Yako kama mototo wa Africa, tunacho waambia badilikeni mnajifanya mko serious but chamaana hamna sisi tuko palee tuna waangalia 😂😂😂
Wakenya ati kizungu ndio mana mmarekani anakupelekeni haiti mkauwe ndugu zenu..kazi uzushi kutwa mnaprotest.
sibishani na nawatu wanabatisha kingeresa
Someone to explain whats how Kenyans are racist to TZ
Tanzanians ni wanafiki wakutupa
Kenya we love Tanzania but Tanzania the don't seat tanzen is the best country and we love them and they don't see it actually I'm proud to be a Kenyan❤❤❤🎉 if they want to know how to speak English let them come to Kenya and learn English from Mars we love you Tanzania
We as Kenyan we are far in terms of technology more than tz
Watanzania wajua nn mafala skiza rais mwenyewe anaheshimu kenya . Kenya ooooe
Ooooeeee!!
There's is a Kenyan girl came here asking for a job, nikamkatalia maana alikuwa mweusi mithili ya charcoal, nikahisi naongea na shetani 😃😃😃😃
😂😂😂Wow kukua mweusi ni kukua shetani yani ww ni mwafrika mjinga saana
Sana tu. Now you see Tz reasoning capacity hata nyau ana akili. By the way shetani sio mweusi..alikua malaika mzuri kuliko wote..
Na vile Watanzania apa Ferry wapo wengi kuombaomba wakidaisha n vipofu na viwete afu mnaringa nn na mmetelekeza hadi wazazi wenu kwa kuwafanya mataira????? Mikundutheeeee😅😅😅😅
wakenya na watanzania ni ndugu bhana ndio maana huwezi kuona mtanzania anabishana na mganda sababu wakenya ni ndugu na watanzania
Sasa kingereza ndio nini unaweza ukajuwa kingereza usifanikiwe kimaisha mpo wengi mnaojuwa kingereza lakini wamejazana nchi za Kiarabu wanafua chupi za waarabu mtu na elim yako mwingine kwenda zako
Wa Tanzania wako na utajiri wa kisirikina kikiwaramba wanakimbia kenya kwa maombi
@@veronicahnakhumicha370kwa uyo mchungaji wenu muuaji wa shakahoro au 😂 kajambe uko
@@Maryam-qu8bv Kenyans we believe in God not in illuminate
@@veronicahnakhumicha370 kwakua atuwajui au me nipo Canada naishi na wakenya wenu kitu kdg cm kwa waganga unge nyamaza tu ujui kitu
Eeeh .Nini ni lugha bana anyway uzuri mmeombewa
Yule mtazania alie sema wakenya ni wakorofi .anamaanisha police wa kenya ndio noma I mean wabaya
Mie ni Mtanzania Lakini najiuliza why Kenyans are always talking about Tanzania what's wrong with u guys we can't be the same we are in SADEC 😅😅 90% Of Tanzanians don't even care about East African countries 😅😅
Hii ni utani tu no one gives a fvck vitu mnafanya TZ 😂
@@moshireacts Yaani kiukweli watanzania wamefocus na nchi za kusini sio izo nchi za kijinga kila kukicha tunasikia upuuzi tu kiukweli watanzania hatuna muda na huu upuuzi kenya ni nchi masikinj sana Tanzania can't be inspired by kenya at all
@@davidanselmo4041 na ndio nakushow we don't give a fvck bro ama hunielewi mzee😂
@@moshireacts Keep Tanzania out of ur mouth you son of bitchhh😁
@@moshireacts You are broke a$$ mothefckrs stay away from us
hii mipaka imewekwa na wakoloni lakini kenya na tanzania ni watu wa jamii moja ni ndugu wa lugha mila na desturi kwa sababu hiyo ndio unakuta vita
Za ndani shekeee
Kitu ndugu zetu watanzania wanatushindia ni mgorogo,kingine hakuna wakenya tunashinda tanzania mbali sana,waache chuki waje tuwafunze jinzi ya kutafuta pesa
Watanzania Wana chuki na Kenya nimeekewa leo
Tanzanian men were suppose to be girls and their girls boys apart from the late President Magufuli- my guy.