👉Maana ya Imran ni "Mtu Aliyebarikiwa, aliyeinuliwa na mwenye furaha" | Jina la Nabii. 💐Instagram Bonyeza Link Hii Hapa 👇 instagram.com/quotes24life/ 🙏
🎊Maana ya jina Nairat Ni "Mshindi" 🎊Maana ya jina Lutifia ni "Maridadi Au Neema" 🎊 Sapna, Nitafurahi Sana Uki-Share Katika Groups Mbalimbali Za WhatsApp au Facebook 🙏🙏🙏
@@Quotes24life asante Sana kuhusu kushea MA group samahani sijajiunga na whasap wala facebook. Lakini nikajiunga nitashea naomba uniambie na hili Jina langu Sapna unipe maana yake
Maana ya Jina 1. Al-'Asad (Alhasad) ni "Simba" 2. Al-Hasah ni "Mzuri" ❤Kuona Video Bonyeza Hapa 👉 ruclips.net/video/-OqOBOy2g7s/видео.html ❤Tucheki INSTAGRAM Kwa Jina La "Quotes24life"🙏
Naomba kujua maana ya jina Amayra
Maana ya jina Amayrs ni "Mtoto wa kike wa mfalme" au Princess
@@Quotes24life maan y jn mwanamvua n nn
Naomba kujua maana ya Safia
Naomba kujuwa maana yajina Nauthar
Naomba kujua maana ya jina la Mirfat
naomba kujua maama ya jina moradi
Maana ya iliham je ni jina LA like au LA kiume
Jina la kike...Kujua Maana ya Hilo Jina Bonyeza Hapa👉 ruclips.net/video/YswKRxXQ0_A/видео.html
Naomba kujuwa maana ya jina la LAUTHAR
Mirfat
Mwanamvua maana yke nnn
Maan yk nn
Maana ya jina Mwanamvua ni mtoto aliyezaliwa kipindi cha mvua.
@@Quotes24life shukran
@@Quotes24life fatma and Ally nay maan yk tfdhl
Haya Zulfa
Naomba kujua maana ya jina "Sharmila"
🎊Maana Ya Jina Sharmila ni "Mwenye Aibu" | "Mwenye Adabu"
🎊Like, Video Hii.
@@Quotes24life asante
Sawa Sawa Karibu Sana, Karibu Tena.
Maana ya jina imran
👉Maana ya Imran ni "Mtu Aliyebarikiwa, aliyeinuliwa na mwenye furaha" | Jina la Nabii.
💐Instagram Bonyeza Link Hii Hapa 👇 instagram.com/quotes24life/ 🙏
Naomba kujua jina Khansaa na Rahma
Maana ya jina Rahma ni "Huruma"
Maana ya Jina Khansaa ni "Nyota"
Nasra
🎉Maana Ya Jina ❤Nasra❤ ni "Msaada"
Naomba maana ya nayrath
Maana yake ni "mshindi au Aliefanikiwa"
Samahani naomba kujua maana ya Jina La Nairat na Lutfia
🎊Maana ya jina Nairat Ni "Mshindi"
🎊Maana ya jina Lutifia ni "Maridadi Au Neema"
🎊 Sapna, Nitafurahi Sana Uki-Share Katika Groups Mbalimbali Za WhatsApp au Facebook 🙏🙏🙏
@@Quotes24life asante Sana kuhusu kushea MA group samahani sijajiunga na whasap wala facebook. Lakini nikajiunga nitashea naomba uniambie na hili Jina langu Sapna unipe maana yake
🎊Sapna ni Jina lenye Asili ya Kihindi Na Maana yake ni "Ndoto"
🎊Sawa Sapna Nimeelewa.🙏🙏🙏
🎊Pia Karibu Sana.
Maana ya Khudhaifa na Lailat
🎉Maana ya Jina Khudhaifa ni "Rafiki Wa Nabii"
🎉Maana ya jina Lailat ni "Usiku"
📶Instagram Natumia: Quotes24life, Nitafurahi Ukinifollow 🙏
Naomba kujua jina la nuziphat
Naomba kujua maana ya majina haya Alhasah na Alhasad
Maana ya Jina 1. Al-'Asad (Alhasad) ni "Simba" 2. Al-Hasah ni "Mzuri"
❤Kuona Video Bonyeza Hapa 👉 ruclips.net/video/-OqOBOy2g7s/видео.html ❤Tucheki INSTAGRAM Kwa Jina La "Quotes24life"🙏
Leteni majina mengine kiukweli mi cjalipenda jina ata moja hongereni mmejitahidi
Sawa, Ahsante.
Na shifrat linamaana gan
@@mwajumamuhamedi9247 Maana ya jina "Shifrat" au "Shifra" ni "Mzuri"
Mbon mazur
Asante, Faidha 🤲🤲
Maana jina sabra
🎊Maana ya Sabra ni "Subira" Au "Uvumilivu" 🤲
Masha Allah 🤲🏽
🎊Mashallah!!!!
Naomba kujua maana ya arman
Maana ya jina shanaiza tafadhari naomba mni
Hili Linaandikwa Hivi?
@@Quotes24life ndio, shanaiza ,
Maana ya Jina "Shanaiza" (Shahnaz) ni "Fahari Au Neema Ya Mfalme"
Asante Sana , na shazda Lina maana gani?
Asante Sana , je shadrack Lina maana gani
Na maana ya jina la junaithar ni nini?
Maana ya jina Junaithar ni "Neema za Mungu" au "Zawadi kutoka kwa Mungu"
Asante
@@fetlisheshenry2510 Sawasawa Karibu Tena 🙏
Naomba kujua mana ya jina Sabrina, maana yake ni nini? Na nijina la kiislam?
Maana ya Jina Sabrina ni Mtoto Kike Wa Mfalme (Maarufu)
Ndio, Ni Jina la Kiislamu.
Maana ya jina sabrina ni subira
Ahsante, ila kuna tofauti kati ya Sabrina na Sabrin, Hata kwenye maana zake pia.
Sabrin=Subira, Uvumilivu.
Sabrina= Mtoto wa kike wa mfalme.
Na shifrat linamaana gan
Maana ya jina "Shifrat" au "Shifra" ni "Mzuri"
Asantee jaman niliskia tu mtu akimwita mwanae hivo mda kidogo nililipenda Sana sasa na Mm nimepata mtoto nimemwita hivo
Hongera Sana 👏🎉🎂🎁
Na maana ya jina la Faris ni nn?
Maana ya jina Faris ni "Mtu anayeendesha Farasi" | Faris means Horseman or Knight.
@@Quotes24life Duh🙄🙄🙄ok sawa asante
Naomba kujua maana ya jina Aydath
Maana ya jina Aydath | Aydah ni "Kurudi" Au "Rudi"
Raniah manayake nini
Maana ya Jina Raniah ni "Tahadhari"
Queen
Jina riyaz lina maan gn sorry
Na jina hanan
Maana ya riyaz ni "Bustani"
Maana ya hanan ni Rehema.
BarAka Allahu kiqah
Naomba kujua maana ya jina Amal