This will turn out to be a surprisely and interesting story. Samaritan aki mungu na akubariki na akulinde so that you can continue exposing these evils that are destroying many different families.
😂😂ndio safari inaanza hata baba ken alikataa kuingia gari letu bt at last aliingia bila kusukumwa driver akiwa sama sisi makanga akina babake ken abiria 😂😂😂
Kuweni wakweli😮 Mzee hana shinda😅 introduce yourself correctly kwa Hali kaa hiyo😂hata Mimi ningedo kaa huyu Mzee na nifungulie mbwa na goose ziwatoe mbio mbio😂😅
Samaritan jifunze kuonyesha hawa watu evidence,sio kukua bubu kwa vitu serious
He will do it but much later 🤣
💯 True
True even for serious things, lazima sama to take time looking for content
Kabisaa angemuonyeshe hizo videos angeelewa kuliko kumuelewesha kwa mdomo na massages
I prefer akae bubu😂😂😂😂itakes the show more interesting
If only Douglas could be Sanitized he knows the truth
Douglas is the mastermind of all these
Very true 💯
@CyphroseRobert sad
I suspect so
Huyu mzeee anajua everything so ako guilty mambo imejulikanaaaaaa
Ni mjinga
Douglas should be investigated.....he knows something
Samaritan u make sure umetafuta huyo bibi mwenye ako kwa wheelchair
Wow! This guys Kiswahili is on point
Hutu tuzee kusikizia maneno inakuanga very hard..but I know atawatafuta after reality imemhit
Huyu mzee anajua kila kitu
This will turn out to be a surprisely and interesting story. Samaritan aki mungu na akubariki na akulinde so that you can continue exposing these evils that are destroying many different families.
Kesho ni kumoto mtu tag baba Ken huku tu watch pamoja
I support
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Eeee
Anakaa bro yake
@@Wilky254😂😂😂
Poor wife in a wheelchair, may God open this man's inner 👀
😂😂ndio safari inaanza hata baba ken alikataa kuingia gari letu bt at last aliingia bila kusukumwa driver akiwa sama sisi makanga akina babake ken abiria 😂😂😂
Mbona huyu mzee analeta kumbukumbu la baba ken chapter denial
Exactly
I thought about baba Ken
Kwani huyu no brother yababa Virginia 😂😂😂😂
Mke wangu mke wangu
Baba ken come for your brother mwenye hachikanishi kama wewe
I'm suspecting aka kakijanaa ndo walikuwa Wana walala na huyo dem
Mm story imenichaganya
Kuweni wakweli😮 Mzee hana shinda😅 introduce yourself correctly kwa Hali kaa hiyo😂hata Mimi ningedo kaa huyu Mzee na nifungulie mbwa na goose ziwatoe mbio mbio😂😅
Aki mungu si apiganie huyu mama mwenye hii mboma,,wooi alifukuzwa kwa makosa ya mtu mwingine
Huyu na yule mzee wa jacinta in one WhatsApp group
Godfrey kazi imeisha kwa kuongea ukweli omba tu Mungu... This old man he's a dictator of the sort!!
Kweli huyu mzee ni mjinga kweli,,kitakuramba.
Infact akiri ndio mtu mzee anasaidiwa anakataa ng'ombe ni ng'ombe
huyu mzee ako na kierere sana
Douglas ndiye mwenye anapewa kazi ya kuua mama mwenye ako kwa wheel chair. Sio ajabu Douglas poisoned the wife and Mzee knows.
Samaritan i think umesikia huyu mzee akisema ni yeye aliandika hizo messages mnasoma pliz
Akia Sama umsaidie mama ako wheelchair
The cross she's carrying is heavy...she's innocent
You mean Kijana mdogo Douglas ndiye alilipiwa lodging 3k!!mama Kingsley shually?
This mzee knows something, he doesn’t want the young man to reveal the truth
Godfrey Godfrey we're missing you dearly
Too much beating about the bush
Ako na pesa na mboma inakaa Dumpsite
Imagine
Samaritan hata kama unataka kusaidia kuchimba familia ya mtu sio vizuri..why force the boy to say what mzee hataki isemwe!
Have some respect bana
Another baba ken in the house machozi ya huyo bibi akiwa kwa wheelchair itawahangaisha wewe na huyo njagiri yako
Uyu mzee na baba ken wako na character moja, nowader wanafanana,
Ukweli wanafanana
That evil woman needs to be sued for attempted murder,shes extremely wicked
Watu 10 wanipitie niwapitie tugrow pamoja ❤️❤️❤️
Could Doughlas be the ngorotas where the lady wasted 3k without ajob well done?? 😅😅😅😅😅
Most likely
Douglas is the main guy here.Mzee ni pesa ananyonywa.
Niyy tu nan mwingine
Hio ndio tunasemaga, unawezaona umeangukia, kumbe umeangukiwa!!!!!
Sama ,huyu mzee asifukuze Douglas akiii,amelipua ukweli
I think huyu mzee is also guilty
Samaritan, involve the police...hiyo taking time ndo hukuletea aibi
Samaritan unajinyamazisha hutaki kusaidia
It's about to go down 😮😮
My opinion though, kwani daggie ndie analala na huyo mama ama munaelewa aje
Soon n very soon mzee utakuja kutafuta huyu samaritan ukilia machozi
Sama utafanya kijana afutwe kazi please, wachaneni na kijana. Deal na mzee tu
I wish uyi mzee agepeana cmu yake isanitaziwe ukweli uko apo,anajua kila kitu
Sijawahi unaona mwanaume muoga kama sama.bona unaongea ukiwa kwa gari na mkiwa huko ndani huongei.anyway
Douglas ni fei mwingine udaku😂
Huyo mzee ako na hidden ageder
Sama endeni tu imtoke
Kama baba ken
😄😄mwire ahorere muchere uhwe Mai ni WA ndengu na mboga😂😂😅😅 atige ihenya
Wazee siku hizi wameharibika kushinda vijana😂😂😂
Douglas simuoni vizuri,alihusika na hizo doggy ku dead
Huyu mzee is suspicious
Sielewi hii headline
Ni vile mzee hajui anything,hes just ignorant.give him 2or 3days atakuwa anakutafuta Sama
Hii story sijaishikanisha vizur
Ata mimi nikama nimepotea
Ukianza na episode ya kwanza utashikanisha.
Sama safe time,,bona mnenda kwa mtu na camera mnaanza story refu bila kujieleza haraka?no wornder ndio mnafukuzwa juu kujieleza pia ni shinda
objective mm staki kuona drama za samaritan tena nataka kublock
mtu anishow vile naeza kublock Samaritan
2
Douglas umemwanga unga utaeda hm 😂😂 but huyu mzee ndie chanzo chakila kitu👆👆
This old man will look for you guys just leave him
Fidelis alikua akichat na nani??
Hii Mzee pia ni ngombe ingine nipatieni nikapapalie mahindi kama for around two wks
Mzee utakufa vibaya wewe😂😂😂😂
So kenya wife hukuwa na bwana wawili kenya aki😂😂
Bona sielewi😂
Sanitize huyo kijana
Kijana atafutwa kazi aki nyinyi
Mnataka mtoto wa wenyewe afutwe kazi yawa samaritan
Kwani huyo dame ni ghost juu kwani analalanga kwa nani
Mzee hujui Chenye kitaendelea..
Yea sama sometimes ananyamazanga kwa vitu serious agemueleza kitambo ingekuwa better saa ananyamaza akishakuwa mkali ndio anaongea
😂😂😂😂bibi ako na wanaume wawili,haki Kenya sihami😂😂😂😂
Noma
Mungu pea wanawake utajiri nzingine akt kama mm
Mzee:huyu ni mke wangu kijana :huyu ni mke wangu katambe katambe 😅team samaritan nipitie nikupitie asanteni ❤🎉
Mbona mzee hutaki kuskia ukweli
Peleka huyo mzee ndani .pia yeye ni mkora.
Douglas chunga kazi yako enda mahali umetumwa..
Pesa,pesa, pesa????
There's God in Heaven
All will be refilled, this lady will never have peace.
Mama on wheelchair???? God intervene.
huo dame ni kama ako kwa illuminati njuu wee ile ukali ako nayo ako na pepo ndani yake
Check how millionaires huishi....they Are under spells!!!! Even luos have joined the kikuyu/kamba bandwagon
Toa kamba hapooo kiasi😂😂😂
Hehe 😅😅 ndunia ningumu
Wanafanana na baba ken ata kufikilia huyu mzee anajua kila kitu
This Lady was using Doughlas. Kumbe Doughlas Dio alilipiwa room
Akaenda kung'orota huko😂
Sikio la kufa kawaida halisikii dawa
Huyu mzee n fidel wanajuana wauwe wabaki
Another baba ken reloading.Hapa ni ATI bibi hayuko kwa kaburi.
Achaneni na huyo mzee akule jeuri yake
Huyu mzee anajua what happend to the wife
Labda ata iyo sumu he was involved
Ongeeni hiyo kitu iwatoke😂
Samaritan tafuta huyo kijana ako na maneno
Na msanitize huyu Douglas asikue Kuna vile alitumiwa..
utatutafta mzee
Mzee is confused but akipika simu niambie nione vile analia akijihurumisha
Hawa wazee wanapewa uchawi hawanjielewi