Na uliza kwani kuna ukoo unaitwa masharfu au Usharifu unakuja baada ya kujikaribisha na Allah tuofanya mambo machafu ambayo aliyo yakataza,,ukisema unakosea na kufuru kubwa sana kwa Allah, Allah hakuumba ukoo fulan ndio mwema,Allah amesema ktk Qur-an hakika aliye bora mbele ya Allah mchamungu hakutaja masharfu, Tuache shiki
Mashallah Mashallah Mashallah
Mashaallah Allah atujaalie waislam wote duniani tufe tukiwa shahid katika dini ya uislam na atupe kauli thabit
Masha Allah hawakuufarakanisha umma wala hawakujiita wao ndio kundi bora wala hawakuita watu makafiri
Kisa kizuri ila hapo kwa hadramuth nasio hadramauti unatuchafulia jina la nyumbani ila sheikh napenda visa vako vinaelimu
ya Allah tupe mfano wao