Wakristo waanza kuelewa uisilamu ndio dini ya haki watoto wa nabii Adam walioa nani swali laletwa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 76

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 11 месяцев назад +7

    inshAllah Allah swt awafungue macho watoke kwenye giza,maana maandiko yapo wazi kabsaa

  • @guyogalora2736
    @guyogalora2736 10 месяцев назад +2

    Masha Allah shukran jazeelan somo zuri sana

  • @fatumahamisi1604
    @fatumahamisi1604 11 месяцев назад +7

    Allah awajalie awape nguvu na afya walimu wetu

  • @iddyjuma8036
    @iddyjuma8036 11 месяцев назад +6

    Mashallah Allah awape umri mrefu inshallah

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 11 месяцев назад +5

    MashaAllah maandiko Yako sawa sana kazinzur sana walimu wetu ALLAH awalende nashar awape hafya na umr muref nawapenda nyote kwaa jili ya ALLAH

  • @NANCYLAZARO-uc9fn
    @NANCYLAZARO-uc9fn 10 месяцев назад +3

    Daa mnafahamu bibilia kuliko hata wakiristo!Mwenyezi Mungu awajalie mwisho mwema na awatie nguvu kuelimisha watu zaidi ukweli uislamu ndio peke yake dini ya Mwenyezi Mungu,Subhana Allah,

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 4 месяца назад

      AaminaYaarabi.waislam.ndyo.wamejaaliwaElm.watakeWasitakeHata.hakiwaRais.ukimletakwenyeMasualaYaDiniHawaez. Thumma.Hawezi

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 11 месяцев назад +8

    Asalam aleikum mashekhe wetu Allah awalinde na kila la shari

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 месяцев назад +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin

  • @Hi_20206
    @Hi_20206 11 месяцев назад +7

    May Allah be pleased with your work mashekh wetu

  • @kasimmtakii8081
    @kasimmtakii8081 11 месяцев назад +5

    Manshaallah Allah atupe mwisho mwema. Na tusife hali ya kuwa sisi ni waislam.

  • @khadijarashid5434
    @khadijarashid5434 11 месяцев назад +1

    mashaalallah very nice elaboration.

  • @alyumaraos
    @alyumaraos 11 месяцев назад +2

    Allah Akbarrr

  • @AishaMohamud-k7d
    @AishaMohamud-k7d 10 месяцев назад +1

    A alaikum masheikh Alhamdulilah dini yetu ya uislamu imetueleza Yote every aspect of life Wala wasiwe Na wasiwasi😊

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  10 месяцев назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @ShamteOmar
    @ShamteOmar 11 месяцев назад +2

    nipo Tanzania nafatilia muhadhala..
    Mungu.awape nguvu na uzima.

  • @Aminedanisman76799
    @Aminedanisman76799 11 месяцев назад

    MashaAllah tabarakallah.Allah awafanyie wepesi na kuwapa subra na afya kwenye hii mnalo fanya

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 11 месяцев назад +1

    Takbiriiiiii Allahu akbar uislam umekamilika Alhamdulillah chooni lazima kuwekwe maji safi na salama watu wajioshee matishu hayatoshi ksafisha uke wangu

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 4 месяца назад

      Kipindi.nipo.mdogo.umri.ka.ma7.hivi.nilikuwaSiombi.maji.yakunywa.nyumbani.mwa.Wakristo.najuwagawachafu.kumbeKweli.Subhana Allah.kumbenilikuwa.Sahihi.

  • @musanike3079
    @musanike3079 11 месяцев назад +2

    ❤ Mashallah.. Wata elewa pole pole. Allah awape afya na mali

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 11 месяцев назад +3

    Allahu Akbar

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 11 месяцев назад +5

    Assalaam Alaykum Warhamatullah Wabarakatuh.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 месяцев назад +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @jamalalnadhir4058
    @jamalalnadhir4058 11 месяцев назад +2

    Allah Akbar

  • @rahilyas254
    @rahilyas254 6 месяцев назад +1

    MashaAllah ❤

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 11 месяцев назад +1

    Jazakumllah!

  • @ChidiAlly
    @ChidiAlly 11 месяцев назад +1

    nawapenda Sana walimu wangu kwajili ya alhh

  • @bausifarouk8761
    @bausifarouk8761 8 месяцев назад +1

    Tafadhali dr salim ngugi na mzee hasan na mzee Ali pls mukisoma aya ya quran umalize hiyo aya ndio mzuri

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 месяцев назад

      Inn shaa Allah shukuran kwa ukumbusho

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni 11 месяцев назад +2

    Assallam Allaikum in shaa Allah awape umri na Afya muzidi kueneza Qalima ya lailaha ila Allah Muhammad RasuluAllah 59:19

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 месяцев назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin

  • @sophiajuma6798
    @sophiajuma6798 11 месяцев назад +3

    Masha Allah ma Sheikh wetu Allah awape afya bora na umri muzidi kutuelimisha inshaallah japo kuwa ni muislam lkn kuna vitu vingi nimejifunza kupitia kwa hii channel na Allah atupe mwisho mwema

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 месяцев назад +1

      Aamiin amiin amiin sote tunakupenda kwa ajili ya Allah

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 11 месяцев назад +1

    😊 walykum salam warhamathulah wabarakatuh ❤

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 11 месяцев назад +2

    Yani kutumia maji nalo swali😂

  • @kadhyanassor5046
    @kadhyanassor5046 11 месяцев назад +1

    Sheikh Allah awabaridi...tunangoja sehemu ya 2 hapo ilipokatika inabidi waelewe maana huyu kafanya fitna hajui maandiko ..

  • @omweri05
    @omweri05 11 месяцев назад +1

    Jacaranda mtakuja lini

  • @Sal.0
    @Sal.0 11 месяцев назад +2

    Ai, hawa MaOmera, wame zoea kuji bandika MaJina za KIZUNGU kutoka Biblia, mpaka sasa, eti wana fikiri jina za WaZUNGU, ni 'Holy'…!
    Ujjinga tupu!
    Na huyu mwengine, ameji ita BOAZ, ku tokana na MZEE Boaz, aliye ZINI na akina RUTH na NAOMI!
    Ai, hii mtindo yakuji bandika MaJina za Biblia, ni mbaya!
    TabarakAllah Team!

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 11 месяцев назад

      Acha Uongo sema TU ukweli kama hivi Mohamed alioa mtoto wa miaka 6.Kisha akamuoa bibi ya mtoto wake wa Kambo.Hii hakuna mtu anaweza pinga

  • @RayyanZahour
    @RayyanZahour 11 месяцев назад +4

    Allah aipe nguvu juhudi zenu

  • @mohamedhaji2242
    @mohamedhaji2242 9 месяцев назад +1

    Maajabu wakenya wengi wakristo wanauliza kwanini waislamu wanatumia maji choo, na wazungu wengi majuu wamejanjaruka na kutumia maji choo siku hizi. Wanaita bidet.

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 11 месяцев назад +2

    Yani katika maswli nisiyo yapenda ndo hilo, then hawana hata aibu kuuliza, yani mijitu inanuka balaa.

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 11 месяцев назад +1

    Hiyo Aya ya mtu wamwisho nituhuma juu Yao makafiri wanodhania kuwa niborankumuabudu mwana kuliko M.mungu. wafafanulie uzuri na waanzie juu kabla ya hiyo Aya.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 месяцев назад

      Ilikuwa tuwafunze ila walileta kelele

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 11 месяцев назад +1

    mda mwingine hoja za hawa majirani zetu zinabore sana,Bibilia yenyewe inasema Paulo ndo kaanzisha Ukristo Antioch,Turkey alafu mtu anakuja kusema Adama na Hawa walikua Wakristo,huaga nachoka sana,hii kazi ni ngumu sana kufundisha mtu ambae hajui na anajifanya anajua

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 11 месяцев назад +2

    Waalleykum Salam warakhmatu-LLAH wabarakathu. Wa'ALLAHY hawa jamaa hata akili k😂😂😂. kutumia maji ni swali kweli❓

  • @bausifarouk1798
    @bausifarouk1798 6 месяцев назад +1

    In Islam kuna Nabil

  • @sheemaryam
    @sheemaryam 11 месяцев назад +1

    Hawa wakiitwa mapema hawakuju kuuliza ,masaa ikiisha ndio wanajitokeza

  • @khalidhussein9803
    @khalidhussein9803 11 месяцев назад +1

    Sheikh asalam alykoum kuna part ya pili ya video hii?

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 месяцев назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @NtahoZuberi
    @NtahoZuberi 11 месяцев назад +1

    Sheikh asalam alaykum waulize wagalatia yesu alipo zikwa wanawake walishirikishwa ilikuwa wapi

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 11 месяцев назад +1

    Swali lake limenichekesha eti NYINYI WAISLAMU MNAAMINI KUNA MBINGU?😂😂😂🤣

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 4 месяца назад

      Nahali.tunaziona.anaulizwa.unajuwa.mzoga.yeye.anasepaMfupa.da.🤣🤣🤣🤣

  • @annjames254official3
    @annjames254official3 11 месяцев назад

    Mimi ni mkristo Nimekuwa nikiwa fuata na ninatamani uisilamu hapo kwa shahada kuamini kuwa Mohammad ni nabii wa mungu ,,nilipo fanya uchunguzi wangu niliona huyu Mohammad ako na kasoro mingi sana mbona ni mwamini

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 11 месяцев назад

      Anakasoro nyingi kukushinda wewe?

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 месяцев назад +1

      Kasoro kama gani??? Leta hoja zako

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 11 месяцев назад

      Na wew uko na kasoro ngapi unaingia choo ukitoka na uchafu unanuka unaogopa maji😂😂😂

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 11 месяцев назад

      @@hanifa9153
      🤣🤣🤣🤣wakristo wahoga wa maji hawa hatari 😂😂😂🤣
      Na wanaume wa kikristo wanakojoa wakiwa wamesimama wanarusha wakitoka uko chooni kote kunanuka mkojo

    • @Nora-v1m3p
      @Nora-v1m3p 10 месяцев назад +2

      Sema kasoro zake Kwasababu yeye n mfano kw waislam kabla kupewa utume aliitw mwaminifu mkweli radhi za Allah zimfikie nampenda mia kw mia

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 месяца назад

    Ila propaganda za kenya na za huku tz juu ya uislam zinatofautiana sana .... kuua mtu na kupewa wanawake tena 😅😅😅😅

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 месяца назад

      Ndio wanaelezwa na wachungaji wao hivyo

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 11 месяцев назад +2

    Allah Akbar

  • @rahilyas254
    @rahilyas254 6 месяцев назад +1

    MashaAllah ❤