Ama kweli ubaya hauvishwi miwani jamn na usolijua ni sawa na usiku wa giza. Haya nani angejua kama ubaya wote walomtendea Sima kam ndie mtoto wao wadamu😔.
Ila ukumbuke kama wamekuwa wake wawili na usultani ni wa mwanae kama angefanya ivyo nawatoto wa mkee mwenza wangepiganiya usultani wa baba yao ila apo itakuwa kizazi tuu cha suma amefanya vizuri kuiteteya aki yake
❤❤jamani tupo pamoja Lucas asante kwa mwendelezo🙏🙏🙏
Umetisha sana lucas roma Ramon lumbas
Wau na asubuhi ili tupate kiamusha kinywa na furaha tukiwa kwarabu asante sana lucus lumbas nakupenda god bless you 🎉🎉🎉🎉❤❤
Woyooo😮Love lucas💋
Morning wadau asante kwasimuliz nzur🎉🎉🎉❤
Good morning baba your work is good every day may God richly bless you abundantly.
Maua yako kaka lucas 🥰🥰 mana unajua kutuamcha🎉🎉🎉
❤ morning Lucas.
Tumewahi Mmugu akupe umri mrefu lucas na ijumaa ya leo
Wow nmependa sana hii simuliz sana kaka Lukas kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Ni kweli kabisa simulizi zuri sana inafunza❤❤❤❤❤❤❤
Kumekucha Lucas Roma
Simulizi nzuri sana shukran kaka Lucas ❤❤❤❤
🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
❤❤❤❤❤jamani wanadam ss
Wakwanza ❤❤🎉🎉😂😢
Wakwaza leo
🎉🎉🎉🎉😢
Kituiko jamani 🎉🎉🎉❤❤❤❤
Nice simulizi kaka lukas
😅😅jamn mmeshaamka
Mm nilikuwa natamani riyna atimuliwe hapo ila yote tisa kumi tunashukuru kipenzi chetu Lucas na mtunzi pia be blessed too ❤️❤️
True dear simulizi nzuri sana
Amen
🎉🎉❤❤
😮♥️♥️♥️🥀🥀🥀🌹🌹🌹🔥🔥thanks Lucas for the breakfast 🙏
❤❤❤❤❤❤ toka RDC
Good morning everyone leo tumeletewa mapema❤❤❤❤❤❤
Amen 🙏 🙏
❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂amenyanyasika au umemnyanyasa wewe,chuki na hasira huishi kifuani mwa mpumbavu 😂😂😂😂😂😂
Ama kweli ubaya hauvishwi miwani jamn na usolijua ni sawa na usiku wa giza.
Haya nani angejua kama ubaya wote walomtendea Sima kam ndie mtoto wao wadamu😔.
Story inaenda haraka yaan matukio yanaenda ,
Chap😢
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Mbona kama movie ya j.j na sultana jamn
Hii story ni tamu sana bt mbona imeisha hivi?
Mh,jamani uovu una mwisho,tena mwisho mbaya,na wema unadumu duniani hata mbinguni
❤❤❤❤🎉
Simulizi hii Ni nzuri Ila mwisho wake sijaupenda kabisa😢hayikuwa namana Sima kulipiza kisasi kwa mumewe ilihali makosa yote alifanya mama yake mzazi
Ila ukumbuke kama wamekuwa wake wawili na usultani ni wa mwanae kama angefanya ivyo nawatoto wa mkee mwenza wangepiganiya usultani wa baba yao ila apo itakuwa kizazi tuu cha suma amefanya vizuri kuiteteya aki yake
😢😢😢🤔
🤣🎉
Bado tumelala😂
😂😂😂🎉
Ndio twaamka sai ss😅😅😅😅
Wote wabaya hata mama moza kwasababu yeye ndo alimunyonyesha sima kwanini asimtetee ili Hali anamjua
Kweli kabisa
Ila na mama aliyemunyonyesha sima anaroho mbaya mtoto uliyemunyonyesha niwako kabisa
❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤