Mbona Hadithi sahihi za bukhar na Muslim zilizothibitisha Kunyamyua mikono na kufunga mikomo wakati wa Takbiiira Al Ihraam HUJAZITAJA KAMA WEWE NI MUADILIFU
Katika Sahihi Bukhari hakuna hadithi ya inayothibitisha kufunga mikono isipokua moja tu nayo imesema “walikua watu wakiamrishwa kuweka wa kulia juu ya wa kushoto katika sala” nani akiamrisha? wapi wakiamrishwa? Na hadithi hiyo imepita kwa Imam Malik bin Anas na yeye hakuifanyia kazi. Ama katika Sahihi utazipata nazo ni dhaifu kiuhakika hazisimami katika mizani ya kutegemewa kidalili.
Lakini nina huzuni sana kuona hamuenezi dawa yenu kama wengine na hii itapelekea kutokujulikana na ikiwa hamjulikani mtakosa watu na mkikosa watu mtakosa nguvu
Kunyanyua mikono na kuifunga kulianza Shaam zama za Utawala wa Bani Umayyah na lengo lao ni kuwabagua Raia nani anayekubaliana na siasa zao na nani aliyebakia katika asili ambae ni mpinzani wao.
Mashaallah
Mko vizuri mtu akikusikilizeni Kwa umakini lakn tatizo mumelala sana hemu amkeni Makafiri hawalali maana wameingia mpaka kwa waislamu
Naam sheikh wetu
Jazaka llah khair
Tupe elimu
Mbona Hadithi sahihi za bukhar na Muslim zilizothibitisha Kunyamyua mikono na kufunga mikomo wakati wa Takbiiira Al Ihraam HUJAZITAJA KAMA WEWE NI MUADILIFU
Katika Sahihi Bukhari hakuna hadithi ya inayothibitisha kufunga mikono isipokua moja tu nayo imesema “walikua watu wakiamrishwa kuweka wa kulia juu ya wa kushoto katika sala” nani akiamrisha? wapi wakiamrishwa? Na hadithi hiyo imepita kwa Imam Malik bin Anas na yeye hakuifanyia kazi.
Ama katika Sahihi utazipata nazo ni dhaifu kiuhakika hazisimami katika mizani ya kutegemewa kidalili.
Nakuunga mkono kwahilo
Darsa kama hizi ni vyema zisomweshwe Sana ili jamii nipate elimu na ufafanuzi mkubwa katka masiala Kam haya
Nimekukubali shk anayetaka huo ndio ukweli
Kuna hitajika juhudi kubwa kueneza na kufundisha ukweli kwenye umma uliovurugwa na wanazuoni waovu wafuasi wa shetani na mayahudi.
Lakini nina huzuni sana kuona hamuenezi dawa yenu kama wengine na hii itapelekea kutokujulikana na ikiwa hamjulikani mtakosa watu na mkikosa watu mtakosa nguvu
Je hii kufunga mikono imeanzia wapi?
Kunyanyua mikono na kuifunga kulianza Shaam zama za Utawala wa Bani Umayyah na lengo lao ni kuwabagua Raia nani anayekubaliana na siasa zao na nani aliyebakia katika asili ambae ni mpinzani wao.