Abydad: ALIKIBA hakuwahi kunilipa na alichukia mimi kufanya kazi na Diamond

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 162

  • @maundumwingizi8027
    @maundumwingizi8027 6 лет назад +4

    Nimesikiliza interview kwa utulivu, nimegundua AbyDadi umejawa chuki na uzushi. Maelezo yako ni ya kupika ndo maana hayafiki mwisho. Nitafafanua:
    1. Umesema tangu ulipozungumza na Kiba kuhusu mrabaha, hapo nfo ikawa mwisho wenu. Kwahiyo hamkuingia mktaba/makubaliano hayo mapya. Na tangu hapo hamkuwasiliana tena. Sasa iweje tena mwishoni unasema alikuMind kufanya kazi na WCB ilhali tayari alishaStop kufanya kazi nawe baada ya kushindana kwenye mirabaha? Na bado hayo maelezo yenyewe hakuyasema Kiba (kwa mujibu wako), umeambiwa na mtu mwingine. Sasa hizo hearsay za kishilawadu ndo uzitumie kama reference kuhitimisha hisia zako kuwa unachukiwa? Acha utoto.
    2. Mwenyewe umekiri kwamba, Kiba alikuwa analipia studio session, hivyo hamkudaiana. Sasa kwanini kushindwa kwake kuingia makubaliano nawe kuhusu issue ya mirahaba ndo iwe nongwa? Kushindwana si ugomvi, hata huyo Hammy B uliyemtaja, alishindwana na akina AY baada ya kupandisha bei yake ya kurekodi. Na leo wako pamoja tena.
    3. Kama kweli issue ni mirabaha, kwanini ulipohamia kufanya kazi na akina Diamond hukusimamia maamuzi yako ya kutaka mirahaba? Kwahiyo mirahaba ni kwa Kiba tu? Kama umeshindwa kusimamia hiyo unayoita "misimamo yako ya Kibiashara" vipi umeshindwa leo kuendelea kufanya hivyo kwa wote?

  • @geofreybarama4000
    @geofreybarama4000 6 лет назад

    Nimempenda sana abidady anaongea kwa busara sana inshala Mwenye mungu akuongezee zaidi ktk Kazi tamtafuta one day..

  • @badboy2577
    @badboy2577 6 лет назад +3

    Dizzim online ni team Wcb hawa twawajua tangia wanaanza.Aby Dady aliongea hizi issue kitambo sana ila hawa wanarudisha tena hizi interview ili atangeneze kiki.Kwn hamwezi kuongea issues zengine bila kuharibia mtu?Acheni kutafuta kiki

  • @JIMBO_MEDIA
    @JIMBO_MEDIA 6 лет назад +4

    Alikiba yuko vizuri... turudi nyuma tuangalie history ya Diamond ... alianza kwa bob junior.... akamuepa na hadi sasa hajafanya nae ngoma. ... akaenda clever touch... akasepa na hadi sasa hajafanya nae ngoma.... akaenda Maco chali.... na hadi sasa hajarudi kwake kufanya nae ngoma... so tunaona picha la wazi kwamba Alikiba nimtu poa sana ila namuavoid diamond kwa tabia zake mbovu. Wale waliomtoa Diamond hakuna anayemfanyia fadhila hata mmoja. Leo vipi uishi kwa uzuri na mtu kama huyu. Abidadi na hii chanel yenu wote wcb. So endeleeni kumsimanga king... hamumsaidii kitu

    • @hanckidot1580
      @hanckidot1580 6 лет назад

      we jamaa ni bwege Sana

    • @madeoff9981
      @madeoff9981 6 лет назад

      Mzee km hujui tyu clever touch ni mwalimu wa laizer wasafi na maco chalii nae yupo palepale wasafi wanaendelea kupiga ngoma ukiongea angalia unaongea ili iweje acha ubwege ww

  • @leonardmamboleo4220
    @leonardmamboleo4220 6 лет назад +8

    Umeongea point sana

  • @allykhatibu9151
    @allykhatibu9151 6 лет назад

    naipenda sn iyena...

  • @moshibakari8602
    @moshibakari8602 6 лет назад

    Atasubiri sana kwa mond

  • @jamalselemani9931
    @jamalselemani9931 6 лет назад

    me mshabiki wa mondi na dizzm lakini kiukweli hii interview sjaipenda,inamuumiza Ali kiba,haimuongelei vizuri.sio poa sky

  • @khalidoonmzakiru2042
    @khalidoonmzakiru2042 6 лет назад +6

    Mbona kaeleza uzur yeye anaangalia kazi wote wakitaka kazi kwake Mbona poa tu tuacheni uchochezi

  • @ludwickernest3588
    @ludwickernest3588 6 лет назад +2

    Abydad jiamini mzee mwaka wa pili huu unaongelea habari hzo hzo watu washasitisha kufanya kazi na wwe kwa kuwa haukuwa mkataba bhaac kausha fanya kazi Na wengine

  • @vivianminja6332
    @vivianminja6332 6 лет назад +2

    Ooooh kumbe alikiba anapenda burebure alipoambiwa achangie kidogo akala kona duh aibu sana

  • @petermim
    @petermim 6 лет назад +1

    piga kazi abidady

  • @davidtimothy5580
    @davidtimothy5580 6 лет назад +1

    so i do the marketing tule sote na ni brand yangu ...thought studio session hukulipwa .. so isipo hit utanilipa back? abby think unajiharibiwa brand yako..thats a lame excuse

  • @jumajasjas2925
    @jumajasjas2925 6 лет назад

    duh huyu jamaa ana ngoma kali kuliko maproducer wwngi ambao wanaoneka wako juu... jamaa anajua asee

  • @oscarjohn5039
    @oscarjohn5039 6 лет назад

    nice show 👏👏

  • @selfmade2404
    @selfmade2404 6 лет назад +1

    Trust issues mzee hata mimi ningekua kiba ningekusepa...

  • @hajimjaja1163
    @hajimjaja1163 6 лет назад +1

    Atakuwa msambaa huyu, hajui nini thamani ya utu, namuona hajielewi kabisa, lengo lake tangu akiwa chini ni kufanya kazi na Diamond

  • @bulabilliontz
    @bulabilliontz 6 лет назад

    *ALIKIBA anawanyima usingizi mpaka WCB maana interview nzima ni Ali Ali Ali Ali Ali Ali Ali Ali Ali hebu mumuache yeye mbona hanashobo za kuwazungumzia*

  • @ivankisusange2968
    @ivankisusange2968 6 лет назад +1

    SINA TEAM... ILA ALI KIBA NI LAAAZIMA ABADILIKE NA AWACHE MAMBO YA WIVU. KUWA NA WIVU KAMWEE HUWEZI PATA MAFANIKIO. SASA PRODUZA AFANYE KAZI ZAKE TU??? KM NDO IVO AFUNGUE STUDIO YAKE ILI AWE PRODUZA WAKEEE TUU..

    • @JIMBO_MEDIA
      @JIMBO_MEDIA 6 лет назад

      Ivan Kisusange Alikiba yuko vizuri... turudi nyuma tuangalie history ya Diamond ... alianza kwa bob junior.... akamuepa na hadi sasa hajafanya nae ngoma. ... akaenda clever touch... akasepa na hadi sasa hajafanya nae ngoma.... akaenda Maco chali.... na hadi sasa hajarudi kwake kufanya nae ngoma... so tunaona picha la wazi kwamba Alikiba nimtu poa sana ila namuavoid diamond kwa tabia zake mbovu. Wale waliomtoa Diamond hakuna anayemfanyia fadhila hata mmoja. Leo vipi uishi kwa uzuri na mtu kama huyu. Abidadi na hii chanel yenu wote wcb. So endeleeni kumsimanga king... hamumsaidii kitu

  • @davidmuna2711
    @davidmuna2711 6 лет назад

    Hakuna Professionalism hapa Bw. Sky ni umbea tu ............ u need to change huu upuuzi !

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 6 лет назад +1

    Wale tulibahatika kwenda shule
    Tunaelewa saana
    Shule muhimu

  • @jedidahorondo8092
    @jedidahorondo8092 6 лет назад +1

    Tangu uwache kufanya kazi na AllyKiba sikuizi sikuski

  • @MrAbudhari
    @MrAbudhari 6 лет назад +1

    Unajua nn bwege 2 hawezi kuwa sala tano maana mnafki huyo maana mtu mwenyewe sala tano hasemi uongo na unafki huyo mtoto wakiume unakuwa km mwanamke mkee bwana siku zote mbn hakusema ila hio sio mara ya kwanza kufnya interview kumbe msengeke kwl

  • @michaelsamson4784
    @michaelsamson4784 6 лет назад

    Neno moja kwenu, acheni unafki, unafki mbaya sana.

  • @rocktv6197
    @rocktv6197 6 лет назад

    media yao hii kwa ajili ya music tu

  • @omboiobed_scar
    @omboiobed_scar 6 лет назад

    interviuw nyngne bn nusu SAA nzima mnamuongelea MTU dadeqqq aiseeee

  • @ProCy-lz4xt
    @ProCy-lz4xt 6 лет назад +4

    Sasa interview nzima ni Alikiba tu? Mtangazaji mwenyewe team mond anahuliza maswali yakutaka diamond asifiwe, uyo abidady fala tu, ni mtu mnafki sana huyo idiot mxxxxiewwww

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 6 лет назад

    Abby dad moto saana

  • @amhustlesamhustles7694
    @amhustlesamhustles7694 6 лет назад +3

    sasa mnajikoroga mbona Mara sababu ni pesa Mara sababu ni diamond duh

  • @omboiobed_scar
    @omboiobed_scar 6 лет назад

    mamaeee

  • @worldstartz
    @worldstartz 6 лет назад

    Mi nilijua ajalipwa kumbe yeye anaongelea right za song

  • @ahmedabuu7616
    @ahmedabuu7616 6 лет назад +6

    Na nyimbo za alikiba ndio zmekutoa ww bwege

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 6 лет назад

      Ahmed Abuu kama unahitaji kuwaona wanawake wakicheza wakiwa utupu bonyeza picha hii yangu kushoto kwako kisha bonyeza neno subscribe ili uwe wa kwanza kuwaona

    • @bongoloverz348
      @bongoloverz348 6 лет назад

      Ahmed Abuu kokoro ya mavoko nq iyena iyena kwenye album a boy from tandale. No reserch no right to speak

  • @chicharitoronaldo5950
    @chicharitoronaldo5950 6 лет назад +11

    Kiba hajiamini Anaposikia jina la diamond pumzi zinampanda mavi kitambarani!!!Platnumz ataongoza miaka yote huwezi mfikiaa...inaonesha jinsi gani Mondi anakunyima usingizi.

    • @tinivanny7562
      @tinivanny7562 6 лет назад

      Chicharito Ronaldo Mhn tynatakiwa tuwaombee waache wamrudie Mungu wao.mana ni upuuzi huu wanaoufanya na mnachowasifia nacho basi ndicho watakacholipwa kwacho tu

    • @chicharitoronaldo5950
      @chicharitoronaldo5950 6 лет назад

      Bi bi kweli kabisa nakuunga mkono ila kiba inaonekana kabisa hajiamini na ana panik wakati kila mtu ana fanbase yake....

    • @JIMBO_MEDIA
      @JIMBO_MEDIA 6 лет назад +1

      Chicharito Ronaldo kiba yuko vizuri... turudi nyuma tuangalie history ya Diamond ... alianza kwa bob junior.... akamuepa na hadi sasa hajafanya nae ngoma. ... akaenda clever touch... akasepa na hadi sasa hajafanya nae ngoma.... akaenda Maco chali.... na hadi sasa hajarudi kwake kufanya nae ngoma... so tunaona picha la wazi kwamba Alikiba nimtu poa sana ila namuavoid diamond kwa tabia zake mbovu. Wale waliomtoa Diamond hakuna anayemfanyia fadhila hata mmoja. Leo vipi uishi kwa uzuri na mtu kama huyu. Abidadi na hii chanel yenu wote wcb. So endeleeni kumsimanga king... hamumsaidii kitu

    • @chicharitoronaldo5950
      @chicharitoronaldo5950 6 лет назад

      buj moh sasa kwani ni lazima ukifanya nyimbo kwa producer urudi tena kufanya wimbo naye??kwani walisaini mkataba??mondi alizunguka kwa hao wote kutafuta flavour tofauti..kiba ndio ni mbinafsi na amezidiwa ujanja na mondi kubali ukatae!!!

    • @JIMBO_MEDIA
      @JIMBO_MEDIA 6 лет назад +1

      Chicharito Ronaldo uliskia kiba amebaki kwa producer mmoja. In fact mtu anatafuta flavor tofauti ni kiba koz hajaeka producer mmoja ... mara manwater... mara abidady... mara bob junior... alikuwa baucha records... sharobaro records... kwanza naanzaje kumfananisha Mkongwe wa Game Alikiba na mtoto Diamond.. please let's not bet on this. Ali ni king ... simba wote uwa wako chini ya mfalme

  • @jayelias1654
    @jayelias1654 6 лет назад

    Sa ww abbydaddy Adi leo unamuongelea #Kiba

  • @raygunmaterial1344
    @raygunmaterial1344 6 лет назад +10

    Ali yupo sawa kustop kufanya kazi na ww kwaajili ya WCB cuz huwez fanya kazi na mtu ambaye ana ukaribu na Adui zake, lazima utawapa pasword, hata me nasepa, don't trust anybody mzee, unaweza ukapewa kifurushi uwoneshe Silaha zake kwa maadui

    • @husseinc
      @husseinc 6 лет назад

      reagan george duh hahahaha kba ana nn mpaka abi achukuwe kwake apeleke wcb sema tu lina rombaya chuki abidab ana hak ya kufanya kz na msanii yyte

    • @abdullay3166
      @abdullay3166 6 лет назад +1

      Waliokua kua wanamsurport mond atoke kimuziki hakuna hata mmoja anaesimama sasa ispokuwa kiba na Mr blue wakajitenga na mapema, mavoko akakubali kua chini yake ndio amesalimika

    • @kagileman5798
      @kagileman5798 6 лет назад

      reagan george Acha ubwege uyu hakuajiliwa na kiba Uyu jamaa anatafuta hela Mbona Ayo raiza kule Wasafi Record wanafanya kaz watu wowote na Ata kiba akiacha loo yake mbaya Akienda Anafanya tu kaz Tatizo lake Loo mbaya tu

    • @isackbaton9759
      @isackbaton9759 6 лет назад

      Kiba ana tabia za kishoga et mtu ukimchukia ww unataka na wengine wamchukie

    • @kagileman5798
      @kagileman5798 6 лет назад

      reagan george Isack umeona e Sasa si kila mtu ana loho km yake kuma yule

  • @mwambarockmwambarock739
    @mwambarockmwambarock739 6 лет назад

    alinipa mpunga nikapandwa mizuka tukafanyakazi 😀😀😀wcb siyo...... nyambafu

  • @mudymudysinga6908
    @mudymudysinga6908 6 лет назад

    Unazingua ww allikiba unajielewa na ni bland unafikili atavumilia usenge na usnitch wako yupo sawa

  • @frankchibago3206
    @frankchibago3206 6 лет назад

    King atabaki kua king2 acha kuza sula kwa kuchafua jina la kibenzi chawatu boya wee

  • @Noname-gg6bx
    @Noname-gg6bx 6 лет назад +7

    Huyu abbydad ni yuda

  • @moshibakari8602
    @moshibakari8602 6 лет назад

    Lusekelo hajakosea kusema yale maneno kiba anataka kufanikiwa yy tu

  • @mussakizingiti3552
    @mussakizingiti3552 6 лет назад +2

    Eti bwana chibu yali hili lijamaa banaa kama lichoko vilee 😂😂😂
    wewe ulivujisha nyimbo ya watu ulitegemea nn?

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 6 лет назад

      Mussa Kizingiti kama unahitaji kuwaona wanawake wakicheza wakiwa utupu bonyeza picha hii yangu kushoto kwako kisha bonyeza neno subscribe ili uwe wa kwanza kuwaona

  • @ramadhaniathumanimlenge6641
    @ramadhaniathumanimlenge6641 6 лет назад +6

    Mondi ni noumer

  • @zenahnyale3551
    @zenahnyale3551 6 лет назад +1

    I can see how team pple react for dis hahahaha

  • @uberdar7258
    @uberdar7258 6 лет назад

    dogo haujitambui na ndo umeshapotea#kingkiba

  • @yusufalmamari4236
    @yusufalmamari4236 6 лет назад

    Diamond platinum atazid kubarikiwa

  • @edwinhenry3512
    @edwinhenry3512 6 лет назад

    jamaa choko sana,

  • @ahmedabuu7616
    @ahmedabuu7616 6 лет назад +2

    Mbna hajaja tena kurekodi hyo mondi ,n ww umepotea manina

  • @franckphocaskabuhaya7316
    @franckphocaskabuhaya7316 6 лет назад

    Mme potea mjue kiba ndo kila kitu sasa kama mnataka kumuaibisha kiba mme kwama shauli yenu

  • @kagileman5798
    @kagileman5798 6 лет назад +4

    Aby piga kaz Achana uyo kibamia Inamsumbua loo mbaya

  • @Amissimubelel
    @Amissimubelel 6 лет назад +1

    Alikiba anaepukakana na matatizo ataki mazoweya

  • @mohammedrashid7735
    @mohammedrashid7735 6 лет назад

    hukupata pesa kwa Ali Kiba ila amekupa chanel amekufanya ujulikane mpaka hao WCB wakakuona

  • @suxiezongi7918
    @suxiezongi7918 6 лет назад

    huyu Jamaa mkali sana kwenye

  • @raljabir5550
    @raljabir5550 6 лет назад

    hii interview ina mhusu alikiba

  • @justinkibonge8426
    @justinkibonge8426 5 лет назад

    Nyinyi nasammsago nawengne baadh mnamkingia mond

  • @idayakey6886
    @idayakey6886 6 лет назад +14

    dizzm online yy team Moodi ss sikiliza acha kufuatilia king mmelipwa bey gani ili muchafue ww aujuwhi kua abidadi ni msaliti vp laiza bona afayi kazi na alikiba wagempa sumu watiliye mfalume king kiba angempa abidadi ww ni mnafiki tena aufai mjiga ww kabali na alikiba mo fayaaaa 😂 😂 😂 😂 😂 diamond amekutumia amekutumia siku moja akakushiti msaliti mkubwa ww kabali king yeye akuitaji tena kafaye kazi na wasafi

    • @vivianminja6332
      @vivianminja6332 6 лет назад +4

      Idaya Key na wewe umelipwa sh ngap

    • @karimhemed9261
      @karimhemed9261 6 лет назад +1

      Jifunze Kuandika Kwanza 😞

    • @vivianminja6332
      @vivianminja6332 6 лет назад +2

      Idaya Key ya utumbo km ulioandika wew

    • @ziidyabdul1011
      @ziidyabdul1011 6 лет назад +3

      Ww kilaza abbyDad sio producer wa allykiba nini producer anaejitegemea Vipi umpangie asifanye kazi na Diamond lakini Laizar ni producer wa WcbOfficial sio unaongea utoko wako

    • @yasmeenmlandula9185
      @yasmeenmlandula9185 6 лет назад +1

      Sio timu mond channel ni ya mondi kabsa Broo nahakuna aliyechafuliwa hapo

  • @sadickjuma5762
    @sadickjuma5762 6 лет назад

    Sasa kama halipwi aseme kalipwa?

  • @allykhatibu9151
    @allykhatibu9151 6 лет назад

    kiba mbinafsi sn...! mond is up

  • @idayakey6886
    @idayakey6886 6 лет назад +4

    dizzm domana ata chaneli yenu YA Tv mnaweka sana nyibo za wasafi lakini mofayaa ata bakikua juuuu

  • @michaelplatnumz3141
    @michaelplatnumz3141 6 лет назад

    simbaaaaaaaaaa 2wambie 2mewasha

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 6 лет назад +3

    Abbydady mbona kitambo uliongelea maada hii miaka miwili iliyopota bado naleo unaiwaza acha ushamba fanya kazi acha mbwembwe

    • @maryamdounga2290
      @maryamdounga2290 6 лет назад

      Chidy Bwax tatizo kafulia😂😂anatafuta pakihemea

    • @JIMBO_MEDIA
      @JIMBO_MEDIA 6 лет назад

      😂😂😂😂😂

  • @vivianminja6332
    @vivianminja6332 6 лет назад +1

    Mond 💥💥🔥🔥🔥

  • @ihlg4738
    @ihlg4738 6 лет назад +1

    Uyu Sky Bana Awezagi Kufanya Kitu Bila Kumuhusisha Ali, Interview Nzima Alikiba Tu In Negative Way, Mavi Kweli.

  • @mwanawataifa4889
    @mwanawataifa4889 6 лет назад

    Media zinapromot beef wanadai zinakuza mziki

  • @jamesfaustine4417
    @jamesfaustine4417 6 лет назад +4

    Una lolote ww acha king aitwe king

  • @saidiabaheya6801
    @saidiabaheya6801 6 лет назад +4

    Marah paah

  • @HakimAli-dv5zv
    @HakimAli-dv5zv 6 лет назад +3

    wasema swala tano kisha umetoboa maskio

  • @amhustlesamhustles7694
    @amhustlesamhustles7694 6 лет назад +6

    acheni kuchafua jina LA KING KIBA kwakuwa hats hiyo RUclips Chanel ni yadiamond mnayo muongelea KING so meamua kumchafua

  • @adelndayizeye3566
    @adelndayizeye3566 6 лет назад +2

    nimekuelewa sana kabisa

  • @isackbaton9759
    @isackbaton9759 6 лет назад +4

    Mondii simbaaaa kill dem all mpaka walie meeeeeeee

  • @chancegtallalam6906
    @chancegtallalam6906 6 лет назад +1

    Yaaan ww muongoza kipind una boa kinyama aiseee una maswali ya uchochez na jamaa naye alivokuwa boya hajui kujieleza mwixho wa cku anajaa kwenye kumi nanane

  • @SNOBPHOTOGRAPHER
    @SNOBPHOTOGRAPHER 6 лет назад

    OK

  • @hamismalimungu9959
    @hamismalimungu9959 6 лет назад

    makuma wote

  • @daudmbwahali9647
    @daudmbwahali9647 6 лет назад +4

    the interview is like boring coz nothing u discuss dan bif

  • @abdibakari641
    @abdibakari641 6 лет назад

    ayatul munafik thalatha... #fitna na uchonganishi.... Usijenge ukuta baina ya watu. ... Ungejaribu kujenga daraja ningekuona Muislam kamili ndgu Abidady.. Rekabisha mapema..

  • @foxstreet8458
    @foxstreet8458 6 лет назад +2

    Kiba Ana wivu sana yani mshikaji uyu cjui yupo vp yani dah

    • @JIMBO_MEDIA
      @JIMBO_MEDIA 6 лет назад

      Fox Street Alikiba yuko vizuri... turudi nyuma tuangalie history ya Diamond ... alianza kwa bob junior.... akamuepa na hadi sasa hajafanya nae ngoma. ... akaenda clever touch... akasepa na hadi sasa hajafanya nae ngoma.... akaenda Maco chali.... na hadi sasa hajarudi kwake kufanya nae ngoma... so tunaona picha la wazi kwamba Alikiba nimtu poa sana ila namuavoid diamond kwa tabia zake mbovu. Wale waliomtoa Diamond hakuna anayemfanyia fadhila hata mmoja. Leo vipi uishi kwa uzuri na mtu kama huyu. Abidadi na hii chanel yenu wote wcb. So endeleeni kumsimanga king... hamumsaidii kitu

  • @stevenpeter2260
    @stevenpeter2260 6 лет назад +2

    Presenter hauitendei haki kazi yako hata kidogo.
    Nilisikiliza interview ya LilOmmy na Nandy hakuwa na swali lolote alilomuuliza Nandy baya. Jaribuni kuiga at least.

    • @maximomoraty7866
      @maximomoraty7866 6 лет назад

      Steven Peter acha undiga ww anahaki ya kuuliza

    • @JIMBO_MEDIA
      @JIMBO_MEDIA 6 лет назад

      Maximo Moraty lil ommy na millard Ayo ndio the best online tv. Hawa wengine vibaraka tu

  • @allyking324
    @allyking324 6 лет назад

    Ali kiba nikm pia nimchawi

  • @victortemba8202
    @victortemba8202 6 лет назад +2

    Swala tano kavaa hereni duuuuuuuuuuh

  • @husseinc
    @husseinc 6 лет назад +15

    Kba Ndio mana afanikiwi roho mbaya imemjaa

    • @calvinruben3926
      @calvinruben3926 6 лет назад

      Hussein C Alaaaaaaaaaa kumbe hajafanikiiiiiwa

    • @husseinc
      @husseinc 6 лет назад +1

      Calvin Ruben Ajilekebishe tabia aish na mwnzake vzr

    • @godfreyflorence4224
      @godfreyflorence4224 6 лет назад

      hujaelewa ebuckilza kwa mara ya 100

    • @calvinruben3926
      @calvinruben3926 6 лет назад

      Hussein C je unazungumziaje swala la Diamond na Bobjunior? Tupe mawazo yako mtakatifu

    • @husseinc
      @husseinc 6 лет назад +1

      Calvin Ruben swala la bob na diamond linafana na hili? au ulikuwa unamaansha nn eleza vzur

  • @jayelias1654
    @jayelias1654 6 лет назад

    Afu mtangzaj kama #shoga vile

  • @simonbukuru1201
    @simonbukuru1201 6 лет назад +8

    jama anatama aliona mod ni bora kuliko alikiba sasa mod alikufikisha wap mbona naye alivyo ona kiba kahama naye pia akasepa huna jpya ww kafe mbele

    • @isackbaton9759
      @isackbaton9759 6 лет назад +1

      Acha unafki mtoto wa kiume Kama shoga akat kwenye album ya mond kna ngoma zimetengenezwa na aby dad

    • @egonkasiano7822
      @egonkasiano7822 6 лет назад +2

      Hiv umejifikilia nin wey huyo aby ni prdc ana haki ya kufany kazi na msani yeyote

    • @mjanthony4864
      @mjanthony4864 6 лет назад

      Tuache roho mbaya... Kiba ana gubu sanaaaa. Sasa mtu ukifanya Kazi na Kiba ndo usifanye na Mondi.. Au wote wanao fanya kazi na Kiba Mondi ndo awachukieee... Roho mbaya hazijengi

    • @chicharitoronaldo5950
      @chicharitoronaldo5950 6 лет назад

      wacha ujinga ww elewa mada kwanza sio unakurupuka kama matako...abidady ana fanya kazi na watu wote hakua official producer wa kiba kama ilivyo lizer kwa mondi....na ukimsikiliza kwa vzuri kiba hakutaka mambo ya kumlipa mirabaha ndio walipotafautiana na abydady....kazi zote alizomfanyia kiba alifanya bure hata senti kumi hakupewa....kiba inaonesha ni jinsi gani mondi anamnyima usingizi...na atabaki nyuma siku zote SIMBA NA MOJA UPENDE USIPENDE!!!

    • @ziidyabdul1011
      @ziidyabdul1011 6 лет назад

      Simon Bukuru Kwani anameremeta ulifanya ww? Kosa langu ulifanya ww au mnaongea vitu msivyovijia

  • @vivianminja6332
    @vivianminja6332 6 лет назад +2

    Ali atakufa masikini kwasababu ya roho mbaaya

    • @JIMBO_MEDIA
      @JIMBO_MEDIA 6 лет назад

      Vivian Minja Jiandae kunywa mo faya wewe na wcb. Shenztype

  • @saidiabaheya6801
    @saidiabaheya6801 6 лет назад +5

    Mtagazaji anachochea bifu nini

  • @juriasangelo2110
    @juriasangelo2110 6 лет назад

    Kiba mshambatuu

    • @JIMBO_MEDIA
      @JIMBO_MEDIA 6 лет назад

      Julius Angelo Alikiba yuko vizuri... turudi nyuma tuangalie history ya Diamond ... alianza kwa bob junior.... akamuepa na hadi sasa hajafanya nae ngoma. ... akaenda clever touch... akasepa na hadi sasa hajafanya nae ngoma.... akaenda Maco chali.... na hadi sasa hajarudi kwake kufanya nae ngoma... so tunaona picha la wazi kwamba Alikiba nimtu poa sana ila namuavoid diamond kwa tabia zake mbovu. Wale waliomtoa Diamond hakuna anayemfanyia fadhila hata mmoja. Leo vipi uishi kwa uzuri na mtu kama huyu. Abidadi na hii chanel yenu wote wcb. So endeleeni kumsimanga king... hamumsaidii kitu

    • @juriasangelo2110
      @juriasangelo2110 6 лет назад

      buj moh roho haikuumi unaposkia kwamba alimpa ongera kwa kuoa akakausha kubali ukatae alikiba ana roho ya hivi....

  • @kirengemnandi
    @kirengemnandi 6 лет назад +6

    Unachochea bifu wewe

    • @kingkiwango1435
      @kingkiwango1435 6 лет назад

      Kirenge Mnandi yeye hajahtaj kua msir kasema kle klchopo kulko kusema ktu ambacho si cha uhalsia

  • @jumaboy6608
    @jumaboy6608 6 лет назад +3

    Ww huna maneno ya kuongea sio

  • @hamismalimungu9959
    @hamismalimungu9959 6 лет назад

    abydad fala ww

  • @abdallahumeta941
    @abdallahumeta941 6 лет назад

    hiki kipind hakina hata background presenter kapooza km nn

  • @abdullahrashid6297
    @abdullahrashid6297 6 лет назад +2

    Yuda wewe bwege tuu Shwain

    • @kingkiwango1435
      @kingkiwango1435 6 лет назад

      abdullah rashid not true at all jamaa anafanya kaz hvo hachagui mteja.... Uktaka kuflsika chagua wateja wakununua bdhaa zako...

  • @jumaboy6608
    @jumaboy6608 6 лет назад +3

    Ww fala hebu toa upuz wako

  • @athanastheonest6728
    @athanastheonest6728 6 лет назад +1

    Allikibakuli ni mshamba tu masikin jeuri