MAOMBI YA ASUBUHI ILI KUPATA MSAADA TOKA KWA BWANA - S1EP2
HTML-код
- Опубликовано: 11 фев 2025
- Kupitia MTIRIRIKO WA MAOMBI HAYA YA MADHABAHUNI, kila asubuhi; Mtumishi wa BWANA atakufundisha na kukusaidia katika mambo yafuatayo:
Je kuna faida gani katika kujikita kufanya maombi ya kung’ang’ania ili kuweza kupokea majibu?
Jinsi ya kufanya maombi kila siku asubuhi ili BWANA aweze kukujibu ipasavyo.
Maombi ya asubuhi yenye kukuwezesha katika kufungua malango ya hatima ya siku husika
Jinis ya kuomba ili kupokea majibu
Nguvu ya maombi ya asubuhi katika kukuletea Baraka za siku husika
Nguvu ya kupata kibali kupitia maombi ya kila siku
Jinsi ya kupokea msaada wa kiungu kupitia maombi ya asubuhi
Jinsi ya kujenga madhabahu ya maombi
Jinsi ya kujiungamanisha na malaika wa asubuhi kupitia madhabahu ya maombi