ALIYEKUWA RC SIMIYU MAHAKAMANI KATIKA HALI YA MAWAZO KESI INAYOMKABIDILI YA ULAWITI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 ноя 2024

Комментарии • 13

  • @alexnyigo8864
    @alexnyigo8864 7 часов назад

    Polesana kaka wamekuhalibia maisha yakoo

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 9 часов назад

    Mungu amemtendea haki

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 9 часов назад

    Tulijua tu. Wanahatakatie rufaa huyu kigogo maana ishahidi iko wazi.

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 11 часов назад

    Mapito tumrudie mungu

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange 8 часов назад

    Waendesha Mashtaka wa Serkali mnazingua mbona kesi ya Mh.P.Gekul kumzamisha chupa ya kinywaj kwenye makalio yule kija wa Babati,
    na pia ya Afande mbakaji aliyewatuma Askari kubaka mbona mlizuia haki kutendeka dhidi ya waathiliwa?Waendesha mashtaka wa serikali mna double standard,mnaupendeleo.

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 11 часов назад

    Watanzania tuweke umuhimu kwa mambo ya msingi na mambo binafsi hayana faida kwa taifa, tuombeni viongozi waanze uzalishaji wa sukari ya ndani na wakataze sukari ya nje maana inanyima ajira za ndugu zetu...

  • @rafikiwildlife4263
    @rafikiwildlife4263 10 часов назад

    Mathayo 11:28

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 10 часов назад

    Kala witi

  • @boniphacesululu5428
    @boniphacesululu5428 11 часов назад

    Atumie nguvu ya polis Sasa maana wakiwaga na vitengo wanatumia polis

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 7 часов назад

      Acha chuki na majungu masikini wewe ndiomaana ujasoma

    • @boniphacesululu5428
      @boniphacesululu5428 7 часов назад

      Ebu niambie Elimu yako nione kama unaweza nizid

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 5 часов назад

      @boniphacesululu5428 ujasoma kenge wewe ndiomaana unamawazo yakimasikini

  • @cincreareuben1444
    @cincreareuben1444 10 часов назад

    😂😂😂