Naibu Gavana wa Kakamenga amkashifu Gachagua kwa kuendeleza siasa za kikabila

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 227

  • @fredaseneka4980
    @fredaseneka4980 18 дней назад +5

    Very well articullated hon.Savula. Good advice

  • @marksebesto6750
    @marksebesto6750 18 дней назад +5

    Waluya hatuna viongozi.hawa viongozi wetu wa western hawana akili wakisiba wametosheka.wacha maneno ya u pastor.

  • @SANKALASOMO
    @SANKALASOMO 18 дней назад +17

    Gachagua yuko sawa

  • @pharesodhiambo8716
    @pharesodhiambo8716 18 дней назад +24

    I don't see something bad he said, let's unite rebuke the bad behavior of the government of abduction.

    • @dukakisomondi8552
      @dukakisomondi8552 18 дней назад +1

      That is not what he said. He said luhyas shud stop associating with luos. So its just about tribalism. BTW, you forgot luos were killed in 2023 by gachagua as acting president when ruto was outside the country? You also forget he specifically called for the discrimination of luos as nomn-shareholders?Luos ni kiherehere inwamaliza, always jining the fights of others, always desperate to please others at their own expense.

  • @getandaondieki5152
    @getandaondieki5152 18 дней назад +24

    Unakashifu ukabila kwa kutumia ukabila 😂😂🤣🤣🤣🤣

    • @MbulwaMunyao
      @MbulwaMunyao 18 дней назад +1

      Volume

    • @Arapkim
      @Arapkim 18 дней назад

      Haaa

    • @aludamartin9412
      @aludamartin9412 18 дней назад +1

      Umewai ona mluhya akienda Murima kuomba kura na ukabila? Huyo mtu abaki huko Mt. Kenya

    • @getandaondieki5152
      @getandaondieki5152 18 дней назад

      @aludamartin9412 ukabila ni ukabila... Uwe North, South, East or West

    • @heyzborn1719
      @heyzborn1719 16 дней назад

      I wonder if Savula is listening to himself...Very unfortunate indeed And a whole NTV crew using expensive resources just to report nonsense..

  • @micaangote2138
    @micaangote2138 18 дней назад +10

    NI UMPUMBAVU KUONA SAVULA KUKASHIFU UKABILA NA KUTAJA UKABILA..HIZO POSITION NI ZAKO NI BIBI YAKO SIO WANANCHI....SISI TUNATAKA MAENDELEO YENYE HATUONI...SHENZI SANA!!

  • @mikemogoi2
    @mikemogoi2 18 дней назад +5

    sasa huyu anasema Riggy G ni mkabila na yeye anataja waluhya kwa serikali. Kwani yeye ni DG wa waluhya pekee. Hakuna watu wengine uko Kakamega? This is a disgrace.

  • @gkgreg7445
    @gkgreg7445 14 дней назад +1

    These are the Kasongo advisors 😢

  • @TheKaysti
    @TheKaysti 18 дней назад +6

    Interesting Savuli is bad mouthing Riggy G on grounds of tribalism, yet he is driving his points from a tribal perspective!

  • @BonfaceOchieng-z7g
    @BonfaceOchieng-z7g 18 дней назад +3

    Wewe ni mjinga sana....hata ujielewi....ni misheveve imejaa kwa akili...shem on you....a whole leader

    • @JacobShikuku-v7n
      @JacobShikuku-v7n 15 дней назад +1

      Ukweli kabisa huyu mtu ukijuwa vile amenipo

  • @nelsonotenyo1934
    @nelsonotenyo1934 17 дней назад +1

    Kama hawa ndio viongozi tuko nao Western😢😢tumeisha

  • @allanmutiso2895
    @allanmutiso2895 16 дней назад +1

    Kwani waluhya ni watu kumi,ati watu kadhaa wako serikari,jinga sanaaa

  • @lindaembeywa8425
    @lindaembeywa8425 18 дней назад +6

    How do you criticise tribalism with tribalism

  • @morehsings
    @morehsings 18 дней назад +4

    Hao watu wote umetaja wanasaidia aje mkenya wa kawaida....ni familia zao zinasaidika what Riggy G said ni bara bara hospitali shule etc zijengwe ndiyo mwananchi asaidikie...

  • @Vicky_official..9745
    @Vicky_official..9745 18 дней назад +9

    This is insane how can you say you are in government yet the people a re suffering ....... Say its for your own benefit

    • @aludamartin9412
      @aludamartin9412 18 дней назад

      Usipofanya kazi na wewe ni mtu mkubwa unataka nani akulishe

    • @matthewogollah256
      @matthewogollah256 15 дней назад

      Even the past governments people have been suffering and its about you to make it better

  • @rodgersmuyechi5102
    @rodgersmuyechi5102 18 дней назад +4

    Huyu na barasa Sio viogozi n bure kabisa 2027 munaenda home kura tunampa malala

  • @SadioMane-u2b
    @SadioMane-u2b 16 дней назад +1

    Savula wewe hakuna kitu ulifanyia watu wa lugari,,, 2027 wewe Na team yako wote nyumbani

  • @henrymwaura1329
    @henrymwaura1329 18 дней назад +2

    Saa hii ukiwa odm kashifu gachagua kupata sifa😂😂😂

  • @Josephsniper-z6j
    @Josephsniper-z6j 18 дней назад +2

    Hatutaki ukabila lakini kasongo must go!!, no matter what.

  • @margaretwanjiru6143
    @margaretwanjiru6143 18 дней назад +5

    Weweweee jaribu ujisikilize vienye unaongea do you know ukabila ni nini

  • @felixmbevo5346
    @felixmbevo5346 18 дней назад +4

    Naibu governor, unaambia watu nini kuhusu watu wenu kwa serikali. Hao watu wenu wanasaidia hustlers na nini.

  • @kimathi7118
    @kimathi7118 18 дней назад +22

    Huyu ako frustrated, western region is demanding development, sio mtu mmoja anapewa kazi... This foolishness from a whole deputy Governor is sad😂😂

    • @philipchirchir7035
      @philipchirchir7035 18 дней назад +2

      @kimathi. Kikuyus have been in presidency for the last 61 years compared with other Kenyans show as any development project they have done in western, nyanza ,coast or rift valley like roads ,schools or hospitals?This time round Kikuyus 30 percent and others 70 percent. Shenzi nyinyi

    • @lewiskariuki8079
      @lewiskariuki8079 18 дней назад +1

      😂😂 wewe mavii fungia meno​@@philipchirchir7035

    • @svs734
      @svs734 18 дней назад +1

      ​@@philipchirchir7035 Hii sasa ndio ukabila. Kikuyus only support the one they want, not just their tribe. You forgot how they supported Ruto wholeheartedly

    • @mainakihurusia6380
      @mainakihurusia6380 17 дней назад

      ​@@philipchirchir7035😂😂😂😂 mwabie vile wameekaa Kwa serikali hiiyo mwaka yoote na still the strongest hold uko central vile wanatumia ma solar...ata wajui stima ni nini 😂😂😂 Tran-nzoia county about 92% they used electric 💡 light...Nimeona uku side za Naks Ady nkastuka vile watu wanatumia ma soler panel tenah za kulipia mgn 😂😂😂 in Bahati,Molo, kwanza subikia then mai-maiyo ata wajui stima ni nini ni juzi sasa stima ilikua inaenda side za Bahati then galfa Adani deals ikawa counsel...Aty then sai wanapinga Rais Ruto wanataka mtu wao hehehe wataishi Kwa giza Ka sekeseke ndaniii ya shimo 😂😂😂😂

    • @kimathi7118
      @kimathi7118 17 дней назад +1

      @@philipchirchir7035 sasa tuonyeshe za Kasongo na Moi. worst presidents

  • @fortunemwas3065
    @fortunemwas3065 18 дней назад +4

    Governor ng'ombe sana ww

  • @ChrispineMathenge
    @ChrispineMathenge 18 дней назад +4

    ruto ajiheshimu kwanza

  • @christine848
    @christine848 18 дней назад +2

    Serikali ya uhuni lazima itumiliwe..nyamaza wewe mnafiki muhuni..

  • @nicholuskituku2903
    @nicholuskituku2903 18 дней назад +5

    Those are individuals representing their interests not development for the Luhya land people.
    Raila' didn't respect Riggy G when he supported his impeachment.
    Raila' has failed for the first time and the salt has lost its taste forever

  • @PatrickMaina-fq5jv
    @PatrickMaina-fq5jv 18 дней назад +2

    Si kasogo alisema afukuze Gachagua ndio apate kufanyia wana nchi job

  • @danielwaweru5966
    @danielwaweru5966 18 дней назад +4

    Huyu anakaa tu mlevi, verbal diarrhoea, how did he even win...?

  • @davidkamau7329
    @davidkamau7329 18 дней назад +2

    Odm ata hawajitambui

  • @EstherStar-mo1vb
    @EstherStar-mo1vb 18 дней назад +6

    Misheveve imejaa kwa akili.

  • @kageorge-n6s
    @kageorge-n6s 18 дней назад +5

    Siulie basi nanii

  • @misheckkagwi7947
    @misheckkagwi7947 18 дней назад +2

    Let this guy listen to himself???

  • @morisbundi4896
    @morisbundi4896 18 дней назад +3

    Ukweli huuma watu wengine sana😂😂

  • @NamoeGabriel
    @NamoeGabriel 18 дней назад +4

    Huyu ajielewi chenye anaongea

  • @nelsonmukabwa5000
    @nelsonmukabwa5000 18 дней назад +4

    Tunataka maendeleo sio mtu binafsi kupewa kazi,huyu ndio Ruto ulikuwa unakashifu....hii next time imeenda.

  • @DicksonKarithi
    @DicksonKarithi 18 дней назад +1

    Hapa sawa Dp. Rais wetu ako Sawa

  • @rodgersmuyechi5102
    @rodgersmuyechi5102 18 дней назад +2

    Wewe na barasa munaenda nyumbani tangu mchaguliwe hakuna kitu mimefanya kk bure kabisa

  • @AndersonNyinge
    @AndersonNyinge 18 дней назад +3

    Anajisikia kweli chenye anaongea huyu mungwana

  • @nightchepchumba
    @nightchepchumba 13 дней назад

    Ni kweli kabisaaa vijana wamekosa heshima

  • @Kipash
    @Kipash 18 дней назад +6

    Useless man. Ati sisi waluhya. Hawa ndio bootlickers wa Kasongo

  • @SANKALASOMO
    @SANKALASOMO 18 дней назад +4

    Gachagua amesema kila region waungane, hakuna ukabila hapo.... musalia and wetangula peke yao

  • @antonyaura6465
    @antonyaura6465 18 дней назад +2

    Hatukulangi kwa mudavadi tunataka maendeleo nenda u advice watoto wako

  • @ceciliakirubi1871
    @ceciliakirubi1871 18 дней назад +3

    Kwani hii mbwa ya kakamega unambweka nini sisi tumechoka na ruto lakini wewe uko kwa pesa hauoni wakenya wakiteseka

  • @agneskinyanjui5003
    @agneskinyanjui5003 18 дней назад +4

    Gachagua anaingiana wapi na utelaji nyala na maandamano si ungeaddress president coz ni yye anaongoza nchi ...Gachagua ako sawa shinda iko kwako

  • @vincentasava1529
    @vincentasava1529 18 дней назад +10

    Savula bure kabisa Kasongo must go

  • @musembikathenge-yh7no
    @musembikathenge-yh7no 18 дней назад +5

    What is he saying🤮

  • @VioletClara-i8w
    @VioletClara-i8w 18 дней назад +2

    Sema wewe mluhya sio sisi waluhya pliz 2:36

  • @brisbanesokoth5541
    @brisbanesokoth5541 16 дней назад

    Well said boss we Kenyans we stand with you

  • @richardlugadiru6961
    @richardlugadiru6961 18 дней назад +2

    Gachagua is very right mmeshindwa kuungana Wacha Gachagua atuunganishe

  • @Spectre-Turner20
    @Spectre-Turner20 18 дней назад +1

    Tell them DG. These parents have failed terribly in parenting.

  • @graceamadi1096
    @graceamadi1096 18 дней назад +1

    Ukweli unauma and God said the truth will set us free.

  • @SILASMUHUYI-qj9dn
    @SILASMUHUYI-qj9dn 18 дней назад +2

    Savula ni tumbocrats we we Savula na mama yako ndio mko kwa serikali lakini sio sisi waluyha ng'ombe hii

  • @nicholasambani4075
    @nicholasambani4075 18 дней назад +1

    BURE KABISA!! UKO KWA SEREKALI WEWE NA NANI!!!!

  • @PraxidesWere
    @PraxidesWere 18 дней назад +3

    Unakashifu Gachagua ako Tribal😢 na we Savula mwenyewe you are even more Tribal than him😅
    Hii "Reverse psychology" tunaielewa vizuri😅 we are Gen Z's
    From Western i don't support Tribal Savula i want Development😢

  • @gracekamunya6823
    @gracekamunya6823 18 дней назад +3

    Aki Gachagua is a sunami and a very scary threat!Aliambia waluhya wooote wakue wakikuyu😂😂😂...it's getting hotter than they thought

  • @AggreyomokoAseka
    @AggreyomokoAseka 18 дней назад +2

    Wewe pia 2027 nyumbani

  • @mrpain158
    @mrpain158 18 дней назад +2

    Watoto wataachiliwa soo the president ananjua where they're.. . period

  • @samuelkamau3147
    @samuelkamau3147 18 дней назад +2

    it's ruto and his puppets spreading tribalism. Gacagua anamobilize watu wake the same way you are saying mnafanya

  • @dennisndirangu2536
    @dennisndirangu2536 18 дней назад +6

    But Riggy G said nothing but the truth, Western wanataka barabara wala sio vyeo. They are being used badly by ODM

  • @rodgersmuyechi5102
    @rodgersmuyechi5102 18 дней назад +2

    Odm voted for raila and they have defected to uda let's go for fresh elections,we support gashagua fully,hamuna akili you vote odm and you join goverment,sema wewe ndo utapigia ruto Sio waluya huna akili bure ,wewe na barasa munaenda nyumbani

  • @davidodiwuor6382
    @davidodiwuor6382 18 дней назад +1

    Yes ataona akirudi tuta deal naye

  • @LCM2024
    @LCM2024 18 дней назад +16

    That means Riggy G is a big force. They have now started to realise that. Na bado 😂😂

    • @aludamartin9412
      @aludamartin9412 18 дней назад

      Ngoja ile wakati atafukuzwa

    • @kingnathan-gl5zp
      @kingnathan-gl5zp 17 дней назад

      Ivo ndo watu kama wewe mnajidanganya 😂 happy new year 🎉

    • @LCM2024
      @LCM2024 16 дней назад

      @@kingnathan-gl5zp wewe ntakuja kudinya mama yako 😂😂😂

  • @Mzalendo-n8q
    @Mzalendo-n8q 18 дней назад +3

    Mm nataka kujua kitu kimoja ..Kwan Hawa vijana wametekwa na gachagua ama ruto!!?

    • @nightchepchumba
      @nightchepchumba 13 дней назад

      Wametekwa na gachagua

    • @Mzalendo-n8q
      @Mzalendo-n8q 13 дней назад

      @nightchepchumba so wataka kuniambia gachagua Ako na bunduki,pingu na yeye anauwezo WA ku-control jeshi la polisi!!?labda utajiuliza mbona niulize maswali yote haya..wakati wa maandamano tulikua tukiona vijana wanashikwa mbele ya askari adharani kweupe .tisidanganyane..mm sijawai kuenda maandamano yoyote toka nizaliwe .lakn Huwa nafuatilia kupitia runinga yangu mwanzo Hadi yanaisha hivyo..na Huwa tunaona kabisa

  • @robertzuma4332
    @robertzuma4332 17 дней назад

    Ukweli kabisa 😂🎉

  • @kwekwenyotakwekwenyota183
    @kwekwenyotakwekwenyota183 18 дней назад +1

    Gachagua ako sawa

  • @muhubirijxson6483
    @muhubirijxson6483 18 дней назад +2

    This guy the so called naibu gavana amepang'ang'a tu

  • @justusmbogo9246
    @justusmbogo9246 18 дней назад +2

    Suvula na wewe husikuje Mt Kenya kaaa huko kakamenga

  • @MikeMwema-i9l
    @MikeMwema-i9l 18 дней назад +1

    Ww sio kiongozi n ujinga tu mwingi kwako

  • @FelixNdua
    @FelixNdua 18 дней назад +1

    Shenzi Sana ety gvrn

  • @andersonmerry7278
    @andersonmerry7278 18 дней назад +1

    Wewe kama shavula ndio hutaki wengine wanataka

  • @Arapkim
    @Arapkim 18 дней назад +2

    Ukabila nayo ni lazima

  • @SteveOtieno-f6s
    @SteveOtieno-f6s 16 дней назад

    Wwe mwache kucheza na akili yetu ju bratha ngu ndio ameshikwa swa😂😂😂

  • @davidosachi4430
    @davidosachi4430 17 дней назад

    True! hatuwezi kwenda kiwinda kitu iko kwa mkono, tutafwata mtu mwenye ako opposition aje. This is a big joke

  • @theepicworld5589
    @theepicworld5589 18 дней назад +1

    Huyu tulimkataa Lugari akatafuta support ya Fernandez. Bure kabisa

    • @vincentmokua2016
      @vincentmokua2016 18 дней назад

      He is a Kingpin in Lugari and quite influential in the larger Vihiga county. He is moneyed and influential. He is a Munyore guy I know him

  • @nightchepchumba
    @nightchepchumba 13 дней назад

    Na bado ruto mbaka 2032❤❤❤

  • @BenjaminTunai
    @BenjaminTunai 18 дней назад +1

    Unaongea nini toka hapa nauende kabisa

  • @ShadrackMboga-mi3dm
    @ShadrackMboga-mi3dm 18 дней назад +1

    Kumbe savula nimjinga ivo,bure kabisa.

  • @davidndugo8787
    @davidndugo8787 18 дней назад +1

    Huyu jamaa amepata baridi kuona mawaitha ambaya kijana wa mau mau aliwapatia wenzake jana huko kakamega na hio tu ni kionjo

  • @peterson47Ngui
    @peterson47Ngui 18 дней назад +1

    Huyu savuli salimiwa mjinga hii tumbo lango limejaa ngombe wewe savuli

  • @mainajohnmacharia900
    @mainajohnmacharia900 18 дней назад +1

    Umehongwa

  • @dominickirochi9675
    @dominickirochi9675 18 дней назад +1

    Ng'ombe hii kwanza wewe ndo utawekwa kwa hiyo jeneza soon

  • @KathyNdungu
    @KathyNdungu 18 дней назад +2

    You all fear gachagua why

  • @dennisizzrael1178
    @dennisizzrael1178 18 дней назад +1

    Huyu ni fala tu,ngoja abanduliwe alaf tuone atasema vipi

  • @FelixOkanga
    @FelixOkanga 18 дней назад +2

    Savula tsiokho,shumanyi shi wisenya tawe.kwanza wewe savula nyumbani 2027 na huyo ruto wako

  • @FredrickImbulani
    @FredrickImbulani 18 дней назад +1

    Wewe unatuambia tu ujinga savula wewe kula Raha mombasa wachana na Rig G anaongea ukweli lazima tuungane twende kwa meza ya kitaifa apana hao watu watatu unstutajia huyo unasema ,DCDF,DIG,hao wakina oparanya nani wameweka kwa sirikali kufikia sai na ujinga apa ati heshimu Raila wewe kama unalamba Raila wewe endelea buana Nkt

  • @HesbornKagwira
    @HesbornKagwira 18 дней назад +1

    Ayub savula kama wewe ulipata kazi sio waluhya. Kua ndani inafurhisha nini waluhya? Savula aelewe mushara yake sio yawaluhya.

  • @kimathi7118
    @kimathi7118 18 дней назад +12

    Tutachora huyu Savula😂😂

    • @monjemghalu1734
      @monjemghalu1734 18 дней назад +1

      Huyu anasumbuliwa na nini?

    • @TheKaysti
      @TheKaysti 18 дней назад +2

      These are the calibre of pseudo-leaders who should be removed in 2027. His mind is clearly stuck in the KANU/Moi era, where development would be pegged on how loud you scream praises to the government and president. The fact that you are a Kenyan, it’s your right, guaranteed by the constitution, to receive all government services. Huyu akili yake imebaki pre-2002!

    • @jav856
      @jav856 18 дней назад

      @,kimathi try you think luhyas are fools

    • @Patoh254Somie
      @Patoh254Somie 17 дней назад

      Mchore basi acha ujinga

    • @kimathi7118
      @kimathi7118 17 дней назад +1

      @@jav856 wewe ongelea siasa za lake. Mbona Lhuya unity inawauma... 🤣🤣

  • @shemmosoti2808
    @shemmosoti2808 18 дней назад +1

    Unakashifu kama nani ng'o mbe hii

  • @harrisonmwangi-ev9ch
    @harrisonmwangi-ev9ch 18 дней назад +1

    Serikali gani?

  • @Kalil-z7x
    @Kalil-z7x 18 дней назад +1

    Umeaza kuhala bila raila hakuna savula.,hizo viti unasema ni zao na bibi zao

  • @stevenjagi3764
    @stevenjagi3764 18 дней назад +6

    Ruto is going home..tuone hao waluhya unataja watakua wapi

  • @crmkkl1544
    @crmkkl1544 18 дней назад +1

    Savula amekunywa busaa inakaa alibeba busaa kutoka shitao ama khayega

  • @MbulwaMunyao
    @MbulwaMunyao 18 дней назад +4

    Waluhya wanajua siasa gani si n bora washibe

    • @jav856
      @jav856 18 дней назад

      Just like watermelon do you see luhyas dieing because if food when was the last time you had rain useless watermelon

  • @raphaelmwaura1648
    @raphaelmwaura1648 18 дней назад +2

    Wewe huna lolote Wewe koko wewe chiwawa tu

  • @mariamutheu5536
    @mariamutheu5536 18 дней назад +1

    Wagikuyu punguzeni matusi kwa social media, mtapangwa round hii 45 plus against one

    • @nairobeatskenya
      @nairobeatskenya 17 дней назад +1

      Funny guy you are, mlima has no interest for presidency 2027, western province stands big chance to benefit, but you are too wetangulalized that unateuka maneno kama malaya.

  • @ChumanaSusi
    @ChumanaSusi 18 дней назад +1

    Ruto si symbol ya taifa ya ke ya. Yeye ndiye chanzo za shida inayozingira kenya leo sababa ya kuwa rais amepoteza heshima kwa wananchi na maongo na tabia yake chafu

  • @moseskaranja-bx8ng
    @moseskaranja-bx8ng 18 дней назад +1

    Wewe umesema vizuli sana unasema awache siasa ya waruya mbona gachagua alisema muache siasa ya mulima mukasema ako na ukabira so Wewe uko na ukabira saitani wewe.

  • @EmmanuelMokoro
    @EmmanuelMokoro 18 дней назад +1

    I have known Savula for long. He's just a broker since his days at the Standard newspaper. No principles. Tumbocrat!

  • @newtonjay7813
    @newtonjay7813 18 дней назад +1

    He looks intellectual until he opens his mouth, huyu ni mluhya mmoja fala sana

  • @johnmusyoka3746
    @johnmusyoka3746 17 дней назад

    Waluya ni waginga number one