Lony Music - La moto (Official Music Lyrics)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 ноя 2021
  • Track Title: Lamoto
    Songwriter: LonyMusic (Lony Bway)
    🎵
    Produced by: LexVanny
    Mixed by: Lucky Junior
    Studio: DeamCashRecords
    🎵
    Please Catch Up With Lony Music on Your Favorite Platform: 👇👇
    linktr.ee/lonymusic
    LAMOTO LYRICS
    Nalazimisha kukubaliii
    Ila maumivu makalii ii
    Najua haukua tayarii
    Ama ulishindwa halii ii
    Na inaonesha wazi ata kabla ujafanya
    Uliwaza hayaa HAAAYAA
    Ivii ni nini kinacho sababisha mpaka
    Atuendi sawaa. SAAAWAA
    Hivi vita vya panzii furaha kwa kunguru
    Mama huoni ubayaa. UBAAYA
    Sivunji nazii sijazoea kukufuruu
    Ka umechoka sawa SAAAWAA
    Kweli mapenzi hayatabirikii
    Ukishuka tu wanakaa kwenye siti
    Leo yamoto kesho ya baridii
    Kwa upande wangu saivi alishikii
    Limekuaaa
    lamotoo Oooohoooh oooh
    Lamoto. Huoni lina niunguzaa
    Lamoto. Aaaa aaaa aaaaah
    Lamoto. Oooh alishikiki iiii ii
    Lamoto. Heeeee eee eeee
    Lamoto. Mwili linanipunguuuza aaah aah
    Lamoto. Aaaaaah aaah aah
    Beat………………
    Aaah aaai aaah aaa
    Mbona kwako nilizoea changamoto
    Tena unanifedhehesha kiburiii
    Sometime unaumbukaa nakufumania
    Af nacheka kama mazurii (Eeee eee )
    Sizugii nilikolea sio kitoto
    Ila umenichoresha sifurii
    Sio fine unashindwa kuniambiaa
    Ama sikupelekei vizuri
    Na kelele zangu zoote hiizi
    Hauoni sababuu ( ooooh ooh oh )
    Nafanya mengi niache lipii
    Nitafutiee jawabuu
    Kweli mapenzi hayatabirikii
    Ukishuka tu wanakaa kwenye siti
    Leo yamoto kesho ya baridii
    Kwa upande wangu saivi alishikii
    Limekuaaa
    lamotoo Oooohoooh oooh
    Lamoto. Huoni lina niunguzaa
    Lamoto. Aaaa aaaa aaaaah
    Lamoto. Oooh alishikiki iiii ii
    Lamoto. Heeeee eee eeee
    Lamoto. Mwili linanipunguuuza aaah aah
    Lamoto. Aaaaaah aaah aah
    Ulisema kwako hawanitoi maa
    Ulisema kwako hawanitoii maaa
    Umeniumbuaaa aaah
    Umeniumbuaaa aaaaaah.
    .............................................................................................................................
    SUPPORT:- SHARE | LIKE | COMMENT Enjoy Good Music
    #LonyMusic #LaMoto #DreamCash #Lyrics
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 8