Niko w 33 kutoka Kenya sjachelew sna lkn nataka nimwambie kaka tanu hongera kwa kazi safi n mungu 🙏 azid kuubariki sana utafitaj wKo uzidi kukua naiman utafikia pia stage ambayo unaitarajia inshallah 🙏❤️🙏 ❤️
Kazi zuri sana hongereni nyote mmefanya vizuri kwakila moja kwenye nafasi yake / USHAURI ningependa mvae viatu mana mnavotembea mnaweza kukanyaga kitu na kupata jeraha
Ivi ww harima kwann usimuachee uyo saudaaaaaa jmn embu tanu badilisha hiki kipande Cha harimaa mfanyeee awee ana Fanya mambo yakee jmn harima wang 😢ana tesekaa kuliteteea jitu ata alitetekii yn saudaa akiolewa na muhinaa t bc naachaa kuangaliaa hii movie 🙌🙌
Sauda ni yule aina ya mwanamke mpumbavu ndio sababu mkoba umemkataa.Kwa nini asiwaulize wataalam kuhusu Amina aliridhi vipi mkoba ilihalihajaoleka na mtu yeyote .... Movie hii inafunza msemo isemayo "Lisemwalo lipo nakama halipo laja".
Mama aliua mama huyo akaua baba huyo 😅😅😅 tunaopend haka kawimbo tujuane. Move mzur mauzui yanaelewek
Hapa muhina ni moto ila kule aliliwa nyama ya kuku na kipara wapi like za wenye tulimaliza snake boy
Harima nimempenda xana nimzri anashep kama ya❤
Malizia kama ya nani
Niko w 33 kutoka Kenya sjachelew sna lkn nataka nimwambie kaka tanu hongera kwa kazi safi n mungu 🙏 azid kuubariki sana utafitaj wKo uzidi kukua naiman utafikia pia stage ambayo unaitarajia inshallah 🙏❤️🙏 ❤️
Halima Mtto Wakike Mashallha Mola Akuzidishie imani, Ww ndio tunakutazama pekeake Unaweza
Leo nikipata like 10 Mungu atakubariki kwakusoma pia comment from Tanzania 🇹🇿
Ndo uende kula au😂😂
Kwa kwer hii move ni mzr mnoo na inatufunza vitu ving san hongeren wote mulioshirik kwa kazi mzr❤❤❤
Mwana wa Israeli anamtafuta yesu 😂😂😂 kipara shenzi sana 😂 nimepaliwa vile ulikua unataka...nawapenda nyie❤🎉🎉🎉
Aya tusalimiane team furus team WiFi team you tube team kupambana team kazi kazi 🔥🔥🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Kazi zuri sana hongereni nyote mmefanya vizuri kwakila moja kwenye nafasi yake / USHAURI ningependa mvae viatu mana mnavotembea mnaweza kukanyaga kitu na kupata jeraha
Duh kipara anachamba kama shangingi mzee😂😂😂
Halima namkubari Sana kwenye hiyo mkoba
Sauda Aya siye yetu macho
Hapa huyu jamaa mweusi wa kipara naona anahanza kucheza vizuri
(HETI MASHAVU YAMEMSHUKA)
kila sehem yaka kwaa hii Epzd umejitaidi.
Sauda yuko another leval penzi liko moto mpka ataki ushauri 😂😂😂😂msichana kisikurambe 2
😂🙋
Muhina dawa yako inakaripia 😢😢 masikini mm halima fanya kazi yako kiutaratibu
Nawapenda woteee❤❤❤ Kawajiri ya mungu
Kipara wale lucky seven kumbe wamo tumboni 😂😂😂
Kipara wewe unamafumbo mashavu km nn😂😂😂😂😂
Muhina ana ipa move moto sana ana wachanganya sana na avyo jua kucheza
😂😂watu mnalala huku kazi nzr sana mkoba wamama ilamuhina unamachale sana
Mhina has done it again today in the last minute 😅😅😅
😂😂😂 kipara anachamba kweli😅😅
Ningeomba Mutuongeze Dakika jamani..Nikiwa Toronto Canada 🇨🇦 mbwela tuongeze Dakika
Mtaaani kuna watu wana vipaji sanaa...ni vile tu nafac zmekuwa finyu....@kipara & @mhina..🍿
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉tanu ❤
Mwanaume ukipata mwanamke mwenye moyo wa halima na jasiri wake alafu awe mremboo we utaenjoy ni balaa😂😂
Utaenjoy ama uta controliwa 😂... anyways tuyawache hayo, hivi sauda na Swazi wakiolewa same day mechi itakuwa 3some ama?
Hi move km hato onekana tanu kipande kinacho futia siingaliii mana ishaanza kutuchosha
Kabisa chamaana Akuna watu tunamtaka tanu
Sahihi
Kabisa yn
Kipara bhana unaniacha hoi😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hizi nyumba mnazoigiziaga ni mmezijenga wenyewe kwasababu ya shughuli hiyo au ni mmezikodi hongereni hamzibadilishagi😊😊
😂😂nilikua naitafuta hii comment
😂😂😂😂😂munamambo nyiye😂😂😂yani munacunguza kilakitu
Kwa jinsi walivyo kambini kwa ajili ya snake boy naona hilo eneo linawapasa wepesi wa location kwa mda huo kwasababu gang yote iko mahala pamoja
😂😂😂😂 kipara bhana
Wanakodi bro 😂😂
Ila kipara nakupenda kwa umbea tu
Ivi ww harima kwann usimuachee uyo saudaaaaaa jmn embu tanu badilisha hiki kipande Cha harimaa mfanyeee awee ana Fanya mambo yakee jmn harima wang 😢ana tesekaa kuliteteea jitu ata alitetekii yn saudaa akiolewa na muhinaa t bc naachaa kuangaliaa hii movie 🙌🙌
😂😂😂😂unaaciya nini aca likafe li sauda sialisîkiyi linajifanya lijinga
😁🙋
😂😂😂
😂😂😂yani ata mimi sipend nikiona halima wangu analiangaaikia jitu ataalielewi
Sibomana sibomana toa maelezo vizuri tunamtaka TANU wetu😂😂
salut sana tanu
hii series ni nzuri sana wenye twamkubali halima na tanu tuonyeshe like na comments kwa wingi tanu anastahili maua yake🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
Ahh..mnatembea pekuu kumbe
Ubaya UJAMAPENZI YA KWERI Muhina 😂😂😂
Movie hiiii naipenda sana tena sana naitwa grande PiQui kutoka Moçambique wilaia ya nangade
Sigomana muhina ni hatari kabisa 😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩
😂😂😂😂😂😂ujue kipara sio mzima ety watoto Saba itakua umewaficha tumbo mwako😂😂😂😂
Hahahaha wa kina rock and tam tam
Like zangu from Kenya
Napnda sanaa movie yako tanu . Nipeeni likes team strong msininyime jamani
Good nice one story brother tanu 🎉🎉🎉🎉
Kwa kweli.fadhila mfadhili mbzi bnadamu atakuudhi
Kipara jamani eti anatembea hapa kama na dubai 😂😂😂😂
240views, 8min ago
Huu mkoba staring ni Halima tuu🎉🎉
Indeed
❤❤❤
😂😂😂😂😂😂kipara mshenz sana 😂😂😂😂ulkua unapaa unajiona popo unanini tanti 😂😂😂😂😂
Tunamtaka tanuuuuuu
Dada halima nakupenda Bure, kwa ujasiri wako ila dah! Muina kaisha Sasa mbio nyingi mbele kiza hongereni wote
Herman Roads
Pore Sana Dada alima
Sauda ameshaingia kwenye mfumo wa muhina, awez kuelewa ktu 😂😂
🏃🏃
Ngoja kimlambe kwanza maana haskii huyu mjapan wa kiswahili
😅
hongera da halima kwa ujasiri
Nikama naona mwisho wa muhina
Kila anaesoma coment hii mungu ampe umri mrefu
amiin nawe pia
Aamin pamoja nawe
Amen 🙏
amin🙏 na we pia
Sauda kazama mapenzini😂😂😂😂😂😂
😂😂🏃🏃🏃
Ni shida wanawake walotawa sana na kutangulia kwa umri wakipata mchumba huwa hawaoni wala hawasikii
@@badarahmed1861 😁😁😁
Hii move tamu wangekuwa wengine wangekuwa washamaliza ila ino inaenda n utamua wke
Kipala 😂😂 wewe ni best ❤❤❤
😂😂😂😂😂 ila Kipara anamatusi nimeceka mpaka nguvu zinaniyishiya
Sauda umekwisha 😢😢😢😢
Inaonekana kipara ata kweny maisha y kawaida anaongea snaa 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂
Wew ulishaway hona mpole mwenye upara 😂
𝐱𝐱 𝐨𝐥𝐞𝐰𝐚𝐤𝐨 𝐚𝐤𝐮𝐭𝐨𝐧𝐠𝐨𝐳𝐞 𝐤𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐮𝐦𝐤𝐚𝐭𝐚𝐞 𝐮𝐭𝐚𝐜𝐡𝐚𝐦𝐛𝐰𝐚 𝐚𝐝 𝐮𝐟𝐞 😂😂😂
Jamani nampenda halima anajua
Kaz nzur sana MUNGU awasimamie na kuwapa nguvu🙌💞
Love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Sauda sauda litakukuta jambo nimekaa pale😂
Salute🎉🎉🎉
Kipara jamani chunga sije hilo tumbo akalihamishia kwako😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ukiachana na ile mama anakuita afu anakwambia njoo sikuchapi😅 basi nyingine ndo hii Kwa sibomana inafanya nisiendelee kuwaamini wanawake😂😂
Nawapenda sana
Halima ❤❤❤❤❤❤❤❤
muda huu sasa kweli ndo funga funga tuondoke mchawi hana huruma 🙌🏾🙌🏾🙌🏾😂😂😂
😁😁😁🤣🤣kipara punguza mdomo weye nimtoto wakiume
Halima ni mzuri sanaa😅
Huyo dada anaeitwa sibomana anamtako flani hv namtamani kishenzi
Umalaya tu😊
Mmmmh jamani he😂😂😂
@@aishaomar2287kuoga aaah
😂😂😂
𝐬𝐢𝐨 𝐤𝐦 𝐚𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐭𝐚𝐤𝐨 𝐢𝐥𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐟𝐮𝐫𝐮𝐬𝐡𝐢 𝐥𝐚 𝐦𝐚𝐭𝐚𝐤𝐨 𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐤𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐚𝐫𝐚𝐭𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐥𝐤𝐧 𝐢𝐧𝐠𝐞𝐤𝐮𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐞𝐤𝐭 𝐲𝐮𝐩𝐨 𝐦𝐣𝐢𝐧𝐢 𝐚𝐭𝐚𝐫𝐢 𝐧𝐚 𝐧𝐮𝐬𝐮
Ina maana uyu sauda mkubwa basi anamwili mzuri nikajuwa kitoto cha 2000
𝐚𝐧𝐚𝐦𝐰𝐢𝐥𝐢 𝐦𝐝𝐨𝐠𝐨 𝐢𝐥𝐚 𝐦𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐮𝐦𝐫𝐢
😁
Jamani Kipara Kipara Kipara 😂😂😂😂 have mercy on her 😂😂😂
Safi
Wakwanzaaa nipen like
Mimwenyewe kama tanu hatokei basi bwana,maana hata hatujui kama kafa au!minshaichoka
Kenya representative ,ndaani🎉
jamani mie nampenda halima km Hana mpenzi aisee niambieni mie mkenya hapa ❤❤❤
Acha umalaya
Sauda ni yule aina ya mwanamke mpumbavu ndio sababu mkoba umemkataa.Kwa nini asiwaulize wataalam kuhusu Amina aliridhi vipi mkoba ilihalihajaoleka na mtu yeyote .... Movie hii inafunza msemo isemayo "Lisemwalo lipo nakama halipo laja".
𝐬𝐚𝐮𝐝𝐚 𝐡𝐭 𝐚𝐤𝐢𝐨𝐥𝐞𝐰𝐚 𝐦𝐤𝐨𝐛𝐚 𝐡𝐭 𝐮𝐦𝐢𝐥𝐢𝐤𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐱𝐛𝐛 𝐤𝐚𝐤𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐭𝐚𝐧𝐨 𝐛𝐝 𝐲𝐮𝐩𝐨
😁🙋
Kazi hipo
Pongezi kubwa ziende kwa muhina kutokataa mimba ya suzy
Kazi imepikika vizuri sana
Sema busha kuhamia tumboni nyieee duh 😂😂
Huyo kimama sura mbaya mwenye kitambi anafaa kuanguka nayo,I kafie huko
Movie imekuwa moto
Uchawi umefanywa kama vile Return to Sender angaa apate funzo 😂
Nipendelea mkomee sizon ya 40 tuu iwe imeisha
Nyie waganga wasikilizaj mngemrekod huy sibo pia
Ila kipara 😂😂😂😂😂
Fantastic movie 🎉
Akwanda
Kupara c kuchamba huko😂😂😂😂😂
Halima ni dada mzur san kwako sos na ni mfano mzur WA kuigwa
Sauda sauda sauda😢😢
😁🙋
Muhina namuona mbali sana 😂😂😂 unajua mpaka unakera 🙌🙌🙌🙌🔥🔥
Yani Muina nikiboko namuda bure😂
Kabisa yn
Kipara.unakelaa.ww