ndugu nakufuatilia mda mrefu sana,ili nishawishike, lakini mpaka sasa bado sioni Points muhimu kwa aya unazozitoa.Mi naona tu kwamba shida ni Muhammad (saw)yani unasoma kwaajili ya kutaka kumpindua,Hebu ndugu Abel soma kwa nia ya kutetea viumbe apaswavyo,sio kulala mika Muhammad hooo Muhammad sasa,isiwe iyo ndio ngao ya wasio na akili timamu kusherea bila ya uelewa wowotee,ndugu nimekufuatilia mpaka ndipo inabidi ni Comment,samaani Sana.
❤
Aamina ubarikiwe mtumishi wa MUNGU, wewe ni miongoni mwa walimu Wenye pointi nzuri nimejifunza kitu na barikiwa na huduma yako!🙏
Shiriwa ongela