KUMBUKA NIJIFUNZE: NITAJIE MIEZI MIWILI MITUKUFU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 ноя 2024

Комментарии • 35

  • @RT-hd2fo
    @RT-hd2fo 4 года назад

    Katika kumfunza mtu au kumuliza mtu sivyema kuchekwa na akipatia kujibu suali kupongezwa kwa kuambiwa mashaallah au jazaka allah kheri

  • @twahirarashid9666
    @twahirarashid9666 5 лет назад +5

    Mashaallah kwahakika kipindi kipo vzr na munatufunza mengi Mungu akulipeni mema.. Riyadh TV hingereni sana
    Mimi najua Muharram na Dhul-Kaada

    • @faizasaid8262
      @faizasaid8262 5 лет назад +1

      Twahira Rashid sana Mwenzngu

    • @thuriyabarwani5111
      @thuriyabarwani5111 2 года назад

      Ndugu mtangazaji Tafadhi wajuulishe watazamaji jawabu ziliyokuwa sahihi na wape pongezi waliojibu sawa

  • @neemainabikorwa5570
    @neemainabikorwa5570 4 года назад

    Allah akuhifadhi ila jitahidi kua unatowa majibu nyuma yamaswali ili tufaidike

  • @hildababyabdullah5627
    @hildababyabdullah5627 5 лет назад +1

    Umefika nyumbn kabisa mchuzi juu Nyerere mashaallah kipindi kizr

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 лет назад +1

    Mashallah

  • @fatmaathman5851
    @fatmaathman5851 4 года назад

    Ramadan na muharam

  • @yussufmohammed3536
    @yussufmohammed3536 5 лет назад

    MASHALLAH

  • @rizikimabruki4131
    @rizikimabruki4131 5 лет назад +1

    Mashaallwa mchuzi juu homu

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 3 года назад

    Miezi minne mitukufu ni:Zulkaadah,zulhijjah,Muharram na Rajab

  • @ibrahimshehuna527
    @ibrahimshehuna527 5 лет назад +1

    Mashaallah

  • @mitundafmoni7699
    @mitundafmoni7699 5 лет назад +3

    from oman hongereni ilove my sweet home zanzibar

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 лет назад +1

    Mashallah nacheka

  • @ashuraayoub783
    @ashuraayoub783 4 года назад

    Shaaban na Ramadhan

  • @ibrahimshehuna527
    @ibrahimshehuna527 5 лет назад +1

    👍

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 лет назад +1

    Muwe pia mukiwambia ili wajifuze watakapo kosea itakua vizur sana inshallah

  • @dhulhakassim5350
    @dhulhakassim5350 5 лет назад

    Nice 👍 kipind kipo vzr nmejifunza

  • @mashroom5628
    @mashroom5628 5 лет назад +1

    Kipindi kikosawa, lakini baada ya kujibu maswali, wapeni nafasi nao watume salam japo kwa watu watatu na kutoa ujumbe ulio maridhawa. Hayo ni mawazo yangu tuuuu!

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 5 лет назад +2

    mtangazazji kwa ushauri wangu naomba unapomaliza kipindi utoe jibu ili watu wajifunze kwani kuna waislam hawajasoma dini na kuna wakristo waliosilimu pia wapo humu kujifunza sasa ukitoa maswali kisha tutegemee watu wajibu kupitai coment tu haitoshi ila ukijibu wewe mtoa swali ndio utaeleweka zaidi

  • @mselemhaji1969
    @mselemhaji1969 5 лет назад +4

    Lakwanza acha nicheke hahahahah lapili ukishawauliza haya maswali wambie wasome

    • @faizasaid8262
      @faizasaid8262 5 лет назад +1

      Mselem Haji ewa bora akiwambia

    • @RiyadhTvOnlineZnz
      @RiyadhTvOnlineZnz  5 лет назад

      @@faizasaid8262 OK INSHA ALLAH

    • @fatmax8710
      @fatmax8710 5 лет назад

      @@RiyadhTvOnlineZnz mm ushauri wangu ukifika mwisho wa kipindi utoe majibu kwa faida ya wengine tusiojua

  • @nutinuti7615
    @nutinuti7615 5 лет назад +1

    Ramadhan sheban

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 5 лет назад +1

    Mtangazaji weka japo Rait na rong kumaanisha kapata au kakosa

  • @ziyadamubarak110
    @ziyadamubarak110 5 лет назад

    Dhu'l qi'dah dhu'l hijjah muharram rajab

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 лет назад +1

    Haha ichi kipindi kizuri ila kinafurahisha walah

  • @twahirarashid9666
    @twahirarashid9666 5 лет назад +3

    Kuno kuno kunoooooo

  • @ibrahimkhatib2899
    @ibrahimkhatib2899 5 лет назад +1

    ذلقعد ذلحخ محرم مع رخب

  • @rizikimabruki4131
    @rizikimabruki4131 5 лет назад +1

    Mashaallwa mchuzi juu homu