Big 🆙 brother for ur Kindness humble man you are. stay blessed pia Ma2 wa Taifa la Tz🇹🇿 Rose MUHANDO as Strong Woman in ur Ministry, from our Childhood mpaka sasa still na Enjoy ur Music Mom🎶 Mdada wa Interview pia napenda jinsi unavyo fanya ur work, bcz l always feel Enjoyment in listening to ur interviews👂 am from 🇨🇩 n Living in 🇿🇦. Byeeeee
Tanzania 🇹🇿 niliona jamaa akisema RUclips eti huyu jamaa ni illuminati eti Rose sasa ameigia kwa illuminati washindwe pepo mbaya ...love u bro en Rose from 🇰🇪
Mimi naona kabisa urefu wako uta kupa fursa nyingiii sanaa hasa ktk uigizaji ili kuzihirisha kua Mungu hakoseagi niwakati wako Sasa uta ona urefu wako n dili Mungu akuiinue zaidi lakini usimsahau
Mungu amesha fungua milango ya baraka za huyu kaka kupitia Rose muhando.
Who is like God absolutely no one 🙏
Nyie nyiee me nilijua editing kumbe kweli ni mrefu,Glory to God hallelujah
Amazing .ni mrefu kupindukia.hata most of pple walidhani ni tu mchongo.Congrats my brother.Mungu ni muumba kweli.Thanks feel appreciated dear.
Minilijua n watu juu kuna maali walitingisha vichwa angalia iyo video vizuri
Lo, the interviewer asked the correct questions
Mungu ni wa anjabu
Mungu ameumba 💃🏾Uumbaji wa Mungu 😁😁Haukosolewi💃💃 we do proud of you ✅ brother 💃🏾
Maajabu ya Mungu kaumba watu mbalimbali🙌🙌🙌🙌🙌MUNGU🙏
Thought it was a statue.. wooih!! God is really amazing..Glory to God
Me too 😂, I thought was a statue
Nimempenda sana huyo MTU mlefu natama kukutana nae nimuona macho kwa macho🤭🤩🤩🤩🤩
Use ur eyes well,how can a statuedance😅😅
same to me dear, infact i had to check if he was moving in that video, i saw it and i was like what, an amazing Gods creature
Asante mungu kws kufungua baraka na milango ya huyu kaka kupitia kwa mwimbaji Rose Muhando barikiwa sana
Very humble guy God bless him kazi y Mungu haina makosa endelea kupambana Julia's
Big 🆙 brother for ur Kindness humble man you are. stay blessed pia Ma2 wa Taifa la Tz🇹🇿 Rose MUHANDO as Strong Woman in ur Ministry, from our Childhood mpaka sasa still na Enjoy ur Music Mom🎶
Mdada wa Interview pia napenda jinsi unavyo fanya ur work, bcz l always feel Enjoyment in listening to ur interviews👂
am from 🇨🇩 n Living in 🇿🇦. Byeeeee
Amazing that's what God can do.. salute 🇰🇪🇰🇪
Amen brother God is good. Nilipomwona kwa wimbo wa Rose nilitamani sana kujua mengi kumhusu and finally nimejua,God bless you.
Wow wow wow.....kweli God is really amazing aki
beautiful creation of God, may God use you for the purpose He created you special🙏
Thank you so much
The girl did a good interview
He should be in the Guinness book of records as the tallest Man in the world!!!
Sure,he must be in the Guinness book of world records
God 🙏 is really wonderful,he create different people,glory to God 🙏🙏🙏
Mimi hata sikuwa naona ni mtu huyo mkaka 🤣🤣🤣 good job brother 💯
Nmesoma nae etiii
This man should be protected. Period.
Jamaa mrefu sana duu, big,,up,broo
Huyu mtu pia ni kiumbe ya mungu muonge msionge pia mungu ndie alimuumba
Rose Muhando ft Goliatho. Hii ni more 🔥 🔥
Mtangazaji uko vizuri!!
Ila umenichekeshaa
Nimeipenda sauti yake💋❤️🎤
Amazing that's what God can do
Mungu ni waajabu daa, mtu mrefu huyu nilijua sanamu kumbe mtu
Umefanya ncheke
Amazing,You are Wonderfully Made By God
Muace Mungu aitwe Mungu kwakweli 🇧🇮 atukuswe milele
Be blessed bro..
Wau glory be to God
Your really amazing God me nilifkr ni editing kumbe ni mtu kabisa jaman Mungu ni fundi ainuliwe
🤣🤣🤣
I like the song
God bless you🙏
Kichwa Iko kwa ceiling... God's great
Sikujua kama ni mtu wa kweli et nikajuaa ni maajabu ya computer kweli Mungu wa ajabu
Mimi nilithania ni sanamu kumbe alikuwa mtu wa ukweli.kwa kweli Mungu ni waajabu sanaa
Mungu akubariki
Great job brother. Keep the good job. I hope to see more of you.
Aki mumenisaidi Leo iwas thinking about this man Hadi I was Soo careful to see kama anamove
🤣🤣niliona maali wametimgisha kichwa
🤣🤣🤣
Amazing
Ulefu 7.5 very unique
Mimi nilidhani ni scarecrow 😂😂😂( yaani itelemya)🤦🤦🤦😂😂
😂😂😂😂
@Ashley Da miss eti (etelemya 😂🤪yaani yiimu) imagine amefanana Mungu ujue huyu Mungu akuna anaweza muelewa maajabu ya Mungu kabisa
😂😂😂😂
Pia mm 😂😂😂
Wallai mbene ni itelemwaa🔥
My God is so marvelous,i thought its scarecrow but true mungu ni mkuu ,kuja kenya julius
mrefu kweli💪
Nyumba zA nai hawezi toshea
Uuuuweh ...
This man is tall.
Akinona kidogo baaasi Goliath
Kwani ni Binadamu WA kweli😃😃😃 sorry to say imagine I thought ni scare crew, I keep rewatching the video just because of him
Glory to God 👌👌
Gigantism
Hujui ku-interview! Who's Julius & whr is he from?
Nipewe number yya huyu mrefu nataka anioe nko kenya kama ni Pesa nko nao akuje tuishi pamoja ❤❤🤗
Kazi ya Mungu hio
Daah....Ni baraha
Huo dada ange simama kwa kiti, hio shingo kuangalia juu interview yote najua amepata shida sana 😂😂😂
God is amazing Kweli 😊
🤣🤣🤣
Weeeh mungu wajabusana siamini🤣🤣🤣🤣🤣💝💝💝🌲🌲🌲🌲
Maajabu ya Mungu kaumba watu mbalimbali kweli Mungu aitwe Mungu
Innocently what about ile kiungo kingine, is it normal size, msinipige am just curious
😄 🤣 😂 😆 Mungu ni wa ajabu sana loooooh, huyo mtangazaji bila shaka shingo imemuuma duuuuu angesimama kwenye kiti.
😂😂😂
Nashangaa halafu Mimi niliwazia si mtu kabisa nailinitiya tamani yakuju huyo nikitugani Asante sana watangazaji.basi abarikiwe milele
Maajabu ya Mungu jaman 🙌
Acheni ni Mungu aitwe Mungu nilizani uyo mukaka ni sanamu
Rose umejua umenifurahisha jmn
Natamani nimjue mkewe🙌🙌🙌🙌
Wah!! I thought it was a computer video editing? Kumbe ako hai?
Mungu fundi jamani jamani!
Mm nilidhania ni sanamu kidogo nikaona anamove, weeeeeh hapo ndo nilijua Mungu sio Mzungu
God is Great
OMG, i didn’t know he was real
Aah Dadangu, si umechoka Sana kuinua kipaza sauti jamani?? 🤣🤣🤣🙈
😂😂
Dah nakupenda
Kind request ako na height??? 7.5 uuuwi 😊
Kweli Mungu hachunguziki
I thought it was a camera that man to be long lyk that's oooh God is great
Alaar I thought it's a scarecrow 🥺so this guy is real ....goliath 👏
Nilidhani ni picha tu🙄 kumbe ni real, Acha Mungu aitwe Mungu🙏🙏🙏
Ooh my God I thought it was a statue 😳 congratulations 👏 🎊 💐
you were not alone me too
Same ⛵ boat
I thought it was a captured picture 😂😂😂😂 looo Aingie kwa book of Guinness
Hicho kitanda umepata wapi mattress?
Wah! let me not say what am thinking.
Wao wao mimi 6.5 .ft.yeye ni 7.5.brother uko sawa. My brother from the other mother.
MUNGU NI WA AJABU MATENDO YAKO YAAJABU ...YANATISHA 🙏🙏🙏🙏
Yaani wwe dada umenivunja mbavu n maswali kwake 🤣🤣🤣🤣nawapenda bure kutoka kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hadi umeongea kiswahili cha sanifu 😂😂😂😂😂
Anasema abee🤣
@@helleninzeyi I tell you bila kukosea mahali😂😂😂😂
@@mariangoi2569 almost died with 😂😂😂😂😂😂😂😂
Goliath
Hallelujah
Ulikuwa silias Sana umeweza mi nilijua edit
Mwenyewe nilijua sanamu
Gosh aki ni mlong
Haaa Mimi namfika kwenye magoti
I never thought you are real man bt jini 🤣🤣🤣🤣
Tanzania 🇹🇿 niliona jamaa akisema RUclips eti huyu jamaa ni illuminati eti Rose sasa ameigia kwa illuminati washindwe pepo mbaya ...love u bro en Rose from 🇰🇪
Mimi nilithani Ni mshongo🤣, Mambo ya mungu niya majaabu Sana
Uyu Jamaal mrefu Kila sehemu hata kiboko nazani
Maajabu haya
Aki kweli
Nice song but the message is very misleading.
Kwa kweli mungu wetu ni wa ajabu
Duh kumbe kweli ni mtu sikujua kuwa ni kweli kuna watu wa hivi,ashukuriwe muumba wa vyote
Mm huyu mtu namuitaji aniowe aonesha ana mapenzi ya kubembeleza kweli kweli
Haiya! I thought sio mtu real
cjui ameoa🤔
Daaahhh jmn sikujua kama alikua ni mtu nilijua ni picha tu
Wanadada wenye wanapenda wanaume walefu ndio huyo for free🤣🤣🤣
Huyu anafaa kua in the world Guinness book of records,,I thought ni statue aki
Mimi naona kabisa urefu wako uta kupa fursa nyingiii sanaa hasa ktk uigizaji ili kuzihirisha kua Mungu hakoseagi niwakati wako Sasa uta ona urefu wako n dili Mungu akuiinue zaidi lakini usimsahau