Nyakati 3 Ngumu Katika Maisha - Joel Nanauka

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 52

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 3 года назад +1

    Kwa,hakika hicho kipengele cha pili umenigusa mimi namshuru mungu nimekivuka salama na sasa nina furaha kuliko mwanzo kwa hakika namumtegemea mungu kwa yajayo

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 Год назад

    Ni sawa Joel my best,mtoto wangu alipokufa nilikataa tamaa Sana lakini namshukur Mungu nilikutana na wewe youtwib,

  • @johnmawazotz
    @johnmawazotz 3 года назад +2

    Hapa umenigusa mpaka ndani ya moyo, mimi ni dereva wa gari za abiria, siifurahii kabisa hii kazi napenda kufanya biashara na pia nina uwezo mkubwa wa kuandika nyimbo na kurap sasa hapa kwenye kuacha na kwenda napopapenda pananisha kwa miaka mingi. Je nifanye nini niweze kuvuka hili daraja

  • @davidernest5428
    @davidernest5428 2 года назад +1

    Joel asante Mimi ninashida naomba ushauri wako nmekufatilia San nmesoma sana vitabu vyako lakini Mimi kila nikitaka kufanya maamuzi kwenye maisha kuna Kuwa na uzito kwenye moyo chochot kwang ni kigumu naumia san kuna wakati hadi nalia

  • @mshigilakarume4425
    @mshigilakarume4425 3 года назад +2

    It is not what you are that holds you back, bt what you think your NOT that holds back

  • @annakisiga889
    @annakisiga889 3 года назад

    Haswaaaaa usichokipenda achana nacho

  • @abdulazizichacha3776
    @abdulazizichacha3776 Год назад

    Tumezipitia sana tuu

  • @nelsonjonas7334
    @nelsonjonas7334 2 года назад +1

    Brother I noted, God bless you.

  • @richardmadede9974
    @richardmadede9974 3 года назад

    Asante sana kaka kwa somo hili mm nyakati ambayo ninaiptia kwa sasa na kutopata matokeo ktk wazo langu la biashara na kwa sasa nkiwa nmpoteza kila kitu daaah so painful

  • @baracklomayani9811
    @baracklomayani9811 3 года назад +2

    ni kweli kabisa asante mungu akulinde na akuongoze

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Год назад

    Power message 👌🏽

  • @nurdinchilambo1486
    @nurdinchilambo1486 3 года назад +1

    Brother hii umepgilia msumali kwa nyundo' keep in couching

  • @Aviero_07
    @Aviero_07 3 года назад +3

    Shusha NONDO MKUU..

  • @cloudswai307
    @cloudswai307 3 года назад +1

    Nashukuru kwa mafundisho mazuri yananisaidia sa mungu akubariki

  • @grancebeuty2443
    @grancebeuty2443 3 года назад +2

    Bro ur so proud ,God Bless u

  • @lwangalantogwa5761
    @lwangalantogwa5761 3 года назад +1

    Blessed Blow 🏃 let GOD GIVE IT ALL

  • @nevagasmsamba5060
    @nevagasmsamba5060 3 года назад

    Nikweli kabisa Mr.nanauka

  • @ndobeheshija4176
    @ndobeheshija4176 3 года назад +1

    asantee sana brother be blessed 🙏🙏

  • @aishaaisha4549
    @aishaaisha4549 3 года назад

    Asante sana

  • @joyceLukumay-lw1gi
    @joyceLukumay-lw1gi 6 месяцев назад

    Tangu nifiwe na baba Mzazi nahisi nimeloss control ya kutolerate pain
    Yaani ule ugumu wa kuvumilia Maumivu niliokua nao awali haupo ni kama nakata tamaa

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 3 года назад +1

    Mashaallah bless you Ameen

  • @nurdinchilambo1486
    @nurdinchilambo1486 3 года назад +1

    kuna mda unakutana na changamoto kwenye maisha ya kila siku nasema ngoja nikaskilize vdeo flan ya Brother Nanauka

  • @elirehema325
    @elirehema325 3 года назад

    nimepoteza ninae mpenda tena nimemfanyia makubwa sana nimedumu nae kwa miaka9 tulifanikiwa kupata mtt1 kwasasa niko na mwanang kwa somo hili nimepata dawa iliyokamilika shukran zije kwako mkubwa j''nanauka

    • @happynescostat7420
      @happynescostat7420 Год назад

      Pole Sana ata Mimi nilipatwa na Hali Kama yako tusonge mbele na tumtangulizeMungu,

  • @venturebown6983
    @venturebown6983 3 года назад

    Bless up Bro

  • @stanleyandrea5153
    @stanleyandrea5153 3 года назад

    Asante kwa ujumbe mzuri

  • @esthermutua1287
    @esthermutua1287 3 года назад +2

    Good topic

  • @hamisichaka6875
    @hamisichaka6875 3 года назад +2

    Mi nimeajiliwa nalipwa Laki na nusu ila iyi kazi siipendi ila ninamika 7 kwenye kazi iyi ila siipendi pia sipendi kutumikiswa 😭😭

  • @charlesfaida1515
    @charlesfaida1515 3 года назад +1

    God bless you my Bro 🙏🙏your my life coach🤝

  • @Bahatigabriel50
    @Bahatigabriel50 3 года назад

    Nakukibali sana

  • @dorisilukinja4507
    @dorisilukinja4507 2 года назад

    Truu

  • @farajhassan1775
    @farajhassan1775 3 года назад

    Ahsante kaka 🙏

  • @nicolousmvungi9993
    @nicolousmvungi9993 3 года назад

    Good brother

  • @aliseliusliziki1332
    @aliseliusliziki1332 3 года назад

    Thanks

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 3 года назад

    Yote yapo kwangu

  • @aidanmbilinyi8184
    @aidanmbilinyi8184 3 года назад

    Asante

  • @j4boy205
    @j4boy205 10 месяцев назад

    Nilikuw naitaj kujua nafanyaj

  • @geftmjema6106
    @geftmjema6106 3 года назад +1

    🙏🙏

  • @hammyyombe5229
    @hammyyombe5229 3 года назад +1

    🙏

  • @mathayomosses1698
    @mathayomosses1698 3 года назад

    🙌🙌🤝

  • @johnsonvalerian8798
    @johnsonvalerian8798 3 года назад

    Bro unatupea nondo za kuelekea kuwa bora

  • @annazakaria1305
    @annazakaria1305 3 года назад

    Good lesson

  • @j4boy205
    @j4boy205 10 месяцев назад

    Brooo m naelewa san story zako sema nn bad m npo kweny mitihan sn nifanyaj

  • @jescamenard4560
    @jescamenard4560 3 года назад

    Dah😫 nasoma chuo naingia mwaka wa tatu lakin kitu nnachosomea sikipend hata kidogo napenda kusomea mambo ya saloon yan makeup nashndwa kuchukua maamuz kwa sababu ya mzaz wang em nipen ushaur

    • @shalua8337
      @shalua8337 3 года назад +1

      Fanya unacho kipenda ,furahisha maisha yako but sio kumfurahisha mtu mwingine ,ili kuepuka stress zisizo za msingi

    • @jescamenard4560
      @jescamenard4560 3 года назад

      @@shalua8337 asante nmekuelewa

  • @norbypoltv
    @norbypoltv 3 года назад

    🙏🙏🙏