🛑FRIJI BOVU AWAPA SIMBA MBINU YA KUWAPIGA SINGIDA BLACK STARS KESHO, FADLU ACHUKUE HII ITAMSAIDIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии •

  • @EdinaMwandiko
    @EdinaMwandiko 14 часов назад +1

    Mungu akutunze,unachambua vizuri sana,na ushauri mzuri sana

  • @Lughason
    @Lughason 18 часов назад +2

    Bro! Mechi ya kesho ni simple sana dhidi ya simba wala usihangaike trust me!!

  • @AllyjumaSwadi
    @AllyjumaSwadi 8 часов назад

    Kweli kabisa kaka chimalon masihara ndio yanamgarimu mahali kuna hitajika uharaka yey slow slow😢

  • @lonesomekabora5547
    @lonesomekabora5547 6 часов назад

    Kocha kasema Valentine Noum kaenda kuoa

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 8 часов назад

    Safi sana umevaa miwani umesema upo Babati?mbona timu inacheza Singida?

  • @AllyjumaSwadi
    @AllyjumaSwadi 7 часов назад

    Hapo kwa ely mpanzu sasa Atari sanaa😅

  • @severinemanday4334
    @severinemanday4334 5 часов назад

    Getasam iko wilaya gani brother...mm mzaliwa wa mbulu

  • @MasatuSabato
    @MasatuSabato 4 часа назад

    Mtaarifu coach ili awapange winga wote mpanzu kulia na kibu kushoto

  • @hamadabdullah9702
    @hamadabdullah9702 17 часов назад

    W umeshikilia first eleven tu cosh nd anajuw isimpangie coash

  • @HassanKassim-ei8ko
    @HassanKassim-ei8ko 3 часа назад

    La umuimu kocha atulize akili apange kikosi kigumu ninacho jilinda na kushambulia kwa Kasi Zaid. Wachezaji wazuri tupo nao wengi. Na asifanye sabu kwa kuchachawa

  • @LaurentMagesa-iv5yt
    @LaurentMagesa-iv5yt 18 часов назад

    Uchambuzi wa maana kweli

  • @AbdallahSalumu-zr3te
    @AbdallahSalumu-zr3te 18 часов назад

    Unajuwa friji kunamuda wewe unaona mbali sana waambie wacheze mechi uwanjani nasio kuanza majina yawatu yani soka labongo brother nishida

  • @virigianasaktay3498
    @virigianasaktay3498 18 часов назад +2

    Wewe fanya yako achana na mfalme wa soka, kama huna chakuongea kalale

  • @anthonymilinga8696
    @anthonymilinga8696 10 часов назад

    Wacha kuwasifia Singida ni tawi la yanga tunajua hili. Simba wana kamiwa sana na timu zote zinazo zaminiwa na GSM. Singida black stars 🌟 wameshapewa maelekezo na mume wao GSM na hata kama simba atashinda, tutapata majeruhi wengi sana kwenye hii mechi maana hawa wametumwa kuja kuvunja wachezaji wa simba kama wakishindwa kabisa kuwafunga chukua hii itakusaidia huko mbeleni

    • @ernestkamata2555
      @ernestkamata2555 5 часов назад

      Umeongea ukweli, match hii inaweza kuwa na majeruhi wengi kwa upande wa simba mwamuzi anatakiwa awe makini sana kwenye huu mchezo, kitu ambacho Simba inatakiwa kujua ni kuwa inaaende kucheza na Yanga nje ya uwanja kwa asilimia kubwa sana.

  • @JumamusaOmar
    @JumamusaOmar 9 часов назад

    Não unaowataja viongozi ambão wanaipenda Simba hawana timu wanazozimliki

  • @Lulaboytz
    @Lulaboytz 18 часов назад +1

    Pia tunaomba utupazie sauti swala la yanga kucheza baada ya kujua matokeo yetu kila siku siyo sahii, tff waboreshe ratiba

  • @AshaNchira
    @AshaNchira 9 часов назад

    Wambie hao michezo Haina siasa wp mwiguru nani? Mavunde nani? Dawa ni kuwachapa na magiri hao hizo ni mbinu za kuizoofisha Simba kwani Simba ina matajiri na I anamkabiris moo?Simba chezeni mpira muinyooshe yanga hawana lolote wanalingia kijanini masikini tupu.

  • @Lulaboytz
    @Lulaboytz 18 часов назад +1

    Tupe mbinu baba

  • @jonathansirkintungi3440
    @jonathansirkintungi3440 18 часов назад +1

    Hata wewe ni no sense wewe unaons Kuna fair play kwa watu kuwa na timu zao katika ligi Moja. Unaons jinsi simba anavykamiwa ili kuipa nafasi yanga Ambae ni mshindani wa yanga. Lakini timu hizi hizo zikicheza na yanga wanalegea kama mlenda. Kama hujui Sheria usizungumze. Wenye akili waliweka Sheria kuzuia mgongano wa kimaslahi usitetee ujinga. Yanga ana uhakika wa kupata point kutoka timu zilizifadhiliwa na gsm na mzigo wanapewa na yanga kama motisha kufunga simba. Kaa kimya wewe mwandishi uchwara hujui Sheria usizungumze.

    • @FrankKwanama-lo6fj
      @FrankKwanama-lo6fj 6 часов назад

      Ukiwa na timu bora huwezi kujali wala kumhofia yeyote hata ziungane timu zote za ligi kuu utazifunga tu, Ninyi mmezowea mbeleko ndio maana mna lia lia!

  • @hamadabdullah9702
    @hamadabdullah9702 17 часов назад

    W umeshikilia first eleven tu cosh nd anajuw isimpangie coash