HUYU DADA ALIWADHARAU MASIKINI KILICHOMKUTA KINASIKITISHA | MOVIE KWA KISWAHILI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 93

  • @pendomwambile3870
    @pendomwambile3870 29 дней назад +2

    Umetisha sana dharahu aifai aliekupa ww ndio aliemnyima mwingine huruma mapenzi ni muhim ktk maisha sababu akuna anaeijua kesho yake

  • @OliverPaul-y3e
    @OliverPaul-y3e Месяц назад +8

    Ee mungu baliki kila atakae soma comment hii 🙏🙏❤❤

  • @عائشهعبدالله-ي7ب
    @عائشهعبدالله-ي7ب 3 месяца назад +19

    Siku zote wahenga wanasema malipo ni hapa hapa duniani so usimudharau mtu usiyemjua 😢😢😢🎉🎉🎉❤❤❤

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 2 месяца назад +2

    Naipenda sauti yako dj salute 🫡 kwako from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎉🎉🎉

  • @Vivian-s7s
    @Vivian-s7s 22 дня назад +1

    Napenda sana movie za genius 🙏 🎉❤❤❤

  • @LusajoJackson-if8mb
    @LusajoJackson-if8mb 3 месяца назад +35

    Wanne hapa like hapa. Ubalikiwe xana kwakusoma comment yangu mungu akuongezee kipato chako❤❤❤❤

  • @rishmakhamis-h1w
    @rishmakhamis-h1w 3 месяца назад +8

    broh nakubal balaa movie zak ni bomba sana

  • @MarotiLwaboshi
    @MarotiLwaboshi 2 месяца назад +2

    Abo bat baroh safi kam uyo mzee niwachach dunia kbx

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 месяца назад +5

    Asante dj waasaaaaageeeniiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @GeftyMwakilave
    @GeftyMwakilave 2 месяца назад +1

    Yan hy dj nampend xanaaaaaa mung akupe maish malefu❤❤❤❤

  • @AdamSon-p4i
    @AdamSon-p4i 2 месяца назад +3

    naitwa twaah nimejifunza katk.maisha uxpend kumzalaum2 uxiemjuh nafurah xan kuxkiliz ximuliz iih maan kunaki2 nimejifunza yaan 💨

  • @ZuhuraSalim-b7r
    @ZuhuraSalim-b7r 2 месяца назад +1

    Asante kwa muvi nzuri

  • @AshuzaArsene
    @AshuzaArsene 2 месяца назад +1

    Nime jifunza mengi saaaana kutoka Congo 🇨🇩

  • @LazardHavyarimana-kb3nv
    @LazardHavyarimana-kb3nv 2 месяца назад +1

    Asante kwamuvi hiii🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @RahelNgobe
    @RahelNgobe 2 месяца назад +3

    Wadada tunajisahau sana Yani 🇹🇿

  • @Kissji-cd9on
    @Kissji-cd9on Месяц назад +2

    Uyo mdada amemsaidia uyo kijana kujitafuta na kuwa tajiri angebaki kwa uyo Mzee mpaka ambapo uyo mzee kafariki asinge pata chochote

  • @CareenMollel-v8o
    @CareenMollel-v8o Месяц назад +1

    Muvi ipo.vizurii8😢😢😢😮

  • @EzekielyJohn
    @EzekielyJohn 3 месяца назад +1

    Asee bro nakukubali kinowma

  • @Mnyangiri
    @Mnyangiri 3 месяца назад +2

    Kazi nzuri

  • @SideBoy-p3h
    @SideBoy-p3h 2 месяца назад

    nakubali Kaz zako Kaka unaweza Sana 💯💯🙏🙏💯💯

  • @judithkombe1644
    @judithkombe1644 Месяц назад

    Nimeipenda

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t 3 месяца назад +4

    Duuu nimafunz mazur kwa kwel

  • @DamascoPolla-i3c
    @DamascoPolla-i3c 2 месяца назад +1

    Iko powaaaaasss

  • @FatamaYiusuf
    @FatamaYiusuf Месяц назад

    Kenya🎉🎉🎉❤❤❤

  • @PatrickMatabaro-h8t
    @PatrickMatabaro-h8t 2 месяца назад

    Asante kwa muvii hii n

  • @MustafaSalimo-f2t
    @MustafaSalimo-f2t 2 месяца назад

    Nimekubari uyu muamba mungu abariki

  • @AliKhamis-qu7po
    @AliKhamis-qu7po 2 месяца назад

    Amin

  • @salomegunga5300
    @salomegunga5300 2 месяца назад

    Mbomba sana ❤❤❤❤

  • @ChristopherBonfils-dk1tx
    @ChristopherBonfils-dk1tx 2 месяца назад

    Iyi kali kbsa

  • @JohanithaAsimwe-tl3ox
    @JohanithaAsimwe-tl3ox 3 месяца назад +2

    Nizur San jamani 😂😂

  • @HUpendo
    @HUpendo 2 месяца назад +1

    Unajuwa mungu wewe

  • @judithkombe1644
    @judithkombe1644 Месяц назад

    Wao

  • @MMm-z9k
    @MMm-z9k 3 месяца назад +1

    Nichelewa bt nimefika 😢😢😢

  • @daudibrandMakeseni
    @daudibrandMakeseni Месяц назад +1

    🎉🎉❤

  • @WilliamArabe-y9g
    @WilliamArabe-y9g Месяц назад

    Ushauri wangu watu tuwe makini hasa wanawake mkipata maisha mnakua na zarau mno

  • @ezekielmichael9431
    @ezekielmichael9431 3 месяца назад +1

    Mzigo kabambe

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 2 месяца назад

    Maisha nikupanda nakushuku❤❤❤❤

  • @YusraramadhaniMossi
    @YusraramadhaniMossi 2 месяца назад

    🎉jama ni uzimuzaraumutu

  • @SalimMwakumbuko
    @SalimMwakumbuko 2 месяца назад

    Nakubal

  • @DavidAbwe-bi8sg
    @DavidAbwe-bi8sg Месяц назад

    Safi

  • @WinnieSwai-k6l
    @WinnieSwai-k6l 24 дня назад

    Maboss kama Hawa Wana kiti Chao mbinguni

  • @DivanGidion
    @DivanGidion Месяц назад

    ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 2 месяца назад

    Basi siku zikaenda yule jamaa akamtongoza yule binti ila binti alisha msahau akajaa jamaa akamtoa auti binti akala akanywa jamaa akala na mzigo alpomaliza akamkumbusha binti unanikumbuka?😂😂😂binti akisema hapana akamkumbusha binti akaanza kulia eti nisamehe jamaa akamwambia acha dharau kwani hapa nanuka mavi😂😂😂

  • @gladnessmichael9384
    @gladnessmichael9384 15 дней назад

    Na hii tabia wengi Sana wanadharau mtu ambae Hana huku wakisahau pesa Ina mwisho

  • @SmilingDachshund-xv5si
    @SmilingDachshund-xv5si 14 дней назад

    Haya matangazo yanatimalizia bando

  • @Daidizz01chinga
    @Daidizz01chinga 2 месяца назад

    Mimi naitwa Madai daude nipo Mozambique

  • @queenmunny244
    @queenmunny244 2 месяца назад

    Nakukubal ❤

  • @RyobaNyaronyo
    @RyobaNyaronyo 2 месяца назад +2

    Milima haikutani ,ila binadamu wanakutan

  • @MetaMeta-d6x
    @MetaMeta-d6x Месяц назад

    Heshima n kitu ya maana ju maskini na hata tajiri wte n sawa usimudharau mtu mwenye ako chini ju hujui ya kesho n metrine 4m kenya

  • @ZawadiMnara
    @ZawadiMnara 3 месяца назад +1

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @TuyisengeClaudette-f2e
    @TuyisengeClaudette-f2e 2 месяца назад +1

    ❤️❤️🇧🇮🇧🇮

  • @EliwanguPallangyo
    @EliwanguPallangyo Месяц назад

    Mvumilivu hula mbivuu!!
    Inathibitisha kila mtu ana njia yake ya kufikia mafanikio yake,cha msingi usikate tamaa,,na usichoke,kwani alochoka amefika mwisho wa safari!!

  • @AloyciaDaudi
    @AloyciaDaudi 3 месяца назад +1

    🎉🎉

  • @THOMASMATIKA
    @THOMASMATIKA Месяц назад

    Kupitia Movie Hiii nimejifunza kitu kuwa usimdharau usiyemjua

  • @AngelinaPaulo-bf1vw
    @AngelinaPaulo-bf1vw 3 месяца назад +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @mbukhebakari
    @mbukhebakari 3 месяца назад +2

    Mbn sauti yaleo kam siielew

  • @AkimanaDomie
    @AkimanaDomie 3 месяца назад +1

    ❤❤❤❤❤

  • @NaomiOnesmo
    @NaomiOnesmo Месяц назад

    😂jamani kwanini Naomi lakini😅

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 2 месяца назад

    Kuna kaka mmoja alikua anafanya kazi kwenye gari la maji taka siku moja alienda kwenye mji mmoja kunyonya taka alpofika aliomba maji ya kunywa binti akampa maji kwenye kopo la choon yule kaka akauliza mbona kikombe kichafu? Akamjibu ulitakaje nikupe kisafi wakati umeshika mavi😂😂yule jamaa amachukia hakunywa maji

  • @AimeranceIbrahim
    @AimeranceIbrahim 15 дней назад

    Kaka ilikosea. Maana agelimpapesa ndogotu ili aje kuomba kazi kwake. Watu wanajivunia pesa hawajuwi kama hujafa hajaumbika.

  • @BenjaminNdayiragije-r1g
    @BenjaminNdayiragije-r1g 2 месяца назад

    Mafunzo tosha

  • @AgustaMswima-jd1jw
    @AgustaMswima-jd1jw Месяц назад

    Usimdharau usie mjua kama anaomba msaada msaidie kama unacho

  • @AdelinaSadatale
    @AdelinaSadatale 2 месяца назад

    🎉

  • @Msanaofficial-o9g
    @Msanaofficial-o9g 3 месяца назад +1

    Hapa ni wapi😂😂😂

  • @ShabaniNgogo
    @ShabaniNgogo 3 месяца назад +1

    Me watatu jamani ety

  • @FurahIrakoze
    @FurahIrakoze 2 месяца назад

    Duuuu uyo nimwisho ila uyo njo atatokea kuwa mume wake

  • @CathyMwanganga
    @CathyMwanganga 2 месяца назад

    ❤❤

  • @MERVEILLEKango-h2g
    @MERVEILLEKango-h2g Месяц назад

    malipo nihapa hapa duniani na mu cho waubaya niaibi dicho kime muuta huyo bidada

  • @Arithmetic_084
    @Arithmetic_084 2 месяца назад

    Hii move imenifunza mambomengi miongoni mwao ni tenda wema bila kumuangalia mtu usoni kwani hujui nani atakaekujakuwa Masada kwako

  • @EdnaJeremiah-i2c
    @EdnaJeremiah-i2c 2 месяца назад

    Kwani yeye hana mikono😂😂

  • @AdamMohamed-u4p
    @AdamMohamed-u4p Месяц назад

    😢

  • @SAIDIMMUNGA-12
    @SAIDIMMUNGA-12 2 месяца назад

    😢nimependa kijana kwawema wake mimi na tokeya marekani saidi

  • @DulaUngando
    @DulaUngando 2 месяца назад

    Uchekexh jiniaz

  • @AloyceMasalu
    @AloyceMasalu 2 месяца назад

    Mbna familia za kitajili za kinigeria huwa mme Amma mke ni marehemu yaaan amefariki kwa nn????😂

  • @husseinramadhan7511
    @husseinramadhan7511 9 дней назад

    Usimdhalau mtu kwa kipato alichonacho

  • @hildamboneko1628
    @hildamboneko1628 2 месяца назад

    Usimdharau usiye mjua Mimi naitwa mariamu saidi nipo Oman naombeni niwe wa kwanza

    • @DaniKisitu
      @DaniKisitu 2 месяца назад

      sawa mamu nimekupenda 😂❤

  • @LucyUwera
    @LucyUwera 13 дней назад

    Usidalawu mtu nahujuwi kesho yake

  • @Halima-qr2qj
    @Halima-qr2qj 2 месяца назад

    Tenda wema upate malipo mema

  • @SallyZanzibar
    @SallyZanzibar 2 месяца назад

    ila sisi maskini huwa hatusaminiki kwenye hii dunia

    • @MwanaaMickdady
      @MwanaaMickdady Месяц назад

      Maskini huna mikono au unaulemavu ? Pembina acha uvivu nakukata tamaa

  • @iddisaid1680
    @iddisaid1680 2 месяца назад

    Ahmad said iko poa sana

  • @JohnFumbo
    @JohnFumbo 2 месяца назад

    No one knows tommoror

  • @MarotiLwaboshi
    @MarotiLwaboshi 2 месяца назад

    Abo bat baroh safi kam uyo mzee niwachach dunia kbx

  • @Janvier-y4r
    @Janvier-y4r 2 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤