MAISHA YANGU 💞 (Ep 1) | Love Story

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 93

  • @twizydadytv
    @twizydadytv 18 дней назад +16

    MASKINI TWIZY😭😭😭😭😭

    • @KhanifaJacoub
      @KhanifaJacoub 18 дней назад

      Kazi nzuri 🎉🎉🎉❤

    • @JasperMakaleOkamu
      @JasperMakaleOkamu 17 дней назад +1

      Kazi nzuru sana kaka mbona hauchatupatia mwelekeo wa muuza matunda.

  • @Byaunda-zi7ue
    @Byaunda-zi7ue 16 дней назад +2

    Mai na twizy nawapenda sana Mungu awazindi shie ❤❤❤😢😢😢

  • @Oumaymahmm
    @Oumaymahmm 17 дней назад +1

    Kaka twizy skuizi unajitahid kwa movie zinaenda vizuri sana😊

  • @EangleChado
    @EangleChado 17 дней назад +2

    Kazi nzuri lakini mnatuchelewesha tunasubili penzi la dada muuza matunda

  • @MuddyDady
    @MuddyDady 18 дней назад +1

    Dah bro movie zako nazielewa kinoma Hila nakushauli usizicheleweshe kuziachia

  • @NoelaOtaru-r4c
    @NoelaOtaru-r4c 15 дней назад +1

    Wasoma comment naombeni like

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 17 дней назад +1

    Mungemaliza kwanza dada muuza matunda then ndo mungeenda movie nyingine❤❤

  • @KingQueen-f4r
    @KingQueen-f4r 17 дней назад +1

    Jaman twiz na mai 😊😊tunawapenda2 buree❤❤❤

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo 17 дней назад +1

    Kazi nzuri congratulations 🎉👏

  • @SifaauZaina
    @SifaauZaina 17 дней назад +1

    Aaaaa naitaji kwanza nimalize muuza matunda ila nawakubali. Sana tu

  • @WistoniSiliveri
    @WistoniSiliveri 17 дней назад +2

    Kiufupi mmezingua jaman 😮mngetumalizia kwanza ya dada muuza matunda sasa haijaisha mmeleta nyingine acheni tamaaaa

  • @HassanAlly-n8k
    @HassanAlly-n8k День назад

    Munaweza sana ongela❤❤❤

  • @ApolinaMwitenda
    @ApolinaMwitenda 17 дней назад +1

    Lmalizeni kwanza Binti maskini❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 18 дней назад +1

    Twizy mai akimaliza kuchana kabsa hilo shat kinachofuata ni kukurarua ngozi😂😂😂shauri yako ila mmeweza bhana chukueni maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @MariamZingizi
    @MariamZingizi 17 дней назад +1

    Jamani twizy hadi huluma😢😢

  • @GisubizoSarah-fr7xc
    @GisubizoSarah-fr7xc 15 дней назад

    Twizy nabapenda sana Niko 🇷🇼🇷🇼 rakini Leo hakutupatia movie dada muuza matunda

  • @OliverPaul-y3e
    @OliverPaul-y3e 18 дней назад

    Maskini twizy mizingo aliyo nayo kumlea Mai na mdogo wake kwa maisha alionayo mungu mpe wepesi🎉🎉🙏🙏🙏

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu 17 дней назад

    Kazi nzuri❤

  • @AishaNibizi
    @AishaNibizi 18 дней назад +1

    Kaka twizy nimesibili binti muuza matunda onasasa apana Brother tumalizie moja afu utupe nyingine unatucanganya 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @RammyanLewah
    @RammyanLewah 16 дней назад

    Mai ni chizi lakini anaonyesha upendo kwa twizy, nawapenda sana Mai na twizy

  • @JacobTapwaaLaizer
    @JacobTapwaaLaizer 18 дней назад +1

    Wa kwanza like zangu jamani

  • @HLl-n1m
    @HLl-n1m 17 дней назад

    Kazi nzuri dada muuza matunda mtatoa lini

  • @SalamiMansour
    @SalamiMansour 18 дней назад +1

    Jaman polee sanaa we mtoto

  • @ImaniBinilm-w7y
    @ImaniBinilm-w7y 18 дней назад

    Oooooh kumbe tumehachika Sisi tunao fatilia binti maskini muhuza matunda, sio vizuri mwamba Twizy Ila kwakutuweka sambamba itakubidi bindi unatoa hii kwasiku hakikisha unatoa n'a ile muhuza matunda Ili tuwe na enjoy pote story isitupotee🙏🙏🙏🙏 nakukubali mwamba(◍•ᴗ•◍)❤

  • @JaneViver-z6j
    @JaneViver-z6j 12 дней назад

    Weeee❤

  • @ahadusaid1951
    @ahadusaid1951 18 дней назад +2

    Nimejiunga bando langu nilijua binti muuza matunda inaendelea tunaomba utupe ratiba siku zipi itaweka binti muuza matunda ili wengne tufatilie au imeisha tayar 😢

  • @MarimuDotto
    @MarimuDotto 17 дней назад +1

    Tuletee muendelezo wa dada muuza matunda twizy

  • @NininahazweAdidja
    @NininahazweAdidja 17 дней назад

    Polesana twizy

  • @MwadawaMayengo
    @MwadawaMayengo 18 дней назад

    Kazinzuri sana twizydady

  • @VeronicaMichael-y4b
    @VeronicaMichael-y4b 14 дней назад +1

    hii ndo inasabbsha saiz mnachelew kupost dada muuza matunda mngekuw mnamalza kwanza movie ndo mnaanza nyingne

  • @MarcoJuma-f7o
    @MarcoJuma-f7o 17 дней назад

    Karibuni basi kumaliza moja moja then zingine,tunataka muimalize kwanza ya binti masikini,dada muuza matunda mnatuchanganya kwakweli

  • @rozamarcelle1241
    @rozamarcelle1241 18 дней назад +9

    Akili yangu nafikiriya enti Leo tutaona muuza matunda kumbe kumesha letewa ingine yahani nyiye nibasitu nikitu ambacho amujuwi pumbavu zenyu nyinyi🔥💔💔💔

    • @twizydadytv
      @twizydadytv 18 дней назад +2

      Roza😅😅 Muuza matunda kesho saa sita

    • @rozamarcelle1241
      @rozamarcelle1241 18 дней назад

      @twizydadytv_ sawa hapo nimerizika kidogo 😆😆😆😆

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 17 дней назад +1

      😂😂😂😂😂

    • @FatmaAli-wr7mm
      @FatmaAli-wr7mm 17 дней назад +1

      ​@@RizikiZiki🙌🙌🙌

    • @WistoniSiliveri
      @WistoniSiliveri 17 дней назад

      Sawa tunaisubir ila mdogowako muache2 usimpige

  • @MoosesKuloba
    @MoosesKuloba 18 дней назад

    Imekuwaje tena😅😅

  • @SifaauZaina
    @SifaauZaina 17 дней назад +1

    Mna tu boa bwa ila nawakubalisana muuza matunda. Vp

  • @SwaumuMohammed-w2l
    @SwaumuMohammed-w2l 13 дней назад

    Kwani my auna vijora vyengine😅😅

  • @MarcoJuma-f7o
    @MarcoJuma-f7o 17 дней назад

    Ila Nainah bwanaaa!!!!!

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 17 дней назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NaimaSaleh-i5h
    @NaimaSaleh-i5h 18 дней назад

    Huyu mai hapendez kbsaa kuwa hv

  • @MargaretJulius
    @MargaretJulius 18 дней назад

    Watia uluma twizy

  • @KudraEliasa
    @KudraEliasa 17 дней назад

    Tumaliz kwanza jmn moja moja unatuchanganya ss jmn

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 17 дней назад +2

    Twizy ushaanza kuzinguwa na wewe tunataka dada muuza matunda kwanzaa hakuna kitu sikipendi kufatiliaa kitu ukishaa kisifike mwisho kikaishiaa njianii sipendi jaman tunataka dada muuza matunda kwanza😒😒😒😒😏😏😏

  • @JoelWafula-in3xh
    @JoelWafula-in3xh 17 дней назад +1

    hivi mmekata ya dada muuza matunda,au ingalipo,msituchanganye

  • @RaliaMohamed-q8l
    @RaliaMohamed-q8l 17 дней назад

    Maskini twizy pole sana😭😭😭

  • @JusterNovatus
    @JusterNovatus 14 дней назад

    Movie ni nzuri lkn karbia kipande kinaisha mtu anaokota tu makopo no action

  • @Clara-r2w
    @Clara-r2w 17 дней назад

    Punguza mziki twizy

  • @Faith-p4c
    @Faith-p4c 18 дней назад

    𝐇𝐢𝐢 𝐦𝐨𝐯𝐢𝐞 𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐳𝐮𝐧𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐤𝐚𝐤𝐚😢😢😢

  • @YAKASHIMBAMAZAMBI-m5u
    @YAKASHIMBAMAZAMBI-m5u 17 дней назад +1

    😢😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭😭♥️❤️

  • @InnocentJohn-u4e
    @InnocentJohn-u4e 16 дней назад +1

    Ila twizy n hansiboii😂😂😂

  • @ThamimaRajabu-bs2nd
    @ThamimaRajabu-bs2nd 17 дней назад

    ❤❤❤

  • @AbibaSalleh
    @AbibaSalleh 18 дней назад

    Ninzuri

  • @SwalehSelemani
    @SwalehSelemani 18 дней назад

    Twizy unahangaika Kuna Ile dada wa kazi umeikatisha Kila siku unatuletea vipande vipya

  • @MaisaraHaji-p9k
    @MaisaraHaji-p9k 17 дней назад +2

    Twin uwe unatoa na miendelezo mna zote ziko poa

  • @NaimaSaleh-i5h
    @NaimaSaleh-i5h 18 дней назад

    Twizy unazingua kuna ile muuza matunda hujamalza unatoa nyengne jomon Malizen kwanza hzo nyengne munazingua

  • @FarhhFarhh
    @FarhhFarhh 17 дней назад +1

    ❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @virginiaazzolini
    @virginiaazzolini 18 дней назад +1

    Kaka kwani mza matunda Imeisha

    • @twizydadyfamilia
      @twizydadyfamilia  18 дней назад

      Bado inaendelea Hadi part 60 kesho inapanda 22

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 17 дней назад

      Kumbe tungali tuta enjoy 😂hadi raha yani​@@twizydadyfamilia

  • @Pat139enZaeadic
    @Pat139enZaeadic 17 дней назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @Clara-r2w
    @Clara-r2w 16 дней назад

    Twizy maliza move ingine ndipo uanze upya

  • @BickolRaphael
    @BickolRaphael 17 дней назад

    Jaman Mbona ham ereweki yani Mbona mna anzjsha mv halafu hammalizi mna anzisha nyingine nikwanini mtwambie jamani halafu hamtwambii tatizo ni Nini linalo Fanya msimalize mlizo zianzisha kwanza et hatu erew

  • @MwanakitiAlly
    @MwanakitiAlly 18 дней назад

    nimewahi

  • @maybe-y7y
    @maybe-y7y 18 дней назад

    Jamani kwani hii ya muuza matunda iliisha mbona ilifikia mahala patamu?

  • @PeterMutie-cq9px
    @PeterMutie-cq9px 15 дней назад

    Naangalia nikiwa sultan hamud county in Zambia country

  • @tommymelodyofficial4844
    @tommymelodyofficial4844 18 дней назад

    Unatia uluma twiz

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula 16 дней назад +1

    🥰🥰🥰🥰🥰❤❤❤🇰🇪🇰🇪🎉🎉🎉

  • @MomadeAli-m1h
    @MomadeAli-m1h 18 дней назад

    Boa noite pessoal

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 18 дней назад

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢

  • @FurahaChristine-g8w
    @FurahaChristine-g8w 18 дней назад

    Twizy una ni leteya huzuni

  • @NadzuaPriscilah
    @NadzuaPriscilah 18 дней назад

    Tafadhali twizy malizia dada muuza matunda kwanza

  • @trystanbertand1603
    @trystanbertand1603 18 дней назад

    Twizy yani leo umezinguwa nusu ya épisode yote unaogota m'a kopo?

  • @HabibaZakeo
    @HabibaZakeo 17 дней назад

    Twendee taratibu jaman maliza muuza matunda then lete vitu vipya

  • @Nyotasimulizi
    @Nyotasimulizi 18 дней назад

    Kutembea kwingi jamani hadi tunachoka kusubiria maneno jamani

  • @MomadeAli-m1h
    @MomadeAli-m1h 18 дней назад

    Eu nao sei esse lingua

  • @MomadeAli-m1h
    @MomadeAli-m1h 15 дней назад

    Eu nao sei falar swahil

  • @MwanamisiMwembe
    @MwanamisiMwembe 17 дней назад

    ❤❤❤

  • @SalmaMaulid-t9j
    @SalmaMaulid-t9j 17 дней назад

    ❤❤❤

  • @RehemaKithome
    @RehemaKithome 11 дней назад

    ❤❤❤