Melody Mbassa una kipaji kikubwa cha muziki. Mungu akutunze ukue zaidi kimuziki. Muunganiko wa sauti yako na ya Papii ulileta sauti tamu sana ya kuburudisha. Fanyeni collabo zaidi, ikiwezekana muwe bendi moja. Papii kocha nae hapoi, ameitendea haki verse ya kwanza kwa sauti tamu yenye ladha akiyalilia mapenzi aliyopata awali. Wimbo hauchoshi kuusikiliza.
Nyimbo nzuri sana imenifanya niipige siku nzima, hongera sana Melody Mbasa. Pale inapoishia ungeiacha vyombo viimbe ingechezeka vizuri sana hata kwenye kumbi za music
Kideo kikali mnoooooooh km pilau LA kuku.... Halafu kitu kingine hizi voko ata nilikua cjui nani kafungua song mamaee nilikua najiuliza papii kaimba wapiiii!? Kumbe ndio kafungua
Melody mbassa video mpya lin au piga kolabo nyingine na Christian bella itabamba sana aaah nimekumbuka au twanga pepeta unawaonaje achia bas ngoma mpya sie tumemis melodi yako tamu masikion mwetu mashabik zako tunakupenda sana ❤❤❤❤
Asante kwa wote mnaoendelea kuniunga mkono mungu awabariki sana🙏🏾
Nice Song Bro,,,,,endelea kutupa burudani bro.
Karibia kila siku lazma niisikilize hii nyimbo na ile ya BEBE
Unajua
great song sijui kama watu wameuelewa kama navyouelewa....una sauti nzuri sana keep it up
Toa nyingine na nyingine...kiu ya masound mbassa..
Lete vitu
Tupo pamoj melody
Kama unaamini melody ni msanii mwenye sauti nzuri LIKE zenu tafadhali
Hongera kijana nifata nikiwa Kinshasa drc na fkiri Kama skosei niliwai kukuona forty forty tabata kule tanzanie mwaka juzy kipindi nipo tanzanie
Melody Mbassa una kipaji kikubwa cha muziki. Mungu akutunze ukue zaidi kimuziki. Muunganiko wa sauti yako na ya Papii ulileta sauti tamu sana ya kuburudisha. Fanyeni collabo zaidi, ikiwezekana muwe bendi moja. Papii kocha nae hapoi, ameitendea haki verse ya kwanza kwa sauti tamu yenye ladha akiyalilia mapenzi aliyopata awali. Wimbo hauchoshi kuusikiliza.
Nyimbo za maana huwa na viewers wachache, Nani kagundua hili????
Ajabu na kweli🤣🤣
Watu wanapenda kuimbiwa matusi na kuona Dada zetu wanaonesha uchi wao
Mimi Yani nyimbo zake nasikiliza kabla sija lala nanikiamuka hivyo sauti yake ❤️❤️❤️🥰✨
Kabisa bro
Ngoma kali
Woyoooo safi
Naskia sauti yako ikipenya moyoni mwangu mungu akutunze
Kama hii ngoma imekugusa gonga like
Sijawahi choka kuisikiliza hii nyimbo hongera San bro 🙌🙏
Nyimbo iko hot sanaaaa...... Kazi nzurii
Ebanae nomasana huyuma atari sana dah
Jaman wimbo mzur lkn hauna viewers
Nyimbo kali haipew airtime ...bonge la ngoma
Nakuelewa sana kaka mpaka shemeji yako anakasirika mana ndani nyimbo zako kila saa
melody mbasa na papi kocha mko juu sana mimi sielewagi nyimbo za tz ila melody mbasa na papi kocha nawaelewa sana
Huu wimbo hatari,sio pw
Uko vizur yaan nimebahatika kukusikia azam ukwel hii mizik ya wakubwa da!
Ila papiiiiiiiy atari sana wwew ni unachembechembe za kikongo kweli by the way mmi nishabiki wako darasa la 5 mpa sasa ni mtu mzima
Mda mrefu sanaa sijapata radha adimu kama hz ama kweli pilau la kuku wa kienyeji
Sijawai kuichoka hii nyimbo kwanza kiswahili kimeenda shule dah nataman siku niione live inkuaje
Melody na Papi, what a combination, this is what we call a collabo. Sauti zmepangwa vizuri. 100% love it
Papii 2mekumiss ujue
MZIKI MZURI SANA
Wimbo bora sana king mbassa
Unafeli wap mdogo wangu?kila kitu unacho yni mpaka nachanganyikiwa
Repeating mode🕺🏻🕺🏻
ngoma kali nashangaa ina views kdg
Papii kocha ndo nasikia hii nyimbo mwaka huu dah umeitendea haki sana kwenye ule ubora wako kabisa
Iki kipaji toka kwa mola 🙏
Nice song nice melody I'm enjoy #bigup&keepitup
Mzee unakwama wapi kuweka hii nyimbo Apple Music aiseee nyimbo kali sana aisee haistahili kufanywa ndogo kiivo.
Nikisikiliza nyinbo zako huwa lazima nitokwe na machozi aisee
Wimbo nzuri
Ngoma ya Moto sana hii
Dah ni hatari sana kaka
Muziki ulikuwa muziki. Ngoma kali
Hili ni jiwe la mwaka nyie jamaa msikae mbali mbali huu wimbo uwaunganishe daima hongereni sana wimbo hauchoshi 😇🔥🔥🔥
Wimbo mzurii🎉❤
Nyimbo nzuri sana
Melody mbasa
Kati ya waimbaji ninaowaelewa bongofleva ni wewe jamaa
Papi mungu anajua kutuludishia sautiyako
www mbona ni mkal San hizo ndio nyimbo zako nyimbo nzuri sana
Reminds me of Bushoke 🎉, great sounds fire, keep pushing son
Nyimbo kali sana...naona unataka kuwa Christian Bella...ila video umeniangusha kidogo...ila big up saaaana...naanza kukufuatilia
enzi yako ulikuwa shida
Nyimbo nzuli
Unatisha mwangu
Good songs bless
Hatari sana melody
It's an sadness song but it sounds good
Muziki mzuriii
Oyooooo asanteeeeeeeeeeeee
wimbo ambao sichoki kuusikiliza kazi zako nimezipenda sana unaujua miziki jamaa
Sanaaaaaaa
Upepo unafanya maua yachanue mapenzi yafanya mimi nisitulie
Big up Papii Mbassa
Bonge song aisee uko na sauti nzuri mno ila naomba ufanye kolabo na Cristian bella
Nice song to me
mziki mzuri sana
Wimbo ni mzur sanaaaaaaaaa
honngera sana mbassa
Sichoki kuusikiliza
Kazi nzuri ya kuburudisha moyo inasuzika
Hizo sauti ni balaaa saaana. Mungu awape maisha marefu yenye heri na baraka tele
Mamae nakukubali sana mzee mungu akufikishe mbali
Kaka. Angu 🥰
Nyimbo nzuri sana imenifanya niipige siku nzima, hongera sana Melody Mbasa. Pale inapoishia ungeiacha vyombo viimbe ingechezeka vizuri sana hata kwenye kumbi za music
Hongera sana, nimekubaliana na vocal arrangements ziko poa
Kiwango cha juu sana Naipenda hii kuisikia tu dah Melody + Sauti ni dunia nyingine big up san .
Hongera sana kaka yani nyimbo sijawai kuicho kiskiliza sema nashidwa download video yake
Nice song#melody
Kaz nzuri san ,bro
Video nxuri sana sema mlichelewa kutoa video
Nic
I like rhumba music
Kideo kikali mnoooooooh km pilau LA kuku.... Halafu kitu kingine hizi voko ata nilikua cjui nani kafungua song mamaee nilikua najiuliza papii kaimba wapiiii!? Kumbe ndio kafungua
Daaah cjui kaka hata upewe jina gani .....ni hatareee ....aseee
Wow!najisikiaga raha sana huwa nikisiliza melodi tamu kamahizi haki mnajua sana big up for you guys
Naskiliza muda wote hii nyimbo inagusa sn maisha yako
Ngoma Kali sana
Nipo apa 2023 and am enjoying this exciting melodies 🔥🔥
uko vzr sana melody
I love this 🎵 🎶, ❤❤
Melody mbassa video mpya lin au piga kolabo nyingine na Christian bella itabamba sana aaah nimekumbuka au twanga pepeta unawaonaje achia bas ngoma mpya sie tumemis melodi yako tamu masikion mwetu mashabik zako tunakupenda sana ❤❤❤❤
Nina EP mpya Stream or download " MOTO (Full EP)" by Melody Mbassa on BOOMPLAY MUSIC 👇🏿👇🏿hapa www.boomplaymusic.com/share/album/14535736
Wee Jamaa mbaya sanaa mbona sijakujua siku nyingi Unaujua mziki Broo U are doing the real life time music Mziki wako una maisha marefu sana 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥
😂😂nilikuwa nakwenda mpanda nasikiliza hii song 😂😂 dah!! Mapenzi haya❤😂😢😅
My favourite song.
Safiii 💪
Km pilau la kuku mamaeee bado tupo pale
Nakubali code
Nakukubali saana
hii video haijautendea wimbo haki, ila all in all mwanzo mzuri
Papii Kocha kama kawaida kaua sana!!!dah!!Hongereni sana
Za kiutu uzima▶️▶️
Erasto machine atabaki kuwa producer mkali Maana utamu wa mziki ninao usikiliza hapa ni Siri yangu 😂 😂
Kabisaaa
Kila usiku nilalapo nasikiliza upepo na nikukoleze
My favorite song
Safi sana Melody mbassa hakika sijutii kusikiliza nyimbo zako utafika mbali sana 🙌🙏
Good boy mziki mzuri video kari so wastaiki pongezi mkaka
papii nakupenda sanaa..unajua Sana aiseee
Clouds wamenifanya niitafute hi song imenigusaaa kinomaaa story yangu
Tuko wengi kumbe
Namkubali Sana huyu jamaaa jamani dah
Ukiona nimecoment jua umeweza. Pambana mzee unaweza.