Taarab: Natoa Nafasi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 520

  • @mohamedmasanga9134
    @mohamedmasanga9134 2 года назад +3

    Zuhura Shaaban hongera sana pamoja na kundi zima lililoshiriki ktk raha hii kwa kweli moyo unapumbazika hongereni sana

  • @masikaabdalla275
    @masikaabdalla275 4 года назад +18

    Natoa nafasi kwa anaewezaa ajekunishiiindaa ,, hapo sawa

  • @metalcombat4470
    @metalcombat4470 8 лет назад +20

    Nyimbo ina miaka zaidi ya 30 tangu iimbwe na Culture Musical Taarab lakini ameitendea haki kiasi huyu Habibti Macho!

    • @FranklinMtei
      @FranklinMtei 7 лет назад

      Metal Combat asante sana. Huu wimbo wakati nipo mdogo mama zangu wadogo walikuwa wakiupenda sana. Nikaupenda toka wakati huo. Juzijuzi nilipousikia nikaufuatilia nikaupata hapa. Cha ajabu naona muimbaji sio wa miaka ile. Kumbe ni Culture!! Kautendea haki

    • @maryamsaid6010
      @maryamsaid6010 5 лет назад

      Tena ukiiskiliza kwa umakini utahisi kama imeimbwa jana

  • @tumag4257
    @tumag4257 4 года назад +6

    Jamani mapenz ni kipaj Hata mtu akitowa nafas juwa kajiamn Sana'a Hata mim natowa nafas hahahhhaha........ Love you dazuu

  • @augustinebasil3218
    @augustinebasil3218 4 года назад +6

    Huu wimbo kwa kweli mashairi yake yamesimama ile mbaya,hongera Sana mtunzi

  • @bashirmkambala2407
    @bashirmkambala2407 4 года назад +65

    Anayeikubali hii nyimbo kila siku gonga like yako hapa ili tuwe pamoja 2020

  • @yazmeenkhan1411
    @yazmeenkhan1411 4 года назад +8

    Natoa nafasi kwa anayeniweza aje nitoa 🔥🔥🔥 haloooooooo

  • @amneyhassain6356
    @amneyhassain6356 3 года назад +30

    Who listenes 2021 this Taarabu ni Motooooo🔥🔥🔥all the way from Dubai

  • @zwatts38
    @zwatts38 8 лет назад +42

    Mashaallah...jamani sauti...yaani kajaaliwa mwanadada. Love you dada Z. Greetings from Houston, Texas.

    • @salmaali344
      @salmaali344 7 лет назад +4

      sitoji dhulumu kwa wangu mpenzi.......asante

    • @nasrakika2722
      @nasrakika2722 6 лет назад +1

      Oh mashallah mashallah Dada ang

  • @viviapuchi5962
    @viviapuchi5962 7 лет назад +4

    natoa nafasi kwa anaeweza haje kunishinda, Mie kipande icho mashallah

  • @ahmadmaguo8575
    @ahmadmaguo8575 8 лет назад +9

    Kama Rahisi.... duuu Zuhura Shaaban umepatia sana.

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 года назад +16

    Nyimbo nzuri mashaallah, Na music, mwastahili kusifiwa

  • @jumasukari8257
    @jumasukari8257 8 лет назад +12

    Sauti adhim! Mashaallah Bi Zuhura.

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 4 года назад +13

    Daah? Sichoki kusikiliza sebene 2020 twende pamoja

  • @siwajibumkali3201
    @siwajibumkali3201 2 года назад +1

    I lovely this song ooooh!! Zuhura umeutendea haki huu wimbo

  • @samueladalaomuyangu4282
    @samueladalaomuyangu4282 4 года назад +5

    Mziki uko juu jameni🇰🇪🎼🎵🎶🎤🎧

  • @valenciaamos4759
    @valenciaamos4759 5 лет назад +9

    Naingia nayo twenty twenty Mimi mungu akipenda

  • @rahmaathmanrahmaathman1244
    @rahmaathmanrahmaathman1244 9 лет назад +21

    Sikubabaika tangu anitake kwake nimetulia wow nalo neno

  • @TheHighfly58
    @TheHighfly58 3 месяца назад +2

    Wow Tanzania 🇹🇿 the got good songs nice vibe

  • @suedjuma4185
    @suedjuma4185 8 лет назад +12

    toka hawewangu nami niwe wake kiguu na njia maneno kuntu maa shaa llaah

  • @iddiehussein6562
    @iddiehussein6562 7 лет назад +1

    sitojidhulumu kwa wangu mpenzi nikaangamia. l real love this. Good sound from dada zuhura

  • @bibisaidkhamis6227
    @bibisaidkhamis6227 Год назад +34

    Wapi wale 2023 nipe likes kama upo pamoja namm 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @sabeehasabeha1920
    @sabeehasabeha1920 4 года назад +2

    Hongeraaaa zuhuraa. Asante saaaana kwl kabisaa😄😃😆😂👍

  • @faithfaary4460
    @faithfaary4460 4 года назад +17

    ❤❤❤😍😍😍😍😘😘😂😆👌huyuuu Dada mashallah ajua kuimbaa

  • @omaryntunguru9740
    @omaryntunguru9740 4 года назад

    Ujumbe pambe uwafikie wote Kama kuna mtu anaeweza hongera my dada

  • @dottoabdallah4353
    @dottoabdallah4353 7 лет назад +7

    Nimefurahi sana kuupata huu wimbo Jamani Kaka Kijazi Ubarikiwe hd ushangae

  • @rahmamehta5484
    @rahmamehta5484 4 года назад +1

    👍👍👍wimbo mtaamu saana kwa sisi tunaojua taarabu

  • @omaryntunguru9740
    @omaryntunguru9740 4 года назад

    Natoa nafasi kwaanaweza wimbo pambe zuhura uko juu mama Hakuna anaebisha

  • @fatumaababy1281
    @fatumaababy1281 7 лет назад +16

    MashaAllah old is gold 2017+974 Qatar much love

  • @shenazbaksh9537
    @shenazbaksh9537 8 лет назад +70

    🎼🎧🎤🎼📢nimemuamini ni wangu mlezi anaenilea,wangu wa moyoni tena namuenzi namnyenyekea,nakula yamini pendo sigeuzi nimesafi nia,...uovu asilani kwa wangu mpenzi sitomtendea🎶🎧🎼🎤

  • @misstears4673
    @misstears4673 8 лет назад +6

    luv this song ... kwake nishapendeza ndio kanipenda

  • @paterinomlowe8317
    @paterinomlowe8317 2 года назад +1

    Nmejikuta nasikiliza nice song and deeply filing

  • @blackpanthermillz3841
    @blackpanthermillz3841 26 дней назад

    Dah yaani nimejikuta nimeumiss huu wimbo2024

  • @mozabambo99
    @mozabambo99 6 лет назад +2

    sitojidhurumu kwa wangu mpenzi limesi limenikosha mashaallahu

  • @sofiasofia8886
    @sofiasofia8886 5 лет назад +2

    2019 Mapenzi yake matamu kuliko Asali nayafurahia wanaonilaumu potelea mbali hahhaaaa Naipenda sana hii Taarabu imenigusa moyoni

  • @SikudhaniMsengwa
    @SikudhaniMsengwa 21 день назад

    Huu wimbo naupenda sana ongera kwake mtunzi na muimbaji katulia

  • @saraahs6884
    @saraahs6884 3 года назад

    Yasalaaaaam santa dada zuhura 😘❤❤❤💞😘👍👌💯hongeraa dadanguu

  • @pataniabdallah9578
    @pataniabdallah9578 4 года назад +1

    Mashaallah zuhura shabani hizi ndiyo taharabu mashaallah

  • @fardahally8511
    @fardahally8511 3 года назад

    Watabaki kuwa wapita njia tu! hawawezi kitu kwa Mmiliki njia heheheyaa!! ahsante Marmy penda sana.

  • @faithfaary4460
    @faithfaary4460 4 года назад +11

    Wimbo mzuri nao hakikaa mashalbiki waltasema😂😆👍

  • @halimashebe6966
    @halimashebe6966 Год назад

    Mashaallah unazeeka na sauti yako Zuhura bint Shaaban.

  • @habibakhlifa8534
    @habibakhlifa8534 7 лет назад +11

    nyimbo nzuri sana haichuji alipo nitaka ili niwe wake sikumuhofia sikuwa na shaka ombilake nimemkubalia

  • @florenciakapanda9942
    @florenciakapanda9942 6 лет назад +65

    who listens it early 2019💋💋💋❤❤❤❤ihiii kitu tyamu jamaniii haichujiii

  • @richardcharles135
    @richardcharles135 5 лет назад +1

    Naaammmm mambo ya yangu aya taarabu kali Sana hii

  • @namelessn3785
    @namelessn3785 2 года назад

    Yasalam waaaahhh bi zuhraa wallah nampa hongera kabisaa story yngu nyimbo hyo ❤❤❤💞💞💞🙌🙏🤣👌😁💯

  • @iddiehussein7148
    @iddiehussein7148 7 лет назад +2

    Nimemuadhini ni wangu mlrzi anaenilea. Good stuffs

  • @mouhamadbakri8655
    @mouhamadbakri8655 7 лет назад +8

    mutafanya nini pendo letu la walili nye lawahudhi nini nye 😍❤💖💞💟❣💖💗💗💗💗💗💕💔💔💟💞💖💗❣💟💟 hapo patamu sana ubarikiwe dadangu huu wimbo unavutia kiukweli

  • @TabasumTab-xo2zn
    @TabasumTab-xo2zn Год назад

    Hongeraa bi zuhra❤❤❤😂😘😘😘🤲🙏😂😂😂 story same namm kabisa wimbo hunu

  • @meemaabdulrahman2939
    @meemaabdulrahman2939 8 лет назад +2

    I love this song aaa ameshanihisi kwake napendeza asante

  • @shenazbaksh9537
    @shenazbaksh9537 8 лет назад +35

    🎤🎧🎶🎵🎼🎸mapenzi adhimu yasiyomithali yameniingia,tena ni matamu kuliko asali nayafurahia....wanonilaumu potelea mbali leo na wambia.sitojidhulumu kwa wangu mpenzi nikaangamia🎼🎶🎵🎧🎤

  • @bamuurockstar2217
    @bamuurockstar2217 6 лет назад

    natoa nafas kw anae wezaaa ajekunishindaa...
    amesha nihic kwak napendez ndio kanipend 😘
    mapenz mubashar kiukwel ile raha y dunia unaiyon

  • @rahmaally9945
    @rahmaally9945 3 года назад +5

    Naupenda bure bure huu wimbo 2021 tuko pamoja

  • @kissajohn6360
    @kissajohn6360 8 лет назад +3

    Nyimbo tamu mpk nalia kwa raha dah! Old is gold

  • @SuleymanSuleiman-i2k
    @SuleymanSuleiman-i2k 3 месяца назад

    ni nzuri mno❤❤

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 5 лет назад +8

    Nyimbo hiyo inanikumbusha miaka ya 80 wakati nakula kichapo cha malezi shamba, (kijijini). Sitamani kukumbuka zaidi juu ya malezi hayo!😢😢😢

  • @yusufumwasha548
    @yusufumwasha548 4 года назад +57

    Nani yupo na mimi 2020?haya nipeni likes lakini mambo pambee

  • @ummumuu5395
    @ummumuu5395 7 лет назад +6

    Ameshanihisi kwake napendeza ndio kanipenda..🎵

  • @mariamusoud6055
    @mariamusoud6055 6 лет назад +2

    Sintojidhulumu kwa wangu mpenzi nikaangamiia inanikumbusha mbali sana

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 6 лет назад +4

    Wwaaaawwww ama zina rahaa nyimbo hizi.!!!

  • @nicholaskinyua4724
    @nicholaskinyua4724 3 года назад +2

    Much love from London

  • @sabuhassabah7636
    @sabuhassabah7636 5 лет назад +1

    Hayee mashabiki hii song I like d think love IPO kwake

  • @rabiaallymshamumshamu9374
    @rabiaallymshamumshamu9374 3 года назад +1

    Leo tareh 6 mwezi wa11 2021nani kawan coma hili badala yangu

  • @pompysafiunawezaimenibamba6437
    @pompysafiunawezaimenibamba6437 8 лет назад +11

    asnte sana umeitendea aki tam sna iinyimbo

  • @rajkabelwa3755
    @rajkabelwa3755 3 года назад +2

    Dh nakumbuka mbali jaman

  • @zenaal-baalawy1953
    @zenaal-baalawy1953 8 лет назад +5

    "Sitobadilika naipata kwake raha ya dunia"

  • @nawilaatn5666
    @nawilaatn5666 3 года назад

    aaaaaaahhh bi zuhura santaa sanaa uliwakomesha🤪😜🤣🤣🤣😂😂🙏🙏🙏🙏🙏👍

  • @FarhiyaThani-yc5et
    @FarhiyaThani-yc5et Год назад +3

    2023 bado nipo apa

  • @sabeehasabeha1920
    @sabeehasabeha1920 4 года назад +2

    Jawd 😘💕👌😍😂👍niww tuu

  • @shenazbaksh9537
    @shenazbaksh9537 8 лет назад +32

    natoa nafasi kwa anaeweza aje kunishinda,ameshaniridhi kwake napendeza ndio kanipenda😄

  • @shenazbaksh9537
    @shenazbaksh9537 8 лет назад +47

    🎤aliponitaka ili niwe wake sikumuhofia,sikua na shaka hilo ombi lake nimelipokea,sikubabaika tangu anitake nimeshatulia,sitobadilika naipata kwake raha ya dunia🎶

  • @sabuhassabah7636
    @sabuhassabah7636 5 лет назад +4

    Natowa nafasi Kwa Yule ataka nijali mm😘👍😉

  • @hadijachonanga818
    @hadijachonanga818 8 лет назад +6

    natoa nafasi kwa anae weza asante da zuura nyimbo tam sana

  • @milhatbela7306
    @milhatbela7306 8 лет назад +2

    ameshanihisi kwake napendeza ndio kanipenda hehehe ukivawa nenaaaaa weeeeeeewee

  • @saidijuma3654
    @saidijuma3654 4 года назад

    Hongera sax nyimbo zur

  • @aisshamohamed3452
    @aisshamohamed3452 8 лет назад +8

    sitobadilika naipata kwake raha ya dunia..nice song!!

  • @tinershayo5397
    @tinershayo5397 4 года назад

    Huu wimbo namka nao nashinda nao nalala nao🥰😜

  • @youngtizotz617
    @youngtizotz617 6 лет назад

    Siyo kwa uzur.uhuu wimbo unaimbwa adi furaha inapitiliza inakuwa majonzi nakupenda sana mama angu kiukwe umetisha
    WAP mama naila kati ya kiwalan.pambe tyuuuuu
    Mtafanya nn pendo letyu la wawili nye lawausu nn. Uachiiiiiiiiiiii

  • @mercylyimo4765
    @mercylyimo4765 7 лет назад +7

    huwa sichoki kuisikiza hii nyimbo, sauti, maneno ni kuntu......

  • @ZuwanaSukasuka
    @ZuwanaSukasuka 3 месяца назад

    Pambee sana namkubali raha duniani

  • @latifahsalum3479
    @latifahsalum3479 7 лет назад +9

    haiishi hamu kuisikiliza hii nyimbo . mashallah muimbaji

  • @pilimashausi930
    @pilimashausi930 5 лет назад +3

    mashaallah naipata kwake Raha ya dunia

  • @lailahasan2200
    @lailahasan2200 5 лет назад +4

    Ni hatareeeeeee🙏🙏🙏❤️

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 4 года назад +2

    Toka awe wangu na mi niwe wake kiguu na njia
    Mara mje kwangu mara mwende kwake fitina kutia
    Ili pendo lake kwangu liondoke mmedhamiria

  • @gabumilito731
    @gabumilito731 4 года назад +38

    Like ya 2020

  • @hijabbqueen4043
    @hijabbqueen4043 2 года назад +2

    2022 tujuane my favorite song😘😘🥰🥰

  • @JamilaHassanA
    @JamilaHassanA 4 года назад +13

    Kama ni rahisi ungelianza ili kuyatenda
    Sina waswas wa kuyapoteza niliyo yaunda
    Natowa nafasi kwa anaeweza aje kunishinda
    Ameshanihisi kwake napendeza ndio kanipendaa
    Aliponitaka ili niwe wake sikumuhofia
    Sikuwa na shaka hilo ombi lake nimelipokea
    Sikubabaika tangu anaitake nimesafi nia
    Sitobadilika naipata kwake raha ya dunia
    Mapenzi adhimu yasiyo mithali yameniingia
    Tena nimatamu kuliko asali nayafurahiya
    Wanaonilaumu potelea mbali leo nawambia
    Sitojizulumu kwa wangu mpenzi nikaangamia...

  • @hamadihamisiambale8943
    @hamadihamisiambale8943 Год назад

    Naalika harusi yangu 2024 may na hyu ndio muimbaji atakae hudhuria mombasa kenya

  • @alikarisa
    @alikarisa 3 года назад +3

    Beautiful and lovely taarabu.🥰🥰🥰🥰

  • @hazinasaid3629
    @hazinasaid3629 3 года назад

    Nyimbo mwaaah jaman chenye sifa kipewa sifa

  • @princeally9925
    @princeally9925 8 лет назад +7

    dada Zuura unaniliza kimahaba wimbo mzuri sauti mzuri

    • @nasrashaaban7489
      @nasrashaaban7489 5 лет назад

      ntafanya nini penzi letu la wawili jamani chawaudhi nini nyie penda sana zuhura shaaban

  • @fatmaramadan1388
    @fatmaramadan1388 3 года назад

    Maxhaallah sauti yake nzur sana Allah amzidishie

  • @namelesssfaimar6460
    @namelesssfaimar6460 3 года назад

    santaaa sanaa bi zuhuraa quen mmmmmmhhhhh ulimkomeshaaa sawa sawaa yasalaaaammmm🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😘🤩😉💋💞❤❤❤❤❤💗💗💗🙏🤝🤲👍🙌

  • @sakinaabd5898
    @sakinaabd5898 9 лет назад +5

    natoa nafassi kwa atayeweza aje kunishinda. sikubabaika tangu anitake sina wasiwasi wakuyapoteza niliyoyaunda, tena ni mataumu kuliko asali; nayafurahia wanonilaumu potelea mbali, sitijidhulumu kwa wangu mpenzi nikaangamia, maneno matamuuuuuuuuuuuuu.

    • @ibrahimhinga3335
      @ibrahimhinga3335 5 лет назад

      Sito wapa nafasi tena,sina wasiwasi tena kwa mke wangu,nilikupa nafasi umeshindwa

    • @sabeehasabeha1920
      @sabeehasabeha1920 4 года назад

      Pwiiiii pwiii utajijjuuu 😜😜😜😜😛😛😛

  • @tinamsumari9480
    @tinamsumari9480 5 лет назад +1

    Mtafanya Nini pendo letu la wawili nyinyi Lawauzi nini 2019 tuko pamoja gonga like🎤🎤🎤🎤

  • @saadaeghwa
    @saadaeghwa 8 лет назад +10

    ama kweli kama ni rahisi ungeliyaanza

  • @sabeehasabeha1920
    @sabeehasabeha1920 4 года назад +2

    Update poooopoooo alewaaaa anaa maembee mpee kazi kulelewaaa poopppoooooo
    😍😂👍😄😃😆😆

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 Год назад +3

    2023 Kwa Raha zangu leta like zako tupunguze ya Dunia

  • @mwajabusaidi398
    @mwajabusaidi398 3 года назад +1

    Kwakweli nazipenda taarabu za zamani

  • @MamaSaida-si6bu
    @MamaSaida-si6bu Год назад

    So nice mashAllah 😊😃😊😃

  • @zainaburashid6637
    @zainaburashid6637 5 лет назад

    Umetisha aaaaaaa