Maelezo yote yaliyo ndani ya injili ya yesu . Siamini Kama kunanabii. Mwingine. Ukweli wote. Yesu amesema. . Matayo. 24: 14 yohana. 14.6. Matayo 10: 32. 33. Matayo. 25 : 30 .36. Yesu atayahukum mataifa yote duniani. Na yoyote. Asaiyefata. Maagizo yake atahukumiwa. Torati 18:18 19 yohana. 5:. 38 47 haya maandiko ni ushahidi tosha. Yoyote. Asiyemfuata. Atarajie. Jehanam. Hatayesu. Alipoaza. Kuhubiri ma Neno ya Mungu alizikuta dini. Nyingi. Ilahazikumzuia kuyanena maneno ya mungu aliyoagizwa.
Yesu mwenyewe waislamu hamumuamini..mwache kutupima. Mwanzo hamfahamu hata roho mtakatifu. Mwanzo uislamu husema yeyote amwaminie Yesu ataenda Jehanamu Mbona mwanzo mtamchukia muislamu atakayemkubali Yesu na kuokoka..hata wengine huawa kwasababu ya kumkubali kristo Kuna Mwadhini alkua Nairobi west aliokoka akatishiwa na kusomewa sijui vitabu zipi katumiwa magonjwa lakini Yesu alimwokoa .
Dear viewers. You are my brothers and sisters in the universality of mankind. Wwe have been created by the same God, who in Islam is called Allah and by Jesus as Elaha in the Aramaic language. Look it up if I am lying. There is only ONE GOD. Muslims love Jesus more than lip-service Christians. We keep a beard like Jesus did. He never ate pork, neither do Muslims. He prostrated to God, like Muslims do. Our ladies wear Hijab, a head-cover, like Mother Mary. If by believing that only through Jesus, you will be SAVED, then what about those prophets and good people mentioned in the Bible who came BEFORE Jesus? They will go to hell? Ask yourself: if the Bible was not tampered with, what is the last name those revelations coming through Paul? Of Mathew? John? Luke? Will you be allowed to travel with a passport without your last name to give your name validity? Think without BIAS. We are monotheists. Let not SATAN lead you to hell my dear. I love you for the sake of the ONE GOD. Please seek the correct way to Heaven.
Salim daawah nawaomben muiweke katika page yenu dibeti ya marehemu imani petro ntaiandika hapo juu kw herufi kubwa nanyi muiandike hvyo hivyo naomb ushrikiano wenu
Swali langu ni hili, mnampiga aje Yesu Kristo wakati mnagoja kurudi kwake, itawezekana aje umgojee mtu ambaye humjui wala kumtambua,,, kwa nini mnampa sifa sana Mohammed mkijua ni mtume tu kama wengine na hao wengen hamwapei sifa,?!?
Tumamgojea kwakua nimtume wetu na atakuja kuwa shuhulikia wanao muita mungu .natunamsifu sana Muhammad s.a.w. kwakua nimtu was umma huu uliopo sasa nahao wengine zamazao zishapita .ila tunawapenda kwakua wametoka kwamungu kweli
@@saidirajabu7863 Quran inasema vipi kuhusu ujio wa Yesu, nashukuru kwa jibu lako maana sipendi ugomvi na ubishi wa Dini, umejibu vyema ila kama sisi wakristo tunatambua ujio wa Bwana Yesu duniani sio jambo ambalo litakuwa la furaha tu, maana kurudi kwake lazima kila jengo litaharibiwa, Dunia hii itabaki ukiwa hakuna kitakachobaki kimesimama ata milima, kwa kujificha mwanadamu hamna, Biblia inasadikia kuwa atarudi kuchukua walio wake na wanaomtumikia kwa roho, kweli na haki Ata wakristo sio wote watanyakuliwa ila tu wanaomwambudu kwa haki, Sasa ivi Yesu angerudi leo hii ungeenda mbinguni??
@@saidirajabu7863 kuslimu hakumsaidia mtu yeyote kwenda mbinguni wala kuokoka tu hakumsaidii mtu kwenda mbinguni ila kuokoka na kumtumikia Mungu kwa kweli na kutii amri zake na kuishi maisha mataakatifu, sisi wakristo tunahubiriwa utakaso na habari njema za Yesu pamoja na kujiandaa kuja kwake tuwe tayari, kwa nini nyie waislaam kazi tu kumpinga Yesu wakati sisi hakuna kanisa utaingia au mkutano wowote umkute mchungaji anayesema chochote kuhusu muhammad,?
We unapotosha hakuna muislamu anae mpinga isaa au yesu sisi tunawapinga hao walio badili mafundisho yake nakukufundisha huo unao uita ukiristo wakati mwenyewe hakufundisha Hilo
MashaaAllah,Ningependa kuona Mama wa kiislamkujitokeza haraka kuwastiri na kuwakaribisha dadazetu pindi wakislim tu
Karibu Dada yetu kwenye dini ya haki uisilamu mashallah,allah akuongoze
Alhamdulillah ma sha Allah karibuni ndugu zetu katika dini ya Allah.
Allah ailinde imani yenu.Amiin.
Kazi nzuri mwenyezimungu akuzidishiie ishaallah
Mashaallah ,mwenyezngu awazidishie nguvu ya kumpigia jihad n atuongoze site waislam wote thingies jannatunnaim.Amin
Thank you for good debate. Allah awape baraka na kusonga mbele. Amin
Mashallah karibu ndugu kwenye dini ya haki uisilamu,allah akuongoze upate wafunza wasiobahatika kua waisilamu
Mashallah nimefurahi kw kuitambua dini ya haki dadangu Mungu atuongoze sote inshallah
Mashallah Allah awaongoze
Masha Allah ,,Tabaaraka LLah
M. a brother keep going
Mashaa Allah,,Allah awaongoze wenzetu walio iona haq ilaa yaumil'qiyama
Mungu awalinde mashekh zetu
MashaAllah barakallahu fiykm brother's in Faith
Mashallhaaa mashekhe wetut
Masha Allah May Almighty Allah bless you and your family and everything you're doing May Almighty Allah put baraka on it
Shekhe mungu akupe umri mrefu, tutembelee mji wetu wa isiolo pia Allah (SW) aturahisishie sote Insha Allah
Aameen ameen ameen
SI mje Nairobi CBD..mbona isili mara isiolo
Karibuni kwenye dini ya Haki ya Allah
Mungu akupe umri mrefu shekhe
Jazakum llah khair.
Mashaallah ALLAH BARIIK always my brothers
Mungu akuongoze kaka uliye slim
Aameen ameen ameen
alhamdulilah amiin amiin amiin
Allahu Akbar Allah akupe umri mrefu ya kuweza kufanya da'wa kma hii🇹🇷🇰🇪
Aameen ameen ameen sote
Allah HUAKBAR
Takbiiiir
mashaala
Mashallah Allah 💕
Takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir
Allah akbarrrrrrrr
Kutoka Moro raha sana
Hope mlifwatilia Yule mkaka aliyesilimu
Maelezo yote yaliyo ndani ya injili ya yesu . Siamini Kama kunanabii. Mwingine. Ukweli wote. Yesu amesema. . Matayo. 24: 14 yohana. 14.6. Matayo 10: 32. 33. Matayo. 25 : 30 .36. Yesu atayahukum mataifa yote duniani. Na yoyote. Asaiyefata. Maagizo yake atahukumiwa. Torati 18:18 19 yohana. 5:. 38 47 haya maandiko ni ushahidi tosha. Yoyote. Asiyemfuata. Atarajie. Jehanam. Hatayesu. Alipoaza. Kuhubiri ma
Neno ya
Mungu alizikuta dini. Nyingi. Ilahazikumzuia kuyanena maneno ya mungu aliyoagizwa.
Twambie inassssemaje Isaiah. Raha Sana Wallahi.
Mungu Awape kila la heri
Aameen ameen ameen sote
Masha allah
Allahu akbar
Leo ni mechelewa MashaAllah
Hamjui Yesu ni nani nyinyi..
Yesu mwenyewe waislamu hamumuamini..mwache kutupima.
Mwanzo hamfahamu hata roho mtakatifu.
Mwanzo uislamu husema yeyote amwaminie Yesu ataenda Jehanamu
Mbona mwanzo mtamchukia muislamu atakayemkubali Yesu na kuokoka..hata wengine huawa kwasababu ya kumkubali kristo
Kuna Mwadhini alkua Nairobi west aliokoka akatishiwa na kusomewa sijui vitabu zipi katumiwa magonjwa lakini Yesu alimwokoa .
Mungu mwenyewe alimbadilisha ibrahimu Hadi kaitwa Abraham
You don't know about the revelations of the Holy spirit..u don't read the bible just like that
Mnaofaulu kuwaslimu hawajakutana na Kristo vizuri
M Allah
ما شاء الله
Our WhatsApp number is 0727431691
Dear viewers. You are my brothers and sisters in the universality of mankind. Wwe have been created by the same God, who in Islam is called Allah and by Jesus as Elaha in the Aramaic language. Look it up if I am lying. There is only ONE GOD. Muslims love Jesus more than lip-service Christians. We keep a beard like Jesus did. He never ate pork, neither do Muslims. He prostrated to God, like Muslims do. Our ladies wear Hijab, a head-cover, like Mother Mary. If by believing that only through Jesus, you will be SAVED, then what about those prophets and good people mentioned in the Bible who came BEFORE Jesus? They will go to hell? Ask yourself: if the Bible was not tampered with, what is the last name those revelations coming through Paul? Of Mathew? John? Luke? Will you be allowed to travel with a passport without your last name to give your name validity? Think without BIAS. We are monotheists. Let not SATAN lead you to hell my dear. I love you for the sake of the ONE GOD. Please seek the correct way to Heaven.
Salim daawah nawaomben muiweke katika page yenu dibeti ya marehemu imani petro ntaiandika hapo juu kw herufi kubwa nanyi muiandike hvyo hivyo naomb ushrikiano wenu
Shida sio uislam yesu ndo nabii wa mwisho
ماشاء الله
🇹🇿
Tunaipata wap bibilia ya lugha ya yesu Kama tulivo ipata Quran kwenye lugha ya kiarabu dhahiri wazungu wametupiga kwenye bibilia.
Usiku na mchana unaomba kwa kiarabu tu
Au mungu wenu ni muarabu na anasikia lugha moja tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
IMANI PETRO... DEBATE YA BUGURUNI DAR TZ. Mna maneno matamu yenye muongozo kwa waislamu na wakristo
Mko wapi nataka pia mimi kuslim
Upo wapi wewe ?
Nairobi
@@sophiasophia4668 dada natumai ulisha slim. Allah akufanyie wepesi
Niko Nairobi mko side gani nikuje nataka kuslim
Swali langu ni hili, mnampiga aje Yesu Kristo wakati mnagoja kurudi kwake, itawezekana aje umgojee mtu ambaye humjui wala kumtambua,,, kwa nini mnampa sifa sana Mohammed mkijua ni mtume tu kama wengine na hao wengen hamwapei sifa,?!?
Tumamgojea kwakua nimtume wetu na atakuja kuwa shuhulikia wanao muita mungu .natunamsifu sana Muhammad s.a.w. kwakua nimtu was umma huu uliopo sasa nahao wengine zamazao zishapita .ila tunawapenda kwakua wametoka kwamungu kweli
@@saidirajabu7863 Quran inasema vipi kuhusu ujio wa Yesu, nashukuru kwa jibu lako maana sipendi ugomvi na ubishi wa Dini, umejibu vyema ila kama sisi wakristo tunatambua ujio wa Bwana Yesu duniani sio jambo ambalo litakuwa la furaha tu, maana kurudi kwake lazima kila jengo litaharibiwa, Dunia hii itabaki ukiwa hakuna kitakachobaki kimesimama ata milima, kwa kujificha mwanadamu hamna, Biblia inasadikia kuwa atarudi kuchukua walio wake na wanaomtumikia kwa roho, kweli na haki
Ata wakristo sio wote watanyakuliwa ila tu wanaomwambudu kwa haki,
Sasa ivi Yesu angerudi leo hii ungeenda mbinguni??
@@saidirajabu7863 kuslimu hakumsaidia mtu yeyote kwenda mbinguni wala kuokoka tu hakumsaidii mtu kwenda mbinguni ila kuokoka na kumtumikia Mungu kwa kweli na kutii amri zake na kuishi maisha mataakatifu, sisi wakristo tunahubiriwa utakaso na habari njema za Yesu pamoja na kujiandaa kuja kwake tuwe tayari, kwa nini nyie waislaam kazi tu kumpinga Yesu wakati sisi hakuna kanisa utaingia au mkutano wowote umkute mchungaji anayesema chochote kuhusu muhammad,?
We unapotosha hakuna muislamu anae mpinga isaa au yesu sisi tunawapinga hao walio badili mafundisho yake nakukufundisha huo unao uita ukiristo wakati mwenyewe hakufundisha Hilo
Nimekuuliza swali dogo tuu kwann madhehebu yakikiristu Kila inchi kubwa ulaya in dhehebu lake nayesu hakuwai kufika huko
Saii hii muadara inaendelea ama imesimama kama inaendelea ni upande gani nimetamani Sana na nimemiss
Unijibu plz hii muadara ni upande gani
Wewe yesu alikuwa wacha ujinga wee mzee
Danganyeni watu yesu peke yake anakuja kuukomboa ULIMWENGU na imani ndo itamfikisha mtu peponi nyie pigeni tu kelele hapo.
Endelezeni kudanganyana unasali nini kama yesu kasha wakomboa
Yesu ndio jia ya uzima na milele
Mbona ww unaenda kanisani unaenda kanisani kufanya nn na yesu munavyosema amewekwa msalaban kwa ajili ya kusamehewa dhambi zenu
@@alikhamis6326 mimi naenda kanisani hata msikini naenda kwasababu mungu yupo kila mahali imani ndo itakayomponya mtu siku ya kiama.
@@stevensosipita2851wewe umechanga,nyikiwa huezi enda kanisani na msikitini utapasuka msamba
Allahu akbar
Masha Allah
Masha Allah
Allahu Akbar