Video music. Heri kung'ang'ania kwa Yesu. Mbarikiwa na mke wake June 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 45

  • @Sarvantsuser-ge1zy8fj6s
    @Sarvantsuser-ge1zy8fj6s 4 месяца назад +3

    mbarikiwa ana waachiya watoto wake wa nganganiye kwa Yesu krusto Bwana kulaze mali pema

  • @leonardjamson-tb4jj
    @leonardjamson-tb4jj 5 месяцев назад +3

    Hakika heri kung,ang,ania kwa yesu huu wimbo daaaaaah unanibariki

  • @jacquelinemassengo5466
    @jacquelinemassengo5466 4 месяца назад +1

    Bali niko na Tanzania 🇹🇿 na shukuru Mungu wangu, kwa ku famiya mtumishi wa Mungu Mbarikiwa 🎉🎉🎉Akheri kungangnia msalaba, na kupenda Sana baba Mbarikiwa na mama, Mungu awe nanyi

  • @geraldleger5793
    @geraldleger5793 5 месяцев назад +2

    Kila nikidikiliza wimbo huu roho wa Mungu anasema nami ,. Barikiwa Mtumishi....

  • @adophmmole6389
    @adophmmole6389 5 месяцев назад +1

    Baba yetu anatuaga uyu jaman kwa sasa haoni tena alichokibakisha hapa dunian 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @adophmmole6389
    @adophmmole6389 5 месяцев назад +1

    Tangu mwanzo wa wimbo huuu mpaka mwisho nmejikuta nalia tuu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @ZawadiNdoro
    @ZawadiNdoro 3 месяца назад

    Be bless man of God napitia hii hali but sitajali kitu nitang'ang'ania imani🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @OnesmoEmmanuel-xr2rf
    @OnesmoEmmanuel-xr2rf 5 месяцев назад +3

    Hakika MUNGU awabariki sana

  • @DoreenGerald-fx7wn
    @DoreenGerald-fx7wn 5 месяцев назад +1

    Ameen, kheri kungangania msalaba, ❤❤❤❤❤nakupenda sana baba na mama, Mungu awe nanyi

  • @noelmwembe6419
    @noelmwembe6419 5 месяцев назад +1

    I love you my father and mother,God protect for all to do .

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 5 месяцев назад +1

    Mtumishi tunakuombea. Mungu akutie nguvu. Wewe ni Mtumishi pekee uliyeamua kuliishi Kanisa la kwanza. Na Mke uliyempata hakika alitoka kwa Mungu. Ni Mke Mwema kutoka kwa Bwana. Mungu awabariki kwa kazi njema. Ni Mungu tu atakayewalipa mema.

  • @JosephLadisilaus
    @JosephLadisilaus 5 месяцев назад +3

    Hakika hiz ndizo nyimbo zenye uvuvio wa ki Mungu mbarikiwe sana

    • @estasanga582
      @estasanga582 5 месяцев назад

      AMINA MTUMISHI KUNA JAMBO NIMEJIFUNZA BARIKIWA NA MUNGU

  • @SubiraNkwavu
    @SubiraNkwavu 4 месяца назад +1

    Mungu atusaidie ❤❤

  • @Shemu199
    @Shemu199 5 месяцев назад +2

    good🎉

  • @PriscamwanjalaMwanjala
    @PriscamwanjalaMwanjala 4 месяца назад +1

    Ameeen mtumishi

  • @VivianMakokha-l8r
    @VivianMakokha-l8r 4 месяца назад

    Baba mbarikiwa mungu akubariki sana sana sana

  • @LillianMunyaka
    @LillianMunyaka 5 месяцев назад +2

    Mungu akusaidie

  • @PastorsTz
    @PastorsTz 5 месяцев назад +3

    Mzeee kuna wakati nashindwa lugha ya kusema ili imtie Moyo,
    Zaid kujaribu kuyaenzi maisha ya utu na wema uliokuwa nao,
    Asante Mungu roho yako njema,inazid kuumbika sana,,,kwangu.
    Mungu awe tu mfariji,naitazamia siku ile inayokuja Mungu niokoe

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 5 месяцев назад +1

      Haleluya haleluya Amina Amina ❤.

    • @MwandaAmiry
      @MwandaAmiry 4 месяца назад

      Kweli kabisa hata mm binafsi huwa nashindwa nimjibuje, nitie neno gani la faraja kwake, mwisho naishia kutoa chozi la uchungu na kumuombea Mungu pekee ndiyo akawe faraja yake ktk vipindi vyote vigumu anavyoendelea kuvipitia

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn 5 месяцев назад

    Ni Nyakati hii Ni Nyakati hii Ni Nyakati hii, za kubeba Msalaba.
    Ni Nyakati za kubeba Msalaba
    Ni Nyakati za kubeba Msalaba
    Ni Nyakati za kubeba Msalaba.
    Tuko kwako MUNGU tunakuja kwako
    Tuko kwako MUNGU tunakuja kwako
    Tupokeee tupokeee, tupokeee eee MUNGU; haleluyaaaa Aminaaa
    haleluyaaaa Aminaaa
    haleluyaaaa Aminaaa.

  • @shukranimpomwa7460
    @shukranimpomwa7460 5 месяцев назад +2

    HERI NIBAKI KWA YESU KTK HALI ZOZOTE.
    Heri kung'ang'ania IMANI

  • @AlipoMwasenga
    @AlipoMwasenga 5 месяцев назад

    Wote wanao kusagia meno mbarikiwa na kukutendea udhalimu wakisingizia unavunja sheria ,mafuriko yatawasumbua na watoto wao , kila jambo chini ya jua na wakati wake leo unalia ww wao watalia mara saba ww utazicheka siku za zamani hizi , amina

  • @saidsanga3981
    @saidsanga3981 5 месяцев назад

    Mmekuwa njia Kwa wengi, hakika kikosi kazi mungu hatanyamaza juu yenu, ata kama mnateswa mungu yupo. Yupo yesu, Jesus save you pastor

  • @estherkomba7685
    @estherkomba7685 5 месяцев назад +1

    🙌

  • @MosesMwakalibule
    @MosesMwakalibule 5 месяцев назад +1

    Daaaah MUNGU, ana WATU wake Aisee.......
    MUNGU nipe ujasili.......
    Huyu ndugu ni Mwamba na kila Cku ninachakujifunza kwake.....
    Hakika kikombe unachopitia ni kigumu sana Huwenda MUNGU ameona ni saizi yako kwa ajili ya utukufu wake,ili akina sisi tujifunze KWAKO......

    • @PastorsTz
      @PastorsTz 5 месяцев назад +1

      Dah haloooh,,inaumiza sana!!

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 5 месяцев назад +1

      NaaaM NaaaM ❤.

    • @DismasVenance
      @DismasVenance 3 месяца назад

      Huyu mwamba anaamua kuifia imani ya kweli na huu ndo ukristo hasa. Kuwa mwaminifu hata kufa.

  • @jean-pierreuwimana
    @jean-pierreuwimana 5 месяцев назад +1

    Nyimbo zako zina uvivio mucyungaji Rwanda Kigali nataka number yako mutumushi

  • @LillianMunyaka
    @LillianMunyaka 5 месяцев назад

    Mungu akupeimanisaana sikuinakuja watabakinahaibu pambana mchungaji

  • @nyangiboke
    @nyangiboke 5 месяцев назад

    Pokea sawa sawa na jina lako amen

  • @elitusgeofrey5104
    @elitusgeofrey5104 5 месяцев назад

    Heri kung'ang'ania imani bila kujali kitu chochote.Amen

  • @MariaMossi
    @MariaMossi 5 месяцев назад

    Amen

  • @helbalchota9417
    @helbalchota9417 5 месяцев назад

    Hapa abili yangu ndo unaelewa kwanini watu wengi wamasema wameokoka ila hayawapati haya, ni kwasabab hawajabeba msalaba bali wanaurafiki na ushetan

    • @nyangiboke
      @nyangiboke 5 месяцев назад

      Mungu awe nanyi awe nguvu yenu ni washindi zaidi ya washindi amen 😊

  • @melinalumambo3218
    @melinalumambo3218 5 месяцев назад

    Amen 🙏

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 5 месяцев назад

    Ameni mtumish ❤❤

  • @RogerLwamatwi-m5p
    @RogerLwamatwi-m5p 5 месяцев назад

    MUNGU akubariki

  • @Raphael-bn5op
    @Raphael-bn5op 5 месяцев назад

    Ameeen

  • @leonardjamson-tb4jj
    @leonardjamson-tb4jj 5 месяцев назад

    Natamani wachungaji wote wawe kama ww Yani unagusa mioyo ya watu wengi

  • @joshuangonya-jt5dj
    @joshuangonya-jt5dj 5 месяцев назад

    Heri kung'ang'ania imani.

  • @EstherManda-ex3bc
    @EstherManda-ex3bc 4 месяца назад

    Amen