0:24 . Ni wimbo ambao unagusa matitaji ya wengi katika ulimwengu wa sasa, watu waliojawa kukata tamaa, kuchoka na kupoteza imani.. Melody ya wimbo ni nzur tulivu yenye mvuto, sauti za waimbaji ni bora zaidi, sare safi nadhifu.. utulivu wa waimbaji unasadifu ujumbe uliobebwa na wimbo. HSF SINGERS itabaki kitovu cha baraka kwa wengi.
Asee mbarikiwe sana mmenigusa mno
2nd stanza mimi nimeenda nayo
Ni swala la Mudaaaaa🎉🎉
Nyakati za kusubir ni Bora sana wakati wa Mungu ukifika watu watashangaa imekuaje
Barikiwen sana Kwa wimbo mzur
Bwana atukuzwe, niliusubiri wimbo huu kwa shauku kubwa. Mbarikiwe waimbaji
Mwalimu wangu amani nakuona SEMA unajua sana fundi wangu ,mnajua bana...
Mnanibariki sanaa kikundi chetu mbarikiwe sanaa
Very nice namwona mwanafunzi wangu lameck nelsoni. By choir master
Mungu awabariki sana, hakika nyakati za kusubiri ni bora sana
Nawapenda sana kwa uimbaji wenu mungu awabariki sana
Oho hallelujah mbarikiwe sana
🎉🎉 Nice job
Be blessed
Amen 🙌 Powerful message be blessed
Kwa hakika mnanibariki,nasubiri wakati wangu🎉
Amina sana my family mungu azidi kuwatumia kufikisha ujumbe kwa watu
Barikiweni sana
Wapendwa. Hakika wakati wa KUSUBIRI NI BORA ZAIDI
Mungu azidi kuwabariki kwenye huduma yenu mnatubariki sana
Wow powerful message....
Among of my favourite singers be blessed
Amen. Hakika tuvumilie.. ujumbe makin
Hakika tunazidi kubarikiwa kwa jumbe nzuri🙏🙏
Mbarikiwe Sana ❤
hosana you are always the best
Barikiweni ✨ Sana 👍
Mbarikiwe sana familia yangu kwa ujumbe mzuri
Mbarikiwe SANA Hossana Family singers Tz, WIMBO mzuri wenye ujumbe makini na ufundi wa kutosha . MTONI SDA YOUTH CHOIR _NYAKANAZI Tz tunawapenda sanaa
Amen
Amina ubarikiwe Sana 🙌🙌
Amen mzidi kubarikiwa Kwa nyimbo Nzuri wapendwa 🙏💯
My first comment in my favourable song, be blessed
Nimebarikiwa Sanaa na wimbo huu ❤❤
mbarikiwe San ❤❤❤
Mbarikiwe sana..Mfike mbali zaidi
Bwana asifiwe Sana kwa wimbo, mbarikiwe Sana🙏
Amen amen 🙏🙌👏 ujumbe mrua hakika Nyakati za kusubiri ndizo boraaaaaa acha wabaki wanashangaa imekuaji❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ my family 👪
Mbarikiwe sana nabarikiwa nikiwa morogoro hapa nawapenda
Jina la BWANA lihimidiwe milele na milele.. hakika ni nyakati tofauti ❤❤my family
Haleluyah sasa!!!!!🎉.
Saafi saana
Haleluya Mungu Atukuzwe.
Ujumbe mzuri sana mbarikiwe hossana kwa ujumbe huu
dior❤️
Amina sana
Be blessed 🌹
Blessings over blessings 🙏
Halleluya Bwana 😂😂😂 mbarikiwe na Bwana ndugu zetu
More blessings ❤️❤️
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🎉🎉🎉🎉 Amen
Amina
Mbarikiwe
Ameen God bless you
🎉🎉
Amen
Aminaaa
Mbarikiwe na Bwana Kwa ujumbe mzuri
Aminaa 🙏🙏
Beautiful, ujumbe mzuri "Nyakati za Kusubiri". Wimbo unatoa tumaini kwa waliokata tamaa. Mbarikiwe sana waimbaji.
Amen mbarikiwe sana
Amina
MUNGU AZID KUBARIKI HOSSANA FAMILY SINGERS
🙏 🙏 🙏 🙏
Kazi zuri mwenyezi mungu azidi kuwapa maisha marefu na ya amani ili tuweze kujivunia Kazi zenu mungu awabariki watu wa mungu
Nitakuwa mwana familia milele wa Hossana family singer Nabarikiwa na Utume wenu wapendwa😊
AMINA sana
Hapa ndipo sasa ❤❤❤❤
🙏
0:24 . Ni wimbo ambao unagusa matitaji ya wengi katika ulimwengu wa sasa, watu waliojawa kukata tamaa, kuchoka na kupoteza imani..
Melody ya wimbo ni nzur tulivu yenye mvuto, sauti za waimbaji ni bora zaidi, sare safi nadhifu.. utulivu wa waimbaji unasadifu ujumbe uliobebwa na wimbo.
HSF SINGERS itabaki kitovu cha baraka kwa wengi.
🙏🙏
@@saleheisaac Amen
🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤
🔥🫶🏽
Mbarikiwe
🙏