Video nzuri,,, Ila hapo kwenye 1sqm unaweka samaki 5 hadi 8 panahitaj maelezo mengine ya kuhusu ujazo[Volume] maana ikiwa ni Area tu ina maana kwa Hilo bwawa la 10x8=80sqm then utapata maximum ya samaki 80×8=640 ambapo hakutakuwa na tija yeyote,,, kwa utafiti wangu duni 1sqm ina uwezo wa kubeba samaki 100 hadi 120, hapo nimechukulia kama maji nayo yatakuwa na kina cha 0.8 to 1m making a Volume of 1000 litres
Suma JKT wako sehemu nyingi. hapa ilikuwa Uwanja wa Ngongo Lindi yanakofanyika maonesho ya Nanenane. wameweka ofisi zao hapohapo. Kwa Dar wafuatilie Suma JKT.
Nice video 👌 umeuliza maswali ya msingi sana
Jee hapa mbeya wanaweza kufugika hapa
Nimeshiba vizuri maelezo.
Video nzuri,,,
Ila hapo kwenye 1sqm unaweka samaki 5 hadi 8 panahitaj maelezo mengine ya kuhusu ujazo[Volume] maana ikiwa ni Area tu ina maana kwa Hilo bwawa la 10x8=80sqm then utapata maximum ya samaki 80×8=640 ambapo hakutakuwa na tija yeyote,,, kwa utafiti wangu duni 1sqm ina uwezo wa kubeba samaki 100 hadi 120, hapo nimechukulia kama maji nayo yatakuwa na kina cha 0.8 to 1m making a Volume of 1000 litres
Asante,
Maelezo ni mazuri.
Alex / Geita.
jambo nikiitaji kupata na kufungiwa vifaa vyote hivyo behi ni ngapi na nikitaji vifungiwe inje ya tanzania kama DRC CONGO
Hiyo ni nzuri kama unafuga samaki Mbegu.
Nahitaji kujifunza ufugaji wa samak kiundan zaiz kama hutojali mtaalam nisaidie namba yako
nama zenu jamani?
Hongera kwa maelezo mazuri
Mnapatkana je mi nipo Kahama
Je hii inapatikana hata hapa Dar es Salaam, na nikihitaji ofisi zenu ziko wapi hapa Dar: Joel 0713055258
Suma JKT wako sehemu nyingi. hapa ilikuwa Uwanja wa Ngongo Lindi yanakofanyika maonesho ya Nanenane. wameweka ofisi zao hapohapo. Kwa Dar wafuatilie Suma JKT.
@@mtwarars2464 habar .nnaomba mawasiliano ya mtu anaeuza mbegu ya azola umewah kumuhoj
Nahitaji no zenu pls,kwani nawahitaji mje kunijengea, no zng,0717 020 868
ukiwasiliana na kituo cha Jeshi la kujenga taifa (JKT) popote nchii watakuelekeza kwani wao ndiyo wenye mradi