Simba Dom mzee wa miseto aka mixer...simba dom kete zikiwa nyingi uwanjani yuko vizuri...dogo ally mpaka sasa hivi ukicheza nae unaweza hisi hakosei ...anaficha makosa yake... ukimkata dogo ali anaficha damu yake huwezi jua kama umemkata...big kwa simba Dom tena kwa kumpa upinzani mkali dogo ally, utampata tu...