SHAMBANI KILIMO CHA PASHENI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 17

  • @lilianmolel9965
    @lilianmolel9965 2 месяца назад +1

    Somo zuri sana je heka moja unatakiwa uwe na mtaji wa bei gani

  • @KulwadottoSalehe-re6kn
    @KulwadottoSalehe-re6kn Год назад +1

    kwa mfano mimi nina mapasheni watoto yamebeba lakini hayaivi naomba ushauri

  • @rehemaoyier5587
    @rehemaoyier5587 2 года назад +3

    Hongera kazi nzuri sana.
    He Mimi nitapataje Miche? Nipo Dar es Salaam

  • @TEACHER.CLEOPHAS
    @TEACHER.CLEOPHAS 3 года назад +1

    Well done. Keep it up!!!

  • @jesusnetworkministry
    @jesusnetworkministry 2 года назад +1

    unajua katika jambo ambalo siwaelewi maafisa kilimo kusema zile mbegu kutoka kwenye tunda hazifai sio kweli sio kweli kabisa je izo ambazo zipo madukani zimetoka wapi kama si kwenye tunda

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 3 года назад

    Huyu afisa Kilimo anashindwa kujieleza

  • @raheemaathumani8663
    @raheemaathumani8663 2 года назад

    Naomba nisaidie namba ya uyo mkulima naitaji kufanya kilimo

  • @madhuru2554
    @madhuru2554 3 года назад

    Safi sana

  • @christianmwasakogo5579
    @christianmwasakogo5579 3 года назад

    Inavutia sana

  • @samsonzacharia2329
    @samsonzacharia2329 3 года назад

    Na unaweza kuotesha mazao mengine chini ya mioasheni?.
    Naona mazao mengine humo shambanip

  • @compostsfertilizers5471
    @compostsfertilizers5471 3 года назад

    Tafadhali ni wapi mtandaoni nitapata huu wimbo wa shambani ?

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 3 года назад

    KUSIA ndio nini??

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 3 года назад

    Ni Amphids au APHIDS????.