Haha Mimi ni ngependa kolabo ya Huyo dem mmeru na jasper morome Yule wa Churchill show vile hupenda kusema dem wake anaitwa kaveria. Pia ningependa Huyu Aitwe kaveria haha
Jane Wacera Plz niambie ni kweli wanawake 29 wakenya wamekamatwa na police mjini Riyadh Saudi Arabia wakishiriki biashara za ukahaba? ? ? ama ni story za Internet? kwa sababu kuna picha zao kwenye mtandao. ..... na kama ni ukweli hao wanawake wametuaibisha sana sisi wanawake ambao tunafanya kazi Katika inchi za warabu. Nimeshutuka sana baada ya kusoma hizi habari.
Turu Lost her son, still morning, she posted on instagram that She would be back soon. Dont know about the rest though. Show still has potential....'The show must go on' :-)
😂😂😂😂😂😂Makena kupanda class nayo "I Don't Do Cheap class sikuizi" Waoow 👏🏼 👏🏼 the Meru gal representing me as a meru tew 😂😂😂😂😂keep up with our accent burning 🔥.
SHITI to MICHI " wewe ni chapi kwama kwa gate, me nko shughuli zangu,usijaribu kunipotezea wakati wewe akina Solomon Mukbwa wananingojea na mimi ni Mzungu Mweusi na keep hii time" haha
Njambi..kallas😂😂😂keep it up mko juu tuu sana
Loving the meru gal 😅😅😅😅her accent ina murder,she might be the next funny character...🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
sonny ka wamahia nkorote sikuhizi ni slay queen wa crotas
I love her too
😂😂🤟
awiti u wil kil me one day😂😂😂😂eti umenyamba fyuuuu
wameruuu....ati niko na kichwa,nywele na rangi....hahahaha
Awiti anaolewa na medicine
DJ shiti uo killing the show iko tu sawa,,,,,
eti one day u will see me married to medicine,,, hei Awiti....like it
woooooii this Meru lady reminds me of Kagwaria ,,,of hapa kule news ..the one who passed away she was so much on point
😂😂😂😂😂😂😂😂uyo dem newcomer si kako na ufala😂😂😂😂nkona kichwa nywele na rangi pia😆😆😆😆
Didah Baebe ni udiva inamsumbua🙈🙈🙈
Didah Baebe kamereplace kalekye
makena utacheswa ujionee,,,, njambi kimeumana
These new people don't add up leteni Watu tumezoea nkt
jacky mushira izaa
Sasa Kama waliwacha job unataka show iishe juu yao ama? Wacha kipindi i evolve
That's true huyo dem mwenye michii anakufaia ako so funny, with time watakua fireeee
Resah barasa by the way amenijazzzz na ascnt yakimeru vyte murume yooo😂😂😂😂😂😂😂😂
jacky mushira mm naona show iko 2 sawa
Haha Mimi ni ngependa kolabo ya Huyo dem mmeru na jasper morome Yule wa Churchill show vile hupenda kusema dem wake anaitwa kaveria. Pia ningependa Huyu Aitwe kaveria haha
Jane Wacera Plz niambie ni kweli wanawake 29 wakenya wamekamatwa na police mjini Riyadh Saudi Arabia wakishiriki biashara za ukahaba? ? ? ama ni story za Internet? kwa sababu kuna picha zao kwenye mtandao. ..... na kama ni ukweli hao wanawake wametuaibisha sana sisi wanawake ambao tunafanya kazi Katika inchi za warabu. Nimeshutuka sana baada ya kusoma hizi habari.
Abbass Zico wapi huko Mimi sina habari niambieni ni hata Mimi pia ni watch ama ni kwa radio siju please niambieni
Jane Wacera sio kwa redio wala kwa TV. Wanahabari wakenya ndio walinitumia hizo habari kwenye simu yangu
the new meru chic😂😂😂
mmeru wawawa uko juu tu Sana I really enjoyed it
hahaha tukikasirika si mdomo panga ndio huongea😂😂😂😂😂uko juu mgeni
The Meru girl is just my cup of tea
#Teammajuu mko wapi 🔥🔥🔥🔥🔥#wamerumanenos michi unamiss kukatakatwa
😂😂😂😂😂😂😂😃show imewezaaa, Walaaa njambi nikama Wema sepetu si kwa kufail kila deal 😂😂😂😂😂😂😂
Resah barasa 😂😂😂😂
Resah barasa hata Mimi naona ivo
Eti wema sepetu ana fail kwa kila deal hehehehe
fresh juice enda aka kampuni juu Yahoo nyumba ni bottle juice ,eee siz ya mama sharon maringo nayo, shity make the show up
the new Girl ako juu kabisaaaa😊😊
New comer fire !!!!!!#panga ndo uogea
Aki Makena umesahau vile Awiti alikusaidia ukiwa na ' fake pregnancy'kweli binadamu ni vigeugeu
sister mama sharon maringo nayo! fuuu
Awiti,Michi 😅😅😅😅😅nawapenda tu bure
Show iko juu aki doctor ako na sauti poa
😂😂naona mumeongeza wageni congrats guys
Wacha nikajifanye nafanya kitu.. Awiti you rock
Awitiiiiii I love you buleee nakupendaga bule bule
hahaha DJ shiti and Michi best collabo crack me up ...
Yaani Turu, Kalekye na Matilda wameisha heap?
hahaha njambi wewe kwisha letea sister ya boss juice woiye
woiiiii. .kajamjam eushhhhhhh una ideas bt pole
haki wewe michi 😂😂😂 hata uji ikuwe moto aje hukuwa baridi ..nyc one
ata uji iwe moto aje bado itapoa lol michi but itapoa tu
Leo wamwisho ku watch hawa warabu nao hawataki mtu aki watch .... Awiti naye anataka kupita na doctorn
Annemarcy Annemarcy 😂😂😂😂eeeeeh
+TRACY TRACY
Annemarcy Annemarcy yenyewe ni mtamu kwa screen szver yangu woishee
Elaine Johns .... Hii
Haha huyu madam mpya ni mambo yote... The Meru one.
hahaha awiti mwambia cc tulisoma tukawachia walimu vitabu, hahah makena kunyamba nayo
At 9.17 huyo ni nani amepita na mali mali kama Njugush
Mary Ann 78 nmeona kaa ni yy😂😂😂
Mary Ann 78 hehehehe
June Shakeys hahaha kumbe pia wewe umemuona
Margaret Kimani😆😆
Apa mi hukua macho
waooh part 2 vry interesting
mmeru chiqq ako mwaaaaaaah sana hehehehe.njabi aki woiyeee plan b diva
Awiti kuja pole pole naona unataka kupita na doc
Ooohhh 😂😂😂 Njambi's face at the end being like damn bitch😈😈😈😈
A better episode(pt2).. Haven't seen nice harmony btwn the scenes in a while..Stay Up!
Luo's are not stupid and that is a fact,oooh Awiti you are killing me
makena yawa hujai wachana sry na masponsor? heheheh makena with sponsors manenoz.
😂😂😂Awiti si unapeleka makena mbio,eti amenyamba wooi.
married to medicine hahaha.............kalekye na trufena walienda???
Kalekye, turu,tipxi,njugush,
team jordan mko wapi....muone njambi...heheeeee.awiti....uko juu
tuko ndani swthrt
Alicia N 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Jane Adhiambo njugush wapi kapotelea?
hahaha sema kunaswa
+Bashir Hassan njugush alihama
turu ako wapi na kalekye.
I like the meru gal
Sasha Kim same too
kichwa, nywele na rangi ehehe baas karibu tuone.
awiti, married to medicine xoxo
😭😭😭😭😭 that Meru chiq ni panga alipenda! hahaha woooi
she just reminded me of Kagwiria (Rest her Soul). she's definitely a keeper!
mumetoa njugush..tsipixi..turu..kalekye..wats going on..i don't like where the show is becoming to..
Abdul Masoud countinue staying there and disliking....kipidi itaendelea tuu
Turu Lost her son, still morning, she posted on instagram that She would be back soon. Dont know about the rest though. Show still has potential....'The show must go on' :-)
Tracy Tracy uko hapa!!
enes mwangi youtube ndio shags😂😂😂😂😂😂
w4k1- 70wn
wow,njambi sorry for de plan has failled
haha mmeru ati panga ndo huongea ..haha
Grace Murugi 😂😂😂😂😂
Jambi kwani kuquit job Shi ngapi? 😂😂😂 huyo manzi asituzoee akajitengenezee mwenyewe hiyo fresh juisi nyooooo😛😛
part2 iko Dopest mwwwah guys..Njambi ww kwisha...Awiti kula pklepole😂😂😂
I love the new girl with the meru accent 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂Makena kupanda class nayo "I Don't Do Cheap class sikuizi" Waoow 👏🏼 👏🏼 the Meru gal representing me as a meru tew 😂😂😂😂😂keep up with our accent burning 🔥.
Uuuuuuuuuiiii awiti fisi mkuuu😃😃😃😃😃
Wintel Jyden Hahaha
aiiii makena unakata sponsor
great job guys
mmeru ako funny Sana,,,,I like her
Wow kmbe bado daktri ako
Awiti kula polepole,my friend.
By the way mnakuwaga single ama mko na kamtu
hahaha Awiti unapendeza sana
😂😂😂lol Tru tunakumiss
show kushika nayo ululululu
wawo klarisa. l love your dress.
iko poa sana keep it up guy's
Na umenyamba fuuu michereti hajui mistari
Guys show iko fine kabisa
nafollw kama kawa show iko dope👍
Timu hamam kuwakirisha nayo
nyambu Kenyan Gal naona hushachungulia ya helwa
nyambu Kenyan Gal Niko nyuma yako
tiff 254 hahaha dani na earphones
nyambu Kenyan Gal team hamamu maujundi hina 😂😂 the best show ever 😂
Jane Njeri acha za ovyo eti team hammam....ungesema manager bett
tihihiiiii niokotwe kwa Hamam
mambo ya michi ya interior
t-picha wherever you are I miss u come back
uuwi jambi kwisha .awiti kula sana .
shaghala wenzangu mpo😂😂😂
June Shakeys present 😂😂😂😂
Umelate
June Shakeys haahaa presentoooh
kulaa wao michii mdaa ndio huwuu but usikuwe sponsor just hit and run
kalekye walihama huku
mzungu mweusi nakipiiiiiii time!!! Shiti you make my day!!
Team february mko wpi to home tuanze kubuy bundles 👀
Hahaha Jambi kupatikana nayo
mko sawa
SHITI to MICHI " wewe ni chapi kwama kwa gate, me nko shughuli zangu,usijaribu kunipotezea wakati wewe akina Solomon Mukbwa wananingojea na mimi ni Mzungu Mweusi na keep hii time" haha
Ati buru burukenge hehe
mgeni umeru utakumaliza 😂😂😂
awiti mdimo mamayooo kukula
Bona Wameru wako macho kubwa kama Nkorote
awiti eti "married to medicine" Hahahahaha
Sarah Joli 😂😂😂😂😂ujaluo itamuuwa
hehehe eti Awiti snakes hivyo Lanka ajameza dawa
Everyone is talking about kanyamba na mbona mi sijaskia hiyo part🤔
Awiti🤣🤣🤣🤣
Makena amenyamba
nice one...
in jeddah
ANN ANNIE Al qassim ndani
nlsir
Awiti anact poa sana
me nataka turu😓😓😓😓😓
Aky awiti amenyamba jamani usipo nyamba ww ni mgojwa
doki amevaa T-shirt ya mickey mouse seriously???