KUMBE ATEBA NI MTU WA UTANI HIVI/ANAWACHEKA WANZAKE HAWAJUI KUONGEA KINNGEREZA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 73

  • @mbwanaabeid6513
    @mbwanaabeid6513 3 месяца назад +3

    Ila Ateba ni muongo😂 mwenzie kasema vingine yy anatulisha matango pori..

  • @StevenKapugi-y7b
    @StevenKapugi-y7b 3 месяца назад +5

    Hii ndio maana ya lugha gongana😂😂😂😂😂

  • @FausPrince
    @FausPrince 3 месяца назад

    Ateba na ahoua watakua marafiki kama
    enzi za chama na miquison❤😊🎉

  • @nilmadaudi9358
    @nilmadaudi9358 3 месяца назад +3

    🦁 Team yangu naipenda sana 🔥🔥🔥

  • @Josamjosam8
    @Josamjosam8 3 месяца назад +1

    Ateba muongo muongo sana harafu kachangamka chapu nimemkubali chapu pia naic wakimkosa huwa wanaumwa😂😂😂

  • @jephtephlon2366
    @jephtephlon2366 3 месяца назад +1

    Matatizooo 😂😂😂😂😂😂 kwan wachezaj wazawa huwa wana wafundisha nn hawa wakigeni

  • @Ananiaisaya
    @Ananiaisaya 3 месяца назад +2

    Mazoezi yanampita waandishi tueshimiane😅😅😅😅mjue😅

  • @Officialrockzompa
    @Officialrockzompa 3 месяца назад

    Atebaa ananivunja mbavu😂😂

  • @RamadhanMohd-q8l
    @RamadhanMohd-q8l 3 месяца назад +2

    Congratulation my team❤❤

  • @AnnaJayden-k4m
    @AnnaJayden-k4m 3 месяца назад +3

    😂nmempenda anteba bure he’s so funny

  • @ZuwenaLandism-ft1lb
    @ZuwenaLandism-ft1lb 3 месяца назад +2

    Ateba akaona isiwe tabu mwanangu si unajifanya unakijua kidg kiswahili bas malizana nao hao🤣🤣

  • @commonsense5617
    @commonsense5617 3 месяца назад +1

    Mwili wa ahoue ni kevin hart
    Sauti ya Pop smoke😂😂😂

  • @YusuphKaleka
    @YusuphKaleka 3 месяца назад

    Ateba is very humble

  • @omarkipotwile9052
    @omarkipotwile9052 3 месяца назад +1

    Hawa kweli watoto 😂😂😂

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 3 месяца назад +8

    😂😂😂akijua kiswahili atasumbua sana uyu yani yupo kule ila anakuja kutranslate uongo

  • @rukiakhalfan6447
    @rukiakhalfan6447 3 месяца назад

    Ateba muongo 😅😅💜😅

  • @MassaiIsaacs
    @MassaiIsaacs 3 месяца назад +2

    you guys are good players

  • @Mwasijani
    @Mwasijani 3 месяца назад +4

    Ateba na ahoua atakua kama sankhoo na banda

  • @chikualiy8705
    @chikualiy8705 3 месяца назад

    Safi sana ateba ❤❤❤❤

  • @Josamjosam8
    @Josamjosam8 3 месяца назад +1

    Mbona awamu hii kazi tuna kama na kingeleza ni changamoto kwa wachezaji wetu😂😂😂

    • @samsonmwijage1869
      @samsonmwijage1869 3 месяца назад +1

      Hawa wageni wengi wao wanaongea kifaransa hakuna changamoto kwani kocha anaweza pia kifaransa ingawa kocha English ndo lugha yake akiwa raia wa Africa kusini.

  • @WathiongoKabwe
    @WathiongoKabwe 3 месяца назад

    Waandishi somen lugha zingin jaman mnawatesa wachezaji

  • @maikomatayo2794
    @maikomatayo2794 3 месяца назад +1

    This is simba nguvu moja ❤❤❤

  • @merinamwamwaja5481
    @merinamwamwaja5481 3 месяца назад +5

    Jean ahoua ana aibu sana jamani

    • @Huruma-ze5xk
      @Huruma-ze5xk 3 месяца назад +1

      Mpe tako kama atakuonea haibu

    • @HasnatMustafa-n1q
      @HasnatMustafa-n1q 3 месяца назад

      😂😂😂 we ni fala kumbe eeee​@@Huruma-ze5xk

  • @NassibPendeza
    @NassibPendeza 3 месяца назад +1

    Matula ndo nan jmn 😅😅

  • @michaelkamunyu567
    @michaelkamunyu567 3 месяца назад +1

    Naskia nyama nyama 😂😂

  • @bisimwamoise284
    @bisimwamoise284 3 месяца назад

    Ateba ame translate uhongo tofauti na alivyo hongea Inspector karabou

  • @Gavanna_L30
    @Gavanna_L30 3 месяца назад

    Ana prefer France

  • @edithanicodemu8690
    @edithanicodemu8690 3 месяца назад

    Ateba anajua kuchekesha kama semaji

  • @NuhuMabena-gh1wo
    @NuhuMabena-gh1wo 3 месяца назад +5

    Kiingereza Cha ateba Cha kuunga unga tu kama mm

    • @mwalimuchristian3273
      @mwalimuchristian3273 3 месяца назад +1

      Hajui Kiingereza

    • @WendeMposola
      @WendeMposola 3 месяца назад

      😂😂😂😂aya bhana

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 3 месяца назад +1

      Sio lugha mama kwao ukitaka uanguke na utelezi mguse kwenye kifaransa😂😂😂

    • @sulleymanjimmy2214
      @sulleymanjimmy2214 3 месяца назад

      ​@@mckobatz5861ni lugha yao pia Cameroon imegawanyika sehem mbili kuna upande unaongea Kingereza na upande mwingine unaongea kifaransa

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 3 месяца назад +1

      Tena nahisi bora hata cha kwako sise😂😂

  • @MassaiIsaacs
    @MassaiIsaacs 3 месяца назад +1

    look for more goals for each team even the smallest team

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 3 месяца назад

    Hamna baya wachezaji wetu tunawapenda

  • @ibrahmahuve3134
    @ibrahmahuve3134 3 месяца назад +1

    Kingereza chenga aongee rugha yake tu

  • @MassaiIsaacs
    @MassaiIsaacs 3 месяца назад +1

    Simba nguvu Moja

  • @avii9971
    @avii9971 3 месяца назад

    She is very happy to be here🤣🤣🤣

    • @MaggySemkande
      @MaggySemkande 3 месяца назад

      Nikawa namtfta hyo she😂😂😂😂

  • @AkilinyoMussanyo
    @AkilinyoMussanyo 3 месяца назад

    Kitenge tufafanulie kwa kiswahili bhan😅🙌

  • @killerwizzyofficial2157
    @killerwizzyofficial2157 3 месяца назад

    pablo from crown 👑 where him

  • @LuckMJoseph
    @LuckMJoseph 3 месяца назад

    kwani njama njama ndo manini?😂😂🙌

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev 3 месяца назад +1

    Hii ataba anavituko

  • @bisimwamoise284
    @bisimwamoise284 3 месяца назад

    Ateba hakusikia alivyohongea mwenzio

  • @luluray2115
    @luluray2115 3 месяца назад +1

  • @BenedikitoJohn-ox8dt
    @BenedikitoJohn-ox8dt 3 месяца назад +2

    Ateba nimutundu sana

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 3 месяца назад +2

    Jamaa English ni inshu kiswahili ndo msala

  • @GeraldDonatian
    @GeraldDonatian 3 месяца назад +1

    Kujua lugha zaid ya mbili ten kifaransa na kiingerez aise ww ni mwamba kila sector

  • @DianaBright-r2h
    @DianaBright-r2h 3 месяца назад

    Wali😅😅

  • @mwalimuchristian3273
    @mwalimuchristian3273 3 месяца назад

    Mtu hajacheza hata match 1 eti What do you see football in Tanzania

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev 3 месяца назад

    Ahou anaogopa nn?

  • @dr.madevualcantara4775
    @dr.madevualcantara4775 3 месяца назад +1

    Mpira sio mchezo wakuongea kma maigizo ya tamthilia mpira ni vitendo physical activities

  • @miscoclever
    @miscoclever 3 месяца назад

    ateba ata yeye English inamsumbua yan amemwambia ahoua she's 😂

    • @melissa_garden
      @melissa_garden 3 месяца назад +1

      Wenyewe ni wafaransa kinge kigumu kama sisi tu hapa

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 3 месяца назад +1

      ​@@melissa_gardentena bora hata sisi aise😂😂

  • @greysondavid6445
    @greysondavid6445 3 месяца назад

    Vous allez bien monsier ateba avec ton amie voir charles.Merci beau coup pour tous les choses.mais cest important vous parlez swahili pour communication ici en Tanzanie Tanzanie

  • @SalmaAlly-p4r
    @SalmaAlly-p4r 3 месяца назад +7

    Nani alieona nyuma kuna mtu kaanguka

  • @abdulsalim1069
    @abdulsalim1069 3 месяца назад

    " UDUDU" MWINGI SANA🤣🤣

  • @StevenKapugi-y7b
    @StevenKapugi-y7b 3 месяца назад

    Mbona wote hamjui english

    • @luciamasuhuko630
      @luciamasuhuko630 3 месяца назад +1

      Wanaongea kifaransa kingereza wanaunga kma me na ww tu😅😅😅

    • @HasnatMustafa-n1q
      @HasnatMustafa-n1q 3 месяца назад

      ​@@luciamasuhuko630 umenijb vizr san 😅😅😊

  • @pmasteer
    @pmasteer 3 месяца назад

    😂😂😂😂

  • @Azizally-k6l
    @Azizally-k6l 3 месяца назад

    😂😂😂😂