DEUS KIBAMBA AWASHANGAA WANAOLAZIMISHA AWAMU TATU ZA RAIS SAMIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии •

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 15 часов назад +10

    Mungu akubariki sana

  • @Ambwene
    @Ambwene 16 часов назад +19

    Hakuna hatumtakiiiiiiiiiii hata hiyo aliyokaaa inamtosha

    • @allythabiti8150
      @allythabiti8150 3 часа назад +1

      Jina tu unaitwa ambwene nilazima useme hivo...😂😂😂, chuki tu.

  • @bogoheidaso2628
    @bogoheidaso2628 7 часов назад +5

    Hongera Sana kutupa uelewa mkubwa

  • @patrickJosse-t7h
    @patrickJosse-t7h 15 часов назад +18

    Inshoti tunataka rais mwanaume mwakani 😮

    • @JumaNjiku-df1fd
      @JumaNjiku-df1fd 6 часов назад

      Hoja hii haina mantiki. Vikojoleo haviongozi nchi. Nchi inaong 10:23 ozwa na mfumo. Tunahitaji mfumo bora wa uongozi bila kujali vikojoleo vya watu, hivi vina kazi mbili tu- kushiriki uumbaji na kutolea maji machafu kutoka kwenye miili ya watu.

    • @jombadulla
      @jombadulla 3 часа назад

      sahau

    • @RenatusMatungwa-o7c
      @RenatusMatungwa-o7c 3 часа назад

      ​@@JumaNjiku-df1fdhata km ila mwanamke hatumtaki sisi atuongoze ni viumbe dhaifu

    • @Jackson-n2c
      @Jackson-n2c 3 часа назад

      @@JumaNjiku-df1fd hawezi kuongoza sasa.... Watu wanajipigia tu hela huku akishangilia

  • @FortinathaMvikule-cm1im
    @FortinathaMvikule-cm1im 14 часов назад +5

    Mungu akubariki sana kwa mafunzo hayo

  • @KhalidMohd-n4q
    @KhalidMohd-n4q 15 часов назад +7

    Wengine wakisikia hivyo roho zinawauma na wanatumia roho ila.upo sahihi kabisa

  • @anordiobadia.nycsong8123
    @anordiobadia.nycsong8123 15 часов назад +8

    Barikiwa sana mkuu watu kama wewe wanaitajika sana kwa manufaa ya taifa letu

  • @HellenNkwera
    @HellenNkwera 15 часов назад +9

    Ulizii unaitajikaa kwakoo

  • @HelenikoBusagara
    @HelenikoBusagara 16 часов назад +10

    Ahaaaa kumbe hatakiwi bc amalizie aondoke zake

    • @EmmanuelKiula
      @EmmanuelKiula 15 часов назад

      Kumbe hata sifa ya kuwa rais Hana, maana ni chura kiziwi!

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 13 часов назад +1

      Hujamwelewa.
      Yaani, anaweza kugombea tena mwakani ili kukamilisha kipindi cha 2

  • @aphonceedward6784
    @aphonceedward6784 15 часов назад +8

    Unastahili kupewa maua kwa kutoa elimu hii kwa watanzania hongera sana.

  • @RichardMadebe-f1m
    @RichardMadebe-f1m 15 часов назад +7

    Samia hafai aende akapumzike inchi imemshinda watz hawana furaha kbs

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 12 часов назад

      Fanyeni kama Mozambique 🇲🇿 washeni moto sisi tupo mbali tutawasaidia kuja kuwaangaria hospital

    • @abi-onlinetv4181
      @abi-onlinetv4181 6 часов назад

      😂😂😂😂​@@rogerabdallah439

  • @victorrobert7797
    @victorrobert7797 15 часов назад +13

    Hiki kipindi alichoongoza kimemtosha hatumtaki tena

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 15 часов назад +5

    Katiba Mpya nzuri,tutarudi nyuma kabisa;kama hatupati.

  • @charlesmambya6759
    @charlesmambya6759 16 часов назад +7

    Maon mazur sana, katiba mpya mhimu sana

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 14 часов назад

      Mheshimiwa Warioba na team yake walifanya kazi iliyotukuka. Hii rasimu ya Warioba ipiganiwe ikamilishwe

  • @methodmbovela263
    @methodmbovela263 14 часов назад +2

    Safi sana nimekuelewa mnoo

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 15 часов назад +9

    Bora asigombe aende tu

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 15 часов назад +1

      😂😂😂😂😂😂 nakweli

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 15 часов назад +2

      CCM Kwa hali ya nchi ilivyo ni Bora 2025 wamsimamishe Mh Majaliwa nafasi ya Urais atapita haraka sana Wala haitatumika nguvu ya Dora lakini kama mama akitaka kuendelea Watu wataumia sana

    • @sophiaamnaay9726
      @sophiaamnaay9726 7 часов назад +1

      ​@@MashakaMagesakwani lazima iwe CCM! Atoke popote tu

    • @hamzakhamis1575
      @hamzakhamis1575 5 часов назад

      Wewe jamaa ni mnafiki sana mbona wakati wa magufuli hukuhoji na wala hatukukuona ukizungumzia kuhusu katiba mpya

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 5 часов назад

      @@sophiaamnaay9726 Ndiyo Rais wa Tanzania lazima hatoke CCM Hawa wengine bado sana kuwapa hiyo nafasi

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 14 часов назад +4

    Samia amemaliza muda wake

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 14 часов назад +6

    Kama watamuweka Majaliwa nipo tayari kupiga kura🙌

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 часа назад

      @@nursechunga4470 kinachotakiwa hapa ni katiba mpyatu bila katiba nzuri hatahuyo unaemtaja hataweza Fanya kitu

  • @JumaNjiku-df1fd
    @JumaNjiku-df1fd 6 часов назад +2

    Mimi naona Tanzania imeshikwa na jeshi la polisi na usalama wa taifa. Habari ya democracy imekuwa mbaya zaidi kwa sababu walioko madarakani wanna hofu ya kupoteza madaraka iwapo utafanyika uchaguzi wa haki. Wananchi wana hasira na watawala wanaojali kundi lao tu na hawawezi kujibu hoja za msingi za matatizo ya wananchi. Vyombo vya usalama bado vinaugua ugonjwa wa siasa za mwalimu kuwa vyote ni vya chama, vinaongozwa na makada wa chama, vinalinda chama dhidi ya maaduo wa ndani ambao ndio wananchi wenyewe. Yeyote mwenye mawazo tofauti ni adui! Ni lazima azimwe kulinda ufalme wa chama. Huu ni ugonjwa (schizophrenia) ambayo mganga ni watanzania middle class ambao pia wengi hawajitambui. Tuna janga.

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 15 часов назад +5

    Akuna awamu 3

  • @SalambaPeter
    @SalambaPeter 3 часа назад +1

    Nashangaa jw tz yetu hivi nao hawaoni haya? Maana kama unataka kutawala ujue unataka watu wa kuwatawala lkn maccm inaua watu nashindwa kuelewa

  • @Teddy-z4i
    @Teddy-z4i 14 часов назад +2

    Safiiiii sanaaaa

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 5 часов назад

    UKWELI NDIO HUOOO👏🏻

  • @user-sr9js6rj5v
    @user-sr9js6rj5v 8 часов назад +2

    Bravo hiyo ndio ktba tunaihitaji safi sana

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 6 часов назад

    Uko vzr Broo uko vzr san

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 4 часа назад

    Msema kweli ni mpenzi wa mungu

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 4 часа назад +1

    Kipi kinaamua awamu ya Urais. Ni uchaguzi ama ni mtu.

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 6 часов назад

    Deus you are Good tutor

  • @johnlugaila
    @johnlugaila 6 часов назад

    Uko vizuri

  • @hamissomary6869
    @hamissomary6869 Час назад

    Serikali ya hovyo sanaaaa hiii

  • @christosiadanieli6512
    @christosiadanieli6512 5 часов назад

    ❤toa vidonge

  • @emmanuelsas3518
    @emmanuelsas3518 5 часов назад

    Usiishie hapo kutia elimu pitieni kote mpaka Arusha Mungu akulinde wasikuteke

  • @RajabuMussa-h5n
    @RajabuMussa-h5n 2 часа назад

    Tupate rais mwanaume itapendeza sana tazania

  • @migerajacob581
    @migerajacob581 16 часов назад +2

    Umeongea vizur, bila katika mpya Hali itakuwa ngumu Tz,,

    • @Mussaphanuel-p1q
      @Mussaphanuel-p1q 16 часов назад

      Jalibu kuandika vizuri.kama hujui wape wanao jua wakusaidie

    • @davidkawesa3594
      @davidkawesa3594 15 часов назад +1

      ​@@Mussaphanuel-p1qumeelewa ila ujinga unakusumbua

    • @romanilyimo
      @romanilyimo 13 часов назад

      We mwenyewe unakoseaga kenge ww wacha kujifanya unajua sana fala ww ​@@Mussaphanuel-p1q

  • @JovinMaftah
    @JovinMaftah 14 часов назад +2

    Kwakweli samia wananchi hatumuelewi kama ni raisi au mpiga dili

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 5 часов назад +1

    EE MUNGU NAOMBA KWA UWEZA WAKO HATA AWAMU YA PILI ASIIPATE!!!
    UOVU UNAOENDELEA NCHINÌ EE MUNGU UNAUONA TUNAOMBA HATA AWAMUNYA PILI MLETE MWINGINE ATAKAYEWEZA KUSIMAMIA TAIFA KWA KUTENDA HAKI USAWA NA DEMOKRASIA TUNAOMBA EE MUNGU BABA!!!

  • @ChumHaji
    @ChumHaji 14 часов назад +4

    Samia mitano tena

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 12 часов назад

      K m

    • @sophiaamnaay9726
      @sophiaamnaay9726 7 часов назад

      Una maanisha au unafanya utani tu. Tufuate katiba tu ingawa ina mapungufu lkn imeweka hili wazi hivyo katiba ifuatwe kama ilivyofanyika.

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg 3 часа назад

      Jinga sana wewe guchumiHaji

    • @GraceDeo-g1n
      @GraceDeo-g1n 2 часа назад

      K kubwa mbwa koko

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 5 часов назад

    Kwa hesma na taadhima mama yetu laisi wetu akomeshe utekaji na mauwaji bila hivyo tutafika tumechoka sana ulimi nje maana miaka mitatu tu tumeshalia misiba ya kila aina kwa kweli tumechoka sana wanawake tumechoka kuomboleza

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 4 часа назад

    Rasimu ya yule MZEE. Wamechachua Hatuitaki

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano 6 часов назад

    Safi snaa

  • @hemedbamja3197
    @hemedbamja3197 16 часов назад +1

    Home sweet home "Sanga Mwalugesha"

  • @hemedsimba492
    @hemedsimba492 4 часа назад

    Wewe wasema, ni kweli kabisa, sasa swali ni moja tu Kwa kila mgombea katiba, katiba, katiba. Hii ndio kila kitu.

  • @GuidoLadislaus
    @GuidoLadislaus 15 часов назад +2

    Tunataka katiba mpya hatutaki kuongozwa na mtu ambaye hatumtaki eti rais akifa anakaimu makamu. sio kweli mimi nilichagua rais sio makamu wa rais hiyo itolewe hatuitakii pia rais kuteua mpka jaji mkuu eti na yeye anamwapisha huyo huyo aliyemteua hatutaki mbunge kuwa waziri hatutakiiiiiiiiiiiiiii rais wa bara kutoka Zanzibar hatutakiiiiiiiiiiii tunataka katiba mpya rais samia unatusikiaaa tunataka katiba mpya uchaguzi mwakani hatufanyi bila katibaaaaa

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 14 часов назад +1

    Hata wasipotaka wabunge waliongoza mufa mrefu mwakani wasijisumbue kurudi😮😮

  • @MaulidyMadyo
    @MaulidyMadyo 15 часов назад +1

    Kabisa litoke ilo limama nchi haiwezi hta kdgo

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 3 часа назад

    Samia mitano tena, had mitano tena kutoka 2035. Full stop.

  • @chakulachaleo
    @chakulachaleo 47 минут назад

    Mimi nitakuwa raisi wa hii nchi nakuambieni ukweli

  • @Jackson-n2c
    @Jackson-n2c 16 часов назад +1

    Hata hii 5 ijayo ingefaa aondoke tu.... Wapo viongozi wa zuri hapo ccm waongoze nchi hii

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 16 часов назад +1

    Kweli kabisa awamun2.zinatosha, tugawane.mkate

  • @MaguguStore
    @MaguguStore 15 часов назад

    Shida za Tanzania

  • @Lubango-gj3ud
    @Lubango-gj3ud 6 часов назад +1

    Katiba mpya,
    -Elimu ya mbunge ianzie form 4 au 6
    -Wawe na ukomo wa kugombea.
    -Madaraka kwa rais yapunguzwe.
    -wakurugenzi wapigiwe kura na wananchi
    -wateule wa rais wapungue.
    -spika asiwe na chama.
    -makamu wa Rais awe na full sifa za kuwa Rais.(kama alivofit Samia)
    - Hakuna haja ya kuwa na wakuu wa wilaya.
    -pawe na wabunge special wanaowakilisha kundi la WAKULIMA(nchi hii wako 80%)

  • @IbrahimuAzizi
    @IbrahimuAzizi 15 часов назад +1

    Katiba ya chama kimoja wakibadili ccm watoka madarakani

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa 15 часов назад +1

    Sasa kwa maneno hayo Rais Samia haruhusiwi kugombea urais tena 2025 Ndiyo maana waga nasema nchi yetu tuna wasomi wengi sana lakini Hatuzioni Faida ya hizo Elimu wanatanguliza matumbo yao badala ya kulisaidia Taifa

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 13 часов назад

      Anaruhusiwa. Sikiliza vzr. Atagombea ili kukamilidha kipindi cha 2.

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 16 часов назад +1

    Katiba hii? Natume hii.uchaguzi bora usiwepo kuriko kupoteza muda na pesa za nchi.kama hawa tu wameua je hiyo itakuaje

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 16 часов назад +1

    Siasa ni uwongo unaokubalika so usiwategemee wanasiasa ni wazushi

  • @amirjuma9395
    @amirjuma9395 7 часов назад +1

    Hilo lakumwambia mwanasiasa au mgombea ahaidi ili upe ubunge atakuaiditu lakini kutekeleza hapo ndio shida kwani wanaofaidi mkate kwa sasa ndio wenyepawa hawalitaki hilo la katiba mbunge akilazimisha hoja yake atatolewa nje ya bunge na ataitwa katika kamati ya maadili au atavuliwa uanachama hakuna mtu atakunali kumwaga ugali mzee

  • @JOKHAALIY
    @JOKHAALIY 6 часов назад +2

    Samia mama mitano tenaaaaaaaa
    Wabongo acheni roho mbaya kwa wazanzibar

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 6 часов назад

      Roho mbaya ipi wakati Katiba iko wazi? Ebu tuache kutingisha madish yetu, akili zetu zifanye kazi kama makusudio ya Mungu acheni uchawa!

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg 3 часа назад

      Jinga wewe li JOKHAALIY

    • @SalambaPeter
      @SalambaPeter 3 часа назад

      Huna akili

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 часа назад

      @@JOKHAALIY mnauza Tanganyika nyeee

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 38 минут назад

      @SalambaPeter hiyo ndo akili yake sema hajui kuitumia vizuri kuchambua mambo anasubiri achambuliwe na machawa na kulishwa ndulele!! Mmeshaambiwa soma Katiba, iko wazi hata huyo mnayempigia debe anajua kwamba kama atabahatika "kuingizwa" madarakani 2025 mwisho ni '30. Tujifunze kufuata sheria ndivyo Mungu alivyokusudia labda kama sisi tunaamini miungu mingine!!

  • @EnickoSanga-z8b
    @EnickoSanga-z8b 2 часа назад

    Hatumtaki kabisa huyu mmama

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 7 часов назад

    Tatizo WANASIASA wandotawala wanataeala mpaka maamuzi na utashi wa wanainchi na pia kuwasemea kwa maneno lazimishi kama vile wametukubali kwavile sera zetu ni nzuri lkn wanaeanyima kuonesha utashi WAO kwa uwazi na wakiona Kuna mgombea mwingine wakijua hapo hawapedwi wako radhi hata kumuua .hivi nani anaweza kupenda mtu alikua ndugu au RAFIKI yake

  • @SelijusiMalambo-z2b
    @SelijusiMalambo-z2b 15 часов назад +1

    Hakuna jipya mawazo limbukeni

  • @amosiabdulallh7965
    @amosiabdulallh7965 6 часов назад +1

    Unaoogopa nn fara ww

  • @kamrudinelias3922
    @kamrudinelias3922 15 часов назад +2

    Matozo kibao

  • @HamimMbango
    @HamimMbango 6 часов назад

    Tatizo ni mkwele analazimishaaaa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 13 часов назад

    Hata Wabunge wawe niaka kumi tu tunewachoka jwani hakuba wasomi wengine tumewachoka wote waliomaliza miaka kumi waondoke jamani

  • @EmmaroseJoseph
    @EmmaroseJoseph 14 часов назад

    ❤❤❤❤❤

  • @mahyorokalokola4012
    @mahyorokalokola4012 6 часов назад

    Sifa ya kuwa mbunge siyo kusoma na kuandika tu Kibamba. Angalia usije ukawa unatetea katiba usiyoijua

  • @RevocatusKitambi
    @RevocatusKitambi 3 часа назад

    Mwakani wagombea wote tunataka kikaango cha mudaalo

  • @HajjiMohammed-t4s
    @HajjiMohammed-t4s Час назад

    Samia mitano mitano Tena ccm ooyeee

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 5 часов назад

    Tupige kura kwa tume ipi hii ya Mbowe alielishwa korosho

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 2 часа назад

    Elimu hii kuntu inawafikia wananchi waliowengi mitaani na vijijini? Cmde Deus nakuomba uende na vijijini/mitaani utoe elimu hii! Vinginrvyo ni wenye simu janja tu (ambao ni wachache sana) watakusikia!

  • @nicolauslema88
    @nicolauslema88 4 часа назад

    Jamani Kuna nini tumpe tena miaka 20 mama.

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 3 часа назад

    Samia ni rais wetu, sahiz anamalizia awamu ya magufuli, na baada ya hapo ni bado miaka yake 10... Kwahyo hapo had mwaka 2035.
    Tusimumunye maneno tu.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 часа назад

      @@allythabiti8150 kwendaaaa ataondoka tu akimaliza hicho kiporo chake Cha 2025

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa 4 часа назад

    Ndiyo ni 5 tena kajinyonge

  • @masumbukosiyougomvi7900
    @masumbukosiyougomvi7900 54 минуты назад

    Upuuz mtupu, mnatufanya mazuzu, Kuna inchi hazinaga hata katiba, hayo ni makaratasi tu. Ni Bora watu wasome kamsi yetu ya kiswahili.

  • @AdrianMellow-y4t
    @AdrianMellow-y4t 12 часов назад

    Oya kaka umeongea kwa ujasir sn mm nmekukubali

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 8 часов назад

    Rais agombee upya maana hajawahi kuchaguliwa kama Rais

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 4 часа назад

    Hayo mengine Unatoa kichwani Kinachò zungumzwa MAMA mitano tena Nahilo Halina Ubishi

  • @sarahminja7255
    @sarahminja7255 4 часа назад

    Hatumtakiii huyu mama hata kwa bure kwanza atopata kura hata moja kipindi cha magufuli alidondoka atapata sasa huyu mama hatumtakiiii

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 42 минуты назад

      Wew ni Mzanzibari sis nd tusem hhhhhhhh mambo kwa zamu

  • @AdrianMellow-y4t
    @AdrianMellow-y4t 12 часов назад

    Katiba mpya

  • @kamrudinelias3922
    @kamrudinelias3922 15 часов назад

    Hizo taarifaa za habari ni uzushi mtupu

  • @HAIPPA_PLC
    @HAIPPA_PLC 9 часов назад

    Hoja imeeleweka

  • @mustafakimalio9129
    @mustafakimalio9129 16 часов назад

    Je wagombea diwani ,mbunge na raisi kiwepo pia chombo huru cha kudhibitisha uxalendo na uadilifu wao ,,ili isijekuwa tukapata bunge la mafisadi litakalodhibitisha viongozi mafisadi pis

  • @josephnjellah280
    @josephnjellah280 16 часов назад +1

    Hata madiwani iwe miaka kumi

  • @HarunakiongoziMohamed
    @HarunakiongoziMohamed 4 часа назад

    Wewe ukiona mtu anaongea ujinga ujinga wa kisiasa,utaona atakuwa kafiri wa kikristo,wakristo wanaumia sana kuongoza muislaam,,ndy maana wanao mpinga kwa chochote ni makristo

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 часа назад

      @@HarunakiongoziMohamed mekalia ujinga tu uristo unahusiana nini? Kwenye maslahi ya inchi huyu hafai hatakua diwani

  • @knight6757
    @knight6757 15 часов назад +1

    🤔🇹🇿

  • @MohamediKassimu-d4c
    @MohamediKassimu-d4c 16 часов назад +1

    Khofu yako nini????

  • @MalkiadiNaano
    @MalkiadiNaano 15 часов назад

    Sisi hatuhitaji katiba mpya bali tunahitaji maji safi na salama , elimu ,e bora nkmbona hamtuelewi? Anglia wanaokupigia makofi kwa ushahidi.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 15 часов назад

      Weni poya kweli bila katiba nzuri hayo utayapataje

    • @RenatusMatungwa-o7c
      @RenatusMatungwa-o7c 3 часа назад +1

      Hivyo vyote utavipataje bila katiba bora.?hii ya sasa haiwalazimishi wanafanya km hisani

  • @AbdallahMiwere
    @AbdallahMiwere 16 часов назад

    Katiba hii toa kasoro zake

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 15 часов назад

    Mbona mnasema Katina nimbaya?; Kwann mnaifuata?

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 12 часов назад

      Mkundu wewe hata kuandika neno katiba huwezi umeandika Katina 😂

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 15 часов назад

    I chadema wanamchokiliaje warioba? Kilakitubet wariioba wamemshika masikio eh

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 12 часов назад

      Rudi darasani ukafundishwe kusoma na kuandika, chunguza comments zako humu utagundua ni wewe pekee ambae hujui kusoma na kuandika 😂

  • @MedardMushobozi
    @MedardMushobozi 15 часов назад +1

    Hakuna kitu cha namna hiyo. RAIS SSH atamsliza utumishi wake 2030 kama Mungu atakupa uhai.

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 15 часов назад

      Ikiwa hivyo itatumika nguvu kubwa sana ya Dora Watanzania wengi fatilia comenti wameuchoka huu utawala

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 15 часов назад

    Huyo warioba aliongea na chadema cy wanchi

    • @ProsperReuben-fg6uh
      @ProsperReuben-fg6uh 15 часов назад

      Kwahiyo chadema sio wananchi kumbe?Hawa machawa ni htar

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 15 часов назад

      Ulitaka wariyoba akufute chumbani lkn wewe uchawa unakutesa sana

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 15 часов назад

    Shida siyo uchaguzi watu kufa Ila viongozi wa chadema wanafanya hayo matukio

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 15 часов назад

      Wanafanya matukio gani

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 12 часов назад

      Unatombwa na wachawi sio bure, achana na CHADEMA

    • @AndrewKisava
      @AndrewKisava 7 часов назад

      Tunazo tarifa za uhakika wewe mlowe ndo unateka na kuua watu

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 6 часов назад

      @AndrewKisava kawaida yenu tinawajua sana kuzusha, ndio maana mlisema Jana ametekwa halafu anakutwa kwandugu yake au sy hongera sn

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 6 часов назад

      @AndrewKisava sisasa zamatukio

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 14 часов назад +1

    Sawa mkuu. Hivi kipindi cha Magu huyu jamaa alikimbilia wapi? Wanaume wachache sana walibaki kupambana na Magu. Lissu, nk

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 15 часов назад +1

    Hatutaki yawarioba iliwekwa na chadema

    • @sophiaamnaay9726
      @sophiaamnaay9726 7 часов назад +1

      Warioba alikutana na CHADEMA tu au au ni mwanachama wa CHADEMA. Ufahamu umeupeleka wapi? au upo kutetea CCM tu.

  • @arubakarkada837
    @arubakarkada837 14 часов назад +1

    Wachangiaji wengi humu mna chuki na udini!!

    • @GodfreyMwamaso
      @GodfreyMwamaso 12 часов назад

      Hapo dini imetoka wapi?mjadala uliyoko meza ni issue ya katiba mpya

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 16 часов назад

    Dangerous thinking....
    Wanaofikiria kuwa raisi wa sasa atumikie miaka 15😂😊😊

  • @nicolausmavoa7909
    @nicolausmavoa7909 14 часов назад

    Asantee kwa elimu kuhusu katba tumeelewa sasa nikwanini wala nchi hawaipendi katba mpya

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 10 часов назад

    Bi mkubwa 😅

  • @kamrudinelias3922
    @kamrudinelias3922 15 часов назад +1

    Hakuna anaelazim8sha hata hio 2025, wacha propaganda 😅😅

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 12 часов назад

      Nyinyi sindio wale wanaofirana na uyo mama