Asante sana kaka kwa ushauri wako mzuri duu hadi nalia jamani mwanawake tuna mitihani sana na hawa wanaume mtu anakuzalisha hapo hapo anakuona ufai MUNGU anawaona nyie wanaume
Leo ndiyo ku skiya na kuona video hii, kinacho ni uzikisha ni kuona idadi oa number ya watu waliyo iona na kuweka comments zao. Nili tegemeya millions za watu. Ina maanisha watu hawaja elewa kuwa mahusiyano kati ya mume na mke nipenzi tu . Mupenda aku pendaye . Ku zaa na mtu, ku changiya kabila na ukoo, dini ao imani, hayo yasi sababishe ku hatarisha maisha yako ao kuji nyima raha. Hauku umbiwa ili uje uwe mtumwa wa mapenzi. Penzi ni ku pendana, ku saidiyana naku kubaliana kwa kila kitu. Asiye ku samini achana naye...!
Vraiment, tu nous as toujours édifié. Grâce à ces petites vidéos que tu as toujours fais nous ont toujours fait du plaisir. Una sema maneno yaku jenga Kaka Ibra, Luc Badesire depuis la ville de Bukavu, RDC
Asante sana kaka kwa ushauri wako mzuri duu hadi nalia jamani mwanawake tuna mitihani sana na hawa wanaume mtu anakuzalisha hapo hapo anakuona ufai MUNGU anawaona nyie wanaume
Kama tabia yako hainiridhishi nifanyeje?
Asante kwa video yako inafundisha sana
Napenda xana,,, huwa najifunz ving kutok kwko
Nakukubal ile mbaya
Daaaah broo uko sahihi iyoo life mm ndo nimeipitia😭😭nimepitiaa meng sana namshukiru mungu now napambania maisha na so baba wa mwanagu 💯
Dah! Mungu akubariki sana Kaka una elimisha watu sana.
Ubarikiwe kaka Ibra
Uko vizuri kaka
Da! Yan we mtu unangusa sana
Kazi nzuri hongera sana 😘🔥🔥
Nakuelewa San brother
Brother you always be there for me love u 😘🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Brother ww ni moto,,🔥🔥🔥🔥🔥
Mambo
Iko pw sana hii video
Tuko KENYA 💖💖💖💖
napenda na uwa najifalij san na kunip ujasil na manen yako
Hapo umenena. Yaani maneno ya busara.
Ibra I like ur courage God bless
Yan kaka hujawahi kuniangusha uko vzur sana
Im going to fight to my lelanship🤣🤣
Nimecheka sana wallah😆😆
Sure broo daaaa
Hahahaaa
Hhhhhh
Daa good sana kazi nzuri ubarikiwe je mtu akihitaji kujiunga kwa group kuna vigezo gani
Nimekubali najifunza mengi
Kweli...cheapness is not life...unaweza bro keep it up
Hauto sahaulika bro video nzur na inafundisha
Ongera Ibra
Nimejifunza kaka nchmba shmo na mm
Ni kweli kabisa mm pia sipaganii mapenzi
Mungu akujarie sana
Haya yalinikuta...ila namshukuru mungu mkubwa...sipo Kama nipokua zamani
ibra the don moto wewe hupoi
Leo ndiyo ku skiya na kuona video hii, kinacho ni uzikisha ni kuona idadi oa number ya watu waliyo iona na kuweka comments zao. Nili tegemeya millions za watu. Ina maanisha watu hawaja elewa kuwa mahusiyano kati ya mume na mke nipenzi tu . Mupenda aku pendaye . Ku zaa na mtu, ku changiya kabila na ukoo, dini ao imani, hayo yasi sababishe ku hatarisha maisha yako ao kuji nyima raha. Hauku umbiwa ili uje uwe mtumwa wa mapenzi. Penzi ni ku pendana, ku saidiyana naku kubaliana kwa kila kitu. Asiye ku samini achana naye...!
Nakuku bali kaka❤❤❤
Ibra I love UA advise
Allah bless youu🙏🙏
God bless you my btother
Hoi yaraab Mola wangu we jamani jamani mapenzi😂😂😂😂😂😂
Nice one
Kweli kabisa kk
💞💞💞💞💞💞u from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante kwa io mlatupai
Good job man
Bless you ibra
Lovyouu donee🥰
Daaa kweli yan
My boos
genius by born
Kwliii
Nampenda lakini hanielewi hata kumuacha nashindwa jamani
Good boy
Naqbr ushauri wako the don
😇😇😇😇
Jamaa nime kufat kuaza kuku fatilia
Unafanya ulichojaliwa na unasaidia wengi hongera
Niunganishen kweny group lake uyu jamaa
Vraiment, tu nous as toujours édifié.
Grâce à ces petites vidéos que tu as toujours fais nous ont toujours fait du plaisir.
Una sema maneno yaku jenga Kaka Ibra, Luc Badesire depuis la ville de Bukavu, RDC
Sasa huyo chamaki si ungemweka kwa tenga la baiskelii
Jaman n sawa kumrudia x wako aliye kuumiza vbaya ???amerud ukiw na mpenz mpya
Naikubali
I will fight for my relationship my foot to hell 😤
Mambo
Kwel
Thanks Ibra
like it
Fact
kweli
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Siwez kupata namba yako
Namba yake c ipo apo kaitaja mwisho
ibra the don moto wewe hupoi