MAZINGAOMBWE (THE MAGIC)EP 13 MKOJANI - SAMOFI - MTANGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • #mkojani #mazingaombwe

Комментарии • 146

  • @ahmedngolenga
    @ahmedngolenga 4 месяца назад +9

    Leo nime kuwa mapema asante kwa kazi nzuri mkojani gang...hiyi ni noma sana big up sana

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 4 месяца назад +9

    Mashallah mungu abaliki sana kazi zenu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ErickNjoroge-fn4ob
    @ErickNjoroge-fn4ob 4 месяца назад +2

    Good man yo huu msee mwenye nyumba

  • @SEHEECHUWO
    @SEHEECHUWO 4 месяца назад +6

    Ety mwambie mjomba mm mpkewe asivuke mipaka😅😅😅tulia samofi upakwe mafuta

  • @InnocentArmadillo-do9vm
    @InnocentArmadillo-do9vm 4 месяца назад +1

    Team strong mkojani gang. Kazi nzuri sana. Kubwa kuliko more fire 🔥🔥🔥

  • @luqmantorreira7201
    @luqmantorreira7201 2 месяца назад

    Kisoseji njoo kenya mtoto mzuri mkojani asije akavuka mipaka kwako atakutekerenya😅😅😅😅😅

  • @kassimabussa6583
    @kassimabussa6583 4 месяца назад +1

    😂💯💯💯💯💯😂😂😂😂hi yaleo Kali sana nimecheka sana mwenyewe hongereni sanaaa mkojan gang endeleeni kutuburudisha🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @bonventrychevai5183
    @bonventrychevai5183 4 месяца назад +1

    Daa!! Nyie wacheshi kweli, yaani Mkojani siku sote ni kumletea matatizo Samofi😂😂🇰🇪🇰🇪

  • @KidogeDolie
    @KidogeDolie 4 месяца назад +20

    Yeah nakubali leo kbs amukawii kutuburudisha ila sasa kwanini kamoja kamoja naombeni like jamani🎉🎉

  • @kelvinayuma1620
    @kelvinayuma1620 4 месяца назад

    Kazi nzuri,,Ngoma Nagwa kakosa hii,,ule ubishi wake wa kuwa Kontawa,,unaisha😂😂

  • @NyenjeNdeu-u6p
    @NyenjeNdeu-u6p 4 месяца назад +2

    Mtekenyo kama woote 😂😂😂😂🎉🎉 mkojan kiboko

  • @Marijaniammar08
    @Marijaniammar08 4 месяца назад +1

    Mama bushra unajua mnoo acting 🎉🎉 wakupe maua yako

  • @MohdMohd-w4c
    @MohdMohd-w4c 4 месяца назад +5

    Hongera kwa kazi mzuri

  • @rogynee8135
    @rogynee8135 4 месяца назад +4

    KISOSEJI unajua 😂😂😂

  • @ZahraAlly-wq4ku
    @ZahraAlly-wq4ku 4 месяца назад +4

    Here we Gooo Mazengaumbwee😂😂😂😂

  • @NassibUkasha
    @NassibUkasha 4 месяца назад +7

    Hyu kisoseji namtumia nauli aje kenya😂

  • @muzihirisekavumo7829
    @muzihirisekavumo7829 4 месяца назад +2

    Nimekua wa 501 Ila mkojani unakoromea wenzako siopowaaa❤❤😅

  • @MariamNgereza-p9g
    @MariamNgereza-p9g 4 месяца назад +2

    ❤❤🎉🎉 much love mkojan

  • @haruniblackson1318
    @haruniblackson1318 4 месяца назад +1

    🔥🔥🔥, saiz kutupostia vipande viwili mmeona tutafaidi

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 4 месяца назад

    Mkojani na team yako mmetisha sana❤❤❤

  • @AthmanHamisi-j2v
    @AthmanHamisi-j2v 4 месяца назад +1

    Kweli samofi kazi hunayo nilidhani mjomba ako atamweza mkojani

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 4 месяца назад +3

    ila mkojani noma unamlisha mwenzako mchanga na mswaki kweli

  • @abelmusundi2100
    @abelmusundi2100 4 месяца назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Kali sanaa

  • @holyfunny7536
    @holyfunny7536 4 месяца назад +5

    Wa kwanza, nipeni likes buku

  • @NdayiragijeApie
    @NdayiragijeApie 4 месяца назад +5

    Wee kula tuuu uoga aaaah😂😂😂😂

  • @zachariadeus
    @zachariadeus 4 месяца назад

    Toka mtanga aigize leo ndo anakula kuku Asante mkojan gang

  • @kassimabussa6583
    @kassimabussa6583 4 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 uncle jani kaja nambinu za mtekenyo

  • @aminielsaidi8015
    @aminielsaidi8015 4 месяца назад

    😂😂😂😂Dah samofi anaogopa mbinu mpya ya mtekenyo

  • @HoneysugarPudding
    @HoneysugarPudding 4 месяца назад +1

    Wote mnajua ila Samofi anajua bhana ❤️❤️

    • @Mzuri_002
      @Mzuri_002 4 месяца назад

      Sikupingi❤

  • @AdamMbwana-p6n
    @AdamMbwana-p6n 4 месяца назад +1

    Uyo dada wa kazi abadilishe dira mnafeli app

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 4 месяца назад +3

    ❤❤❤

  • @MwetaElia
    @MwetaElia 4 месяца назад +2

    Wakwanza leo😂😂

  • @OLOLUFEMITz
    @OLOLUFEMITz 2 месяца назад

    9:14 mtanga Vimeumana😂😂😂 9:19 Kukukanona heti gafla anaona inabadirika kuwa mti mkavu😂😂😂 Samofi Jikaze baba kazi unayo❤❤❤😂😂😂 Team mkojani nipeni Like basi😅❤❤😂

  • @lameckjames-h4f
    @lameckjames-h4f 4 месяца назад +1

    kaz nzur sana mkojan

  • @OfficialShahzard
    @OfficialShahzard 4 месяца назад

    Beautiful Scene ❤

  • @ShehaSalum-p3s
    @ShehaSalum-p3s 4 месяца назад

    😂😂😂😂 kamujang saf San mtango

  • @EsterElias-m4r
    @EsterElias-m4r 2 месяца назад

    Mazingaombwe kama wakina kababayee pkpk inapita kifuani

  • @muniraahmedawadh2619
    @muniraahmedawadh2619 4 месяца назад

    Mambo hayo mtanga kula sasa chakula cha mazingaombwe

  • @KondoFundi-fl5td
    @KondoFundi-fl5td 4 месяца назад

    Mkojani mnafanya kazi nzuri sana 😂😂😂😂😂

  • @moseskiponda5377
    @moseskiponda5377 4 месяца назад +1

    Ila mnachelewesha sana aisee

  • @EsthetiqueMajaliwa
    @EsthetiqueMajaliwa 4 месяца назад +1

    Kazi kazi ❤❤🎉

  • @mohdfakii7592
    @mohdfakii7592 4 месяца назад +1

    Mtanga kala mchanga imezidi konoga kunoga mzingaumbwe

  • @RashidiSeifu-g4j
    @RashidiSeifu-g4j 4 месяца назад

    Kamtanga anaweza sana eti nimeoga kijijini siogi tena

  • @ObadiaDaudi-e9t
    @ObadiaDaudi-e9t 4 месяца назад +1

    Sawa samufi 🔥🔥🔥🔥

  • @AzizahMbonde
    @AzizahMbonde 4 месяца назад +2

    Leo nimewahi kidogo

  • @NassibUkasha
    @NassibUkasha 4 месяца назад +1

    Piga msosi mkojani amekutunuka😂😂

  • @abdallahmunga8187
    @abdallahmunga8187 4 месяца назад +1

    Kula Tu kuoga aaaaaah

  • @kizaanthony9162
    @kizaanthony9162 4 месяца назад

    Yaani samofi keshaona yatafika mbali mda sio mrefu eti mwambie mjomba me mkwewe, yaani samofi futa linakuhusu

  • @PesaPesa-sq3pd
    @PesaPesa-sq3pd 4 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nzuri sana

  • @saumuzimba1160
    @saumuzimba1160 4 месяца назад +1

    mtanga tayari ashaingia kumi na nane za ankojqni😅😅😅

  • @salimally2823
    @salimally2823 4 месяца назад +1

    😂😂😂dah! Mkojani Sasa nini kumlisha Mtango mchanga

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 4 месяца назад +1

    Kuku linashindwa kutembea 😂😂😂

  • @patricktegea1430
    @patricktegea1430 4 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂ila mtanga

  • @abdallahdullah7378
    @abdallahdullah7378 4 месяца назад +1

    Mjomba tyr keshalishwa mchangaaa

  • @thabitaliabdulla6410
    @thabitaliabdulla6410 4 месяца назад

    😀😀😀mkojani mbali ya sanaa ila ana ushenzi flani hivi...huyo mjomba wa watu anavomfanyia dah hiyo sanaa ama ushenzi😃😃😃😃😃

  • @luqmantorreira7201
    @luqmantorreira7201 2 месяца назад

    Hii movie yafanya najichekea vile mtanga atekenywa😅😅😅😅😅😅

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 4 месяца назад +1

    Shamila Mashallah ziwa dodo 🤪

  • @michaelcontinuas772
    @michaelcontinuas772 4 месяца назад +3

    Leo wakwanza

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 4 месяца назад +1

    salute kubwa

  • @Jumajey457
    @Jumajey457 4 месяца назад

    Ila mtanga😂😂😂😂

  • @AbdallahAlly-j2z
    @AbdallahAlly-j2z 4 месяца назад +1

    Sema samofi unaupiga mwingi

  • @JamesSimwanza-q9u
    @JamesSimwanza-q9u 3 месяца назад

    ❤❤❤ good 🎉

  • @Mzuri_002
    @Mzuri_002 4 месяца назад +1

    Samofi"mjomba kula tu..kuoga aah"

  • @AbasimarenjAbasimarenj
    @AbasimarenjAbasimarenj 4 месяца назад +1

    Kimoja kama vocha

  • @rogynee8135
    @rogynee8135 4 месяца назад +1

    Hahahahaha MTANGA 😅😅😅😅

  • @MwanahamisiSalumu-uq2pj
    @MwanahamisiSalumu-uq2pj 4 месяца назад

    😂😂😂mkoani konyo anatekenya 😂😂

  • @ShabaniJuma-u1u
    @ShabaniJuma-u1u 3 месяца назад

    😂😂😂Chama cha suti

  • @faizhassan8423
    @faizhassan8423 4 месяца назад +1

    Kisosegi hajulikani amepiga magoti aw amesimama😂😂😂😅

  • @MpajiBakari
    @MpajiBakari 4 месяца назад +1

    Niliyajua hayo mapem

  • @ibrahimirakoze3312
    @ibrahimirakoze3312 4 месяца назад

    Pull Up legend Mtanga💪💪💪

  • @ananiamwatebela3159
    @ananiamwatebela3159 4 месяца назад +1

    Jamn uncle Jani type chuma kingine

  • @rogynee8135
    @rogynee8135 4 месяца назад +1

    Samofi bwana 😅😅😅😅😅

  • @MaithamOmar
    @MaithamOmar 4 месяца назад +1

    Mtekenyo time😂😂

  • @HusseinsaddamSaleh
    @HusseinsaddamSaleh 4 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂 mtekenyo style

  • @MaithamOmar
    @MaithamOmar 4 месяца назад +2

    Kuoga aaaah🇴🇲

  • @rogasiantamamu9286
    @rogasiantamamu9286 4 месяца назад +2

    Msichelewe nyngne mnatutesa mashabk kusubir kila mda you tube

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf 4 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂SAMOFI &Mtanga

  • @Juakalii2025
    @Juakalii2025 4 месяца назад +1

    Mtanga anajua

  • @wilbardlameck8025
    @wilbardlameck8025 4 месяца назад +2

    1419 views 31 minutes nipen like zangu na mm

  • @munirachangawa2928
    @munirachangawa2928 4 месяца назад

    Bushra mwambie mjomba mimi mkwewe😅😅😅😅😅

  • @ZuhuraHussein-v9w
    @ZuhuraHussein-v9w 4 месяца назад

    Et kafupi kama😂😂😂😂

  • @SwabriMelody
    @SwabriMelody 4 месяца назад +1

    Leo na mimi niombe like😂

  • @mohamedyjuma459
    @mohamedyjuma459 4 месяца назад

    Yamoto sana hi

  • @SalomePaul-c7u
    @SalomePaul-c7u 4 месяца назад +1

    Huyu kisosej hili jina aende nalo litamtoa

  • @dicksonletunyo
    @dicksonletunyo 4 месяца назад +6

    Mimi wa 9 leo

    • @GucciBoy-d2u
      @GucciBoy-d2u 4 месяца назад

      Mpeleke babako matokeo mwambie you tob nime kua wa9 andika lipoti

    • @dicksonletunyo
      @dicksonletunyo 4 месяца назад

      ​@@GucciBoy-d2usijakuandikia wewe umezaliwa kwenye njia ya mavi wewe

  • @amosileonardsegese7494
    @amosileonardsegese7494 4 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂😂chezea ubwabwa kuku ww

  • @jackoboabunuasi-hb4qc
    @jackoboabunuasi-hb4qc 4 месяца назад +1

    Kisosejiii😂😂😂😂😂

  • @Asma-m1j
    @Asma-m1j 4 месяца назад +1

    Kakuku au kamkono ka mtu😂😂

  • @SalehSaleh-hs7wt
    @SalehSaleh-hs7wt 4 месяца назад +3

    Hapa ni wapi😂😂

  • @K.L.P.TMWANGATA6635
    @K.L.P.TMWANGATA6635 4 месяца назад

    Hii imeendraaa

  • @Coasthunter-6449
    @Coasthunter-6449 4 месяца назад +1

    Moto sana

  • @LovelyCows-dq2uv
    @LovelyCows-dq2uv 4 месяца назад

    Mkojani😂😂😂😂😂😂😂

  • @Djdizzotzm
    @Djdizzotzm 4 месяца назад +4

    Naombeni like wakuu

  • @Diogenes_talented_generation
    @Diogenes_talented_generation 4 месяца назад

    Kawali na kanyama

  • @makuzaomary6677
    @makuzaomary6677 4 месяца назад

    Anatoka mualabu anaingia tofari😅

  • @alwattanchinga
    @alwattanchinga 4 месяца назад

    Kaambie kaniambie ukweli 😂😂😂😂

  • @frankmwaikambo9784
    @frankmwaikambo9784 4 месяца назад +1

    Bora umeweka ya 13

  • @solomonsamuel3584
    @solomonsamuel3584 4 месяца назад +3

    Leo nimekua wa kwanza wapi mkojani gang

  • @MpajiBakari
    @MpajiBakari 4 месяца назад +1

    Yaan mtang kayakanyag alomwambia ale kuk ya wa2 atasem

  • @husseinhkitambi1701
    @husseinhkitambi1701 4 месяца назад +1

    Daa