UFUKUAJI DARAJA JANGWANI, MKANDARASI AFUNGUKA "ASILIMIA 95, HALI HAIKUWA HIVI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 70

  • @faridmohamed203
    @faridmohamed203 3 года назад +17

    hapo suluhisho ni kutangaza tu ruhsa kuja kuchukua mchanga bure uone kama huo mchanga utabakia hapo

    • @bone102
      @bone102 3 года назад +1

      daah mwanangu bonge la point sema sasa kufika kwa wahusika ndo tabu hapo wangesolve kwa gharama ndogo sana

    • @teychriss3248
      @teychriss3248 3 года назад

      Hahaha! Siku mbili tu na daraja wameling'oa

  • @USWAZITVONLINE
    @USWAZITVONLINE 3 года назад

    Mmmh hapa hamna Mkandarasi bra bra tupu, mbwembwe nyingi upigaji tu. Hilo sio suluhisho, Suluhisho ni barabara kupandishwa juu kutoka Mapipa mpaka Fire

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 3 года назад +2

    This was unfortunate situation to Engineers who were involved in the early stages of conditional survey and designing. These challenges should have been seen and appropriate solutions given.

  • @malopemaliyamungu5243
    @malopemaliyamungu5243 3 года назад +5

    Sisi watanzania ni wachafu sana. Yaani mtu yupo kwenye usafiri anarusha chupa nje. Kwenye kivuko tunarusha vyupa baharini, tunarusha barabarani, stendi watu wanakojoa kila kona..asubuhi stendi inanuka. Taka za majumbani zinatupwa hovyo barabarani. Yaani sijui ujinga utaisha lini?

    • @teychriss3248
      @teychriss3248 3 года назад

      Umenena! Yaani wachafu haswaaa! Usafi kwetu kitendawili afu tunakuwa mstari wa mbele kulaumu dah! Mitaro imejaa mitaka Kama dampo mafuriko yakitokea lawama!

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 года назад +2

    Serikali Hu mto muujengee pembeni lasivyo mnapoteza Mudatu. Mm nauwelewa sanahu mto nilikua nakaa magomeni suna tumeama tumracha numbazetu sababu ya mafuliko

  • @mchezakamaliog265
    @mchezakamaliog265 3 года назад +5

    Huo ni ujinga mnacheza kama watoto tu suluhiso ni daraja jipwa litaloanzia mapipa mpaka mataa fire full stop.

    • @teychriss3248
      @teychriss3248 3 года назад

      Kwahiyo ilo daraja litajengwa siku moja?? Na hata likiwa linajengwa kusipitike??

  • @TV-qr3bh
    @TV-qr3bh 3 года назад

    1.Asante kwa kufukua
    2.ujenzi mbaya wa barabara ya mwendo kasi na kusababisha upana mkubwa wa daraja bila ya kujari kina chake
    3 wakati wa ujenzi wa mwendo kasi waliongeza tu pembeni ya madaraja yaliyokuwepo badara ya kuliinua daraja lenyewe

  • @muharamiesther5908
    @muharamiesther5908 3 года назад +2

    Dawa ni kujenga daraja la juu hapo!!!

  • @deboravicent7427
    @deboravicent7427 3 года назад

    WAZO LANGU, "Kuweka daraja la juu kuruhusu maji na boat ndogo ziweze kupita hapo na kuweka kuta pembeni imara za mawe na zege (retaining wall) majengo na maua mazuri pembeni kama vivutio kupita katikati ya mji na boat na kuona samaki wakipita pia

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 3 года назад

    Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI

  • @msakaramohamed1244
    @msakaramohamed1244 3 года назад +3

    dawa ni kuchimba na kutengeneza mitalo ya kalavati pawe kama mto usio kauka maji mpaka salenda na iwe vyew yenye kuvutia dalaja ilo linyanyuliwe kelo ya hapo ipo miakamingi sana

  • @allysalehal-jaber4822
    @allysalehal-jaber4822 3 года назад +3

    Asilimia 95 ndiyo muonekano upo hivyo?!!!! Pambaf kasorobo!! Naona migrader tu hapo na wala sioni shape yoyote ya huo mradi. Subirini kichambo chenu kinakuja baba akirudi.

  • @ceasariomulumba5956
    @ceasariomulumba5956 3 года назад

    Hivi hao wabunifu wa ujenzi walijua hawajui TOPOGRAPHIC FEATURES za eneo husika Hadi kuipa serikali gharama za Mara kwa Mara.. wakishindeaje ku_design likajengwa JUU kuanzia mataa(magomen HC) hd Kkoo?!!
    #HAWA WAKANDARASI WASIO WABUNIFU HASARA SANA#

  • @shabaniguma8696
    @shabaniguma8696 3 года назад

    Ujanja ujanja tuu hakuna solutions ya kudumu huu ni mdomo wa bahari hapo pote ulitakiwa kuwe wazi na kama daraja lina takiwa liwe juu sana, ramani ya zamani ni tafauti na hilo daraja

  • @abuumakamba887
    @abuumakamba887 3 года назад +3

    Si walpanga kujenga barabar ya juu yan fry over sas imekuwaj tena

  • @kiatu
    @kiatu 3 года назад +4

    Kama temporarily measure ni sawa, dawa ni daraja ambalo utaiona askari monument😺

  • @idrissatuppa3997
    @idrissatuppa3997 3 года назад +2

    Hamna kitu apo Daraja lenyewe lipo chini kazi bure.Mvua kubwa ikinyesha razima maji yapite juu.

    • @teychriss3248
      @teychriss3248 3 года назад

      Kwahiyo suruhisho barabara ifungwe?? Kisha lijengwe lingine?? Au wewe unafikiria nn kwa hicho wanachokofanya hapo?? Hiyo Ni plan A inayoipa nafasi plan B kufanyika bila kuathiri watumiaji! Kama ilivyokuwa ubungo!

    • @idrissatuppa3997
      @idrissatuppa3997 3 года назад +1

      @@teychriss3248 Plan B labda wavunje Daraja walinyanyue juu.

    • @teychriss3248
      @teychriss3248 3 года назад

      @@idrissatuppa3997 mbona ilishawekwa kwenye plan na hata ramani ilitoka na itakuwa ya juu na chini itapitika pia!

  • @laeutusmwombeki6057
    @laeutusmwombeki6057 3 года назад +2

    Watz nahisi tunashida na makadirio katika asilimia maana keshokutwa utasikia wanakwambia ni zaidi ya asilimia 80

  • @R4h89
    @R4h89 3 года назад

    Maoni yangu naomba serekali ijenge daraja la juu kutoka magomeni mapipa mpaka fire hilo litakuwa sulihisho kwani tunakoelekea mvua zikinyesha kubwa bado tatizo litajirudia tuu huu ni mto mkubwa sana unaopokea maji na kupeleka baharini yaani huu n mkono wa bahari kwa maneno mengine,. @milard yaseme haya tusaidike wa tanzania

  • @godblessexaud4487
    @godblessexaud4487 3 года назад

    Hapo solution ni kujengea uo mto wote kuanzia unapotokea maana mchanga utakona na mmomonyoko wa kingo za mto kuanzia ulongoni kule na unaletwa hapo.

  • @samuelmwaipopo1302
    @samuelmwaipopo1302 3 года назад

    Uongo kabisa ilo daraja hata nusu hapo hamjafika. Njmezaliwa na nimesoma magomeni najua urefu wa hayo manguzo ya daraja hilo. Mrudishe pesa za wananchi

  • @TV-qr3bh
    @TV-qr3bh 3 года назад

    4.uchimbaji wa michanga kwenye mito ilikuwa suruhisho lisilo na gharama ,siku zote mto unapokaribia bahari au ziwa huwa haukimbii na kunakuwa na mlundikani wa mchanga suruhishi ni watu waachwe wachimbe ili kupunguza gharama za kulipa wafukuaji.fedha hiyo ingetumika kulipa wasimamizi wa moto,tena isingekuwa kubwa hivyo.NEMC waajiliwe wasomi

  • @Influvesselstz
    @Influvesselstz 3 года назад +1

    Omera huyoo

  • @wilkrifurwehabura9424
    @wilkrifurwehabura9424 3 года назад +1

    Hapa mkandarasi nimemvua Vyeo hamna fact yeyote hapo mvua ya tsh 500 inarudisha mchanga palepale

  • @mkushplatnam1595
    @mkushplatnam1595 3 года назад

    hapo ujafanya kitu kwanza maji yakija apo uo mchanga uliotanulia pembeni, wote utarudi kat, bado unaokuja na maji eneo lenyewe lipo levo, maji yanaenda taratiiiibu baharin, mchanga unabaki apo

  • @frankdaniel3506
    @frankdaniel3506 3 года назад +1

    Hakuna kitu hapa kupoteza muda

  • @zolongOne
    @zolongOne 3 года назад +2

    Sasa huo mchanga wautoe hapo kabla mvua hazijaanza.

  • @youtub8320
    @youtub8320 3 года назад

    HUYU MTANGAZAJI HAJUI KITU KABISAA NIMEMFUATILIA SANA.ANAANZA KUSIMULIA ALAFU MUHUSIKA ANAFUATA,MASWALI HAULIZI SIMWELEWI

  • @kidjhdf7568
    @kidjhdf7568 3 года назад +1

    Serekali mnapoteza hela kila siku kufukuwa daraja weka fly over hapo ndio dawa yake

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 3 года назад +1

    Huyu contractor lazima iwe ngozi nyeusi isiyoweza kufikiri. Hizi akili za Kibongo bure kabisa , hii ndio inaelezea pia kwa nini watu weusi wako masikini , wasomi hawawezi kufikiria kabisa ni kupoteza muda na hela za walipa kodi . Mpeni mtu mweupe au wajapan au Wakorea Kusini wawape suluhisho la kudumu

    • @carolinemahatane4431
      @carolinemahatane4431 3 года назад +1

      Umeongea point

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 3 года назад

      @@carolinemahatane4431 umeona eeh ni daima kutafuta a long term solution kwa tatizo kama la Jangwani kuliko kupoteza hela za walipa kodi

  • @joshuaisrael6728
    @joshuaisrael6728 3 года назад +3

    Amna ktu apa mvua ikija mchanga unarudii

    • @helderman2000
      @helderman2000 3 года назад

      Ni kweli. Yani hapo wanatwanga maji kwenye kinu

    • @neemamringo3296
      @neemamringo3296 3 года назад +1

      Hongera kwa Mahali serikali ilipo fikia pamoja na mkandarasi hatua ni kubwa tofauti na mwanzo

  • @rashidmohammed1491
    @rashidmohammed1491 3 года назад

    Kwanza mtambue huo nimkondo wabahari ofisi yamaji yamvua yajiji lote hili mnajisumbua dawa nidaraja lajuu mtakomesha

  • @batromeombogo5841
    @batromeombogo5841 3 года назад

    HAPO HMNA KITU SOLUTION HAPO NI DARAJA LAJUU HUO MCHNGA UTARUDI TU

  • @ibrahimkazigo2660
    @ibrahimkazigo2660 3 года назад +1

    Akuna kazi yoyote apo dalaja liko chini.

  • @augustinopiuslohay1794
    @augustinopiuslohay1794 3 года назад

    Kumbe kunadaraja hapo !!!

  • @jumamwadhini6263
    @jumamwadhini6263 3 года назад

    Hpo baba hamja fanya kitu kabisa mvua kesho kutwa zinatandika huo mchanga wajuu wte unalud tena hpo

  • @thekingbudah3711
    @thekingbudah3711 3 года назад +1

    Mchanga ukiludi tena yatakua yaleyale

  • @thekingbudah3711
    @thekingbudah3711 3 года назад +5

    Sasa wsjenge uzio mchangs usiteremke

  • @fadhiliswidhun9779
    @fadhiliswidhun9779 3 года назад

    Kiukwel mtaalam cjamuelewa anatengeneza tuta la mchanga hapoo utarud wooote tena darajan

  • @bwaxlady688
    @bwaxlady688 3 года назад +1

    Yaan apa kwer panahitaj msaada

  • @juliuschami288
    @juliuschami288 3 года назад +2

    Engineer naona elimu yako ni yamagreda tuu...hamna unachokijua kuusu mito...nenda jangwani girls hapo kaombe notes za for 3 kuusu river profile alafu soma stage 4...utakuja na njia nzuri ya kushauri..naona unashauri utopolooo tuu..

    • @frankmare1708
      @frankmare1708 3 года назад +1

      Sema mainjia kweny maswala ya kujieleza kidogo wengi changamoto ila point kubwa kasema kwamba report ya surveyors inaonyesha upstream slope ni ndogo Sana kuliko down stream slope hivyo ni sawa na kulazimisha maji yapande mlima

  • @petermahimbo6703
    @petermahimbo6703 3 года назад

    Mradi umegharimu kiasi gani? Engineer

  • @kamanda007
    @kamanda007 3 года назад

    Hawa engineer wetu bure kabisa wanatupotezea pesa tuu, hawana idea yeyote na wanachofanya hapo zaidi ya kuchimba michanga tuu, nina uhakika hata design or blueprint ya wanachofanya hawana, another waste of time and money

  • @mchaganaduka
    @mchaganaduka 3 года назад +1

    Eti mradi msitufanye wajinga lile daraja la sarenda la nn wakati hapa ilitakiwa kujenga daraja la juu kuanzia fire hadi magemeni saa nyingine kusoma sana unakuwa ujinga

    • @shabaniguma8696
      @shabaniguma8696 3 года назад

      😂😂😂😂 kweli kabisa wajinga kabisa

  • @safimusa1011
    @safimusa1011 3 года назад

    Wee mtangazaji kwa nini huulizi maswali

  • @mosesmzakwe7774
    @mosesmzakwe7774 3 года назад

    Wapumbavu TU
    Hawajielesi

  • @msakaramohamed1244
    @msakaramohamed1244 3 года назад +1

    Maji yana kujwa na chemi chemi 🤣

  • @coolderp1051
    @coolderp1051 3 года назад

    Uhhh, why is this in my recommended? Anyone speak English?

  • @mchaganaduka
    @mchaganaduka 3 года назад +1

    Eti mradi msitufanye wajinga lile daraja la sarenda la nn wakati hapa ilitakiwa kujenga daraja la juu kuanzia fire hadi magemeni saa nyingine kusoma sana unakuwa ujinga

    • @emmanuelmkeba7901
      @emmanuelmkeba7901 3 года назад

      Sema lijengwe lingine lakini kusema unatia dosari ujenzi wa salenda hapana maana ya pale ni kupunguza foleni pia kupendezesha jiji