Waziri wa Elimu Fred Matiang’I afanya ziara za ghafla Nyeri
HTML-код
- Опубликовано: 4 дек 2024
- Baadhi ya shule katika kaunti ya Nyeri zilijipata taabani pale waziri wa elimu Dkt. Fred Matiang’i alipofanya ziara ya ghafla bila ya kuarifu usimamizi wa shule. Siku moja tu baada ya kutoa matokeo ya KCSE,waziri Matiangi amefululiza hadi Nyeri kwa ziara anayosema itaendelea kote nchini.
Watch KTN Live www.ktnkenya.tv...
Watch KTN News www.ktnnews.com
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya
I like the way this he works
Matiang'I can b the best president
kenyan maghufuli
matiang'i for education,
Good job Sir Matiangi this headteachers ni kulala to suspend them
...teachers are really joking with our lives
Kenyan maghufuli
I promise nitapea matiang kura yangu akisimama