Huo ndo ukweli, polisi wanatakiwa kutoa ushirikiano maandamano na kuwalinda! Hii itawapoza Raia wenye hasira na uchungu,angalau watariwadhika nyoyo zao! Lkn kuzuia ni kuwaongeza hofu na kutokuwa na imani na viongozi wao
Huo NDIO UKWELI unaogopa KUANDAMANA unafutwa NYUMBANI ,OFISINI , NDANI YA basi unaenda KUUWAWA HIYO Bora KUANDAMANA Ili kukomesha HAYA MAOVU ya KUUWAWA na kutekwa na kuteswa
Acha uduwanzi pimbi wewe.Hakuna mnyama anayetekwa.Wanaotekwa ni wanadamu.Hata wewe unalijua hili linalopigiwa kelele.Ulaaniwe na wewe yakukute wewe au familia yako ili ujue uchungu wakupoteza mtu wa karibu.
Nadhani uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo,katibu mkuu alijibu vizuri kwamba IGP anajibu Kwa kulinganisha takwimu za wakati uliopita na uliopo,lakini kiongozi wa kisiasa anajibu kulingana na hari iliyopo kwa Sasa, you guys,did you go to school? And if you did,I wonder whether you were following your teachers closely.
Uongozi ni kipawa apewacho mtu na Mungu,kama alivyo mpa @GLema,kiongozi wetu imara Mungu akutunze na akutetee.
God bless you Lema akili kubwa sana
Mungu akutie nguvu maana upotayari kwaajiri yawatanzania
Yupo tayari ndiyo maana hata familia yake ipp kanada. So akikinukisha tu huyooooooo canada . Wewe utakimbilia wapi na familia yako?
Sema sana bro
Good job
Big up Lema
Hakika watanzania hatuko salama,mbali na itikadi zetu,mbali na imani zetu,mbali na ukanda wetu,mbali na elimu zetu,mbali na Uchumi wetu.
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
Rema umenena point
Rema ? Au Lema.😮
Lema unaakili sana
Kuna watu wanamtukana lema sijui hawaelewi..?
Machawa wanao tukana
Ni wale wanaojipendekezaga kwa Viongozi wakubwa.
Thinking can distinguish what you say and reality. Politics announcement and daily activities
ACHA ushamba yotham
Chadema haina watu siku hizi kiasi hiki
Katiba mpya
Nihatali sana
Nyie wavulugaji rema acha izo
Jaman imejulikana chadema ndio wanateka ili wamchafue mama ogopen Mungu nyie.
Mimi nasemajeee vitisho vingi maandamano oyoooo kuvu mojaaa kitaeleweka tu ipo ckuuu
Jamani?
Wambie lem✌️🇹🇿🇹🇿
Kwani pikipiki imepatikana na kama imepatikana walioiba hiyo pikipiki nao wamepatikana naomba jibu
Hiii ni kali
Pameanza kuchangamka
Hao ccm wajanja wanawaambia mshirikiane kukamata watekaji ili kuwakata moto
Mimi binafsi naona tunakoelekea tutazichapa siomda Tanzania niyawote
Mtawachanganya ccm mpaka wanyoke
Watawachanganya kwa lipi CCM jembe
😂😂😂 yaani hapo yy ndio anapata ulaji hiv huy kusimama na microphone na kuporoja
Huo ndo ukweli, polisi wanatakiwa kutoa ushirikiano maandamano na kuwalinda! Hii itawapoza Raia wenye hasira na uchungu,angalau watariwadhika nyoyo zao! Lkn kuzuia ni kuwaongeza hofu na kutokuwa na imani na viongozi wao
Huo NDIO UKWELI unaogopa KUANDAMANA unafutwa NYUMBANI ,OFISINI , NDANI YA basi unaenda KUUWAWA HIYO Bora KUANDAMANA Ili kukomesha HAYA MAOVU ya KUUWAWA na kutekwa na kuteswa
Mkuu pmj
Kwanini utekaje umekua agenda kwenye uchaguzi huu? je umeandaliwa makusudi? kwanini viongozi wote nchi nzima mko na hoja hiyo? hii inatia mashaka
Watu wanapotea ilibid waongelee maji au umeme?
@@ireneshao7950 Kwanini watu watekwe na kupotea wakati huu? kwanini matukio hayo yahusishwe na kutaka raisi aondoke madarakani?
@@ireneshao7950ajabu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Huyu jamaa haoni umuhimu wa uhai wa Watanzania.
❤❤❤Mchimbi acha unafiki unamchafua hata Rais kwa propaganda zako .
Chadema acheni michezo yenu
Hivi hawafatilii hata vote zenu za viewer's kama nyie mnakubalika sana
Kwani maganda ya lisasi hayakuwa na ushahidi kwamba buduki zilitumika kutoka wapi
Tukopamoja tupambane gadiriuesoetu
Nchimbi anajipendekeza kwa mbowe na myika
Kweli
Acha uhuni
Uhuni ni wewe mwenye liroho la kishetani.
Huyu magufuli mtamsema sana mzimu wake utawatesa sana
Unawatesa kwasababu?
Mbona watu wenyewe wachache watu washaanza kuwachoka kama hili lema ni muoga achelewi kukimbia nchi
Wewe na babako ndio majasiri chajabu hamjulikani hatuwafahamu 😂😂😂 sasa muoga hapo ni Wewe au wewe na familia yako??
Acha uduwanzi pimbi wewe.Hakuna mnyama anayetekwa.Wanaotekwa ni wanadamu.Hata wewe unalijua hili linalopigiwa kelele.Ulaaniwe na wewe yakukute wewe au familia yako ili ujue uchungu wakupoteza mtu wa karibu.
Nadhani uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo,katibu mkuu alijibu vizuri kwamba IGP anajibu Kwa kulinganisha takwimu za wakati uliopita na uliopo,lakini kiongozi wa kisiasa anajibu kulingana na hari iliyopo kwa Sasa, you guys,did you go to school? And if you did,I wonder whether you were following your teachers closely.
Kiswangere kinatokawapi?kama kuna mtu hakufualia darasani ni wewe