CHRISTINA MWAGALA: SITAMANI KUFANYA KAZI SIMBA, YANGA/ TABORA PANANITOSHA KUFANYA KAZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
    Follow us on Social Media Platforms
    Instagram:
    Crown FM - / crownfmtz
    Crown TV - / crowntvtz
    Twitter (X):
    CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
    CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
    Facebook:
    CROWN MEDIA: www.facebook.c...
    TIKTOK:
    www.tiktok.com...
    SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Комментарии • 20

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv 12 дней назад

    Huyu dada apewe maua yakee anachangamsha game sanaaa👏👏👏

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 12 дней назад

    USO unadanganya Simba siyo Yanga na Azam hiii Simba ni ya kimataifa ❤❤❤

  • @KeovinNdabila-x7j
    @KeovinNdabila-x7j 12 дней назад +2

    Daaaa yote aya wameyataka yanga daaa

  • @johnmessi6831
    @johnmessi6831 12 дней назад +1

    Kipigo Tabora atakacho kutana nacho ni cha mbwa mwizi😅

  • @AllyRAJABUNYEMBEKE-cb1fn
    @AllyRAJABUNYEMBEKE-cb1fn 12 дней назад +2

    Uyu dem uwa anakomaa ira tuachetu akuna mkate mgumu mbere ya chai

  • @Jumamaduka240
    @Jumamaduka240 9 дней назад

    Huyu anafaa sana katika soka

  • @frankshirima4029
    @frankshirima4029 12 дней назад

    Lazima?

  • @Jumamaduka240
    @Jumamaduka240 9 дней назад

    Christina Mwagala na yule Msamaji wa Vitalo wana vinasaba vya kamdomo lkn timu zao mdebwedo

  • @kassimally6435
    @kassimally6435 10 дней назад

    Nimasemaji wakike ila anajitahidi sana

  • @mmsfuzzsba3816
    @mmsfuzzsba3816 12 дней назад +1

    DEMU UYU ANAJUA MIPASHO MPIRA HAJUI, MUMUITE TENA BAADA YA MECHI. UBAYA UBWELA NO MANENO

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 12 дней назад

    KRISTINA LABDA REFA AWABEBE. NYIE NDY HUWA MNAJIANGUSHA UWANJANI. HUWA MNAJIDONDOSHA SANA UWANJANI NYIE TABORA.

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 12 дней назад

    Dada wamipasho oyeeeee

  • @tumaini37
    @tumaini37 12 дней назад

    Mkikamia mnatuumizia, Angalia Kagoma wetu walivyotuumizia akakosa mechi za Kimataifa, wenzenu tumeingia kwa kishindo Robo Fainali, hatutaki majeruhi kabisaaa

  • @HajiMeki
    @HajiMeki 12 дней назад

    www sasa safari hiii tutakuoa www

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 12 дней назад

    HUYO HAJUI USEMAJI NI TIMU NGAPI AMEPITA?

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 12 дней назад

    KRISTINA NI MWONGO NYIE MNA AHIDI KUWAPA HELA BADALA YAKUWAELEKEZA WAACHE RAFU NAKUKAMIA MECHI. DK 90 ZITAAMUA WEWE ACHA MDOMO UTAFUNGWA WEWE CY SIMBA NA USHINDWE NA ULEGEE KWA JINA LA YESU KRISTU WA NAZARETI. TABORA NDY MTAFUNGWA WEWE JIAMINI TUU

  • @RadhackMaestro_TZ
    @RadhackMaestro_TZ 12 дней назад

    𝐍𝐚𝐨𝐧𝐚 𝐭𝐚𝐛𝐨𝐫𝐚 𝐦𝐬𝐡𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐨𝐭𝐚 𝐦𝐚𝐩𝐞𝐦𝐛𝐞. 𝐊𝐚𝐳𝐢 𝐦𝐧𝐚𝐲𝐨😡😡😡

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 12 дней назад

    Mmepanga kupga kibunda mzunguko elfu kumi duhhhhhhh

  • @AyubuJuma-m2d
    @AyubuJuma-m2d 12 дней назад

    Huyu dada kamdomo katamponza

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 12 дней назад

    Mpumbavu ww tabora nitimugani .