Those people saying kartelo sheng is kiuk doesn't understand the kind of creativity he has invested in doing those comparison. Eti polisi ni jenge (porcupine) its an animal with lethal spikes so he is on point for we all understand the nature of our police.mat ni mocongi( truck) he is correct those "buses" are not really the actual buses we all know how real bus look like ,hizi ni modified truck
Chege anadai 1960 iko mara mbili yao(mbogi ya kimonyonski)wenye hujisaidia na vitu za watu na ya akina kaligraph ni ile ya macoolkids wa kudunga masweat pants...
@@jymietv655 how now? There are versions of Cheng that borrow a few from kiuks, but not all as you may think. Depends on which generation you come from, it varies. This here is basically kiuk , not sheng, just like the homie suggests.
@@jymietv655 kama umezaliwa Nairobi ndo ungejua sheng ilianza vipi si nyi washamba mmekuja juzi kutoka muranga na kufanya sheng ikawa in kama ya kishamba
@@hassangingi7033 It seems unanijua sana,adi kwenye nmezaliwa🤣🤣mtu yangu,ww dio mgeni.buda jua watu adi origin na usome history. Muranga ata cjui ni wappy
Do not forget to subscribe to our RUclips channel.. Click here to subscribe -- ruclips.net/user/switchtvkenya
watch out this video and subsribe ruclips.net/video/zpUgVOOxrKQ/видео.html
A tip : watch movies on flixzone. Been using it for watching lots of of movies recently.
Kartelo was well received by Kenyans👏🏾
Who is here because of kartello haahhahhaha I love this guy
If you are here for our bro mbongi ya 1960 pita na ka like
mbogi ni squad..muite kwako 😂
001-254 Yeah... mbongi ni squad na nilimaanisha squad ya 1960 i pite na likes
Au sio kifaa ndio hiyo yangu sasa hapo juu inakam thru teketeke...
Mbongi😂
*Mbogi.
Kartelo iko love for this guy. Can't get enough of watching him
Sakina Abdi nikupe number yake
kartelo: unaeze niita kartelo ama unaweza niita kwako
me:ni kuite kwangu ufanye nini
Hahhh
Give this guy a radio job asap
Update: He's got Milele FM.
Kartelo you're just funny. Made me watch this video.
DNG manzeh anafanyanga hii show lit bana big up DNG geng geng manzeh 💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥
Mulamwa we are behind ur back. .keep flying you have that face of success #Team Willypaulpozeeeh USA Locked
Mulamwa's bio: Kitale by birth, Nairobi by bus 😂😂😂😂😂
if you are for our bro Kimonyoski pita na like
DNG you're a very nice presenter I pray you go on a higher level especially on the entertainment industry 😘😘😘😘😘😘
Lets support our own Kartelo...show some love❤
This guy kartelo is going far, very confident.
Shaffie ako na kiherehere lakini 😂😂😂😂🙌🙌🙌
Shaffie,I like your hype maze,u spirits are always up n rolling,big up mandevu mwenzangu.
For real,,shaffie nilikujua ukiwa high school,,but uko na incredible body,,tutazeeka na tukuache kama tu uko fiti
Pia mi nilijua shaffie in class six walai si chocha
I really love this guy sheng tu
😮 things have changed so much, when I go back to Kenya I will be clueless
Dem amechapa ni "theft ama kunguni"acha kuniangusha kartelo😂
Ong'ong'o pia.
@@livingwithdezz1880 😂😂😂
Kartelo ni noma 🙌🙌🙌👌
Napenda show iko fiti katelo wwchachishe,🤩🤩🤩🤩🤩
I just love this guy
I have never stopped laughing when I hear kartelo..hahahaha
🤣🤣kila place kartelo ako tunaiweka inatrend💪💪kartelo tulikupea nice reception usituangushe
Shaffie needs some warm milk to settle down his loud and all over the place
Those people saying kartelo sheng is kiuk doesn't understand the kind of creativity he has invested in doing those comparison. Eti polisi ni jenge (porcupine) its an animal with lethal spikes so he is on point for we all understand the nature of our police.mat ni mocongi( truck) he is correct those "buses" are not really the actual buses we all know how real bus look like ,hizi ni modified truck
dem amechapa anaitwa rugio hahaha
Ama kiraka 😂
muigai james it’s “Rukeo”
@@ahmadmusaaley4243 😁😁zii buda ni rugeo. Kikuyu word for traditional pan ile ngumu
@green acre baas. Ndio hio sasa
Kwani Kikuyu imekuwa sheng tena...
☺kartelo minds his word
Hawa maboiz hawajui any! Tafuta Omosh wa tahidi high afunze wasee sheng!
Kabisa
kartelo...anaweza mbaiyaaa
Hahahaha..ati dem msupa ni msupa s sheng🤣🤣🤣🤣🤣hii imenichukua🤣🤣🤣🤣waaaah...cant stop laughing
Kartello anani ambia Sana....
Chege anadai 1960 iko mara mbili yao(mbogi ya kimonyonski)wenye hujisaidia na vitu za watu
na ya akina kaligraph ni ile ya macoolkids wa kudunga masweat pants...
😂😂😂😂
Kartelo the big vibes 🔥🔥😆😆
this aint sheng..this is his mother tongue
Ati dem amechapa ni rogeo..hio ni kisapere😂😂😂
#Kartelo #Mulamwa the up coming comedian's #Eastlando inaweza...mko to sawa
Kartello💥💥💥💥💞
Hi kateylooo New lauguage nayo 😂😂😂😂😂
kayole got talent
Oya, oya, Kidogo, kidogo kikuyu itakuwa sheng...not bad..
Show iko lit🔥🔥🔥
Karteloooooooo!!!!!!! 💘💘💘💘💘💘
Great content. Great entertainment.
HAKUNA SHENG .. NI KISAPERE TUPU ANABONGA..
But it's the in thing now plus ni sheng ya mtaa yao
But since sheng huwa hivyo..just a mixture if some local words
I noticed that too
Wacha utiaji mjinga wewe c utoe zko tuwatch gasia
hahaha, #Shaffie ujui sheng
enyewe wewe ni wa zamani, #ancestor
Happy Birthday DNG❤
Kikuyu the new sheng ❤😂
Kiswahili kitukuzwe. Scheng changes with time.
This Two are so funny
We wacha bangu Ni kariobangi north😂
Kikuyu lessons here😂😂kartelo
Am here coz of "mbogi wa kimonyoski"
Moshogi ni ma FT(dinga zinaka mtura) dinga mbichi ni nganya au murenga
Waaaaaaah sheng imechange bana imebaki nimehang bana
Hahahaa sikujua kikuyu pia n sheng...
Mbogi ya kimonyoski 🤣 🤣
Honestly Kartelo is funny from accent lakini sheng yake inacomplicate stuff badala ya kuzifanya simple.. this is kikuyu and not sheng!
Sijaskia kiuk mahali
Ukidai kujua sheng ingia marish au jeri huyu mjangu habanji sheng hiyo ni kisap anabanja
Mbogi-ni Rende(gang)
Rogeo-dem amechapa
Mbogi ya train ni kyuk...rende ni kìrìndì in kyuk..rùgìo ni ile ya kupikia chapo bado kyuk. Mùtaratara bado ni kyuk.so basically sheng ni kyuk.
Haha,,huyu kartelo si ni funny yawa
Huyo wa tisho ya RUN 254 he is so cutie aawww
DNG.
Mtu niko sure alinice show mzima ni Kalonje😂😂😂😂
Kapara n nani😊😊😊🤣
mbogi,,,pita na kalike
Kartelo uko juu
hiyo si sheng.. simuongee tu kisapere
Sheng kwanny hujui ni kisapere
@@jymietv655 how now? There are versions of Cheng that borrow a few from kiuks, but not all as you may think. Depends on which generation you come from, it varies. This here is basically kiuk , not sheng, just like the homie suggests.
@@jymietv655 kama umezaliwa Nairobi ndo ungejua sheng ilianza vipi si nyi washamba mmekuja juzi kutoka muranga na kufanya sheng ikawa in kama ya kishamba
@@hassangingi7033 It seems unanijua sana,adi kwenye nmezaliwa🤣🤣mtu yangu,ww dio mgeni.buda jua watu adi origin na usome history. Muranga ata cjui ni wappy
Which language is that
Niliskia waba au maji pia inaitwa NAWASCO - nbi water 💦
i love kartelo
Kartelo 🤣🤣🤣🤣😍😍😍😍😍
kartelo inadi building pewa likes oee
Potassium patangamate😂😂😂😂😂😂
Mmmhh, hamna mahali hizi sheng zinaongelewa
kartelo hii si sheng walai hujaiva
Kikuyu ndio sheng😂😂😂
Mulamwa kumbe hungara hivo...ghai😂😂😂
Daktari ni kungara haha
ati njege hahaha. Nice one
Kalonje Anacheka juu Ni Mkikuyu na anajua hawa Wanachezwa tu..
No.. kalonje is a merian bro
Bro uko sawa but your sheng is more of kiuk.. I like the common sheng...mathree,' nganya,manzi ,msupa,ganji plz let's maintain them hizo zako hapana
nko mutaratara geng geng...wa kertel anakill kenshenzi hiyo show...
Hizi za kartelo si sheng ni kikuyu
This is Kikuyu. Hakuna sheng hapo
Mboka ni kazi wacha kupima😂😂
Kartelo ametuseti apo kwa mboka, mboka ni kutwanga mawerii tukisaka ganji na marauo
Kweli mboka ni kazi amepimana apo
Hehe ni Mulamwah amepima wasee
Kartelo nguai kabla ya show mbaya
Heti mboka ni tao sasa lol Mulamwa
Tunataka collabo ya Kartelo na Desagu
Lakini kusema tu ukweli kuna sheng siwezi tumia its like kuskiza reggae
Timmon SoCray depends on what you think reggae is.
Kartelo shaffie ni mau mau
Nilikuwa nataka kushow kimonyonski mi ni jango wa D lakini sheng ni tofauti na mtaa bado mi ni zande
Aki Kartelo unanibabwa tu sana..
DNG hana kazi hapa..
hahahaha hii sheng joh
Kartelo leo umesahau mururu.
its sad how media magnifies sheng! the next generation will be terrible
I lov the boy aiwaaaa
Ukiona wazee wakinyoa vijana warembo ni juu ya mambo kama haya....sheng mingi hakuna centi😅😅😅cente pia utanyimwa😅😅😅
Unaeza niita kwako, marehemu mtarajiwa
This are the reasons children of today can't speak fluent Swahili, Mother tongue, English. This is just nonsense