Wooi Mungu wangu eti Fred n muganga.fred simama na Mungu umushike vzr awe mtetezi wako Kila wakati.juu hao wamejaribu kukuuwa wakashindwa sasa wanakuita mugsnga.Mungu aishie milele anakujua vyema
Kweli kama wewe NI nyota kwenye kama Fred mungu akuinue nunua mbali na familia,juu wivu ya uncles iko higher ya level ingine,mungu tetra Fred,na team davi😢😢
This uncle Fred's family are just cursed and trust me hata wakiachiwa hii shamba they will do nothing on it. But naona Fred's family wawaondokee for peace sake
Mkiona mtoto wa mtu ameacha kazi ako nyumbani kama chizi ni kama haya basi kitu imesustain Fred kwa kazi ni maombi kila time huongea juu ya Mungu, Mungu ammtetee kweli huu ni wivu wa hali ya juu sana hata kwa neema ya mwenyezi Mungu imewaweka hai
Ni kqeli hapo umenena. Ni maombi tu. 1. Tunastahili tumwombee Fred sana. Apate nguvu yake ya kawaida Nyota yake ni kubwa. 2.Wivu coz wangitisha shamba nyumba ikianza kujengwa. Kwa nini wangoje iishe ndio waanze furugu jameni? Shetani hana mamlaka juu ya maisha ya Fred na mama yake na ashindwe kabis katika jina la Yesu.
Fred ako na knowledge,he is protecting his work,siunakumbuka story ya yule kdf Jerry,alisimamishwa job juu ya vita,SI ati Fred hawezi kuwa discipline ,I love how he is handling his temper, mungu atampigania
Sasa huyu dci mgani anacase na watu wakiwa wamebeba weapons? Na huyu mzee anatafuta tu chance ya kukata Fred jamani😢😢😢. Alafu nikama kuna kitu walikuwa washaa fanya kwa hiyo compound wamemaliza Fred nguvu kabisaa😢😢😢this is not the Fred we know😢😢😢 God have mercy and intervene plz🙏🙏🙏🙏
Oooh na kuna kaukweli kumbe umeona.pia mm nilikuwa nashangaa juu itakuwache ameshindwa na watu watatu na alitengeneza hao makaidi mia na nawalikuwa na sharp weepon
Fred aja kupenbeleza watu wakupee mama Yako nenda mkajukue land closer how watu ndio waone mko serious juu the More mnaendelea kuwaetatain ur mum anaendelea kuumia kule aliko plz jitume tuu upate mamako
Fred chukua familia yako bana ukaanzishe maisha kwingine kww nn upate udhalilishi kama huu na baba yako mpole jmn hawez hii vita 😢 mi sijisikii vzr kuona baba yako anaaibika
Si hawa watu mnawaeka pingu dio watulie muongee aishhhh.....this too much for Fred May God fights for you fred and your Family and we see your Mother in a good condition coz they start fight and we need Mama Fred
Fred ukipata MAMAKO uza hiyo sehemu yako please uza upate utakachopata nunua sehemu nyengine please hata mkigura bado watawatafutia reasons and it might end up badili trust me you can live all these madness please 🙏 tafuta lorry 🚛 vuja nyumba zote chukua mawe nenda Bali sana na hao watu please 🙏 kwa usalama wa familia
Dave peleka hao vijana ndani mpaki ya babake atleast huyo mzee atasema kwenye mama ako na mambo ya shamba baadaye,,hizi vita zote mum anaendelea kuumia jamani kweny ako😢😢😢
Fred na Dave na mndogowake Fred na baba Fred Mungu awalinde naawo mashetani mnashamba kubwa ivo lakini pale Fred amejenga panawatowa roho hamuwezi mpatisha hasara mrudishiyeni pesa yote alojenga mbaki nanyumba kisha nayeye akajenge pengine.
Kweli hii vita yaa mashamba ni kali sana pia sisi tuko na vita sana kwetu familia mmoja ila hawapendani kabisaa,Sisi hata kuna ngombe na kuku wakatwa piga na kupigwa waah mungu linda hii familia aki😢😢😢 its pain sana aki😢😢😢
Mungu awamalize uchawi yenu haina nguvu milele mtakuja kupigia freddy magoti .....nguvu za mungu ni kubwa na ziko na ushindi tuko na imani freddy you are the winner ata ukihama
Baba Fred akipewa the other side so alitakiwa aame labda huko ni ndanindani na ndio maana but still then sifai kulaumu but nalaumu Fred he new hii shamba hiko na maneno na hawa waliozaliwa sio wasichana but still continued building the house see now
Heshima hakuna kwa hii familia, Freddy Fanya mipango Mungu akifungua milango go purchase land somewhere else and move your parents, let your parents old age be respected
Fred usitamani kua chokora kuja tuishi nawewe tushape maisha hi maisha ❤ haitaki mastrees my dear ata kma ttkaa ya kkodeza bora uhai naucomment hapo haraka haraka okay. ❤❤❤❤
My GOD help this family Davy yuo are good depends My GOD bless you we kupatanisha wajinga nikazi kubwa sana ii family iko namashetani mingi kwani uku akuna serekali jameni
Huyu mzee anawatumia tu vijana wake vibaya, lakini hata akipewa hili shamba atauza tuu , apeleke pesa kwa waganga , hatawapea kitu. Lakini Mungu atendee kina Freddy haki
Fredy ana tumia hekima sana na utu na kuona hiyo ni familia yake hata kama wana gombana ,ila hiyo familia ahina hata utu kabisa, wenyewe wanaona nyumba ahita bomolewa alafu familia ya Fredy watoke wao waingie ndo wana penda.
Fredy and Dave I know or of your story 😢😢 I'm sorry to say na bado wachawi wanakufuata bado mbaka siku utajijua mwenyewe na ujuwe Mungu wako na mumuwache awapiganie otherwise utajua hujui😢😢😢😢 na kama sai huna family na haujui kwenye wako same case to Fred and kama Mark angekuwa pamoja na nyinyi angekuwa amepoteza familia yake pia na anajua kuomba Mungu wake 😢 but for you two guys haujui
Theirs a very big problem here , oohy God intervene, Freddie should just surrender the Shamba for the sake of peace and their safety also , coz someone will loose life here
Jamani tuombee hii familia imo hatarini, hawa watu wana wivu mkali sana, ata fred wakihama bado hawatakaa na amani, fred mngekuwa na mahali mngeenda, ata nenda ukodishie wazazi nyumba wakae ukipata mtu wakuuzia hapo mahali uuze ununue keengine. Bomoa mabati uweke utjengea ukipata mahali, mungu atakuongoza bora mama apatikane, fred gureniiii tafadhali
Wewe mzee umelea watoto vibaya, next time Ni wewe utapikwa Na those boys you are calling your son's, I really pity you. Fred God is on your side don't worry we don't choose where to be born.
Pita na likes za Dave improvement 2025jana hakuanguka ,Leo ni mbio 😅😅🤣🏃🏃🏃🙏🙏🙏
Mguu niponye cograts king davi
He is learning from his mistakes,,,, but everything happens with a lesson 😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 walae amekomaa kwa war
😂😂😂😂😂😂😂aki
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 sd wabie kweli kiswahilii bwanaaa mungu yuko pamoja nanyi Dc fedreck utashida kesi broo na mama atapatikana Kwa uwezo wa mungu 🙏🙏🙏
Naumia sana kuna DCI anapitia hii vita kali kama hivi, Mungu akupiganiye Dci wetu, tunakuombea na tuna kupenda sana🙏
Amiin amutie nguvu Inshallah
Wooi Mungu wangu eti Fred n muganga.fred simama na Mungu umushike vzr awe mtetezi wako Kila wakati.juu hao wamejaribu kukuuwa wakashindwa sasa wanakuita mugsnga.Mungu aishie milele anakujua vyema
Kweli kama wewe NI nyota kwenye kama Fred mungu akuinue nunua mbali na familia,juu wivu ya uncles iko higher ya level ingine,mungu tetra Fred,na team davi😢😢
Kabisaa pia sisi kwetu familia Kuna vita kali Kila saaa juu ya mashamba
Senior dave be serious...kwanza muokoeni mama mambo na mashamba baadae
This uncle Fred's family are just cursed and trust me hata wakiachiwa hii shamba they will do nothing on it. But naona Fred's family wawaondokee for peace sake
Wakati nyumba ilikuwa inanza kujengwa wakichimba msingi mbona hawakustopisha isijengwe,may peace prevail may God protect mum Fred 🙏
Mkiona mtoto wa mtu ameacha kazi ako nyumbani kama chizi ni kama haya basi kitu imesustain Fred kwa kazi ni maombi kila time huongea juu ya Mungu, Mungu ammtetee kweli huu ni wivu wa hali ya juu sana hata kwa neema ya mwenyezi Mungu imewaweka hai
Ni kqeli hapo umenena. Ni maombi tu.
1. Tunastahili tumwombee Fred sana. Apate nguvu yake ya kawaida Nyota yake ni kubwa.
2.Wivu coz wangitisha shamba nyumba ikianza kujengwa. Kwa nini wangoje iishe ndio waanze furugu jameni?
Shetani hana mamlaka juu ya maisha ya Fred na mama yake na ashindwe kabis katika jina la Yesu.
Done nipitieni guys
@@janegatitu-p9lnipitieni pia
God will never forsake you Mr fred.but mambo na familia n ngumu nunua shamba ujenge uwaachie mungu a deal na wao
Bye the way hii jamii imelaaniwa kabisa,, 😂😂😂kesi ya jaluo ni ngumu , 🤸🤸🤸🤸
Sure
Fred hatakama uko home wachana na uuungwana mingi , discipline Hawa watoto for one's bana ,mbona Sasa iwe hivi teach them a lesson for one's
Fred ako na knowledge,he is protecting his work,siunakumbuka story ya yule kdf Jerry,alisimamishwa job juu ya vita,SI ati Fred hawezi kuwa discipline ,I love how he is handling his temper, mungu atampigania
Akiwachapa anaweza fatwa kazi lazima aji control
Hata nashindwa amekuaje
Sasa huyu dci mgani anacase na watu wakiwa wamebeba weapons? Na huyu mzee anatafuta tu chance ya kukata Fred jamani😢😢😢. Alafu nikama kuna kitu walikuwa washaa fanya kwa hiyo compound wamemaliza Fred nguvu kabisaa😢😢😢this is not the Fred we know😢😢😢 God have mercy and intervene plz🙏🙏🙏🙏
Yaani imagine hawana huruma
Na vile baba fraed ni amejihumble, God's mercy, intervine fon and his family red
Oooh na kuna kaukweli kumbe umeona.pia mm nilikuwa nashangaa juu itakuwache ameshindwa na watu watatu na alitengeneza hao makaidi mia na nawalikuwa na sharp weepon
True kuna kitu wamefanya fredy he is not protecting himself tangu jana na yeye ndiye wana target
Lazima Fred atulie ndio wapate mama kwanza
Fred aki pigana na hanjapata mamake
Wana weza kumuua
Fred aja kupenbeleza watu wakupee mama Yako nenda mkajukue land closer how watu ndio waone mko serious juu the More mnaendelea kuwaetatain ur mum anaendelea kuumia kule aliko plz jitume tuu upate mamako
Unajuaje kma amerogwa
True juu sasa NI vita na yet Mama anaumia....
They're confused
@Ashinagaltoto7876 done ✅ nipitie pia
Kijana in blue t shirt ako na zake
Lkini fred mungu akukumbuke, hawa wanaona umezip sana wanaapunguza heshima
Nipitie pia
Woia baba Fredi wamemueka uoga na hapedi vita
Fred chukua familia yako bana ukaanzishe maisha kwingine kww nn upate udhalilishi kama huu na baba yako mpole jmn hawez hii vita 😢 mi sijisikii vzr kuona baba yako anaaibika
Wauze ile shamba yenye wameambiwa wahamie huko.Den wanunua shamba mbali na hapo wakaazishe maisha huko.Apo watamalizana bure
Bona hao wengine wasichukue hio shamba ..si shamba ni shamba tu@@fatumahapesamohamedfatumah4633
Dave the first thing u should know this family of uncle Fred its cursed
😂😂😂
Sure wamelaaniwa coz shamba sio yao
Fred Ako na nyota akiwa na Dave , hii nyota ndio inapigwa vita
Absolutely 💯 true
Sure
Somehow funny😂😂😂 but all in all God have mercy upon fredrick's family 🙏
Si hawa watu mnawaeka pingu dio watulie muongee aishhhh.....this too much for Fred May God fights for you fred and your Family and we see your Mother in a good condition coz they start fight and we need Mama Fred
Naomba mungu mama apatikane na muhame mkaanze maisha kwengine mali ni za dunia na pia hao wataziacha cha haramu hakidumu
This's pure jealous from Fred's uncle and his cousins of the highest level. Fred God's fighting for your family. 😊
Fred ukipata MAMAKO uza hiyo sehemu yako please uza upate utakachopata nunua sehemu nyengine please hata mkigura bado watawatafutia reasons and it might end up badili trust me you can live all these madness please 🙏 tafuta lorry 🚛 vuja nyumba zote chukua mawe nenda Bali sana na hao watu please 🙏 kwa usalama wa familia
Hawa wanafaa waede jela wafinywe kidogoo kiburi ishuke na wamtoe mum Fred wasenzi waoo
Mbona baba fredy hapigani anakaa anangaliatu hasaidii watoto wake kwa vita, alakini Yule mjinga mwengine anasaidiya vitoto vyake vinyangarika
I'm very sorry 4r wat u people are going through but you must remember that solving an issue with fools is not a easy task .May God help you people
Thankyu director for upgrading hiyo kuficha some scenes thats very nice🎉🎉
Na izi ni gani 😢😢😢 mngeshika watu mfuatilie mama
Fred Mungu atakupigania
Na mama yao yuko wapi,hawa hawajui fred amewapea tu heshima hataki kufungwa
Nguvu ya kufight mnatoa wapi mama yenu kama hapatikani. Fighting will not solve, si washikwe waende dani yaawa.
Dave peleka hao vijana ndani mpaki ya babake atleast huyo mzee atasema kwenye mama ako na mambo ya shamba baadaye,,hizi vita zote mum anaendelea kuumia jamani kweny ako😢😢😢
Fred na Dave na mndogowake Fred na baba Fred Mungu awalinde naawo mashetani mnashamba kubwa ivo lakini pale Fred amejenga panawatowa roho hamuwezi mpatisha hasara mrudishiyeni pesa yote alojenga mbaki nanyumba kisha nayeye akajenge pengine.
God fight for Fred, amepigania wengi wakiwa Daave mungu uwaongoze
Awa vijana ni maumbwa sana kwani nyumba ikijengwa walikua wapi
Nashangaa
Wondering
Kwani pastors Nancy & Joshua hawajafika
Ndio nauliza
Walikua wakuje🤔🤔🤔🤔🤔
Pastor Nancy Ako kwa mission ya kurudisha Ile jiwe kwa kina Jay please, maybe pastor Joshua juu hii inaitaji maombi
@JulietImujaro exactly but hii ya dci ni maombi ya juu
Jehova Mungu maliza nguvu ya uchawi na uachilie ushindi baina ya dci na mum na familia yote in Jesus mighty name 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Aki mm naeza finya mmoja Hadi. Akojoe akiamka Tu ni mbio. Hadi nyaugenya😂😂😂😂😂
Fred just ask them about your mum maisha yake n ya maana sana kuliko hizi mashamba😢😢😢
Dave watandike kabisa
😢😢😢aki cjawai jua kaa wajalo wanapigania shamba ,fred mungu akulinde na familia
Huyu askari atashidia usipoongea na hawa wototo 😢😢 c ulipue risasi alah
Dcl Fred utashinda kwa uwezo wa mung 🙏🙏
Allah azidi kuwa Linda insha Allah tunawaombea
How I wsh Pastor Joshua angekuwa kwa hii mission pia.
Kweli hii vita yaa mashamba ni kali sana pia sisi tuko na vita sana kwetu familia mmoja ila hawapendani kabisaa,Sisi hata kuna ngombe na kuku wakatwa piga na kupigwa waah mungu linda hii familia aki😢😢😢 its pain sana aki😢😢😢
Mungu awamalize uchawi yenu haina nguvu milele mtakuja kupigia freddy magoti .....nguvu za mungu ni kubwa na ziko na ushindi tuko na imani freddy you are the winner ata ukihama
These boys will never have peace. They feel jealousy because Mr. Fred is a learned person. Like father like son
Hii nayo imekuwa ngumu kuhandle sasa😢😢
Fred omba mungu upate pesa mununue shamba bali na wao, mukikaa karibu na wao hamutakaa na Amani
Kwan babu yao hakupeana Baba Fred shamba jameni
Baba Fred akipewa the other side so alitakiwa aame labda huko ni ndanindani na ndio maana but still then sifai kulaumu but nalaumu Fred he new hii shamba hiko na maneno na hawa waliozaliwa sio wasichana but still continued building the house see now
Dave Fred amekuhearten kudos,Mungu awalinde kutokana na hawa wachawi.
This is over wivuuuu ..hawa wanakaaa kuuuwana😢😢they arent good
Heshima hakuna kwa hii familia, Freddy Fanya mipango Mungu akifungua milango go purchase land somewhere else and move your parents, let your parents old age be respected
Fred usitamani kua chokora kuja tuishi nawewe tushape maisha hi maisha ❤ haitaki mastrees my dear ata kma ttkaa ya kkodeza bora uhai naucomment hapo haraka haraka okay. ❤❤❤❤
Akk Mungu ingilia kati hii maneno kina Frdy wapate Mama yao.
Si wapelekwo jela wakakaa huko mpaka ile day watatoa mama DcI fred
Hii dave TV sasa imekuwa addiction walai ❤❤❤
Aki kwanza to me lzma😊
Shamba watahama but lazima watoe mama fred
This uncle ya fred na vijana wake wako na wivu na akina fred 😢😢😢😢
Walete mama fred then warudishe 2m ya hiyo nyumba then akina fred wahame mambo yaishe mungu tatua hizi vita
God be with you fred and Dave
Fredii hamisha wazazi wako please itamalizia vibaya
Fredy anajaribu kutetea jina la kazi yake lakini wanatake advantage Fred wakileta upuzi onyesha wao
Aki baba Fred ni mpole woiyeee
Kuna chenye walimfanyia Hawa wachawi
My GOD help this family Davy yuo are good depends My GOD bless you we kupatanisha wajinga nikazi kubwa sana ii family iko namashetani mingi kwani uku akuna serekali jameni
Dave we pia unaongeza vita surely!!!
Davii na freddy they are our stars this year no weapon is formed against them in Jesus name Amen
Huyu mzee anawatumia tu vijana wake vibaya, lakini hata akipewa hili shamba atauza tuu , apeleke pesa kwa waganga , hatawapea kitu. Lakini Mungu atendee kina Freddy haki
Waaaah Babake Fred hata Hana la kusema ghaaai
Waambieni watoe mama ndio wahame
Fredy ana tumia hekima sana na utu na kuona hiyo ni familia yake hata kama wana gombana ,ila hiyo familia ahina hata utu kabisa, wenyewe wanaona nyumba ahita bomolewa alafu familia ya Fredy watoke wao waingie ndo wana penda.
Kwani baba fred hakupewa shamba
Hapa maombi ndio itawatuliza hawa watu aki😢 na hurumia babake Fred walai
Fredy piga hao vijana risasi ya mguu mbaki na babake ataogopa iam sure ataongea
Noo,wacha sheria ifuatwe wasimsingisie na yy ajikute pabaya. unaona wantumia uchawi
Wapi likes za baba Fred👋👋👏
😂😂😂jamani msiniulize nacheka nini dave atanifanya nishide kucheka vile anarusha mateke na ngumi weee😅
Mbona mama amesahaulika na mkaingia mambo ya mashamba
Fredy funga ao watu maisha na wasiwai toka ndani
Uyu askari angepiga risasi moja wangetulia😢😢
Hawa wataua hawa wazazi wa Fred, watoe tu😢
Kwanini wanareta fujo ivi , myumba imejengwa wako wapi
Mungu awabatanishi yu
Kwan hii n Nini sasa, askari Bure sana sioni msaada wake hata
Nani ameona DCI wetu aki Hana nguvu ya kupigana vile anakuanga ooiiye mungu ampee nguvu🙏 Hadi Wana muangusha chini
Fredy and Dave I know or of your story 😢😢 I'm sorry to say na bado wachawi wanakufuata bado mbaka siku utajijua mwenyewe na ujuwe Mungu wako na mumuwache awapiganie otherwise utajua hujui😢😢😢😢 na kama sai huna family na haujui kwenye wako same case to Fred and kama Mark angekuwa pamoja na nyinyi angekuwa amepoteza familia yake pia na anajua kuomba Mungu wake 😢 but for you two guys haujui
Hii sarakasi yote mama Fred bado anaumia c mko na no ya mchawi call pastor Joshua n Nancy track that mchawi atii
No problem, mama wa huyu vijana aki wapi???
Waseme kule mama Fredy Yuko. This is nonsense!!!
Hiyo familia ina hali mbaya.wote bangi.
Theirs a very big problem here , oohy God intervene, Freddie should just surrender the Shamba for the sake of peace and their safety also , coz someone will loose life here
Fred naona hata ukipata mamako usijenge home enda hata sune ulent nyumba uko wasazi wakae na amani maisha ni ya muimu sana
Fred muhame apo please mungu God will provide for another house
Uyu mzee na watoto wake wana act kama wachawi, baba fred ni ni mhumble, God kubuka mama fred mahali alipo
DCI maembe anaacha Fred apigwe
Jamani tuombee hii familia imo hatarini, hawa watu wana wivu mkali sana, ata fred wakihama bado hawatakaa na amani, fred mngekuwa na mahali mngeenda, ata nenda ukodishie wazazi nyumba wakae ukipata mtu wakuuzia hapo mahali uuze ununue keengine. Bomoa mabati uweke utjengea ukipata mahali, mungu atakuongoza bora mama apatikane, fred gureniiii tafadhali
Wewe mzee umelea watoto vibaya, next time Ni wewe utapikwa Na those boys you are calling your son's, I really pity you. Fred God is on your side don't worry we don't choose where to be born.
Hawa vijana wamelaaniwa.hata wakipewa hiyo shamba wataiuza at through way price.
Vijana wamejawa na laana wtakufa kkaa ubwa
Pia huyu mzee wa nyumba 10 ni bure kabxa,,fred mungu akupiganie