Huyu jamaa ni mkali tena sio kidogo muziki alioufanya Jos hakuna wa kuupoteza mpaka tunakufa bado vizazi vingi vitainjoi xana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ one love Joslin
Bonge La Interview.. Joseline Anajua Sana Kujieleza Katulia.. Huchoki Kumsikiliza 🙌🏾 Presenter Anauliza Maswali Ya Msingi Sana.. BEST 2023 INTERVIEW SO FAR..!!
Joslin you are big na Sasa tuko kwenye digital world you don't need no body... Just take your content to the digital.. Yani hata ukianzisha Podcast unatoka watu wanapenda kukusikiliza tu hata Kama huimbi.. una vibe na Kila mtu.. Mungu unayemuomba akusaidie you are good to Gooooo! 🔥🔥🔥🔥🔥
Brother Joslin wimbo wako ulinipa pesa sanaa ule niite basi....i was in primary and i was doing writing for others such song and paid....i was like grade 5 or6
Mimi ninachokiona leo ni tofauti na ile interview ya wale shilawadu, nakuomba sana Jos stay possitive bro najua ni ngumu kuachana na urahimu ila ni rahisi kuachana na marafiki wanaokupelekea kwenye urahimu, namba 1 wa kuachana nae ni yule mliyekua nae kwenye ile interview, kwa sababu ndiye niliyemuona, wengine siwajui ila achana nao. Muombe Mungu akusaidie kwa hili na ikibidi mkabidhi maisha yako okoka. Mengine yatakaa sawa kadhi Mungu atakavyo bariki. Sisi tunaokujua kipindi kile tunasikiliza nyimbo zenu kwenye SONY WALKMAN unakua na zile kanda za (Kali za bongo) ndio tuna uchungu na nyie. Ni hayo tuu.
Ebnae wanakuita Shepherd Mosha yaani ushauri na maoni yote umenifilisi umepita pooote nlipo waza kupita khs Josline ''Man of GOD , ile interview ilini jeruhi kumuona JOS yupo vile .... Huwezi amini kazi zke na Wakali kwanza sie ndio twackiliza hdi nukta hii
One love bro. Nakumbuka busara zako na mchango wako for the truck we sung together going by the name of TUWE WOTE by Phantyrhymes ft Joslin. Kali sana hii
Big up dogo👍 makofi kwa wingi. Niseme tu kwamba,,, kuimba nyimbo ya msanii jukwaani ni makosa. Ni kumuibia msanii kazi zake. Ndio maana utasikia ughaibuni,, hata ile tu kupost nyimbo ya msanii utasikia " I have no right to this song,, huu mwimbo ni mwimbo wa . .... mfano huu mwimbo ni mwimbo wa Joslin,, au kwa ruhusa ya Joslin,,, tena kila ukiucheza asilimia fulani ya malipo inakwenda kwa muhusika wa nyimbo yake. ( period./ nukta )
Bro uko vizuri katika kumhoji msanii na pia msanii brother josline yuko vizuri katika kujibu na kuelezea kwakweli tumelizika kwa interview..Ila naomba mtafuten na spack wa nipe report (tunda na spack)
For sure joh but alichokupa mungu lazima Dunia ijue na mwisho uwezo wa mungu awe mpaka mwisho wa Dunia lkn sio Kwa Hawa Wana damu namini ipo tym yako sahihi ambavyo wewe utatoboa upya ukiachana na wanafiki walokushika mwanzo
Tatizo wasanii wengi wa zamani wameshindwa kuendana na kasi ya mabadiliko ya utandawazi, especially from analogy (hard copy) selling system to softcopy au digital selling system. afu wanalalamika sana hawataki kujishusha maisha yaende.
najihisi machozi kunitoka siamini kama leo nimemuona tena msanii ninayempenda josilini nakumbuka mbali sana ,natamani urudi kwenye game nimemiss sana swaga zako mnyamwezi mpaka leo nikiwa na washikaji wa mtaa tunajiita wakali kwanza ,nakuzimia sana mwamba josline song zako tamu mshkaji mmoja ,niite basi ,perfume ,kariakoo nzima
Vichwa kama hivi vinepotea kwa mambo ya kisenge senge tu jamaa kama huyu unaweza kumfananisha na msanii kama Konge boy kwenye kona gani?muonekano?kuimba?akili kubwa?kujieleza konde boy haingi kokote but kikubwa kinacho waponza watu kama hawa ni umjini wa kupita kiasi ndio unawapoteza mpaka wana angukia kwenye vitu vya kishamba
Kwa nini usimtolee mfano diamond platnumz, mpk umseme tena Kwa kumtaja konde boy... Got yourself discipline.. point unayo Ila don't mention people... F***k.
@@magdalenapaulo1776 angemtolea bwana ako anaekupiga K, ingekuwa poa sana,.. bange zimefanyaje, wasanii wangapi dunian tena wakubwa na wanaheshimika wanakula bangi, na wanafanya vizur.. nkuambie kitu kama ulikuwa ulikuwa hujui wasanii 90% wanavuta bangi,.... Haya huyo mondi aliyekondeana Kwa madawa.. Acha upumbavu mwambie bwana ako akukaze vizur akili ivujie vizur.. na umwambie bwana ako aache Kula bange na yeye, Sawa mage
@@abelmbilinyi1262 Ndo huyu huyu lakini inawezekana kapata watu wazuri wa psychology wamemrudisha kwenye hali ya kujitambua kwa haraka sana. Kapata tiba sahihi na amekubali kubadilika
I just wish huyu jamaa angetafuta identity yake badala ya kupmbana kumuiga Millard kwa sauti. Evryone has a golden chance to create an new thing in the industry
@@yusuphswai6851 sil kuiga huko sasa yani kumcopy kabisa mtu, ni vizuri kuvutiwa na mtu ila sio kujaribu kua yeye na wewe kua wewe maana huwezi kamwe kua yeye ila utaonekana tu kua unamuiga yeye.
Kijana ebu fatilia vizur kati ya huyo millad wko na J nan alianza game 😅😅 wakat wakina J wanatamba hii dasalama huyo millad wako alikuwa anatafuta siso sasa unamlinganisha vp na J
Big up sanaa Mr JOSLIIIN yaani kazi safsanaa 💥🔥🔥🎉🎉
Huyu jamaa ni mkali tena sio kidogo muziki alioufanya Jos hakuna wa kuupoteza mpaka tunakufa bado vizazi vingi vitainjoi xana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ one love Joslin
My role model enzi hizooo!!Amenishape namna flani kuwa Smart n swag!! He's still humble n minato na midondoko ile ile!!He was way a head of time!!
Bonge La Interview.. Joseline Anajua Sana Kujieleza Katulia.. Huchoki Kumsikiliza 🙌🏾 Presenter Anauliza Maswali Ya Msingi Sana.. BEST 2023 INTERVIEW SO FAR..!!
Ahsante sana Karim
Sure 100%
@@SoudyBrown Ni yule wa makorokocho
Joslin you are big na Sasa tuko kwenye digital world you don't need no body... Just take your content to the digital.. Yani hata ukianzisha Podcast unatoka watu wanapenda kukusikiliza tu hata Kama huimbi.. una vibe na Kila mtu.. Mungu unayemuomba akusaidie you are good to Gooooo! 🔥🔥🔥🔥🔥
Comment nzuri sana. Hope ataifanyia kazi.
Brother Joslin wimbo wako ulinipa pesa sanaa ule niite basi....i was in primary and i was doing writing for others such song and paid....i was like grade 5 or6
Jamaa ana love sana na washkaji zake after all these years, this is rare.. he is a real one!
Jos ameongea FACT sana kuhusu kuimba nyimbo za mtu kwa stage. Respect you bro
Me nampenda sana akiongea yaan natamani arudi kwenye game aisee he's absolutely amazing
Maaaan…. mwamba Kaua sanaaaa, nimependa sehem aliyotangaza Vita 😂🙌
Shukrani sana
Mimi ninachokiona leo ni tofauti na ile interview ya wale shilawadu, nakuomba sana Jos stay possitive bro najua ni ngumu kuachana na urahimu ila ni rahisi kuachana na marafiki wanaokupelekea kwenye urahimu, namba 1 wa kuachana nae ni yule mliyekua nae kwenye ile interview, kwa sababu ndiye niliyemuona, wengine siwajui ila achana nao. Muombe Mungu akusaidie kwa hili na ikibidi mkabidhi maisha yako okoka. Mengine yatakaa sawa kadhi Mungu atakavyo bariki. Sisi tunaokujua kipindi kile tunasikiliza nyimbo zenu kwenye SONY WALKMAN unakua na zile kanda za (Kali za bongo) ndio tuna uchungu na nyie. Ni hayo tuu.
Ebnae wanakuita Shepherd Mosha yaani ushauri na maoni yote umenifilisi umepita pooote nlipo waza kupita khs Josline ''Man of GOD , ile interview ilini jeruhi kumuona JOS yupo vile .... Huwezi amini kazi zke na Wakali kwanza sie ndio twackiliza hdi nukta hii
Urahimu ndo nini?
Nn kilifanya akapotea kwenye game
One love bro. Nakumbuka busara zako na mchango wako for the truck we sung together going by the name of TUWE WOTE by Phantyrhymes ft Joslin. Kali sana hii
Sema joslin mnyamwezi sana kapoa kinyamwezi hata ongea yake ya kinyamwezi sana Nakubali sana
Jamaa bonge Moja la singer rnb i'la dah his pambana bana...
Big up dogo👍 makofi kwa wingi.
Niseme tu kwamba,,, kuimba nyimbo ya msanii jukwaani ni makosa. Ni kumuibia msanii kazi zake. Ndio maana utasikia ughaibuni,, hata ile tu kupost nyimbo ya msanii utasikia " I have no right to this song,, huu mwimbo ni mwimbo wa . .... mfano huu mwimbo ni mwimbo wa Joslin,, au kwa ruhusa ya Joslin,,, tena kila ukiucheza asilimia fulani ya malipo inakwenda kwa muhusika wa nyimbo yake. ( period./ nukta )
Wimbo na wewe sio MWIMBO
Bila hata kupepesa macho nafikiria Barnaba Classic atakuwa amekuelewa vizuri 🤔🤔🤔
Bro uko vizuri katika kumhoji msanii na pia msanii brother josline yuko vizuri katika kujibu na kuelezea kwakweli tumelizika kwa interview..Ila naomba mtafuten na spack wa nipe report (tunda na spack)
Wendoambaye umemkopi blue,,,, hyo style alianza nayo blue nandmn hata kimafanikio blue amekuacha mbali sanaaaaa
Joseline my model namkubali Sana sana mpaka uzee wangu niufikie nitamsikiliza @j96_sna every where napatikana
Nimeona video fupi asee...... One of the best.....
Jamaa anaongea fresh sana. Hana majigambo ako ntulivu sana.
Nigga got swagg! Can be market if he's serious #Jos+Jos
Ngoma za wakali kwanza nilizinunulia daftari maalum nikaziandika na penseli za rangi 😀
Ndugu mtangazaji mtafutee msanii mirror mfanye interview
Kingine huruma haina bahati Joslin kuna muda mdomo unaokoa siunaona kina t, I, d mdomo tu ndounauweka kwene game but hamna kitu
Kiukweli,tu,josline anakipaji kikubwa zaidi ya blue,sema tu blue ana bahati zaidi ya josline,
Much respect bro ✌
bonge la interview na joseline
Anaongea Kama ana rap you just want keep listening 👍🏾👍🏾👍🏾
He still got it basing on the response to the questions
So
Una swaga sana bro
For sure joh but alichokupa mungu lazima Dunia ijue na mwisho uwezo wa mungu awe mpaka mwisho wa Dunia lkn sio Kwa Hawa Wana damu namini ipo tym yako sahihi ambavyo wewe utatoboa upya ukiachana na wanafiki walokushika mwanzo
Duh bro umeongea point sana..alichokupa MUNGU hakipotei na watu watakujua kwa icho sababu amekupa icho ili uwafikie watu.
Yes Very good ❤🇧🇮🇧🇮from Burundi in Cape Town
Background sauti ipo juu sana
Jaman nina weza kupata namba za Joslin
Interview nzuri
Collabo yake na Dully & Mr Blue aliua sana uyo mwamba
Tatizo wasanii wengi wa zamani wameshindwa kuendana na kasi ya mabadiliko ya utandawazi, especially from analogy (hard copy) selling system to softcopy au digital selling system. afu wanalalamika sana hawataki kujishusha maisha yaende.
Kuna kitu kipo nyuma Bado hujakijua, haohao waliowafanya tuwajue ndo haohao wanaofanya tuwaone hivo 🙏🙏🙏.
Much respect love ndugu yangu jos
najihisi machozi kunitoka siamini kama leo nimemuona tena msanii ninayempenda josilini nakumbuka mbali sana ,natamani urudi kwenye game nimemiss sana swaga zako mnyamwezi mpaka leo nikiwa na washikaji wa mtaa tunajiita wakali kwanza ,nakuzimia sana mwamba josline song zako tamu mshkaji mmoja ,niite basi ,perfume ,kariakoo nzima
Ila kwenye dhahabu josline kaua kinoma
Jamaa ni mwenye nidham kubwa ya maongezi.
Big up Joslin
Hiyo kuimba wimbo wako stejini hiyo ni wizi!
Anaongea kwa upole kama Onmmy dimples
29;15 hapo ndo kaanza kuzungumzia beef yake na duly😁
Kuna Ngoma yake moja inaitwa staili gani mbona siioni RUclips
DAR24 WALETENI WOTE WAKALI KWANZA TUWASIKIE KWENYE INTERVIEW.
Tatizo lake umarekani mwingi ndmn wanaishia kwny madawa2
Hii ni kabla au baada ya ile aloojiwa na akina maimartha?
Vichwa kama hivi vinepotea kwa mambo ya kisenge senge tu jamaa kama huyu unaweza kumfananisha na msanii kama Konge boy kwenye kona gani?muonekano?kuimba?akili kubwa?kujieleza konde boy haingi kokote but kikubwa kinacho waponza watu kama hawa ni umjini wa kupita kiasi ndio unawapoteza mpaka wana angukia kwenye vitu vya kishamba
Kwa nini usimtolee mfano diamond platnumz, mpk umseme tena Kwa kumtaja konde boy... Got yourself discipline.. point unayo Ila don't mention people... F***k.
@@travy0110 😁😁
@@travy0110 sasa huyo Dogo si bange ndo zinafanya watu wamtolee mfano na sio smart huyo Dogo au ulitaka amtolee mfano babaako
@@magdalenapaulo1776 angemtolea bwana ako anaekupiga K, ingekuwa poa sana,.. bange zimefanyaje, wasanii wangapi dunian tena wakubwa na wanaheshimika wanakula bangi, na wanafanya vizur.. nkuambie kitu kama ulikuwa ulikuwa hujui wasanii 90% wanavuta bangi,.... Haya huyo mondi aliyekondeana Kwa madawa.. Acha upumbavu mwambie bwana ako akukaze vizur akili ivujie vizur.. na umwambie bwana ako aache Kula bange na yeye, Sawa mage
Kabisaaa✊
Peace Peace MAN I Josline#
Best online Tanzania 🇹🇿
Young Dollar Baibe 🔥🔥
when was this?
Ivi Joseline huyu ndo yule niliemuona Kwa kina juma lokole mbona kama Yuko tofauti na yule
Na Mimi ngoja nisubir jibu hapa
@@abelmbilinyi1262 Ndo huyu huyu lakini inawezekana kapata watu wazuri wa psychology wamemrudisha kwenye hali ya kujitambua kwa haraka sana. Kapata tiba sahihi na amekubali kubadilika
Nadhani na kamera pia
Ile interview haikuwa planned.... Ilikuwa accident kuonekana karibu na studio.....
Wale walimfuata akiwa yupo vitu ndo maana
Jama anaongea kinyamwezi sana kama zamani sehemu zetu za posta enzi hizo duh zilikua swag mwanzo mwisho nimemiss dar yazaman .!!
Kwel kabis ezi izo blue alikuwa mkali sana wa izo mambo
Dar 24 mlikosa meza ya kuweka vikombe?? Mbona mnatia aibu media kubwa kama yenu jamani..
I just wish huyu jamaa angetafuta identity yake badala ya kupmbana kumuiga Millard kwa sauti. Evryone has a golden chance to create an new thing in the industry
Anaiga mpaka upoaji aisee
Ww uoni mapresents wengi walitokea kumuig adam mchov yan iyo ipo ulifany kizuri watu watapenda tu nakuiga
@@yusuphswai6851 sil kuiga huko sasa yani kumcopy kabisa mtu, ni vizuri kuvutiwa na mtu ila sio kujaribu kua yeye na wewe kua wewe maana huwezi kamwe kua yeye ila utaonekana tu kua unamuiga yeye.
Kijana ebu fatilia vizur kati ya huyo millad wko na J nan alianza game 😅😅 wakat wakina J wanatamba hii dasalama huyo millad wako alikuwa anatafuta siso sasa unamlinganisha vp na J
Tone ya Joslin ndiyo hii hii hata kabla ya Millard.
watu alowa-inspire ni:
Mr. blue, ommy dimpoz na Gosby..
Mr blue alianza muziki nakuanza kuonekana kwenye tv kabla ya Joseline
@@steveanthon5523 josling ndo wa kwanza kurap kwa mapoz, blue kaiga.. ndo maana dully aliwaeka ktk Dhahabu
Madawa ya kulevya mabaya Sana.
Kweli tena
🍁🍁✌️🇿🇦
🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Kijana wetu wa Enzi zetu bilcanas
👊
Dar 24 naombeni namba za Joslin
Tunaomba utupatie namba yako kupia Instagram 'DM'
@@dar24media hii interview ya lin mazee
Mwanetu
Ongea Sana usikae kimya
Punguzeni sauti ya hako ka mziki kana bore