Ulimwengu huu kwa hakika utafikia mwisho wake Hatuna mda mwingi mbele Wale ambao wamewekeza duniani kama makao yao ya milele Kwa hakika hazina katika dunia hii hazitakuwa na maana muda si mwingi. Yesu pia alituhasa tumkumbuke mkewe rutu. Hazina zake zilikuwa chini ya ardhi na moyo wake ukafukiwa nazo. MUNGU atusaidie kwa neema yake kutembea katika njia zake maadamu ni mchana. Yohana 9:4 Luka 12:33-34
Pr. Paul semba barikiwa sana Sana mtumishi wa Mungu kwa kazi Yako uliyopewa na mwenyezi Mungu wa mbingu
Nabarikiwa sana Mungu atukuzwe. Amen.
AMINA ❤
Amen 🙏 kwakweli mchungaji na barikiwa sana na mahubiri yako hakika Bwana Yesu anakutumia sana kueneza habari njema ya ufalme
Pr. Semba ubarikiwe Sana kutusikizisha Neno na Maombi, somo la Leo hatima ya Dunia ni mbaraka Sana kwangu na ndugu na Dada tunaosikiliza
Namshukuru MUNGU kwa somo hili maalum
Laiti watu wa Mungu wangechamkia mahubiri muhimu kama haya ya kuokoa
Ulimwengu huu kwa hakika utafikia mwisho wake Hatuna mda mwingi mbele Wale ambao wamewekeza duniani kama makao yao ya milele Kwa hakika hazina katika dunia hii hazitakuwa na maana muda si mwingi. Yesu pia alituhasa tumkumbuke mkewe rutu. Hazina zake zilikuwa chini ya ardhi na moyo wake ukafukiwa nazo. MUNGU atusaidie kwa neema yake kutembea katika njia zake maadamu ni mchana. Yohana 9:4 Luka 12:33-34
Chukizo la uharibifu ndo miujiza pekee? 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢.
Wewe Pastor