Upo kwenye mahusiano ya mbali (Long Distance Relationship)? Dr Chachu anatoa ufumbuzi na ushauri

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 83

  • @florahmbala3047
    @florahmbala3047 6 лет назад +9

    Hpo ni kweli long distance inatesa sana.haswa wanawake tuna vumilia na kutunzA heshima

  • @fatmaaligome3921
    @fatmaaligome3921 6 лет назад +7

    mapenzi ya mbali mkijitambua yana raha mm niko mbali na mumewangu mimi niko omani miaka mitatu sasa mumewangu yuko tz nashukuru niko na furaha sana kwani mumewangu hunifariji na kunitia moyo wa subra na sijawahi kukereka nae naona kama tuko pamoja tu

  • @diamondplatnumznewsajm2053
    @diamondplatnumznewsajm2053 6 лет назад +9

    Ushauri mzuri Dk.

  • @bernadettemungadiane
    @bernadettemungadiane 6 месяцев назад

    Asante San Kwa somo nzuri

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 6 лет назад +4

    Bora niwe single tu mpaka nitakaporud home kwass ngoja nichape kaz tuu

  • @chrispinelwoga4182
    @chrispinelwoga4182 6 лет назад +2

    karine hii mahusiano ya mbali au ya karibu yote ni mitihan unapoazisha mausihano lolote laweza kutokea kikubwa tumutangulize mungu
    Ahsante Dr chachu

    • @shamsaabdallah2047
      @shamsaabdallah2047 6 лет назад

      Mistaki hatakuskia..wangu alinichit hatanajajua anamwanamke na mtoto...sahii yuniomba turegeleane

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 года назад +3

    Wabongo hawawezi mambo hayo wengi pasua kichwa so mimi nilika miaka mitatu bila kuonana mwenzangu na sasa tupo pamoja na mchumba wangu, so nina experience kubwa sana , mwanza dar es salaam sio mbali unapanda tu basi hapo sio long distance hapo mchawi nauli tu

  • @allymussa2444
    @allymussa2444 6 лет назад +2

    Mmmh achatu mapenzi yambali yanaumiza yanachosha

  • @aishamattar6381
    @aishamattar6381 6 лет назад +1

    Nimekuelewa mpenzi☺️

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 5 лет назад

    Enx kaka yngu chachuu

  • @maryammarym4437
    @maryammarym4437 6 лет назад

    Shukran doctor chachu

  • @Mariam-ez4qw
    @Mariam-ez4qw 6 лет назад

    Shukran DK

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 5 лет назад +4

    Mhm mm ata sjui niseme nn iyo yote yaliosemwa hapo yananisu coz Nipo Oman 🇴🇲 lkn atuna maelewano na mwenzangu kisa Nipo mbali

    • @fatumasidi3372
      @fatumasidi3372 3 года назад

      Tuugue pamoja.... In shaa Allah Mwenyezi Mungu atatupa nguvu

  • @vanessaaisha705
    @vanessaaisha705 6 лет назад +1

    Thanks 🙏🏾 so much kikubwa nikueshimiyana nakupendana❤️

    • @akystr1777
      @akystr1777 4 года назад

      yes kikubwa kuheshimiana

  • @saidkinganuarykingazi2012
    @saidkinganuarykingazi2012 4 года назад

    yaani ni mtihani kutwa kugombana yaani mm nachoka kwa kweli

  • @naslamgollowatuacheee9852
    @naslamgollowatuacheee9852 6 лет назад +2

    Yani hizi mada ndozinifaazo km itawezekana unisaidie kumsemeza mumewangu nindoa kabisa please km itawezekana uniokoleee ndoa yangu

  • @omanmobile1996
    @omanmobile1996 5 лет назад

    True babangu

  • @magicsanaagroup8504
    @magicsanaagroup8504 6 лет назад +5

    Mimi nina mahusiano ya mbali na mpk sasa tuna miaka mitatu hatujaonana Mwenzangu yupo USA na mm nipo Tanzania ila tunawasiliana kwa simu ili kuaekana sawa nashukuru mungu tunaendelea vzr...... ila yanatesa sana usipo kuwa mvumilivu utaumia sana!!
    Tunakwaruzana tunagombana mwisho wa siku tunarudi kuwa sawa

    • @balkissshugathu664
      @balkissshugathu664 5 лет назад

      Mitihani jamani subra ndio muhimu

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 года назад

      Ok mimi nilikuwa kama wewe nipo Tanzania na mwenzangu yupo Asia ndani ya miaka mitatu netu lakin sasa tupo pamoja uasiani 🤣 so hapo ni uvumilivu alafu pia inategemea na roho ya mtu

  • @euniceadhiambo9672
    @euniceadhiambo9672 6 лет назад +1

    Mimi heri niwe single kuliko kuwa kwenye muhusiona ya umbali.. maanake sipendi kuwa na changamoto za mapenzi.

  • @halimatanzani8587
    @halimatanzani8587 6 лет назад

    Jamani kweli

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 6 лет назад

    Asante Dr Chachu

  • @عليالوهيبي-ث5ذ
    @عليالوهيبي-ث5ذ 3 года назад

    Mmmm

  • @rheanmutimanwa3471
    @rheanmutimanwa3471 6 лет назад

    Tena nipo hapa nakusikiliza kiukweli sipendi ile hali eti mapenzi kwenye sim, na nilisha achwa mara nyingi tu kuusu ile tatizo

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 6 лет назад

    Thanks#doctor chachu

  • @themiracle6985
    @themiracle6985 6 лет назад

    Dr🤝🤝🤝🤝

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 5 лет назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 6 лет назад +2

    😂😂😂😂😂 Jamani wanawake tutafuteni pesa tusiendekeze mapenz tuwaache wanaume wawe na mwanamke zaidi ya moja hiyo ndio dawa tu 💃.

    • @shamsaabdallah2047
      @shamsaabdallah2047 6 лет назад

      MMH mwenzangu nilikuanawangu naalikua namke.naakazumbua mwengine.iliniumaaa.sahii niko galf asema turudiane😂😂😂😂😂😂sitaki atakusikia😂😂😂😂😂😂😂

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 6 лет назад

      @@shamsaabdallah2047 😂bora kua single

    • @mohamedismail2662
      @mohamedismail2662 3 года назад +1

      Inategemea na utulivu wa mwanaume na amana aliyonayo anailindaje kama hana amana ni tatizo kubwa zaidi

  • @bimzungufumba7037
    @bimzungufumba7037 6 лет назад

    Mm tupo mbali ulaya na Tz ila kila miaka 2 naenda Tz mwanzo ilinisumbua hadi kutaka kuvunja ila nashukuru nilimuelewesha
    Mpenzi wangu sasa nimuelewa sana japo changamoto zipo but mazuri mengi kuliko mabaya navumilia kikubwa mawasiliano hadi sasa na yy anaona faida ya mawasiliano

  • @hafsaali4423
    @hafsaali4423 5 лет назад +1

    Mimi nisha kata tamaa kabisa sitaki kuwaza kabisa kwasababu ikiwaza unazidi kuumiya tu na yeye anakula bata anashindwa kujuwa niko natafuta na nikwafaida yetu yani kiujumla wanaume wanatuumiza sana

  • @fanemanzi4325
    @fanemanzi4325 3 года назад

    Jaman kna jambo naomba ushauri

  • @mahdsalim
    @mahdsalim 6 лет назад

    Sijawah ku experience but sina Imani na long distance relationship.

  • @selemanihussein5073
    @selemanihussein5073 6 лет назад

    Hata mimi nipo kwenyem mausiano hayo ya mbali nina mchumba wangu yupo MISSOURI🇺🇸 mimi nipo WICHITA,KANSAS🇺🇸 we’re almost 2 years now changamoto zipo migogoro yapo ila huwa nashukuru huwa tukikosana tunaombeanaga misamaa na yanaisha tunakuwa tena vizuri. Kiufupi tunapendana. I love her my BEATRICE

  • @yureboytv6209
    @yureboytv6209 3 года назад

    Mi yupo mpenz wangu yupo dar ila mimi nipo kigoma tuna miaka 4 sasa kwenye mahusiano ila tumeaidiana kuowana akiitaji hela namtumia amesema mwez wa sita anakuja tuishi nae. Siamini kama atakujah yani namwachia MUNGU2

  • @akramwalong8061
    @akramwalong8061 3 года назад

    Mh mm umenigusaj maan Mpnx wng tulpokuw krb hkn ugomv lkn seiv ugomv km wot ila yey Anasema Ndio penzi linanoga sometimes wivu wang ndio unaolt yot

  • @zakiakhalid212
    @zakiakhalid212 5 лет назад +2

    Hiii distance relationship ctk hata kuskia unawez pata wazim mpnz sio k2 kizur

  • @charleschacha6257
    @charleschacha6257 6 лет назад

    Ndoa za aina hii kweli zina changamoto kubwa sana,me na mume wangu tunaishi mikoa tofauti kwa mwaka sasa lakini kuna magumu mengi ambayo nimekutana nayo make unaweza piga cm isipokelewe na text hazijibiwi mnaweza kaa hata wiki bila mawasiliano,yaani full stress

  • @pilmohamd2339
    @pilmohamd2339 5 лет назад +1

    Mimi kichwa cha uma kila siku hadi nimechoka kwasasa mawasiliano ni hafifu sijui nisemeje 😢😢😢

  • @manalibaby4192
    @manalibaby4192 6 лет назад

    🙏🙏

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 5 лет назад +1

    Mmmh😂😂😂acanisake pesa sishobokeagi tena mapnz looh kilasiku kuumizwa

    • @rosesamwelitenga4648
      @rosesamwelitenga4648 5 лет назад +1

      Shoga angu Kwan uko wapi??mi Niko Iraq..mi mpenz wang saiv hanisemeshi na nikimsemesha anajib mkato ..Sasa nimeamua ni Bora nibaki single nijikite tu kweny kutafta pesa ,,hay mapenz hapana

    • @ashuraussein7582
      @ashuraussein7582 5 лет назад

      @@rosesamwelitenga4648 😂😂😂Pole sana Minipo warabuni yani saudia rabia ayoyalokukuta ndoyalinitokea mipia sishobokeagi mapnz tena nduguyangu

    • @rosesamwelitenga4648
      @rosesamwelitenga4648 5 лет назад

      @@ashuraussein7582 ni heri tujikite kweny kutafuta mafanikio kwa sabab hicho ndio kitatupa heshima hususani kwa Hawa wanaume wa Zama hizi ,,ndio tuko mbali nasio kwamb tunapenda laa..nikatika harakat za kutafta riziki ila wao hawatuelew jamen..!!Sasa wacha nivune pesa zangu coz nimebakiza mwaka mmoja mbelen nirud Tanzania ,,eee bhana ee ngoja nitafte hela hata atakae kuj kunioa ataniheshim ,,maan pesa ya mwanamke ndio ulinzi wake ,,,yeye ale tu Bata huko ..afu unakut mtu mwenyew han hata kaz looh asinibabaishe ebooo

    • @ashuraussein7582
      @ashuraussein7582 5 лет назад

      @@rosesamwelitenga4648 😂 😂 😂 😂 Kweli kbs dia insha allah allah yuko anatuandalia waliobora kwetu

    • @rosesamwelitenga4648
      @rosesamwelitenga4648 5 лет назад

      @@ashuraussein7582 ameen my dear..na pia Tuombe DUA kuhs Hilo.

  • @sofiahamisi9373
    @sofiahamisi9373 3 года назад

    Wacha tuone bora heshima tu madarahu ndio simema lkn ipo uyo na watu kukwaruzana nilazima ata mrkiwa karbu

  • @danielayubu60
    @danielayubu60 4 года назад

    Nisawa hakuna mahusiano ya hivi

  • @abuubakrachani1943
    @abuubakrachani1943 6 лет назад +1

    jamn m naomba namba ya Dr Chachu

  • @chemsachouchou3087
    @chemsachouchou3087 6 лет назад

    Nimazuri kama mnaelewana yani niraha ila kwngu nikaraha wakwangu ataweza kufanya hata week haniandikii na iko on line ila anajidai kama ananioenda aca tu ni cape kazi haya mapenzi yanasumbuwa

  • @maryangela107
    @maryangela107 5 лет назад

    Hakuna kisicho namajaribu Mimi Niko kwenye ndoa sasa nilikaa kwenye mahusiano ya mbali miaka 8 na sasa tumefunga ndoa namajaribu yalikuwepo kama wote mnapendana hamna shida ilaa kama kuna mwenye uwongo kati yenu hiyo ndo shida

    • @sdds1116
      @sdds1116 5 лет назад

      nikweli usemayo mimi wangu niko naye mwaka 4 lkn mahaba mahabani hajawahi nipa stress yeye yupo tz nipo oman

    • @salmaalimusa547
      @salmaalimusa547 4 года назад

      @@sdds1116 daaaaah

  • @saumuathuman206
    @saumuathuman206 6 лет назад

    niko Saudi Arabia miaka 4 sasa na ndoa yangu ilivunjika nikiwa saudi na miezi mi tatu tu kwahiyo acha aendelee kula bata nami nifanye yangu😆😆

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 3 года назад

    Wenzetu weupe kwenye ili uwa wanatobowa sana africa wengi wanatoboka ....mausiano ya mbali yanataka umakin na inategemea unadate na mtu wa hainagan....

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 года назад +1

      Kweli kabisa mimi mke wangu wa jinsi hiyo na nilikanae maisha hayo ya umbali ndani ya miaka mitatu na sasa tupo pamoja viwanjani so wabongo hawezi nilijaribu sana before 🤣 mbongo pasua kichwa

    • @mohamedismail2662
      @mohamedismail2662 3 года назад

      @@Mpakauseme wabongo wanaweza zaidi uchawi 🤣
      Nmeshapitia uko nawajuwa wazungu fresh
      Mausiano ya mbali kwa hawa waswali ni bonge moja la kamari na wengi wameliwa hawakula 🤣

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 года назад

      @@mohamedismail2662 Kabisa ndugu yangu dada zetu hawawezi kuvumilia alafu wametanguliza zinaa na pesa mbele hapo ndio kizungumkuti

    • @mohamedismail2662
      @mohamedismail2662 3 года назад +1

      @@Mpakauseme wamejaa tamaa kupata hambae hana tamaa ya pesa na ana hofu ya Mungu kukimbia zinaa ni bahat sana

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 года назад

      @@mohamedismail2662 Sana kaka , hatari sana

  • @hkikajama6680
    @hkikajama6680 6 лет назад

    jani mm ndo yamenikuta sasa mienzi mitatu sasa simpati kwenye sm ninamaaumivutele na nimeona ikikipindi ninazidikuumiya

    • @gsbshshzhxsbxbsnhxh5225
      @gsbshshzhxsbxbsnhxh5225 6 лет назад

      Pole mm mwezi mmoja tu nilichanganyikiwa

    • @hkikajama6680
      @hkikajama6680 6 лет назад

      @@gsbshshzhxsbxbsnhxh5225 Asante sana kwakunifaliji mpendwa wanaume kivuluge asaakijijua anapendwa najitaidi kujikaza lakinibadonaumia

    • @saidkinganuarykingazi2012
      @saidkinganuarykingazi2012 4 года назад

      @@hkikajama6680 vumilia tu mpenzi kutwa kugombana halafu mtu anakuwa anakujibu nyodo

  • @najma3268
    @najma3268 6 лет назад

    Mm yangu ilishavunjika kabisa tena,nishasahau kabisa miaka mitatu iliyopita kwa sasa ninafuraha kuliko hapo awali maana machozi yalishakauka ikafikia kipindi tunaachana ukilia machozi hayakutoka

    • @jemimamika181
      @jemimamika181 6 лет назад

      Najma 3 😂😂😘 pole dear ww ni mm kbs

  • @siahjoseph3828
    @siahjoseph3828 5 лет назад

    Kaka naomba namba zako plz