Toka Abel na njugush waendee,, hii show imeendelea kuudhi Shiti na Pastor 💮❌❌❌❌❌❌ Nyambegea :nlimfungulia mlango akiwa kwa bafu Awiti : Na io picha ilikua aje 😂😂😂😂😂 Deaaaad✔✔✔✔✔✔
Nyambege 😂 😂 Ati Lakini Leo nime fanya kitu ingine ya kuhaimbisha Lakini wacha tu ni wa ambiye nime chunguliya mdozi wangu akiwa kwa bathroom, enyewe ww ni chizi
Awiti na hiyo picha ilikuwaje.....Janerose sasa unataka kujuwa ndoiweje........Mich ee uko na video tuone 😅😂😅😂😂😂😂😂 Nyambegea woii sasa ntapata wapi kasi ingine 😅😂😂😅
You guys ata kama character ya shiti iko chini we need to give them positive credits.He was once your hero and you should support him sahi ako down.Its supposed to be thick and thin.Alafu namiss yule karao...
*Wenye wako na imani kuwa Njambi atarudi mikono kama mimi👐👐*
Njambi nikama ameondokea
Mshahara itakua juu
But alikuwa anatesa mtoi bila huruma.
Huyo amenda ivo Sasa😭
Atarudi
Help me welcome this little girls to the show,,
It's only in kawangware where a househelp leaves door no 1 to work for door no 2😂😂😂😂
Cerah Sarah haaahaa ata juja ni hivyo
cerah sarah it happens in real life and they don’t care
Exchanging roles
kuna plot jirani mbochi anatoka 3rd floor anateremka 2nd floor job anakua fired anapanda 4th floor tena😂
Call it transfer or swapping bosses😂
Hawa watoto wanafanana sana. They are sisters I bet
nliona, hvo pia
They are sisters na Nicole ni ule mtoto wa mawowo
Njambi in the next episode atarudi na Nicole and lavender,na hivyo ndio atarudi kazi...we can't lose her🙄
This came to pass Abel Mutua anipee kazi Sasa😂😂😂
Nyambegea is on demand 😂😂😂😂😂😂😂😂 every house owner wants him as Thea houseboy..... This story will be come interesting
Ni mashamba ndo anaenda kulimishwa😂
Kamila atakua amekosea kwa krotas hmm hapana
Hahahaaaaa haki
Msiseme njambi ameenda hivo, 🤣shiti was about to mention willy Paul awiti yawa Nicole nikazuri mtreat vizuri yawa🤣🤣
Nkirote naona ukienda jela soon
After waiting for the whole day ata nilikua nimeboeka kuwait ,Oooy yes number one the houseboy
tuko wengi kuwait hahaha
Many people do not understand shitis parts all in all it's talking about hypocrisy in the gospel industry
Very true
na mliamua sitawai pata like,haisuru
Beging for likes 😂😂😂😂
Nani mwengine anaona vile shiti anaboeka na hii section?
Mimi hapa
lazima atubu dhambi
Solidarity for Njambi plz..
Nmefeel Nkirote 😭😭😭😭😭......Njambi leaving too was sad 😢.....mbona nawahurumia sasa 😂😂😂.....nxt thursday ni kma nxt yr bt isorait 😒
Wale wanataka nkirote na crotus warudiane nipe. Like hpo
Wasirudiane😅😅
Either this guy is a real pastor or an Amazing actor!
nani anaona nkrote na njambi wakipatana kwa chali mmoja???kinaumana next episode,Bryo taabu
N that's actually Possible.
Despite njambi ako na mtoi wa brayo hapo episodes za nyuma
@merab ata Sikuwa nimefikiria stori Kama hiyo 😂😂😂😂😂dawa ya bryo inakuwanga njambi si mtu softie Kama nkirote🙄
Njambi ameenda kupata mtoi
does this mean njambi amemaliza career yake trhk ama?
shiti na kiherere najua angeanza tu na willy paul nani anakata
Nani anaona Njambi akirudishwa job?Alafu hio paka enye imepita hapo😱😱
Una macho paka 😆
@@cirukarago7251 ujaona vile ni mrefu😀
Umeona adi paka enyewe uko rada mbaya 😂😂😂
@@anniechege9394 haha ni vile ilipita
😂😂😂 nimedhani nimitu nimeona iyo manyau hadi we😁😁😁
Nyambegea is just too funny And real🤣🤣🤣 and why can't Shifira just fire Awiti
Njambi ndiye atapata hao watoi 😊
Nope ni janerose atawapata
Watarudishwa na janerose
Mumejuwaje?
@@dennismaina5628 😊tu bet an ngapi ngapi?
@@derrickmaureen3211 niku guess tu
Bila Crotus😂😂😂ii kitu hakuna
Ooooh yes watch you from casablanca
I hope njambi hasn't left the show..
She has left believe me
She has left...she said that Kwa chatspot ebru tv
I guess too
NJAMBI usijali, mungu yuko , awiti unbowagable
Njambi na nkirote wanameet kwa Brayo
@@KaKa-if5nz interesting venye brayo ata-handle hio situation. next week ifike haraka
you are making us to waiting for long, have been waiting this episode the whole day
Awiti yawa unapeleka mtoto bila speed governor 🤣🤣🤣🤣
Toka Abel na njugush waendee,, hii show imeendelea kuudhi
Shiti na Pastor 💮❌❌❌❌❌❌
Nyambegea :nlimfungulia mlango akiwa kwa bafu
Awiti : Na io picha ilikua aje 😂😂😂😂😂
Deaaaad✔✔✔✔✔✔
Nkirote is so emotional 😂
Wish the episodes were released at least twice a week ....so nice... Thumps up....
Shitiani eti uko tayari kurudisha kamba ya nguo ulikata ukaweka kwa hao🤣🤣🤣🤣 Leo lazima utaokoka
Na iyo picha ilikuaje?!!!
Aki awitiiii
Sema kuenjoyiwa na Akina brayo ,waah Nkirote 🤭🤭🤭🤭☺️☺️ utajua hujui endelea utaona the fire on the mountain 🎎🎎
Huyu nkirote si achukue hizo Doo aendee meru.nkt!
Ik
Can djshiti change his storyline😏....bring back the old Shiiti
This new one inaboo sana😏😏ikivika part yake naskia kuforward.
First 100....idles Kenyan can't let me be the first one.....am I the only who feel bad ikiii...then unakumbuka next mpka Thursday😱😱
Hahaaaaa, idle Kenyans you made my night 😁😁 😁😁 😁🏃 🏃 atlast
Who else feels sorry for Njambi
Nmefungulia boss mlango akiwa kwa bafu
Ile udaku huwa hii plot walahi 🤣🤣🤣... Siwezi penda kukaa plot iko hivi aki
But Awiti wewe ndo ungeenda before njambi
Goodbye Njambi. All the best kwingineko
Msiniambie tutaona Crotus na Nyambegea nyumba moja...itakua ngori ajab 😂😂
Itakwa ngori
Nyambegea on demand..Pekejeng
Aii kwani mnawatch part 2 before part one
sasa huyu ni IMAM ama ni pastor.
😂😂😂 kwani is it the beard ama?
😂😂😂😂 Umeonea ndevu zake!
So accurate 😂
😂 😂 😂 😂 Roundi hii Dj Shitti anaona kivumbii 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
😂😂aki atajua ajui
😂😂😂😂😂😂😂😂
Hustling ni real 😂😂😂
@@DOUBLE.K-MEDIA 😂 😂 😂 😂 huyu shitti aty ameiba slippers
@@raffraffie7799 😂 😂 😂 😂 anaomba msamaha wa wizi
Awiti na figure yake
Yenyewe Shiti ame hustle hii Nairobi. Mungu amuonekanie.
Shiti kuconvince pastoe nayo,😀😀😀😀😀😀 Nkirote utajua hujui
Nyambegea is for janet,janet alone
....and for me
Poor shiti 😂😂😂😂😂.
Hustling ni ngumu haki 😂😂😂😂😂
Brayo alinyandua vitu xaxa n madharau 🤔🤔🤔 nkirote pambana na hali yako 😂 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
no one:
Joel Wyker : xaxa
@@felixnyabuto6468 poa sana
Nkirote brayo alionja vitu madharau reloaded,avacado cort huzuni njambi ameenda 😩😩😩😩😩
Hiyo attitude ya Shifira akizima tv😂😂😂😂👌
Nyambega no! !!mie pia I need u.then hawit mdomo yako haitakuajili kwingine apart frm kwa shifia
Njambi is my all time...aki asikue ameenda woiye
Wooooi nkirote baby
Brayoh si poa
Huyo pastor wanaongea na Shiti is hooooooot! 🔥🔥🔥🔥🔥
Uko na Video tuone?
Hahahaha wachana na pastor
na hio picha ilikuwaje.....wallae Awiti😂😂😂
Shitis role is perfect.
For heyrraazz he is here to stay.
Awiti na hiyo picha ilikua aje 🤣🤣🤣
Nyambege 😂 😂 Ati Lakini Leo nime fanya kitu ingine ya kuhaimbisha Lakini wacha tu ni wa ambiye nime chunguliya mdozi wangu akiwa kwa bathroom, enyewe ww ni chizi
Huyo Pasi yuko sawa,even though anakaa Moha! Na tukaribishe watoi.
Nyambegea anafaa kunyandus boss take awache ufala
Nani mwingne anaona Janet akiwa mrembo?drop a like if you see it
Wah shiti you are now what we have been missing
Awiti na hiyo picha ilikuwaje.....Janerose sasa unataka kujuwa ndoiweje........Mich ee uko na video tuone 😅😂😅😂😂😂😂😂 Nyambegea woii sasa ntapata wapi kasi ingine 😅😂😂😅
Na we Njambi husiende mahali,we need you back
The counsel himself amesema Ukiwa kwa bafuu unaimba kawimbo ata Kama ni kale kabaya ku-Alert Watu
Nkirote angejua njambi ni free slay queen hangeongeleshea byro hivo
Nkama Njambi Anatoka kwa hii show
nyambegea i love your honesty
Nimeona lavenda 👯 hapa nje saizi nimwambie anaitwa ama 😊😊😊
Waaooow show mwaaaaaa iko chocho sana
Nani mwingine anamiss love ya crotus na nkrote,kutoka camilla arudi crotus ameboeka
Mm apa 🙌 aki Crotus hananga raha kapsaaa opfully watarudiana na Nkirote wake 😜😛
Tena sana
Onyi ako area gani....rada yake na mpress imekua chafu
At first I thought huyu pastor ako na qoran .... I see he's trying to send a message to our so called gospel artists. Shiti kukiri nako!
Camilla una azima houseboy yawa! Eeeh hii mambo ni serious 😂😂😂😂
You guys ata kama character ya shiti iko chini we need to give them positive credits.He was once your hero and you should support him sahi ako down.Its supposed to be thick and thin.Alafu namiss yule karao...
Ana perform according to script so script writer ndo amubadishie
Aky iskuwe njambi anaenda kabsa
We want NJAMBI back
Dj shiti umepatikana leo
Na Awiti anakaaje kweli in real life??? Dikteta sana🤣🤣🤣 I miss Crotus
Lakini si mniemploy kama houseboy wa Janet, now that Nyambegea anaenda. Hiyo kizungu mingi ya Crotus sitaweza
Watoto watakutana na Njambi na kuwaregesha kwake ndo kutakuwa kurudi kazi kwake..Nyabegea kwa nyumba ya Crotus ni NO,haiwes make
Njambi ametuacha, yawaa 😰
Enyewe shiti unahitaji Holly spirit
Camilla amemkufia Nyambega lol kumbe mahouse boiz ndio u...... now I know I won't let that happen in my house
😂😂😂😂😂😂😂really!!
Nsipocomment mtajuaje nmeview
Aki Awiti n mkali yawa 😂😂😂i love her
Woiye njambi....it was lit🔥
Shiti ni kama Pozee,wao na gospel ni kama maji na mafuta
Shiti kizungu leo nikama maji na uji haiteremki
Aki simpatie shiti storyline ingine kali.
We brayo unatesa aka ka mwale ketu walae
Njambi ndo atapata hao watoi, watafanya arudishwe job
Hio maombi ya shiti hata kwa roof ndo haiwezi pita...hata ka sky is the limit
Hiyo paka inapitanga hapo joh🤔
Bring back Mwovovia.
Nkirote anatokwa.....😁
😂😂😂😂😂 hatawaitumwa tena brayo akipata ID yake. Qwan iliedaga wapi..😋😋😋
Shiti wa kuchomea Nameless instagram, leo Mchungaji amekuweza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Shiti unataka kutaja Nani haraka hivo 😂😂😂😂😂😂😂😂
Part ya shiti na pastor inabore