IDRIS KAMUIGA SHILOLE? KAJA NA BIASHARA YA CHAKULA KAFUNGUKA "NAJUA KUPIKA, SIMUANDAI MTU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 сен 2024
  • Ni mchekeshaji Idiris Slutan ambaye amefunguka kuhusu project yrke ya aliyoipa jana la 'Jikoni' ambayo atakuwa akiuza chakula anachopika na kufanya delivery kwa wateja watakao hitaji.. Idris amesema ameanza na online lakini anamalengo ya kufungua ofisi kama ilivyo Shishi Food na migahawa mingine..

Комментарии • 13

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 года назад +3

    Kwani yeye Shilole si alikuta wapishi wako kibao Dar mbona hamkusema kamwiga nani? Acheni upuuzi kuwakatisha tamaa watu wengine wasipate kujitafutia riziki zao.

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 года назад

    Maa shaa Allah

  • @anahna6788
    @anahna6788 3 года назад +1

    KIKI KAMA KIKI ITAENDA MJINI KAMA KAWA

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 3 года назад

    Kwanza hii biashara nzuri sana haina lazima wanawake kenya wengi wako mchanganyiko wake waume wote sawa

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 года назад +1

    Chakula mbona hata shangaz zangu wanauza jaman kaiga vipi 😁

  • @nourzahoro3178
    @nourzahoro3178 3 года назад

    Niseme ukweli kwamba shishi anuzia jina kupika na kuandaa ziro asubiri vitu kutoka kwa IDRIS kila siku anapakuwa mmeshawahi kuona jiko lake? shishi nisamshe bure ukweli ndio huo

  • @lufufumkudesimba6244
    @lufufumkudesimba6244 3 года назад

    Nae kawa mama ntilie

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 года назад

    😄😄

  • @FrankFrank-zs9xk
    @FrankFrank-zs9xk 3 года назад

    Kijana project zake haziishagi tatizo

  • @bundaman8542
    @bundaman8542 3 года назад

    Mbona mnatusingizia Wakurya hatujui kuwandaa watu. Imekuwa mazoea sasa kwamba jambo lolote la ajabu tunarushiwa sisi.