hongera sana sekretarieti ya ajira. hii ni hatua nzuri sana. Ingawa nashauri mfikirie pia kuhusu waombaji ambao hawatakuwa na uwezo wa kutunia vifaa vya kidigitali ususani kompyuta. Ingawa simaanishi mrudi nyuma kwaajili ya hilo, bali angalieni pia namna mtakavyoweza kujibu changamoto hiyo. asanteni sana!
binafsi niwashukuru sana kwa kuliona hili PSRS wengi wetu tulikuwa tunashindwa kuhudhuria interview sio kwamba hatukidhiki vigezo hapana bali ni gharama za usafiri, pamoja na malazi hadi kufukia kituo cha usahili na wengi tulikata tamaa hivyo kwa hapa sasa niwapongeze sana mmefufua matumaini yetu upya ya kuomba ajira , # KAZI IENDELEE

Hongera sana kwa ubunifu Mkubwa🎉🎉🎉
Hongereni sana
Sehemu ya kudelete academic application please lekebisheni
Tena hili ni muhimu sana lifanyike kwa haraka
Hongera sana
Uale yalenya Polisi ba jeshinna.magerezambobq wanachukuàna wao kwa.wao watoto wa.maskini wanaachwa
Kama mtahiniwa Yuko kwenye mkoa mwingine
Mbaya kabisaaaaa
Je vyuo vyeti Na wakufunzi wetu hawana ubora?
Tatizo kubwa kwenye utoaji ajira ni pale ambapo nafasi zinatoka lkn tayari wanaopata ajira wameshaandaliwa.
Dahh apo mtakuwa mmetisha❤😅
binafsi niwashukuru sana kwa kuliona hili PSRS wengi wetu tulikuwa tunashindwa kuhudhuria interview sio kwamba hatukidhiki vigezo hapana bali ni gharama za usafiri, pamoja na malazi hadi kufukia kituo cha usahili na wengi tulikata tamaa hivyo kwa hapa sasa niwapongeze sana mmefufua matumaini yetu upya ya kuomba ajira , # KAZI IENDELEE
🎉🎉🎉
Akuna uhalisia hapo kule mema tu sisi tupo vijijini tushasahau ajira
ni nzuri ila si sana kuna mda wahitaji kutafakari kupata majibu ndo urudi lkn kwa staili hii mh sijui
Lini walimu tunaomba ajira?
😂
Bongo land