ANAKAZI NA MIMI - THE SURVIVORS GOSPEL CHOIR
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- ANAKAZI NA MIMI NI WIMBO WA THE SURVIVORS GOSPEL CHOIR, IKIWASIII WALIO KATA TAMAA WASIKATE TAMAA MAANA MUNGU BADO ANA MPONGO NA WEWE, AJAMALIZANA NA WEWE BADO
Song Written by: CHRISTIAN SONELO
music composer: Prosper Ramson
AUDIO CAPTURING & MIXING - Prosper Ramson
studio; LUBIGA PRO
FINAL Mixing and Mastering by: Prosper Ramson
Video Directed by:
Mungu wetu ni mwema Sana na ndio maana ana Kazi nasi Leo,kesho na ata milele lakini Leo ana Kazi na Mimi na amenichagua Mimi!
Amen
Korogwe tunawasubili najua Mungu anakazi na sisi katika huduma hii ....Kazi imesimama Mungu ni mwemaa
Amen amen. Mungu akasimame mwenyewe
❤❤ aweniweka mjini
Kabisa
🎉🎉🎉UTUKUFU KWA MUNGU
Amina
Mungu awatunze Zaidiii bado tunasababu hakika Zaidii
Amen amen
❤❤❤❤❤❤❤ hakika bado hajamalizana na mm Mungu awabariki sanaa mmejua kutukumbusha kuwa jambo la Mungu la hitaji watu nami bado nimo❤❤❤❤
Amen. Tunashukuru sana
Waoooh vijana wa mashamsham
MUNGU awainue na azidi kuwatumia zaidi na zaidi
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Amen
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Mungu bariki
❤❤🔥🔥🔥ANAKAZI NA MIMI
KAZI NZURI 💥
Sijakuona mkuu
@@johnnestory6 Ijayo nitaonekana 💥
Ahsante sana
Weww mvivu sana kwa kwYa
Jamani huu wimbo kweli mtamu na mzuri sana keep on pressing on guys lit 🔥
Amen
Hivi vita vya damu na nyama vimekoma.....aisee nimepapenda hapo
Kazi nzuri sana.mungu awabariki sana
Amen amen
Mungu anakazi namimi❤
Hakika ni wimbo mzuri🙏🙏🙏
Jambo la Mungu la hitaji watu ❤️ na ww Umo very powerful song Mungu awabariki sana vijana wa mashamsham ❤️🥰🙌🙌🙌🙌
Amen amen
❤❤ good job..I love it
Thank you! 😊
No.1 viewer ❤
Barikiwa sana mtumishi
MUNGU awabariki sana wimbo mzuri sana ❤
Mtumishi hongera sana kwa nyimbo yenye ujumbe mzuri unaobariki ila mpasuo sio rafiki
Bila kumtolea mtu kasoro Maisha hayaendi🙄 unaangalia kasoro tu, mubadilikege watumishi wa siku Za Mwisho. Ulikuwa unatafuta Nn mpk ukaona mpasuo?
My team ❤️🔥 anakazi na mm badoooooo
Hajamalizana na mimi...ni Mungu kaniweka mjini🎉❤❤❤weka likes
Hakika bado anakazii na mimii wimboo huu 🔥🔥🔥🔥 Mungu awabariki mno my family kwa kazi nzurii mzidii kuinuliwa juu 🙌🙌🙌zaidiii 🥰🥰🥰🥰🥰hakika YESUU usifiweee🙌🙌🥰🥰🥰🥰
Always God is good to you my favourite gospel team
What a song🎉🎉🎉🎉
Amina sana,hakika ninzuri sana
Amina
Vizuri❤❤❤
🔥🔥🔥🔥✊✊
😮😮😮 namuona mwaisa mungu awatunzeeee
Mungu wangu anakazi na mimi👌🏼👌🏼
Nimeona kaka
Hakika bado ana kazi na me💯💯🔥🔥🔥
Good work my favorite team❤❤❤
Eeeeh bwan eeeh!!!
good work
Thanks
Appreciate guy's ❤❤❤❤❤ 🎉🎉🎉nawapenda sanaaaaaa
🔥🔥🔥🔥🔥
Saf Sana iduguye
bado anakazi na mimi bonge la ngoma aisee
Amen
💯💯
❤❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤
🌹
👏
bado anakazi na mimi bonge la ngoma aisee
Amen
🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🙏🙏🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥