Dahhh Nyumbani mtaa wetu wa Mkendo na shule yangu ya msingi Mwembeni, tour safi sana . Ila wenyeji wa musoma ni Kabila la wakwaya, na neno Musoma ni neno la Kikwaya Omusoma. Shukrani sana kazi nzuri sanaaa.
Nashukuru sana kaka. Nataka nianze kufanya hiyo kitu. pia nataka niwe nafanya na watu wenye biashara mbalimbali ili kuwafungua watu fursa mbalimbali za biashara zilizopo maeneo mbalimbali
Mwandishi usipotoshe musoma asili ni neno limetokana na neno la kikwaya ku msoma, eneo la nchi kavu lililoingia majni kama ilivyo old custom.Rekebisha.
Wenyejiasilia wa Musoma si Wakuria/"Wakurya". Mji wa Musoma umo katika eneo la Wakwaya / Waruri. kabla ya uhuru, Musoma ulikuwa ni Makao Makuu ya South Mara District Council. Tarime ulikuwa ni makao makuu ya North Mara District Council - wilaya ya Wakuria na wengineo. Neno "omusoma" si la Wakuria/"Wakurya" tu. Ni neo la kawaida, yaani, lina sawa kwa Wajita na Wakwaya / Waruri, nk.
Wenyeji wa Musoma siyo Wakurya . Wakurya Tarime uko. Musoma wajita, wakwaya, waruri, wakabwa na wasimbiti wa pale kines. Wakurya wa kuja tu kutoka Tarime na Serengeti.
Musoma haitokani na neno la Kikurya. Musoma maana yake ni Rasi (sehemu ya nchi kavu inayoingia majini). Chanzo chake ni kutoka kabila la Kikwaya (Omusoma).
Umenikumbusha nyumbani barikiwa sana
Makabila Musoma ni Wakwaya, waluli na wajita haya makabila yanatumia lugha moja . Wakurya wapo wilaya ya Tarime.
Umezingua sana eti kabila Musoma ni wakurya Aisee makabila ya Musoma ni Wakwaya Musoma mjini na Wajita musoma vijijini wakurya wapo wilaya ya Tarime
Nyumbani 😢 nimepamiss mitaa ya unhindini, mwigobero ziwani thank you!
Kwetu pazuri sana, nimepakumbuka nyumbani.❤❤
Safi sana nakupata tokea Northwest klerlksdorp city in south africa 🇿🇦
Kumusoma Ni neno la Kikabwa Lenye maana ya eneo la maji lililoingia kwenye maji {Musoma}
Dahhh Nyumbani mtaa wetu wa Mkendo na shule yangu ya msingi Mwembeni, tour safi sana .
Ila wenyeji wa musoma ni Kabila la wakwaya, na neno Musoma ni neno la Kikwaya Omusoma. Shukrani sana kazi nzuri sanaaa.
Shukrani sana Kaka.
Asante sana
Home sweetie home hiyooo
Barabarani pana sana.
ASANTE sana my brother nimeiyona musoma japo kuwa mimi nyumban serengeti nilikua sijawahi kufika ila kwa sasa nipo kahama mjini
Shukrani sana
Ahsante sana kwa video nzuri. Mungu aendelee kukubariki mkuu🙏
Asante sana mkuu. Shukrani sana
Laka kwetu uko nashukulu sana
Godlove upo vizuri kaka napenda sana clips zako, karibu shy town utuonyeshe na wao
Shukrani sana kaka.
Asante sana kaka
Safi sana brother,napendekeza uwe unafanya interview japo kwa kifupi na wakazi wa miji na maeneo unayotembelea.Kila kheri.
Nashukuru sana kaka. Nataka nianze kufanya hiyo kitu. pia nataka niwe nafanya na watu wenye biashara mbalimbali ili kuwafungua watu fursa mbalimbali za biashara zilizopo maeneo mbalimbali
Naomba safari ya kutoka mwanza kwenda Bukoba nitashukuru
Nitajitahidi kaka..shukrani sana
Mwandishi usipotoshe musoma asili ni neno limetokana na neno la kikwaya ku msoma, eneo la nchi kavu lililoingia majni kama ilivyo old custom.Rekebisha.
tunakuombea uzima kaka godlove m.
Amen kaka..nashukuru Sana kaka
Wenyejiasilia wa Musoma si Wakuria/"Wakurya". Mji wa Musoma umo katika eneo la Wakwaya / Waruri. kabla ya uhuru, Musoma ulikuwa ni Makao Makuu ya South Mara District Council. Tarime ulikuwa ni makao makuu ya North Mara District Council - wilaya ya Wakuria na wengineo.
Neno "omusoma" si la Wakuria/"Wakurya" tu. Ni neo la kawaida, yaani, lina sawa kwa Wajita na Wakwaya / Waruri, nk.
Wenyeji wa Musoma siyo Wakurya . Wakurya Tarime uko. Musoma wajita, wakwaya, waruri, wakabwa na wasimbiti wa pale kines. Wakurya wa kuja tu kutoka Tarime na Serengeti.
Mungu akusaidie😍🙏
Asante sana 🙏
Safi sana
Thank you
Kwe 2 musom✋✋
Pamoja sana kaka
asante sana kaka godlove m.
Asante sana kaka. Nashukuru sana kaka
Kaka kwetu uko
Musoma haitokani na neno la Kikurya.
Musoma maana yake ni Rasi (sehemu ya nchi kavu inayoingia majini). Chanzo chake ni kutoka kabila la Kikwaya (Omusoma).
Thank you
Uko sahihi... Musoma si jina la Wakurya, wakurya waliishi Tarime na Serengeti.
Musoma ni jina la Wakwaya na Waruri.