Hello Despina and the Secred Choral Singers , you have just done it.... You have given the world a wonderful and beautiful message. Your voices ..?? ...Even the Angels might stop and listen , wondreing who these are who sing like them !! The Organist , .....raises our hearts and minds to heaven . Ooh , thank you for this very lovely and inspiring piece of work.
Wimbo huu ni mzuri kuliko maelezo.Waimbaji wamebarikiwa na kupewa karama ya sauti nzuri ya kuinjilisha wanakondoo wa Mungu kupitia wimbo huu.Awesome song,Big up for the organist and singers
Mungu awabariki sana nazikubali nyimbo zenu
Hakika mna Sauti za Malaika. Hongereni sana
From Kiambu nairobi well represented
Mungu awabariki sanaa nawapenda mno
Well done guys, Peter Perfect (organist) umekitendea kinanda haki kama baba yako anavyokitendeaga haki. I am proud of all of you guys
Hongeren San Kwa wimb mzur
Hello despina thanks for good song and smoothly voice God bless you all.
Kama kawaida yenu mko vizuri MUNGU awatie Nguvu mzidi kusonga mbele katika utume wenu
Hello Despina and the Secred Choral Singers , you have just done it....
You have given the world a wonderful and beautiful message.
Your voices ..?? ...Even the Angels might stop and listen , wondreing who these are who sing like them !!
The Organist , .....raises our hearts and minds to heaven .
Ooh , thank you for this very lovely and inspiring piece of work.
Woow and what a wonderful comment From you Dear Brother 🤗👏👏
Tumsifu Yesu Kristu ... Najivunia kuwa Roman Catholic
nzuri
Baraka tele From +254
Huwaga nasikia kubarikiwa sana na nyimbo zako❤❤❤🎉
Joseph Makoye Not only does He write Plasms in Solfa but also Sing before the Altar of Highest Lord God together with Angels ..
Ningependa kuijua Historia yake
Amina mbarikiwe katika uimbaji mpo kasi kweli
Mungu nibariki na sauti nzuri kaa ya Mtumishi wako Despine ,🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻,Barikiweni sana kwa wito huu wa kipekee,🍇🍇🍷🍷🍷🌾🌾🌾🍞🍞🍷🍷🍷
Vraiment le Seigneur est notre Salut.Que Dieu vous bénisse à jamais.Un jour j'aimerais que vous chantiez sa louange au Ciel avec ses anges.
ASANTENI SANA NDUGU ZANGU MUNGU AWALINDE
nice na mnachagua nymbo za watunzi wanaoujua mziki wa kikatolik vzur,,ahsanten maan hku nina-enjoy kiukwel
Homgera kwa sauti nzuri
Wimbo mzuri sana
Hongeren sana taifa la Mungu
So nice. Hongera kwenu.
Mbarikiweee
Mimi ni wokovu WA watu oooooh good sog
Hujambo dada Despina, nyimbo mmoja naupenda sana "Mimi ni nani" naomba muuimbe huo
Wimbo wangu wafaraja ❤❤
Mungu awabariki ,uinjilishaji uendelee kusonga mbele
Wimbo huu ni mzuri kuliko maelezo.Waimbaji wamebarikiwa na kupewa karama ya sauti nzuri ya kuinjilisha wanakondoo wa Mungu kupitia wimbo huu.Awesome song,Big up for the organist and singers
Heko Heko....!Wimbo Bora.Ahsanteni
Ahsanteni kwa wimbo sana hii ndio sauti ya kumtukuza Mungu
Mungu awabariki sanaaaa
Watching all the way from Kenya ,,your music is nice keep up
Hongereni kwa nyimbo nzuri, nashauri kuwe na lyrics kwa chini hapa kwenye description ya wimbo....
Mbarikiwe jamani, always with you in Jesus name.
Tumsifu Yesu Kristo.
Milele Amina
Asante wanakwaya kw wimbo mzur wa kumtukuza mungu
Mumetulia watoto wa watu kwa kweli pokeeni pongezi sitahama Romani milele
Mapendo naipenda din ang❤
Amina
Hongereni sana kwa wimbo Mzuri. Mungiu awabariki katika Utume wenu.
Mumeimba vizuri sana hongera sana
Nimebarikiwa🥰🥰
Wimbo mzuri sana!
From Rome Italia:
Done so solemnly and in a more prayerful sense...Congratulations!!
Excellent
Hajawahi kosea dada huyu na hawa watu jmn, , sauti tamu zaidi ya kinanda inapenya mawinguni hadi mbinguni
Blessed
Nice song 🔥
Hongereni kwa wimbo mziri mungu awabariki🙏
Mungu azidi kuwabarki mzid kutowa nyimbo Zaid ya hiz mung awasimamie
What a Song
God bless you...
Hua mnanibariki sana be blessed.
Asanteni tena
Kituuuu
Mungu awabariki wote kwa kazi ya kutangaza habari njema kwa watu wote .Big up
Mbarikiwe,asanteni
Mbarikiwe sana
💐💚💞
Be blessed all
Amen 🙏🏽
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Well don't
Asanteeni Sanaa Mwenyezi Mungu Awabariki
Mumetulia watoto wa watu kwa kweli pokeeni pongezi sitahama Romani milele