GOODLUCKY MSUYA. MWL MWAKASEGE NI MWALIMU WA WALIMU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 14

  • @tumainimushi620
    @tumainimushi620 2 года назад

    Amen kaka umeinua imani yangu..barikiwa zaidi

  • @agustinommasi6006
    @agustinommasi6006 3 года назад +1

    Me namkubali sana uyu bro,nikifukaaga semina namuangalia kwanza kama naye amefika

  • @richardkaula6847
    @richardkaula6847 3 года назад +1

    Kwani mtangazaji usipotumia maneno ya kihuni hatuwezi kukuelewa?usinajisi huduma kwa kuiga mambo yasiyo na tija.

  • @faustineselestine3327
    @faustineselestine3327 3 года назад +1

    Umekua na moyo,nia na uvumilivu sasa Bwana amekuinua mtumikie kwa nguvu zako zote❤❤❤💯💯👏

  • @paulsevere2461
    @paulsevere2461 3 года назад

    Waw, Bwana Yesu atukuzwe kwa namna anavyokuinua kutoka hatua moja kwenda nyingine!!

  • @annestamwinuka
    @annestamwinuka 2 года назад

    MUNGU akubariki

  • @carenkachecheba5538
    @carenkachecheba5538 3 года назад +1

    Mungu akuinue sana.Goodluck.kweli una huduma.kubwa sana..nyenyekea zaidi kwenye mkono WA Mungu utaona anakuinua zaidi zaidi...nabarikiwa sana na uimbaji wako hasa kongamano Dodoma... Kuna. Wimbo.uliimba unahusu Yesu.wastahili kama sijakosea kha machozi yaninitoka tu...

    • @goodluckmsuya8994
      @goodluckmsuya8994  3 года назад +1

      Upo RUclips utauona unaitwa ni Yesu

    • @carenkachecheba5538
      @carenkachecheba5538 3 года назад

      @@goodluckmsuya8994 Amen ngoja niutafute kha yaan huu wimbo kuna jambo Mungu alinifanyia siku ile am sure.. Barikiwa sana Mtumishi WA Mungu.. We nyenyekea tu kwa Mungu..ataonekana kwako kwa viwango vya juu sana

  • @mariethalema1365
    @mariethalema1365 3 года назад

    Mungu azidi kukuinua mtani ifikie ndoto zako sawa na mapnz Yake matakatifu ktk jina la Yesu.

  • @faithkirenga9860
    @faithkirenga9860 3 года назад

    Mungu Aendelee Kukutunza vyema akafanyike baraka Katika huduma yako🙏

  • @samuelngirababo1697
    @samuelngirababo1697 3 года назад

    Waouuuh barikiwa kaka

  • @ishengomajosephofficial1861
    @ishengomajosephofficial1861 3 года назад

    Hakika
    Tumwombee Yesu Kristo amtie nguvu katika huduma aliyomwitia

  • @godlistenkileo8363
    @godlistenkileo8363 3 года назад

    Amen