Nandoooo mtu asipokusikiliza vizuri anaweza asikuelewe, lakini uko vizuri unajua na unajitambua yaani yaani hutaki maisha ya kuigiza unataka uishi kiuhalisia zaidi. Safi sana, sema madawa ndio yamekuzingua pole sana.
huyu jamaa watu wanamlaumu bure, ni spoon fed. yaani hajui kama kuna kitu kinaitwa kutafuta hela. kwenye 13:35 Zamaradi anamuuliza basic question ambayo maskini yoyote analielewwa kirahis, lkin mwamba anashindwa hata ajibu nini.. maana hajui kama kuna kuishiwa au hela. pia mwamba inaonesha alikua either intoxicated au zilikua zimeanza kupishana kichwani au in very rare case ya severe childish behaviors, 25 ni umri mkubwa sana ila anajiona mdogo sana... but all in all, jamaa hajui shida kabisa..
mmmmh hapa kuna walakini sio bure huyu MTU anatumia kile kituuu...!!!
Nandoooo mtu asipokusikiliza vizuri anaweza asikuelewe, lakini uko vizuri unajua na unajitambua yaani yaani hutaki maisha ya kuigiza unataka uishi kiuhalisia zaidi. Safi sana, sema madawa ndio yamekuzingua pole sana.
from here yeyote aliekua na jicho sahihi alihitaji kumsaidia bad enuf sikumuona mapema
😂 😂 😂 nando hayuko sawa kabisa aiseee
Jamani huyu kijana yuko wapi??
Na vipi hali yake ameacha uteja??
mda mwengine usituletee vichaa bhana kwny intervw
Nassor Mohamed 😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅 jamaa haeleweki anaongea nn anaenda mbele na kurudi nyumaaaa
cjui amejisahau yuko mbele ya camera😂😂😂😂watu ambao cyo wanamhoji
All the best champ
this guy is HIGH
Bungula Dyegula what is he saying??
huyu jamaa amepnda kwel
Dogo umepinda ur too real
kama nando hajagandamizia basi teyari
Huu mnara hapa nahisi network ilizingua
On this interview Nando was already messed up with drugs! He was all over the place!
huyu jamaa watu wanamlaumu bure, ni spoon fed. yaani hajui kama kuna kitu kinaitwa kutafuta hela. kwenye 13:35 Zamaradi anamuuliza basic question ambayo maskini yoyote analielewwa kirahis, lkin mwamba anashindwa hata ajibu nini.. maana hajui kama kuna kuishiwa au hela. pia mwamba inaonesha alikua either intoxicated au zilikua zimeanza kupishana kichwani au in very rare case ya severe childish behaviors, 25 ni umri mkubwa sana ila anajiona mdogo sana... but all in all, jamaa hajui shida kabisa..
Entervew haijaisha nimeanza kucheka
Jamani sijaelewa
😂😂😂😂 hamnazo kweli!
unga unaongea
hahaaa nando bhna
makubwa
Was this guy serious or acting? Nauliza tu
Nandos brain was already messed up
!
ha ha ha dah hii intaview si mchezo
mmmmh ana boesha
😂😂😂😂😂😂😂😂😂balaa
this nigga here😢
heheee
jamaa kadata
This guy is an empty headed idiot!
Hahah😅😂😂😂😂😂😂😂
Boring
unga unaongea